UKIRISTO NI IMANI NA SIO DINI. SO DINI NI NINI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • +255714750521

ความคิดเห็น • 186

  • @joramulaurent8483
    @joramulaurent8483 5 ปีที่แล้ว +8

    Kuzaliwa kimwili (wazazi wetu wamehuska) kuzaliwa kroho Yesu ndo anakuzaa mara ya pili baada ya kumkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako

  • @ziporahnangolo2632
    @ziporahnangolo2632 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina ,nafuatilia Sana mafundisho yako.
    Mungu azidi kukupa neema juu.

  • @samelychesham3309
    @samelychesham3309 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaaa namwelewa sana

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 4 ปีที่แล้ว +3

    Ashanti nmesoma mengi God bless yu kwa elimu mzuri.

  • @henrymushi8340
    @henrymushi8340 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa sana nabii unatengeneza njia kweli

  • @emmanuelmbwambo6571
    @emmanuelmbwambo6571 2 ปีที่แล้ว +2

    Nifanyeje kupata ilimu hii ya pekee?Msaada please!!.

  • @amasigabriel2602
    @amasigabriel2602 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuelewa mnoo

  • @selinapius7607
    @selinapius7607 2 ปีที่แล้ว +1

    Naiwe kwako pia

  • @livanofficialkenya
    @livanofficialkenya 3 ปีที่แล้ว +2

    Sasa nimekuelewa

  • @dastanbushaijabwe5143
    @dastanbushaijabwe5143 9 หลายเดือนก่อน

    Naomba utufafanulie maana ya Yohana 1:18B alafu nini maana ya neno nafsi? Ubarikiwe.

  • @danielsamwel157
    @danielsamwel157 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi eliya natamani Sana niweze kukutana na wewe uniombee niondokewe na na magumu ninayo yapitia

  • @alfazabron8645
    @alfazabron8645 4 ปีที่แล้ว +1

    Wakristo, naamini tulio wengi tunaflahishwa na nenomojatu , kua ktk waisilamu yupo mwisiramu ameanza kumtetea mwokoziwetu , lakini kabra yakukudharau lazima kwanza tukupime unakoelekea,, isijeikawa unalitumia hilo ilikutupotosha wakristo , ilahadisasa bodoukonjiani ya vizuri japo kunavipengere kama sikuelewi,,!!!

  • @imranihussen5764
    @imranihussen5764 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🙌🙌 Mungu ni mwema Nabii eliya

  • @michaelgumbo9044
    @michaelgumbo9044 ปีที่แล้ว

    INASHANGAZA YESU NDIO KIELELEZO CHA UBATIZO WA MAJI MENGI LKN WEWE UNASEMA YALIONGEZWA NA WATU KWENYE AGANO JIPYA. HII INATIA MASHAKA KUWA YOTE UNAYOONGEA HUONGZWI NA ROHO WA MUNGU UNAHITAJI MSAADA.

  • @henrymushi8340
    @henrymushi8340 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwenye ubatizo kuna utata mkubwa ubarikiwe sana

  • @fakhlunga6330
    @fakhlunga6330 5 หลายเดือนก่อน

    Niliwai kusoma sehem moja kuwa agenda moja kubwa ya Hawa Freemason ni kutaka kuunganisha uislam na uikristo pamoja ili Mambo yao yaende sawaaaa🚶🚶🚶

  • @sureboyofficial6473
    @sureboyofficial6473 2 ปีที่แล้ว

    Sikupingi kwaiyo waislamu wanaweza kuendelea kuwa waislamu na wakrito kusali msikitini na bado aebdelee kuwa mkristo, hakika nakuelewa

  • @maabadshabani7215
    @maabadshabani7215 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi unayo wewe msaka tonge nabii wa masihi dajjari unaetumikia shirika la world vision umetumwa na utawala wa Papa nakuelewa sana mpotoshaji na makazi yako ni jehanamu

  • @nenolakristomaisha.5611
    @nenolakristomaisha.5611 5 ปีที่แล้ว +3

    HAPO KWENYE ENEO LA UKRISTO NAKUPATA

  • @MrishoBuruhan
    @MrishoBuruhan 5 วันที่ผ่านมา

    Toboa sili nabii elia mimi nimekuelewa ukweli unauma

  • @elizabethsidi5574
    @elizabethsidi5574 ปีที่แล้ว

    Acha uongo hapo hatuez kuungana kwa sababu hakuna jina lingine ila tulilopewa litakalotuokoa ila jina la yesu na yesu ni mungu na ni mwana wa mungu so hatuezi kuabudu Muhammad njia ni moja tu ya kweli ambae ni yesu unasema tumwamini Muhammad apo ni uongo

  • @gracembuvi4625
    @gracembuvi4625 2 ปีที่แล้ว

    Hey nabii hapo kusema hati muislamu aungane na mkristo iliaweze mkristo aingie mbinguni waongea uongo wako,sisi hatuko chini ya sharia,,,,hatuitaji Muhammad kabisaa kuingia mbinguni,,,,,tuna na mwana Muhammad ni wakazi gani? Tunaingia mbinguni na yesu direct..

  • @jumasalimaljabri2067
    @jumasalimaljabri2067 2 ปีที่แล้ว

    M.Mungu akunusuru udubie kabla ya kifo chako kufika nakuombea,manake mandiko unatafsiri upendavo wewe halafu wewe nabii wa Mungu yupi Allah au yesu.Mtihani mkubwa we unabii kwa watu wepi au unabii kwa taifa gani.

  • @senorinamtei8202
    @senorinamtei8202 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akusamehe bure

  • @nenolakristomaisha.5611
    @nenolakristomaisha.5611 5 ปีที่แล้ว +1

    BADO NAANGALIA LAKINI JAMBO ZURI NI VIGUM KUTOKA KATIKA BAYA ILA LAWEZA KUTOKA
    KWENYE KUFAFANUA UKRISTO NI MIKE SANA HAPO SINA SHAKA UKRISTO NI IMANI

  • @homeboyvr8184
    @homeboyvr8184 3 ปีที่แล้ว

    Nakuonea sana huruma unasema mambo usioyajua wapi unamdhulia uwongo mwenyenzi mungu hakika wewe nikafili na weww n mtu wa motoni

  • @chekisiela
    @chekisiela 4 ปีที่แล้ว +2

    Quran 2:8-21
    8. Na katika watu, wako wasemao: Tumemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, wala wao si wenye kuamini.
    9. Wanatafuta kumdanganya Mwenyezi Mungu na wale walio amini, lakini hawadanganyi ila nafsi zao; nao hawatambui.
    10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo.
    11. Na wanapo ambiwa: Msifanye uharibifu ulimwenguni. Husema: Bali sisi ni watengenezaji.
    12. Hakika wao ndio waharibifu, lakini hawatambui.
    13. Na wanapo ambiwa: Aminini kama walivyo amini watu. Husema: Tuamini kama walivyo amini wapumbavu? Hakika wao ndio wapumbavu, lakini hawajui tu.
    14. Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu.
    15. Mwenyezi Mungu atawadhihaki wao na atawawacha katika upotofu wao wakitangatanga ovyo.
    16. Hao ndio walio nunua upotofu kwa uwongofu; lakini biashara yao haikupata tija, wala hawakuwa wenye kuongoka.
    17. Mfano wao ni kama mfano wa aliye koka moto, na ulipo tanda mwangaza wake kote kote Mwenyezi Mungu aliiondoa nuru yao na akawawacha katika giza, hawaoni.
    18. Viziwi, mabubu, vipofu; kwa hivyo hawatarejea.
    19. Au ni kama mvua kubwa itokayo mbinguni, ina giza na radi na umeme; wakawa wakitia vidole vyao masikioni mwao kwa ajili ya mingurumo, kwa kuogopa kufa. Na Mwenyezi Mungu amewazunguka makafiri.
    20. Unakaribia umeme kunyakua macho yao. Kila ukiwatolea mwangaza huenda, na unapo wafanyia giza husimama. Na angelitaka Mwenyezi Mungu angeliondoa kusikia kwao na kuona kwao. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kila kitu.
    21. Enyi watu! Muabuduni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni nyinyi na wale wa kabla yenu, ili mpate kuokoka.

    • @mohameddhahir3288
      @mohameddhahir3288 4 ปีที่แล้ว

      chekisiela maneno mazuri sana shukran atakua ameelewa tyuu

    • @chekisiela
      @chekisiela 4 ปีที่แล้ว

      Ucheshi Tv @ hayo ndio maajabu ya Quran. Subhanallah.
      Maswali yote majibu yake utayapata ndani ya Quran.

    • @mohameddhahir3288
      @mohameddhahir3288 4 ปีที่แล้ว

      Naam kaka nakubali

  • @JosaphatLuhindukila-pv3ey
    @JosaphatLuhindukila-pv3ey ปีที่แล้ว

    Yaan muhamed tunamuangalia au tunamuamini Kama Nani

  • @emmanuelmbwambo6571
    @emmanuelmbwambo6571 2 ปีที่แล้ว

    Kitabu cha yohana kinaeleza wazi kuwa yohana alikuja kwa roho ya Elia,so elia alishakuja, Sasa ni vyema useme wewe ni mfuasi wa nabii Elias ili NAMI niweze kuelewa na kuamini ukweli halisi huu ambao ni dhambi kuukataa🙆.

  • @abdullahabdul7968
    @abdullahabdul7968 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amuongoze huyu kiume

  • @julianamwaipyana8625
    @julianamwaipyana8625 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @muslihmohd9420
    @muslihmohd9420 3 ปีที่แล้ว +2

    Ina maan nyinyi wakristo mpaka leo hamjui huyu mtu alizaliwa akapewa jina gani kwasababu kila mtu anamwita kwa jina lake,wabrazil wanamuita bebeto,wahindi wanauita Krishna, wazungu wanamuita Jesus, waafrika mashariki mnamuita yesu,mnasahau kuwa jina la mtu ni comman noun haliwezi badilika mfano mimi naitwa Muslih kwaio hata niende wapi mtu wa lugha yoyote ataniita ivo ivo,hemu tupeni jina sahihi la huyu mtu,Qur'an imeshamwita Issa sasa kama mnaipinga Qur'an tupeni jina lake sahihi.

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 2 ปีที่แล้ว +2

      Mbn Peter anaitwa petro,piere na majina kibao kasomee lugha kwanza ndo uje hapa

    • @josephmgaya2637
      @josephmgaya2637 ปีที่แล้ว +1

      ​@@madetetv6576 point

    • @mcchilo13
      @mcchilo13 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona MUNGU. kingereza anatwa GOD. shetani pia anaitwa devil. Daudi anaitwa Devd. Yusuph anatwa Joseph. Tafuta Mada nyingine sio hiyo Broo

  • @JosaphatLuhindukila-pv3ey
    @JosaphatLuhindukila-pv3ey ปีที่แล้ว

    Nabiii natumai umejikita katika njia mbili nataka kukuuliza Mohamed Ni Nani

  • @muslihmohd9420
    @muslihmohd9420 3 ปีที่แล้ว +2

    Ivi sisi waislamu tuache sheria yetu aliotupa mungu tuwafuate wakristo wasio na sheria wala utaratibu watu wamepewa kitabu wamekitupa,watu wanaoishi kama wanyama kila kitu kwao sawa...
    Hatuwezi fuata hao labda wao waje kwetu ili waokoke.

    • @zephanialeonard5546
      @zephanialeonard5546 3 ปีที่แล้ว +2

      Ipo cku utahama tu kwa jna la yesu muda bado unakuja

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe una karama mbili ni Nabii pia ni ,mwalimu YESU NI WETU SOTE.

    • @sheikhibrahimabdullahikeny1509
      @sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 ปีที่แล้ว

      ⛏⛏⛏⛏
      JIUNGE NA GROUP LA KUBAINISHA UPOTOFU WA HAMZA ISSA
      _________________
      chat.whatsapp.com/GcJe3ZywhuAFz5SAJgAUSg
      __________________

  • @nenolakristomaisha.5611
    @nenolakristomaisha.5611 5 ปีที่แล้ว +2

    KUMBUKA HAPA UNATUMIA ELIM SIO UFUNUO HALIS WA KIUNGU
    BADO UTACHEMSHA

  • @abdilahimriri8984
    @abdilahimriri8984 2 ปีที่แล้ว

    Hizi zinatakiwa tupate kwa kanda kuweza kuokoa garama.
    Hizi you tube videos zinakula sana data wadogo hatuziwezi.

  • @josephotieno1253
    @josephotieno1253 2 ปีที่แล้ว

    Kazi ya yohana mbatizaji ulikwa ni nini kama hakuna ubatizo?

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 4 ปีที่แล้ว

    Okay

  • @progressivemetallicmineral4601
    @progressivemetallicmineral4601 5 ปีที่แล้ว

    "Angalau sasa unaelekea kwenye kueleweka, ila kuwa makini sana unavyoitumia biblia kufafanua mambo maana tayari imetiwa mikono ya mwanadamu. " Kwa maana kwamba wakristo wameongeza na kupunguza mambo humo ndani ya biblia. kuwa makini sana.

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 3 ปีที่แล้ว

      Ww acha kudanywa ww unakuja kizembe na maneno ya kukalilishwa, kama wameongeza ama kupunguza ww unayo bible ambayo inakuonyesha hapa wameongeza hapa wamepunguza maana ni hivo ww utakua bible og

  • @omaar5693
    @omaar5693 5 ปีที่แล้ว

    Anhaa nishapata piichaa 🙉 kumbe Yesu alishatumia jina la yashua gud

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

      omar milan; Yeah, ni sawa na kwa sababu Yoshua ni jina linatokana na majina haya, Joshua ambalo ndio mzizi wa jina Yashua kwa lugha ya kiswahili ndio likapatikana hilo Yesu na english wakaika Jesus sawa na lile jina la Yacob kuitwa Jacob, au Yohana kuitwa John, Yussuf kuitwa Joseph, nk.

    • @omaar5693
      @omaar5693 5 ปีที่แล้ว

      @@ussikhamisussi4882 asante sana wajua ukitanguliza ubishi unakosa elimu.

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

      omar milan; Yeah, mara nyingi sana "ubishi" hufunga nafasi ya kuelewa zaidi ya unachokielewa au unachotaka kuelewa.

    • @sofialinus8241
      @sofialinus8241 3 ปีที่แล้ว

      @@ussikhamisussi4882 Yakobo/Jacob Ni kiswahili English Ni James

  • @yohanampangule3891
    @yohanampangule3891 3 ปีที่แล้ว

    Unachanganya kweli na uongo.Jumla yake ni uongo.Wenye torati Ni wayahudi sio waislamu.Wakristo hawafuati mwili Wala kuungana na mwili Ili kushinda nguvu za Giza.Na nabii eliya Alishakuja kwa Sasa tunamsikiliza ROHO.

  • @muslihmohd9420
    @muslihmohd9420 3 ปีที่แล้ว

    Ivi wakristo mna sheria ukiacha hii ya serikali....
    Hapa Hamza kidog upo sawa kusema ukiristo sio dini ila ni imani tu sasa imani bila dini wapi na wapi.

  • @kassimibrahim4776
    @kassimibrahim4776 4 ปีที่แล้ว

    Sijui huyu jamaa anapata wapi pesa ya kulipia airtime ya mahubiri yake.
    Alafu mahubiri yake yanauwongo mwingi sana

  • @joramulaurent8483
    @joramulaurent8483 5 ปีที่แล้ว +1

    Watoto wa Ibrahim wametokana na mzao wa ahadi ambae ni Isaka, ambaye ni mtoto wa ndoa na ambaye amezaa Watoto 12( wana wa Israel) na ambae ni Yesu ambae ametokana na kabila la Yuda, hivyo Yesu anajitosheleza kukupeleka mbinguni, Halafu suala la torati alipewa Musa mlima snai na sio Mohammed ,torati ulikuwa inatabiri ulio wa Yesu kama anaekuja kuukomboa ulimwengu katika dhambi, Halafu mtu anafanyanyika mkristo baada ya kuzaliwa Mara ya pili (kroho) yohana 3:3

    • @johnmatiko2596
      @johnmatiko2596 5 ปีที่แล้ว

      Ahsante Sana kwa kuelewa maandiko

    • @suleimanali8317
      @suleimanali8317 5 ปีที่แล้ว

      wandishi wa bible waliacha ujio wa Ismail kwa sababu ndiko alipotoka mtume Mhammad nabii wa mwisho

    • @johnmatiko2596
      @johnmatiko2596 5 ปีที่แล้ว +1

      @@suleimanali8317 mungu alichagua taifa lake takatifu kupitia Ibrahimu na wala si ndugu zake mungu alipomtoa Ibrahim kwa ndugu zake na akambariki akafanya maagano nae.Ibrahim akamzaa Ishmael na Isaka,lakini mungu akamchagua Isaka na kumbariki na wala si Ishmael, Isaka akamza Yakobo na Esau, mungu akamchagua Yakobo na kumbariki na wala si Esau katika yakobo ndo kazaa watoto 12 ambao ndo kabila 12 za Israel mungu akampa yakobo jina LA Israel na yesu kazaliwa katika uko wa daudi ambae ni mwisrael,sasa huyo Muhammed hajazaliwa katika Taifa LA Israel ambalo mungu alilichagua kuwa takatifu basi wote tusiokuwa waisrael ili tukubalike mbele za mungu ni mpaka tumkiri yesu Kristo kuwa ni bwana na mokozi wa maisha yetu na tufuate njia zake tunaingia katika ufalme wake ambao utawala wake hautakuwa na mwisho

    • @suleimanali8317
      @suleimanali8317 5 ปีที่แล้ว

      John Matiko : sio kwamba manabii wote walitoka Israel sio kweli,kuna kuna watu wanaitwa samud kuna adi kuna watu wa vichakani hao wote walikua wa mataifa sio Waisral
      Yesu ni mwokozi kwa wana wa Israel @ katika uzao wa daudi atatoka muokozi wa Israel
      @ sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba Israel
      tatizo kubwa kukosa Injili original ya Yesu ,ushauri wangu soma Qur'an utamjua vizuri Yesu

    • @zaharahasan1912
      @zaharahasan1912 4 ปีที่แล้ว +1

      @@johnmatiko2596
      YAKOBO NA ESAU WALIKUWA MAPACHA, na walikuwa wanapigana , na YAKOBO yeye ndo alikuwa anapigwa tumboni na YAKOBO yeye ndiye aliyebarikiwa, MWANZO 27:40
      NA YAKOBO NI KANISA , ISRAEL
      kama kuna makosa nisahihishe kwa upendo

  • @abuumuhammadchannel3499
    @abuumuhammadchannel3499 4 ปีที่แล้ว +1

    Muogope Allah Usiwapoteze viumbe wa Allah

  • @user-xd9bu4vr6l
    @user-xd9bu4vr6l 6 หลายเดือนก่อน

    Anakubali

  • @salimmotila3887
    @salimmotila3887 5 ปีที่แล้ว

    Waislamu na wakristo ni wana wa Adam but iman zao ni tafauti hilo lijue

  • @hossanaassanemdulumdulu6731
    @hossanaassanemdulumdulu6731 6 หลายเดือนก่อน

    Ok sasa wewe ni dini gani?

  • @nenolakristomaisha.5611
    @nenolakristomaisha.5611 5 ปีที่แล้ว

    Mwishoni umenichekesha NABII

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 2 ปีที่แล้ว

    He studied and came to a conclusion. Will you also look at this objectively? Let us be neutral and look at this objectively, without Bias and without any racism. Without pre-conceptions. Completely neutral with our intellectual cup the right side up, because if it was upside down, nothing, no matter how profound, will go into the intellectual cup. Question: Did you ever question yourself that the Gospels by Mark, Luke, Matthew, and John have no last names? In court or in your passport or driving license, do you not have your last name? How valid is a document without any last name to give it validity? Second: Jesus spoke Aramaic. The name for God in Aramaic is Elah. Please look it up. Muslims say Allah. Third: Did the mother of Jesus or Jesus himself claim he is god or the son of god? Fourth: Muslims love Jesus and Mother Mary more than lip-service Christians. Why? Muslims keep a beard and they prostrate in praying to One God Almighty as Jesus did. Muslim women wear a head-cover called hijab like Mother Mary. They do not eat pork like just like Mother Mary or Jesus. Fifth: If Christians claim that you will only be saved if you believe in Jesus, them what about other prophets like Moses and Abraham and Jacob and Job, and other good people before Jesus was born? Will they go to hell? Certainly not. Bible in its original form must have been profound. It still has many, many good lessons. But it has been tampered with, unfortunately. Be serious, because this is your life in the hereafter. You must study the Last Testament: the Quran. If you find it good, accept it. Otherwise reject it. You owe your whole life and your whole afterlife to yourself. At least that much. Is that too much to overcome with our minds so much affected by a singular, one-stream, bias-laden, pre-conceptions? I respect you and your faith. But please do more research. As an intellectual, you owe yourself that much. Much respect...Ray, from Canada

  • @abdulmalksukary5552
    @abdulmalksukary5552 4 ปีที่แล้ว

    Wew dini gani Kwanza tujue,maana yake Kuna vitu unaongea nje na misingi ya uislam na nje na ukrsto wew upo wapi na tumuulize kupitia kitabu chako

  • @faibathollan3510
    @faibathollan3510 5 ปีที่แล้ว

    Je kuyatumia majini kama alivyofanya hayati shekh yahaya ni sahihi ktk imani ya kiislam?Naanza kukuelewa ila najiuliza baadhi ya mambo kuhusu uislam

    • @sheikhibrahimabdullahikeny1509
      @sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 ปีที่แล้ว

      ⛏⛏⛏⛏
      JIUNGE NA GROUP LA KUBAINISHA UPOTOFU WA HAMZA ISSA
      _________________
      chat.whatsapp.com/GcJe3ZywhuAFz5SAJgAUSg
      __________________

    • @omaar5693
      @omaar5693 5 ปีที่แล้ว

      Sio sahihi ktk uislamu kutumia majini, nyota, na mambo mengine yaohusiana na uchawi na Allah atamchoma yoyote afanyayo hayo hata aitwe shekhe.

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

      faibath ollan; Si sahihi kutumia adui wa Mungu kuendesha mambo yako na hapo ndipo wanapokosea wengi, ukeshaelewa adui yeyote wa Mungu basi kwa muumini wa kweli naye pia ni adui wake.

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

      sheikh Ibrahim abdullahi ce; Jaribu kuelekeza mtu akufahamu acha kuvuta watu kwenye vikundi pacpo kumpa utangulizi wa kile anachokihitaji na akavutika, hata kwenye sala kuna "WITO" yaani kumtanguliza nani anatuita? na kwa lengo gani? Hapa nakusudia "Adhana" Sasa ww, umefanyaje hapo??? Kumwambia mtu ajiunge na kikundi pacpo na "Wito wa kikundi "!!!!?

    • @johnmatiko2596
      @johnmatiko2596 5 ปีที่แล้ว

      @@ussikhamisussi4882 hapo umesema ukweli huyo shehe anawainvite tu watu.

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 5 ปีที่แล้ว

    Muisilamu kukubali yesu alikufa na kufufuka sawa sawa na police na bange

  • @savege-zh8yk
    @savege-zh8yk 5 ปีที่แล้ว

    Sasa kwa nini Yesu ka Batizwa?
    Na ukisha kufa utakuwa Mchristo vipi?

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

      Official. 0Savege;Hujaelewa vzuri; Ubatizo wa Yesu ni kupokea taratibu/ sheria ndogondogo ambazo mtanguliwa wake ambaye ni Yohana Mbatizaji(Nabii Yahya As) alikuwa nazo, ni sawa katika uongozi wa kawaida mfano; Mwalimu Nyerere aliacha legacy(urithi) ambao waliofuata baada ya yeye kuziendeleza au kuziacha kabisa baada ya kupimwa na kuonekana zina manufaa au hazina kwa wakati ili kutumika au kutokutumika. Kusema baada ya kufa unakuwa mkiristo is just anazungumzia "Roho" maisha baada ya kufa kwamba sisi sote tunakufa kwa hatua ya kwanza then kwa vile roho haifi inabaki kuwa hai milele ndipo anapomaanisha kuwa Yesu Kristo yupo miele hajafa kwamba yupo hai kiroho yaani kiimani.

  • @ezekielshartiel9589
    @ezekielshartiel9589 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapana hapo umenidanganya kwenye kuzaliwa kwamara ya pili

  • @maspro6294
    @maspro6294 5 ปีที่แล้ว +1

    Nabii feki fala wewe nenda kalime mtoli kwenu bukoba

    • @sheikhibrahimabdullahikeny1509
      @sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 ปีที่แล้ว

      ⛏⛏⛏⛏
      JIUNGE NA GROUP LA KUBAINISHA UPOTOFU WA HAMZA ISSA
      _________________
      chat.whatsapp.com/GcJe3ZywhuAFz5SAJgAUSg
      __________________

    • @mansixgooseman8915
      @mansixgooseman8915 5 ปีที่แล้ว

      Mrembo sana wewe ul laini

  • @salimmotila3887
    @salimmotila3887 5 ปีที่แล้ว

    Mimi kama muislamu siwezi kukubaliana na wewe kuwa Yesu alisulubiwa na kufa msalabani sababu upende ukatae quran imeeka wazi kwamba hakusulubiwa wala hakufa,And Allah is not crazy to have said so, wacha kupoteza watu kumbuka Allah amesema atawaadhibu vikali wanaozikadhisha Aya zake

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว +1

      Salim Motila; Tatizo lako uelewa wako ni mdogo, kuna vtu ukieleweshwa kdogo tu utakubaliana na yeye, ngoja nikupe muangaza kdogo nadhani utapata picha; Hapo zama hizo za Nabii Issa(AS) ambaye ni Yesu, Mayahudi walikuwa wanatumia TORATI kama ni katiba ya kutolea hukumu zao sasa, kwa makusudi yao walilazimisha kumchukua Yesu na kumfunga mahali kuharamisha vitimbi vyao kwa kumsulubu(yaani kumtesa) katika ile sehemu ambayo kwa uhalisia neno "Msalaba" likatokea hapo baada ya Mayahudi kumfunga katika miti au mbao 2 kwa ajili ya kumpa mateso(sulubu au kumsulubu) kwa hiyo, kutokana na sheria ya Torati; "Yeyote anayesulubiwa(anayeteswa)mpaka kufa katika msalaba(mahali alipopata mateso)basi amekufa kifo cha laana" wakaamu kuutangazia umati wa Kiyahudi hivyo kwa lugha ya sasa tunaita "Propaganda au Uvumi" ndipo Mungu(SW) akashusha ata inayotafsirika kama "Hawakumuua wala hawakumsulubu bali tuliwafananishia tu"-Yaani kukata ile Propaganda yao kwa kuwajibu hawakufanya hivyo bali aliwafananishia ionekane kama kweli lakini si kweli-ndio maana ya uvumi.

    • @salimmotila3887
      @salimmotila3887 5 ปีที่แล้ว

      @@ussikhamisussi4882 Huo wako ni uongo haupo kwenye quran wala hadith za mtume saw,Toa andiko katika quran ambapo Allah anasema Yeso alisulubiwa na akafa msalabani wacha hadith zako na historia zako za uongo

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

      @Salim Motila; Bado hujaelewa nadhani, Mungu anapokata kitu popote pale sisi waumini wa kweli tunachotakiwa ni kukikataa hicho kitu. Qur-an inaposema; "Hawakumsulubu wala hawakumuua bali tuliwafananishia tu" Hii ina maana, Mungu mwenyewe anajibu lile tukio zima walilolifanya Wahayudi kwa Nabii Issa(AS). Nakupa mfano; tunalazimishwa kutia udhu au kutayamam kabla ya kusali kwa sababu ya kujiondoa katika najsi sasa, tunapojitoharisha tunakuwa tohara kwa kuondoa uchafu maana yake ni kwamba, umejitakasa yaani umekuwa msafi kiimani na ndio kilichotokea kwa Nabii Issa(AS), Mungu amemtoharisha/amemtakasa hata tafsiri yake inasema hivyo amemtakasa kwa ule uvumi/kufananishiwa kwamba amekufa nankusulubiwa na kuonekana ni mchafu asiyefaa kwa Mungu wake sasa, tohara hiyo ndio tafsiri ya kukataa lile tukio na lenyewe na kuelewa kuwa Mungu amekataa hawakumsulubu nasi tunatakiwa kukubaliana na hilo lakini, baada ya Mungu mwenyewe kumtakasa kwa lile tukio walilolitengeza ili jamii ya Kiyahudi imeliona kweli amelaaniwa.

    • @salimmotila3887
      @salimmotila3887 5 ปีที่แล้ว

      @@ussikhamisussi4882 Ama kweli wewe ni mfuasi sugu wa hamza,unayoyasema yako kwenye quran au hadith,tafsiri za mtume saw au wanazuoni au ni ya Hamza sheikh wako cause quran suratil nisai 156 mpaka 158 ipo wazi hawakumuuwa wala hakusulubiwa kipi usichokielewa hapa kwa quran,nipe andiko katika quran inayosema alisulubiwa na kufa msalabani nifuate bila hivyo nakuomba wachana na Hamza atakuingiza motoni cause yeye n mkristo ambaye amevaa vazi la kiislamu,mche Allah ndugu

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

      Salim Motila; Tukatofautiana uelewa tu lakini, ninachotaka kukushauri tu ndugu yangu, Qur-an katika tafsiri ina mafumbo sana ambayo inahitaji kuwa na fahamu ya ziada kuielewa kisahihi. Hiyo tafsiri unayosema hapo itazame mpaka mwisho inasemaje... "Bali au lakini tuliwafananishia tu"-Tafakari hii kama ni mmuelewa mzuri utaniambia wapi Mungu(SW) aliwafananishia Mayahudi kuona huyu ni Yesu? Najaribu kukupa muangaza mwengine; Kitu kuitwa kufananishiwa ina maana, ni mfano wake sasa kusudi la Mungu kusema "bali tumewafananishia tu" ni lipi??? Je ni kwamba Mungu ni kuonesha kwamba lile tukio lote la Wayahudi kumsulubu na kumua kwamba "SI KWELI" na sisi waumini tunatakiwa kutakaa hilo lakini tunalikataaje?? Majibu"Kumbe lile tukio Wahayudi Walilifanya kweli lakini kwa rehma za Mungu akamuokoa Nabii Issa(AS) kwa kumfufua na akamuinua na je kama unaamini hakufa sasa, yupo wap??? Jua tunamini kiroho yaani kiimani na si kwa macho yetu na hivyo ndivyo inavyokusudiwa. Hata kwenye hili tukio machoni mwao hawa Wayahudi walijua walimsulubu na kumuua Nabii Issa(AS)lakini kiimani na kuukataa uongo huo Mungu mwenyewe akaupinga nasi tunakubaliana kabisa kama hawakumsulubu wala hawakumuua lakini tendo hilo Wayahudi kwa imani zao wanaona walifanikiwa lakini ndio nikasema ni uvumi maana yake ni uongo na Mungu mwenyewe ndio wa kwanza kuupinga huo.

  • @johnmatiko2596
    @johnmatiko2596 5 ปีที่แล้ว

    Acha kudanganya watu, YESU alibatizwa kwa maji na yohana alibatiza watu.
    na lazima kubatizwa ili kufwata yesu kwa kukiri na kutenda,Nabii Roho ya nabii Eliya ilikuwa ndani ya yohana mbatizaji na wala sio wewe unayedanganya watu

    • @sheikhibrahimabdullahikeny1509
      @sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 ปีที่แล้ว

      ⛏⛏⛏⛏
      JIUNGE NA GROUP LA KUBAINISHA UPOTOFU WA HAMZA ISSA
      _________________
      chat.whatsapp.com/GcJe3ZywhuAFz5SAJgAUSg
      __________________

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

      John Matiko; Tatizo lako ni kwamba ule upotoshwaji wa video ya Yesu na yale yote yaliyopotoshwa katika Biblia ndio wengi wenu mmeyakariri kama yalivyo ndio maana, mnakuwa wazito kuyaelewa masuala yenye uhalisia, jifunze kwanza usiwe umekariri vtu ambavyo hata ww mwenyewe umeanza kupata picha hivi karibuni kama kumbe yule Yesu wa video na kwenye michoro mbalimbali si yeye kama mweupe namna ile.

    • @johnmatiko2596
      @johnmatiko2596 5 ปีที่แล้ว

      @@ussikhamisussi4882 Mimi nasoma maandiko matakatifu,nafwata biblia inavosema naamini kupitia biblia kila andiko katika biblia naliamini.

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

      John Matiko; Hilo ndio kosa kubwa ambalo wengi wanalifanya, biblia imeingizwa au zimeingizwa uongo mwingi sana na Wayahudi kwa ajili ya matakwa na matamanio yao. Nakupa mfano ndani ya biblia ambayo ww unasema unaiamini kwa kila kitu, kusema "Yesu ni Mungu" hili ni moja tu ya kosa au uongo mkubwa katika biblia.

    • @johnmatiko2596
      @johnmatiko2596 5 ปีที่แล้ว

      @@ussikhamisussi4882 ukubali ukatae YESU KRISTO ni mungu
      Yohana 1:1-
      Hakuna neno lolote kwenye biblia la uong,labda Qurwan
      Haiwezekani kuamini baadhi ya maneno kwenye biblia and then mengine usiamini.

  • @joramulaurent8483
    @joramulaurent8483 5 ปีที่แล้ว

    Halafu lazma ujue nini maana ya ubatizo

    • @yohanampangule3891
      @yohanampangule3891 3 ปีที่แล้ว

      Neno la Mungu Ni sharti likukomboe kwanza ndipo uweze kulihubiri au kufundisha wengine...BADO ndugu Elias hujakombolewa na neno la kristo hivyo Basi Huwezi kufundisha Maana utakuwa mwalimu kipofu.,

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 ปีที่แล้ว +1

    Yani hili jamaaa halijui kitu halijui uislamu wala ukristo lipo tu au xhoga hili mm nna mashaka nalo

  • @maspro6294
    @maspro6294 5 ปีที่แล้ว +2

    Hili nabii feki ukiliangalia unajua Lina ugonjwa wa akili anatakiwa akapimwe akili yako Lina cheka kama ndondocha

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

      Masoud Ghafri; Acha kebekhi, una uelewa mdogo ndio sababu humfahamu makudio yake labda nikusaidie wap unakwama kumuelewa huyu???

    • @mansixgooseman8915
      @mansixgooseman8915 5 ปีที่แล้ว

      Masoud unaolewa lini nije

  • @muslihmohd9420
    @muslihmohd9420 3 ปีที่แล้ว

    "Kwa maana jinsi hii mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanae wa pekee"
    Me nataka wakristo mnambie huyu mwana wa pekee ni nani...??

  • @Kisaboleonards
    @Kisaboleonards 4 ปีที่แล้ว

    Endelea tujifunze maana imeandikwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maalifa

  • @joramulaurent8483
    @joramulaurent8483 5 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye ubatizo umechemsha nenda darasani

  • @MAHERO-MOBILE
    @MAHERO-MOBILE 5 ปีที่แล้ว

    Je,nni maana ya Ubatizo,maana Yohana Alibatiza na Yesu alibatizwa tena kwa Kuzamishwa,naomba ufafanuz juu ya hili.

    • @ussikhamisussi4882
      @ussikhamisussi4882 5 ปีที่แล้ว

      MaheroTechTZ; Hizi ni miongoni tu mwa sheria ndogondogo ambazo alizifanya Yohana Mbatizaji kama mtangulizi wa Yeu Kristo ni sawa na kusema "Legacy-urithi wake" ambazo mbeleni kwa kutegemeana na muda na ufafanuzi wa mambo ikaonekana hazina athari kubwa zikiachwa kwa mfano; Mwalim Nyerere alikuwa na legacy zake na alipoacha madaraka aliyemfuata kiutaratibu anatakiwa kuzipokea zile legacy au taratibu zake lakini kulingana na muda na mageuzi ya utawala ndipo unapoamua kuzinagua zipi hazina athari kuziacha na zipo zina umuhimu kubakia kuendelezwa ndicho kilichofanyika kwa Yesu. Batizo la maji ni nadharia ya kiimani tu kuonesha na kukubali kwamba kuna uumbaji au uhai ndani ya maji lakini pia kuonesha kuna maisha mengine katika ulimwengu wa kiroho.

    • @hermanricci
      @hermanricci 5 ปีที่แล้ว

      Ubatizo maana yake ni kuzaliwa Mara yapili,utauliza MTU mzima anawezaje kurudi tumboni mwa mama yake na kuzaliwa tena, kuzariwa Mara ya pili ni kuzika au kuachana na matendo yazamani yasiyo mpendeza Mungu na kuanza kufanya matendo yanayompendeza Mungu,kwahivo MTU anapozamishwa kwenye Maji mengi {ubatizo} maana yake nikua MTU ameamua kuuzika uovu wake na kuamua kumfuata Mungu

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 5 ปีที่แล้ว

    Katika ubatizo hapo umechemka

  • @hassammohammed5046
    @hassammohammed5046 3 ปีที่แล้ว

    Ngoja nikamsikilize tundu lissu

  • @nenolakristomaisha.5611
    @nenolakristomaisha.5611 5 ปีที่แล้ว

    UTAJICHANGANYA NDUGU YANGU

    • @stephenkazungu9941
      @stephenkazungu9941 2 ปีที่แล้ว

      Yesu ni wa wote duniani bila Yesu utaenda motoni

  • @muslihmohd9420
    @muslihmohd9420 3 ปีที่แล้ว

    Usidanganye wasiojuwa wewe,yesu hajafa kama una ushahidi niletee