MCHUNGAJI HANANJA AWARIPUA WACHUNGAJI WANAOWAKEMEA WASHIRIKI KATIKA IBADA ZAO

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 14

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 ปีที่แล้ว +6

    Ni kweli mchungaji, watu HAWATAKI kusubiri ,wanataka kufanikiwa Kwa haraka! Mungu atusaidie

  • @princepaschal9963
    @princepaschal9963 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Mchungaji Mungu akubaliki sana.
    Mikasa nina simulizi nzito sana inayofundisha jamii naomba namba tuwasiliane.

  • @sophiakaaya8290
    @sophiakaaya8290 ปีที่แล้ว

    Mchungaji kweli Mungu amekupa neema ya neno la Mungu

  • @nestorycylilo6642
    @nestorycylilo6642 ปีที่แล้ว

    Mungu andeleee kukubariki na kukupa nguvu mchungaji hananja

  • @user-sr1wr2xc5g
    @user-sr1wr2xc5g ปีที่แล้ว

    Uko sawa kabisaa mungu akutie imani hiyo hiyo mchuganji ananjaa

  • @careenkuwite2988
    @careenkuwite2988 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa mchungaji
    Mungu atupe uvumilivu

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 ปีที่แล้ว

    Kukemewa kama wanatenda dhambi ni haki Tangu Agano lake Mungu alitumia manabii kukemea watu na sasa bado Mungu huyo anayekerwa na sisi yupo na lazima atukemee

  • @johnmagubo4269
    @johnmagubo4269 ปีที่แล้ว

    Nikwel kabsa ukubwa wa kichwa udogo wa akili..

  • @unclestivesanga6764
    @unclestivesanga6764 ปีที่แล้ว

    Hakika MUNGU ndie kila kitu

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 ปีที่แล้ว

    Mchunaji hananji mungu akuongoze kuingiya dini ya kweli ya uslamu nawewe huna aya ya kuwa ukiristo ni dini?

    • @mrrevolutiontz
      @mrrevolutiontz ปีที่แล้ว

      Sawa Dada Rose

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 6 หลายเดือนก่อน

      Mwamini Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha yako upate uzima wa milele

  • @machoguhamery3731
    @machoguhamery3731 ปีที่แล้ว

    Hakuna uchawi mbaya kama uchawi wa kurogwa akili.Wahubiri wengi wa leo wanawaroga waumini wao kisaikolojia na kuwafanya mateka wa elimu yao. Biblia inasema yafuatayo:1Timo 6:3-5 " MTU awaye yote akifundisha elimu nyingine wala hayakubali maneno yenye uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo wala mafundisho yapatanayo na utauwa,amejivuna wala hajui neno kolote Bali ana wazimu---------na majadiliano ya watu walioharibika akili zao, walioikosa kweli wakidhani utauwa ni njia ya kupata faida. Wakolosai2:1-"Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu.kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu,kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu,wala si kwa jinsi ya Kristo.

  • @user-sr1wr2xc5g
    @user-sr1wr2xc5g ปีที่แล้ว

    Uko sawa kabisaa mungu akutie imani hiyo hiyo mchuganji ananjaa