BEST FRIEND | Full Movie |
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2023
- This video is fair use under U.S. copyright law because it is non-commercial, transformative in nature, uses no more of the original work than necessary for the video's purpose, and does not compete with the original work and could have no negative affect on its market.
Copyright Disclaimer Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for 'Fair Use' for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research, Fair use is a permitted by copyright statute that might otherwise be infringing, Non-profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use - บันเทิง
Leo naombeni hata like 5 tu
We mpumbavu
Hongera sana
Jamani Tanzania naombeni sana tuangalie sana kipaji cha huyu kijana CLAM VEVO maana ni so talented.
Clam nikanumba Naomba like jaman japo 5❤❤❤
bald
Unaweza
❤❤❤❤❤
Ikosawa VEVO na Sasha
❤😮😅😊🎉
The Best movie ever I think you should prepare another one like...... Sikua nataka ata iishe yani🥰🥰🥰
Wakwanza leo to much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Am from kenya that song enye clam ameimba it is so nice please jina la hio wimbo
Wakwanza leo nipeeni like from Kenya 🇰🇪
😂😂😂😂😂 ndoto imetisha kinoma wallai hii imeenda 😢😢😢😢😢😢... nani amekubalia hili❤❤
Walai aki
😂😂😂🔥🔥🔥❤️
Ila iyi ndoto imenifurahisha😂❤❤
Hatimae wakwanza,, nipen maua yangu jaman,, clam kep it up ,💪
Charming pumzika kwa amani bro mm kila nikikuona nalia sana bro km nakuona pande za lumo 😢😢🤲🤲
Idea konki, Movie Kali, Salut sana. Mlijipanga Aisee
Pole sana kwa ajari bro mungu akupe maisha marefu na yenye furaha tukutane kwenye season nyingine❣️❣️❣️❣️🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Clam anajua paka anakera ❤🎉🎉🎉
AkoLDAViD
Amazing sana clam vevo, hichi ni kizazi cha kanumba! Watching from Kenya.
hatari hii.....much love from kenya
Hongera sana mzee hii ime weza sana🎉🇨🇩
😮😮😮 wakwanza mm leo naombeni likeee zenu 😂😂
To be honest...
Kwenye hii movie umechukua kura yangu kwa 100%
Ila nilitamani isingekuwa ndoto ili nijue hatma yao sanura na clam,,
Anyway kazi nzuri sana na nitakuwa shabiki wako namba moja🎉🎉🎉🎉
Rest in peace charming Charz😭😭 Nahisi hii Move ingekua nzuri zaid kama ungekuwepo Allah ailaze roho yako maala pema pepon inshallah 🙏
hey
Wakwanza leo kama unamkubali clam gonga like
+254♥️♥️ nipeeni likes za Kenya tunaikubali
Huyu dada @sasha jinake kamili anaitwa nani
Clam hii movie ulivyoimaliza so pw bwana ulianza vzr ila umeimaliza vibaya bwana😮😮
Waa huo utamu wa hii movie yaani ni ndoto 😂😂😂 Clamvevo u r talented I love it,mimi huo wimbo nimeupende❤❤❤much love from Kenya 💖💖💖💖
Noma sana clam hiii imeenda sana @from pemba#
Dah bro clam,,we uwa unatuacha in suspense sana,,,big boss ulituacha ata hatujui iliendaje,,Tena best friend bro Dah!!!
🎉🎉🎉watching from Kenya 🇰🇪 clam vevo hii ni kali yaani umetiisha 😊❤❤❤
Jaman mm cjawai kupata ata like 5 naomben Leo unipe
Like
😂😂😂
Iyo chukua
Usiwaze
❤mesahau
Leo nimekuwa wa kwanza nipeni like zangu
Mwisho umezinguwa brother..
Here I'm from Kenya wapi likes zangu wadau😢😢😢
Clam vipi unakatiza hivyo...hufai kuishia hapo..onyesha baada ya mama zanura kujua unacho kisema n ukweli...
Hapa umeniangusha kaka mm...
Anyway love from Kenya.
Clam vevo eshima Sana mwanangu unaweza
❤❤❤kaka tunataka big boss mbn kimya sana
Kazi nzuri clam vevo👏👏👏
Clam tunaomba big boss namba mwendelezo
nakupenda kk!!!
mozambique
Haijaisha vzr hii..Clam hapa umetuibia mawazo
Mimi wakwanja munipe liké mingi❤❤❤❤
unajua sana mpk unaharibu kaka
Wakwanza kuiona from kenya
Ngumi moia kichwa kimeikaa sawa🤝tupo hindia😂😂😂😂
Wakwanza from kenya
Nawapenda sana wtu wangu
kabisa kazi imekuwa kali sana kabisa .Nimependa kazi kutoka DRC GOMA
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Clam vevo best friend unauwa sana kaka
Kumbe ndo kipindi kinaanza 😅😅😅... nliwatch ikaisha mbaka mwisho Tena nimeanza upya 😅😅😅😅😅... all the way from UAE likes zangu bana
Ndy sija elew apo
Nzuri pia mwisho mzuri❤❤
kuna kitu nilikua naona kabisa kinaenda kutokea ila sio kuisha kwa mtindo huu imeniuma san bro ila kazi nzur zaid👏👏👏👍👍👍❤
Kisengere nyuma 😅😅😅 clam vevo 👌✌️🇰🇪🇰🇪 Nairobi
Cinema mzuri but hapo mwisho bado kidogo
Nimekuwa wakwanzaa jamani like zenu😂😂
Best Friend ime kwisha? Mimi njo wa kwanza! My gift please
Next kanumba one love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kumbe ilikua ndotto😂😂😂😂
Clam👏👏Clam👏👏 Clam 👏👏🎉🎉all the way from Kenya 🇰🇪 endelea hivyo
Wa kwanza leo kama tuko pamoja na the super family vevo 🎉
huyu mtoto anawaendesha hadi watu waliomzidi yani hana kipaji kikubwa sana aendelee hivyo hivyo❤❤
Nimependa san natamani iendelee ❤❤
Iyi nyimbo jmani naipenda
Alooo! Mnafanya kazi nzuri sana big up!!
Mbona namba mbili hamna jamani?
Clam wew nikiongozi sana Yani mtalam kabis mm nakukubali hatari ❤ ongera kwanyota yako wallah 👌
Kazi imetamatika sasa ni muda wa kuwaletea kile kitu loho inapenda na utapata burudani 🤝
Kwa mm nilivyoelewa hapo mwisho ni kuwa maisha yetu yote mpaka hatima zetu zilishatayarishwa kama alivyo kuwa anaota hivyo sisi tunaishi marudio tu alieelewa kama mm agonge like hapa
Nilikuwa sjaelew Sasa nimeelew ohooo
🎉AkoL DAViD
🎉AkOL DViD
Tunaomba muendelezo wa Big Boss
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Umezingua sana...sasa inaishaje hivyo?? Ndo maana huwa siangalii mifilamu ya kibongo huwa inaisha kiboya sana
Much love for this movie Jina la wimbo was clam alikuwa akiimba ni mzuri sana
Naomben like zangu wa kwanza leo❤ ❤
Much love 💕 from Kenya 🇰🇪 Watch in Saudi Arabia good 👍 job clam Vevo ❤❤❤❤❤
Gj
Wakwanza kutoka Burundi❤❤❤
Watching from Kenya clam we love your content so much 🎉🎉🎉
Like yang ya kwanza pamoja na comenti nahomb like zangu 🙏
The movie stars combination is on another level bravo much love from kenya alafu tunawait hyo big boss part 2 please❤
Mtu aniambie huo wimbo kaimbwa na nani yavutia saana🎉❤❤❤
Clam vevo clever boy never disappoint 👏🏼👏🏼
th-cam.com/video/ufhkts2tLyQ/w-d-xo.htmlsi=b8OT473Y0X6XLbaM
Ajali imetucosti😢
Clam am eagerly waiting for big boss season 2
Félicitations vraiment
RDC 🇨🇩
Safi
hatari uko.vizuri clam vevo
Naona chuma hiki clam umeamua kiwe chatofauti Sana hii itakuwa kalisana nikama big boss
BDO ep 6 Sasha unatakiwa umuimbie
Wow nice one clam vevo indeed your support
Ridhwan .. AKA Clam Vevo.. Mastermind ❤
Big AP klam VEVO kazi nzur ❤❤❤❤❤
Clam pole kwa ajali mwanetu😢
Daaa bravoo vevoo ivi nilikuwa antaka kusemajeee nmesahau😂😂😂😂
Uongo mbaya nimeangalia hii movie bila yakupeleka mbele ni nzuri mnoo
Nlikuwa nmeacha kuwatch bongo movie ila kwa hii nmerudi rasmi.clam unaweza hadi unakera.much love nikiwa KSA
Kabisa
Hongera sana clm vevo naomba nije kucheza na move hata moja na wewe
@CLAM VEVO naomba jina la huo wimbo
Wakwanzaa apaaa n motoooooo
wakwanza.mimi leo nipeni like zenu❤❤❤
Buro clam una weza pambana kaka na pia pole sana kwa ajali iliyokutokea
Nipeni mauwa yangu❤❤
Ni wakwanza au wa mwisho naomba likes zangu,,still Kurian Kartel from 🇰🇪
umetisha kak hii inawezekan kabisa kuiendelez tuletee part 2 maan imenigusa kam reality kak umewez kabisa
15:53-16:34...nimeirudia karibu the whole day much love Clam from Kenya
Ilove you from 🇧🇮 turagukunda cyane tunawapendaga san
Big boss 2
Vs
Best friend 2
❤❤❤ Bado hatujasemaaa
Sema kwenye kumalizia move za bongo ndo bado ila umefanya kaz nzuri kaka vevo unaupiga mwingi Sana 🔥🔥🔥🔥