JE, YESU KRISTO NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU? PART 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 121

  • @rajabmbega3418
    @rajabmbega3418 3 ปีที่แล้ว +8

    Wanao muelewa huyu jamaa gonga like tuendlee kumtizma👍👍👍

  • @kijuuborongo5133
    @kijuuborongo5133 4 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe umefika ,kukubali ama kukataa niutashi wa MTU binafusi ,NABI wa Mwenyezi Mungu kwaajili ya watu wa nyakati za Mwisho ,afefikisha aliyoamriwa kufikisha ,kazi kwenu vipofu na wenyemacho yakuoona haki.

  • @rhodamwafongo55
    @rhodamwafongo55 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu umenifumbua macho

  • @user-yh3sg2te9q
    @user-yh3sg2te9q ปีที่แล้ว

    MUNGU akubarikii sana mtumishi wa MUNGU

  • @sarahlumwe2303
    @sarahlumwe2303 2 ปีที่แล้ว +1

    Mathayo mtakatifu 3:15-17 inathibitisha utatu mtakatifu.
    Yesu akajibu akamwambia, kubali hivi sasa: kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Basi akamkubalia. Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini na tazama, mbingu zikafunguka, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua; akija juu yake; na tazama sauti kutoka mbinguni ikasema, Huyu ni mwanangu , mpendwa wangu ninayependezwa naye. Hapo Mungu alidhiirisha kuwa wapo 3 Mungu baba na mwana anabatizwa na roho mtakatifu msaidizi.

  • @belackluhanyula9211
    @belackluhanyula9211 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen balikiwa sana

  • @benitamusembi6685
    @benitamusembi6685 4 ปีที่แล้ว

    Amen wabie waelewe kabisaa nahao wanao kurushia maneno wajue "Mungu" mwenye amekutuma anawaona ndawayao iko njikoni tu

  • @trezynjeri8288
    @trezynjeri8288 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana kaka nimenjifunza mengi nikaweza kunjua vizuri

  • @harunyusuf4229
    @harunyusuf4229 4 ปีที่แล้ว +1

    Hauweleweki kabisa!!!!!umechanganyikiwa kaka!!!!

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani tusomeni kutokomeza ujinga kumlaumu Eliya sio sawa na sio busara. Elimika kwa kuwa mstarabu usitoe matusi au kumkebehi mzalendo mwezako.

  • @lumumba8708
    @lumumba8708 2 ปีที่แล้ว

    Yes man

  • @amiltv274
    @amiltv274 3 ปีที่แล้ว +2

    SI MUNGU NI BINADAMU, NI MUNGU TENA.YOU ARE CONFUSING YOUR VIEWERS + YOURSELF. TELL US THE TRUTH, WAPI YESU ALISEMA MWENYEWE KWA BIBILIA MIMI NI MUNGU MUNI ABUDU?

  • @NeroForte_
    @NeroForte_ 2 ปีที่แล้ว

    25:27 [mwanzo 1: 26 Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; atawale samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kufugwa, dunia yote na viumbe. {naomba ufafanuzi mtumishi. kwanini pale mwanzo imeandikwa SURA YETU

  • @fathiasaed4738
    @fathiasaed4738 4 ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa sana

  • @micahkasase649
    @micahkasase649 4 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo LA watumishi wengine hawajui wanachokiamini katika ukristo hawatpfautiani na dini nyingine za kale.Somenk biblia mtafunuliwa ukweli wote

    • @swalehkiuga167
      @swalehkiuga167 4 ปีที่แล้ว

      Micah Kasase Bible inaukweli gani wew zaidi yakupoteza watu akasome story za watu na barua za Paulo

    • @bakariramadhani2941
      @bakariramadhani2941 4 ปีที่แล้ว

      Wakristo wameongelewa katika quran kwajina la rum ,,,so kama wakristo wa kweli wameongelewa mpaka katika Quran yan inamaanisha wew hata hujui kua issa bin maryam alikufa na kufufuka Quran 3:55 ndugu yangu uislamu ni unyenyekevu usipo kua mnyenyekevu utapotea rudi kundini sisi sote ni wana wa mungu

  • @kibalikikubwa804
    @kibalikikubwa804 4 ปีที่แล้ว

    Kabla roho ya Eliya ya kweli haijaja itaanza roho ya Eliya ya uwongo. Pia Kabla KRISTO wa kweli hajaja tena katika mwili mawinguni ataanza Kwanza KRISTO wa uwongo katika mwili(Mpinga kristo)
    Huyu ndani yake kuna Roho ya Eliya wa uwongo
    Kuweni makini.
    HAMZA RAFIKI ACHA KUPOTEZA WATU TUBU SASA, MUNGU ANAKUPENDA MRUDIE NAYE ATAKUPOKEA. Amen

  • @reginataylor434
    @reginataylor434 4 ปีที่แล้ว

    Sawa kaka umetumwa kweli wenye masikio wasikie waokoke fishua yaliyo fishwa wanae potea waashe wapotee endelea Nabii wa Mungu ubarikiwe

  • @innocenttemu02
    @innocenttemu02 4 ปีที่แล้ว

    Sawa kabisa

  • @user-zb2mj5nd5g
    @user-zb2mj5nd5g 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi kwenye utatu mtakatifu hapo sijakuelewa hata kidogo maana umeongea mengi kama miguu yajongoo anakwenda mbele na nyuma mikono haijulikam

  • @khalfanabdallah6511
    @khalfanabdallah6511 3 ปีที่แล้ว

    Kama unavyodai kua yesu ni Mungu ungekua ni Mungu angerushiwa mawe hekaluni akajificha kwa kuogopa kutolewa jicho au .meno

  • @yohanapeter5275
    @yohanapeter5275 ปีที่แล้ว +1

    Ubarkiwe unatufumbua akili kikwel

  • @zuwenakhalfan4949
    @zuwenakhalfan4949 หลายเดือนก่อน

    Ole wao wale wanaosema katika elimu wasiyokuwa na ujuzi nayo .... Wanasema kwa utashi wao na matamanio ya nafsi zao jahannam ya Allah ipo inawasubiri

  • @mwanahamisigomo3764
    @mwanahamisigomo3764 4 ปีที่แล้ว +1

    upeo wako wa bibilia bado unahitaji msaada wa roho mtakatifu. akufafanulie maneno ya mungu, mana unaonekana unajuhudi za kumjua lkn bdo hujapata neema ya mungu

    • @bakariramadhani2941
      @bakariramadhani2941 4 ปีที่แล้ว

      Sawa wew Wasema anaupeo mdogo ukilinganisha na ufahamu wako lakini hata musa alisema hakuna mwenye elimu zaidi yake mungu akamuonesha ,,,kuwa mnyenyekevu sikiliza video yote ukimuomba mungu akuoneshe kua yanaongelewa ni kweli au uongo na kwahakika utafunuliwa🙏🙏

    • @nathanaelkelvin8311
      @nathanaelkelvin8311 4 ปีที่แล้ว

      Sahihi kabisa.

  • @yohanapeter5275
    @yohanapeter5275 ปีที่แล้ว

    Wakristo kuweninae making sn iyo anaejita nabii eliya anatuchanganya 2 biblia kitabu Cha Mungu akidangany uyo ni mislam asila na wao ndio wmechanganyiw mistal kusem yesu ajafa uku inasem kfa sas atuambie wakristo wmechanganyiw wap sio alete maneno naon ametumwa kusuvulug

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว +2

    Endelea na kazi nasi tunajifunza kutoka kwako.

    • @harunyusuf4229
      @harunyusuf4229 4 ปีที่แล้ว

      Wee kaka omba sana bwana akupe roho mtakatifu mfumbuzi.but uwezi sema utatu wa bwana.yesu sio mwanadamu,mungu akusaidie soma bibilia vizuri.usijidanganye
      Na bibilia haija jichanganya maana baada ya kuokoka roho mtakatifu muelekezi huanza kukuonyesha njia Sawa za mungu,sasa wewe uweleweki.

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว

      Harun Yusuf; Acha theologies za kitoto hizo!!!! Hata huelewi kama kuna agendas za upotofu ndani ya Biblia!!! Umekariri maandiko jumlajumla bila kutumia tafakari yako!!! Kwani mwanaadamu nani na Yesu ni nani!!!? Kama unaweza kufahamu hilo kwanini uzunguuke na maandiko potofu!? Soma na jifunze kwa kutafakari wala usiwe mfuasi wa ovyo.

    • @harunyusuf4229
      @harunyusuf4229 4 ปีที่แล้ว

      @@ussikhamisussi4882 hahaha Mimi sio wenu I say! Amenibadilisha yeye yesu ni bwana!,mukubali mukatae shauri yenu! Yesu ni bwana, Hehehehe yesu amenitosha vya kwenu jiweekeeni jamani nilimpata asije badilika,
      Kwa hiyo kwetu hakuna bus inaitwa ovyo.Hehehehe yesu ni bwana siku zote jua hivyo na jipe shuguli.

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว

      Harun Yusuf; Hujajigundua kama unaporojo za kitoto!!! Eti "Yesu ni bwana"!!! Kwani ww na mm si bwana!!!? Kwa hiyo, ww si bwana!!!? Bwana ni Yesu pekee!? Pole sana ndugu, Mungu akusaidie fahamu yako ikue insha Allah.
      Uhuru ni wako lakini ukweli ni vyema uutafute na uufahamu usiwe mfuata mkumbo tu.

    • @harunyusuf4229
      @harunyusuf4229 4 ปีที่แล้ว

      @@ussikhamisussi4882 pliz Mimi sio mmoja wenu,nimeokoka yesu ni bwana
      Yesu alinisaidia kitambo sana nikitoka kwa giza so sijui ananiambia nini
      Mwapenda siasa sana naenda uwaambie wahidu porojo zenu
      Niko sawa na yesu ni bwana so jipe kazi.
      Yesu ni bwana wa moyo wangu na damu yake ilinikomboa.period.

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 2 ปีที่แล้ว

    Mogope mungu! Wewe ulikuwa muislamu kamili lakini kwa saa wewe ni kafiri kamili kwa kupenda uzungu eti wajiita eliya hhhhhhhhh huioni pepo wala harufu yake hutasikiya

  • @geofreymanase7881
    @geofreymanase7881 4 ปีที่แล้ว +1

    Unajitahidi sana kueleza nakupongeza sana. Ninakufuatilia sana kwa siku nyingi. Maelezo ya kwamba Mungu aliposema tuumbe mtu kwa mfano wetu wakati nia ya kumuumba Adam je Mungu alikua akiwaambia akina nani kwamba waumbe mtu? Uliposema alikua akiwaambia malaika ninaomba ukachimbe zaidi hapo. Alikua kwenye kikao na Yesu na Roho Mtakatifu. Sio malaika.

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 8 หลายเดือนก่อน

    WEEWE PIGA SHULE WANAOKUPONGA HATA YESU WALIMPINGA.....CONDITIONING IS VERY DANGEROUS....YAANI WANAISHI KWA MAZOEA

  • @micahkasase649
    @micahkasase649 4 ปีที่แล้ว

    Hizi ni Siku za mwisho za Siku za mwisho Tuwe makini sana na hizi shule za Uongo hapa lengo ni kushusha ukuu na madaraka ya Kristo mwokozi wetu,soma 1yoh 4:1-4

    • @halfaniland3850
      @halfaniland3850 4 ปีที่แล้ว

      Micah Kasase Huwezi kukubali Darsa hili kwasababu huna nuru ya uzima. Njoo kwa Bwana Yesu huelewe.

    • @bakariramadhani2941
      @bakariramadhani2941 4 ปีที่แล้ว

      Sasa ndugu yangu kama ameshusha madaraka ya yesu kristo wew ni lini umetatetea ,,,arafu mbona hata wewe unamadalaka hapa duniani arafu umepokonywa na huyatetei na umekua mtumwa wa sera zao ,,,ukumbe kua wew ni mwana wa mungu na ulipewa urithi wa ahadi hapa duniani🙏🙏🙏

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 8 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wewe endelea, wanaokupinga wanaishi kwa mazoea achana nao.....TIME WILL TELL

  • @collinstito399
    @collinstito399 3 ปีที่แล้ว

    Kisha hilo wewe kusema WANA WA MUNGU mpaka kwa ujasiri umesema YESU ni katika kizazi cha KWANZA cha MUNGU?? Kwanza, hii unaipata katika maandiko gani???... Pili, wewe unajua aje kua Mungu ana kizazi cha wana zaidi ya YESU???... Tatu, Yesu amejitaja takriban mara 88 ndani ya Bibilia kama MWANA WA ADAMU, wewe unasema yeye ni MWANA WA MUNGU kivipi???

  • @samuelmoses9243
    @samuelmoses9243 4 ปีที่แล้ว +1

    Bila shaka Yesu ni Mungu wa kweli

    • @halfaniland3850
      @halfaniland3850 4 ปีที่แล้ว

      Samuel moses Yohana 17:3,4)

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว

      Samuel moses; Pole sana aise!!!!

    • @bakariramadhani2941
      @bakariramadhani2941 4 ปีที่แล้ว

      Soma Yohana 17:3 usitoe suruhisho bila.kufwatilia ukweli wa jambo mungu wa pekee na yesu kristo aliyetumwa hawajachanganywa hapo so usipo jua kuwatofautisha hauna uzima wa milele

  • @Quranicrecitation1995
    @Quranicrecitation1995 4 ปีที่แล้ว +1

    kumbe kristo si dini ..ni cheo...
    mh bas kaz ipo..

  • @saulyulaya5170
    @saulyulaya5170 3 ปีที่แล้ว

    Eliya alikuja tokea enzi za yesu lakini hawakumwamini yani ndie yesu

  • @collinstito399
    @collinstito399 3 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa kila kitu vizuri isipokuwa kitu moja tu.... wapi dalili ya neno KRISTO?? Maana yake KRISTO kuwa hicho ni CHEO umepata wapi maneno hayo....hapo ndio hujagusia kabisaaaaa

  • @jacobmkunda2180
    @jacobmkunda2180 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka wewe endelea kujidanganya eti Yesu Kristo ni mwanadamu wa kawaida tu ila hujui dhamani ya kifo chake msalabani kwa ajili yako , Siku ukifa bila kuukubali wokovu ndio utakuja kujua maana na dhamani ya kifo cha Yesu Kristo amen

  • @user-hy5zd5rn6r
    @user-hy5zd5rn6r 7 หลายเดือนก่อน

    Daniel 7:13-14 mwenye kuzungumziwa hapo na sifa zote hizo huyo ni nani?
    Katita Ufunuo wa Yohana Yesu anasema mimi ndio mwanzo na mwisho.Hii inamaanisha nini?

  • @alfazabron8645
    @alfazabron8645 4 ปีที่แล้ว

    Hakika, maandiko yanatimia . hii ndiyo ile roho ya Eliya yauongo iliyo tangulia kabra ya ile rohoyakweli ya Eliya , maana mafundisho yako mengi yanakinzana na biblia , sasa niwakati mzuli wakumshukulu Mungu kwakua ametupa roho wa kututafisria kt ya mafundisho ya kweli , na yakishetani , najua hawezi kukosa wakumuunga mkono ila hasa nikwa wale wavivu wakusoma maandiko . Siwezi kusema ushindwe kwajina la Yesu , maana unakamilisha maandiko ya Mungu wetu ..

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 10 หลายเดือนก่อน

      Shida yako unaamini kila kilichoandikwa kwenye biblia ni maagizo ya Mungu maneno mengine ni ya mwandishi sio maagizo ya Mungu

    • @user-rq6wb8eo2g
      @user-rq6wb8eo2g 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@kisangageorgethomasi2830unaongea point

    • @francesgalinoma7113
      @francesgalinoma7113 9 หลายเดือนก่อน

      Cha msingiii it's jesus spirit in the heart

  • @deogratiusmachumu5790
    @deogratiusmachumu5790 4 ปีที่แล้ว

    Binafsi nakulewa

  • @micahkasase649
    @micahkasase649 4 ปีที่แล้ว

    Hizi ni simu za Maisha za simu za

  • @kaburasalehe3660
    @kaburasalehe3660 2 ปีที่แล้ว +1

    Yohana 17: 5 Yesu mwenyewe anasema alikuwa pamoja na Mungu kabla ya minsi ya ulimwengu. Sasa atalinganishwa na Adam , au Daudi kivipi ?

  • @nasrytwalib2778
    @nasrytwalib2778 4 ปีที่แล้ว +2

    Mpumbavu sana weye sijui waongea nn hapo

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว +1

      Nasry Twalib; Umegundua kama akili yako ndogo ama kubwa!!!? Maana, hueleweki!!!!!!

    • @bakariramadhani2941
      @bakariramadhani2941 4 ปีที่แล้ว

      Kama hujui hata anachokiongea ,,,ni kwanin uumtukane ,siku zote limjaalo mtu ndilo limtokalo ,,,inaonekana katika kichwa chako kumejaa matusi ndomana unatukana nakusikitikia kwakua hujui ulifanyalo ,,,imeandikwa wana wa mungu ni wanyenyekevu wa moyo ,,,kama sio mnyenyekevu hakuna utakachokielewa ,,u need to format your memory u have ,in ur mind ,,so that matunda yako yawe upendo siku zote

    • @abdullahiguyo252
      @abdullahiguyo252 4 ปีที่แล้ว

      Asante sana ,wasiokuelewa washapoteza na shetani

  • @injilinuruyamilele
    @injilinuruyamilele 4 ปีที่แล้ว

    uwezi elewa hata kidogo kama utachanganya historia na bibilia. huna evidence ya kutosha hata kidogo. omba mwongozo wa roho upate kufunuliwa. before the foundation of the worlds is laid he existed. the worlds include both spiritual and physical world. remember that the angels are part of spiritual world, so before the angels existed, the word was

  • @yudathadeiassenga1178
    @yudathadeiassenga1178 4 ปีที่แล้ว

    Notsi zako umeGoogle hujasoma, hujui

  • @gilbertsamson7767
    @gilbertsamson7767 4 ปีที่แล้ว +1

    Iposiku utakoma hakika. Wewe ni ibilis ulieshiba ujinga.

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว

      Gilbert Samson; Tulia ndugu, jifunze kwanza.

    • @bakariramadhani2941
      @bakariramadhani2941 4 ปีที่แล้ว

      Siku zote mkristo wakweli hana.mamlaka yakuhukumu ,,,maana imeandikwa sheria utumiayo kuhukumu ndiyo itakayotumika kukuhukumu

  • @zakialustan722
    @zakialustan722 4 ปีที่แล้ว +1

    Muogope Allah ndugu yangu ,wewe Quran umesoma unajua unachokifanya kumsingizia Allah mtoto mbingu zinatikisika ,Refer Lam yalid walam yuuladu

    • @rajabmbega3418
      @rajabmbega3418 3 ปีที่แล้ว

      Pole kumbe humuelew huyu🙄🙄🙄

    • @zuhulas1036
      @zuhulas1036 3 ปีที่แล้ว

      Msikilize.vizuli.na.kama.mwisilam.tujivunie.muwa.waisilam.mm.nimemuerewa.sana.allah.amuongoe.anaijuwa.dini.yahaki.

    • @emanuelyupinna6133
      @emanuelyupinna6133 3 ปีที่แล้ว

      Alla.syo.mungu.kama.ndomaana.walslm.wasigekuwa.wanaenda.kanisan

  • @harunyusuf4229
    @harunyusuf4229 4 ปีที่แล้ว

    Utatu wa bwana ni kweli na yesu sio mwanadamu soma bibilia vizuri.waaah!! Mafunzo yako yanapigana na neno la mungu

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 4 ปีที่แล้ว

    Unajitahidi kujifunza na sio kufundisha maana umejichanganya sana kwanza unasema hakuna utatu afu unasema yesu ni mwana wa mungu hapo umekwepa nini?umesoma vitabu kuwa yesu ni mungu na ukasema unachomokaje hapo afu mdomo wako unasema yesu si mungu. Mbona unachanganya watu bro. Kwanini usiende kucheza kalata. Ili uzichange vzur sio biblia. Du pole sana

    • @aberinyota1774
      @aberinyota1774 4 ปีที่แล้ว

      Bro unajichanganya sana. Hisitoria unazo toa hazina usibitisho ktk maandiko.

    • @jonasmaginga2374
      @jonasmaginga2374 4 ปีที่แล้ว

      Jamaa wakat mwingine so mkweli na anachanganya watu.
      aliwahi kuongeza picha padre anafanya mageuz ya mkate na divai kuwa mwili na damu ya Yesu Kristo. Lakin yeye alisema eti padre yuko anaabudu jua.wakat sikweli,

  • @mwakajohn1819
    @mwakajohn1819 4 ปีที่แล้ว

    Kamwe milango ya kuzimu, haiwezi kulishinda kanisa. Maana Neno la kweli linadumu katika kanisa

  • @mwakajohn1819
    @mwakajohn1819 4 ปีที่แล้ว

    Nimekusikiliza mwanzo mwisho, wewe ni bingwa wa kujichanganya. Maneno mengi yasiyo na ushahidi wa maandiko.

    • @marthamasawe5060
      @marthamasawe5060 4 ปีที่แล้ว

      Mwaka John huijui bibilia wewe

    • @mwakajohn1819
      @mwakajohn1819 4 ปีที่แล้ว

      @@marthamasawe5060 wewe ni wakara wa shetani, huwezi nijua

  • @bedamgonja9484
    @bedamgonja9484 4 ปีที่แล้ว

    Unazinguwa naku unfolw hunifai Tena huna lolote.

    • @bakariramadhani2941
      @bakariramadhani2941 4 ปีที่แล้ว

      Hata hii meseji kureply hakukuomba ureply ,,,so kama una mu unfollow its nothing sio shidaah kwake ujumbe umefika.and.that is the point to.him

    • @chizochivihi4915
      @chizochivihi4915 4 ปีที่แล้ว

      Kwa kuwa hujapenda yale aliyoyaongea

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว

    wewe unazingua!!!!?? ahera aupo jahanam wanakutafuta

  • @japhetlameck547
    @japhetlameck547 4 ปีที่แล้ว

    Acha uongo yesu mwenyewe anasema mtawabatiza kwa jina LA baba na LA Mwana na roho mtakatifu. Soma maandiko usitumie kichwa chako ndo mana waislam wanakupiga vita. Kwahiyo yasu alipo sema yeye yesu na Mungu no umoja alisema uongo? Soma Yohana 10:30-33

    • @simonmuya9560
      @simonmuya9560 4 ปีที่แล้ว

      Japhet Lameck,,, bro jap~ unasoma lakini uelewi fatilia yohana 10:37-38

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 4 ปีที่แล้ว

      Japhet Lameck;Kutumia akili kupo, usibishe kiboya, hata maandiko unapoyasoma na kuyafahamu huwa unatumia akili.

    • @elishamdach5117
      @elishamdach5117 4 ปีที่แล้ว

      Unajitahidi sana kupotosha kwa wasio na ufahamu wa ki-Mungu watakuamini. Ila wewe ni mpotoshaji wa kweli ya Mungu

    • @halfaniland3850
      @halfaniland3850 4 ปีที่แล้ว

      Japhet Lameck Wakristo hamna akiri nyie. Bakini na upumbavu wenu mngoje kuchome.

    • @swalehkiuga167
      @swalehkiuga167 4 ปีที่แล้ว

      Japhet hii yohana 10:30 ni kufuru kubwa kabisa wala usisubutu kuizungumzia hii