🅻🅸🆅🅴 WAFANYABIASHARA WA SIMU 2000 WANATOA TAMKO LAO MUDA HUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 161

  • @aloycesingano1352
    @aloycesingano1352 หลายเดือนก่อน +9

    Yani ipo siku ipo siku nasema tutaona sisi watanzania wengi wamejaa chuki kwa sasa na wana tokwa na damu kwenye majeraha ya mioyo ya watanzania wengi ipo siku mungu ataonyesha maajabu yake kwa watoto wa kitanzania wazalendo wengi kuliko walazulma na wenye kutokujali watanzania wenzao moto utawaka kwao MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRIKA MASHARIKI🎉❤

  • @KenedyDesigner
    @KenedyDesigner หลายเดือนก่อน +5

    Dar nzima maeneo ya wazi yamejaa viongozi wanajenga vitu bila kuangalia hata sehemu ya kupumzika

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 หลายเดือนก่อน +10

    Waalikeni Genz from kenya

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia หลายเดือนก่อน +20

    Nawapongeza Sana wafanyabiashara wa Simu2000 mmejibu vizuri kauli za yule mtu

    • @NickyTajiri
      @NickyTajiri หลายเดือนก่อน +3

      Viongozi wa sasa msidhani kama wananchi hawajasoma tunaelimu kulikov nyinyi

    • @charlesmtunda6120
      @charlesmtunda6120 หลายเดือนก่อน

      ​@@NickyTajirippppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp

    • @kaaakwakutuliaa5179
      @kaaakwakutuliaa5179 หลายเดือนก่อน

      wote hawa kenge ni ccm

  • @eunho9529
    @eunho9529 หลายเดือนก่อน +10

    Chalamila ni miongoni wa watu wasiostahili kuongoza hata watoto kwani hana karama ya uongozi.

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham หลายเดือนก่อน +2

    Asanteni mko sahihi ,chalamila hafai kuwa mkuu wa idala yoyote

    • @SuzanGabriel-tp2cx
      @SuzanGabriel-tp2cx หลายเดือนก่อน

      Tena lile ni shetani la mguu mmoja alifai kabisa kuwa kiongozi

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w 22 วันที่ผ่านมา

    Mpo vizur sana Kauli ya kiongozi si nzuri

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa ndio watawala wa nchi hii, mwenye shibe hamjui mwenye njaa. Aombe radhi au naye alikuwa anafanya utani wa Nape.

  • @MungayaLaitayok-mr1gs
    @MungayaLaitayok-mr1gs หลายเดือนก่อน +6

    Ccm imeisha ona nchi hii niyao tu hakuna mtumwine

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k หลายเดือนก่อน +7

    Uko vizuri kiongozi

  • @mgm412
    @mgm412 หลายเดือนก่อน +6

    Nyoosheni maneno acheni kumlembalemba huyo shotiii...hafai kuwa mkuu wa mkoa....period!

  • @user-bp7nb7yp2o
    @user-bp7nb7yp2o หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana mnaakili nyingi hiyo arguments ndiyo inayotakiwA.

  • @JuliusBazil
    @JuliusBazil หลายเดือนก่อน +4

    Viongozi wa soko simu 2000 Road,kwangu mimi nawapa kongole kupigania Haki yenu. Nitawatafuta.

  • @mkomacaroline245
    @mkomacaroline245 หลายเดือนก่อน +5

    Na alipoona wafanya biashara wametulia kimya huku akitukana na kudhalilisha wananchi, alijiona mwamba sana wakati kuna watu wamemzidi kielimu, cheo alichopata kimemzidi uwezo, eti hata mimi juzi tu nimetoka uraiani. Chalamila hapana kabisa kabisaaaaaa, hafai kuongoza watu akaongoze wanyama wasio na akili

  • @givembwilo141
    @givembwilo141 หลายเดือนก่อน +2

    mlikosea siku ile mlitakiwa kuondoka wote alivyoanza matusi😂😂

  • @SalmaMuhammed-u8s
    @SalmaMuhammed-u8s 27 วันที่ผ่านมา

    Chalamila atumtaki ana sifa za kuwa kiongozi ana tukana sana wazazi wetu

  • @ZaharaAmili
    @ZaharaAmili หลายเดือนก่อน +1

    Wehe Mungu wangu simama nasi kwenye kila hatua...badilisha kauli za hawa viongozi wetu wawe niwatu wakusikiliza nawengine

  • @angeltrend897
    @angeltrend897 หลายเดือนก่อน +2

    R.i.p Magufuli😭😭

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 หลายเดือนก่อน +3

    Charminar must gooo

  • @abdullahmkunga6863
    @abdullahmkunga6863 หลายเดือนก่อน +1

    Big up machinga uko vizuri ila viongozi wao kila kitu wanapata bure gari bure mafuta bure nyuma bure wacha aongee atakavyo

  • @helentelemla5623
    @helentelemla5623 หลายเดือนก่อน +1

    Mama tunaomba umtoe Chalamila binafsi ametukera hata tulio nje ya Dar.Watu wanajitafuta kwa sababu yeye anazipata bila jasho ndio maana anadharau walio chini..Mungu naomba uwasadie hawa wamachinga

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 27 วันที่ผ่านมา

    Tutaona vichaa wengi wakiwaviongozi nalimbukeni wa maisha huku viongoziwa watu wakifunikwa funikwa.kama mwanamupotevu.

  • @user-rq4fq4pw4y
    @user-rq4fq4pw4y หลายเดือนก่อน +5

    Mwenyekiti una akili sana, Chalamila ndo aina ya viongozi tulionao, lakini ndo Tanzania yetu hiyo!!

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje หลายเดือนก่อน

    Mungu nimwema wao si wameshiba hawamjii mwenye njaaa

  • @fikirigabriel1999
    @fikirigabriel1999 หลายเดือนก่อน +4

    Wananchi ndo mabosi wa mkuu wa mkoa na analipwa mishahara kwa kodi zetu, ana vaa kwa kodi, analala kwa kodi zetu, anaendeshwa kwa kodi zetu na anakunywa bia kwa kodi zetu lakini leo amejisahau na anafikiri yeye ndo boss wetu kwasababu tu yeye ni RC na ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula หลายเดือนก่อน

    Wtz tuwaunge mkono. Wanahangaishwa sana.

  • @UpendoItungi
    @UpendoItungi หลายเดือนก่อน +3

    Kiongozi anatakiwa awaheshimu wananchi wake anaowaongoza haijalishi wako mazingira gani wanapaswa kusilizwa mawazo yao na sio kukandamizwa ama kutukanwa kitendo hichi kama mfanyabiashara niliumia sana alivyotoa manenoakali na ya matusi anapaswa kuomba msamaha kabisa , aige viongozi wengine kama makonda arusha anavyofanya sio vibaya kusoma jinsi wengine wanavyofanya lugja ya matusi sio ya uongozi hata kidogo

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @DanielArafa-w4h
    @DanielArafa-w4h หลายเดือนก่อน +4

    Maneno aliyoyatoa Chalamila kwa wamachinga si ya kiungwana kabisa. Yeye ni kiongozi hivyo anatakiwa kujua jinsi ya kuongea na anaowaongoza huku akzingatia kuwa hao anaongea nao wana maumivu au furaha moyoni. Wamachinga wa simu 2000 wana maumivu moyoni halafu yeye anakuja kuongeza kwa kutoa maneno yanayoonesha kuwa hawatambui kama vile ni wavamizi. Hii si haki Chalamila umewakose wamachinga wa simu 2000 jirekebishe

    • @rabsonchisumo6640
      @rabsonchisumo6640 หลายเดือนก่อน

      Yule anakurupuka tu ajielewi kalewa madaraka

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 หลายเดือนก่อน +3

    Mama mfukuze chalamila kesho

  • @user-rq4fq4pw4y
    @user-rq4fq4pw4y หลายเดือนก่อน +2

    Ni sawa na mawaziri na makonda wanaokaa Vikao na kutengua maamuzi ya mahakama ama kutoa haki kwa watu walioshindwa kesi mahakamani!!! KUNA WATAWALA NCHI HII HAWAHESHIMU MAHAKAMA!!!

  • @leonardramiye8207
    @leonardramiye8207 หลายเดือนก่อน +2

    Chalamila must go

  • @oscartalljembemgonya3528
    @oscartalljembemgonya3528 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu chalamila atumbuliwe akaimbe mapambio huko kanisani hatakiwi kabisa kuwa kiongozi.

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 หลายเดือนก่อน +1

    Nchi hii viongozi mnatuona manyani Magufuli hakuwa hivi nchi hizi ni yetu wote lakini wanao ifaidi ni wachache wanao lindwa na majeshi yetu kwakuwa wanajisahulisha kwamba yanayo tokea kenya yanaweza kutokea hata Tanzania vitisho vina mwisho moyo kuchoka mtu ana fanya lolote uongozi mnaatuzarau sana

  • @FestoLalata
    @FestoLalata หลายเดือนก่อน

    Mwenyekiti siyo kuomba kauli za mhe Chalamila nimbaya sana,viongozi wetu wakiwa madarakani wanajisaha wala hawana habari na wanchi wahali ya chini,mala hamieni bulundi mala kazi ya umachinga siyo baba yenu mala police watapiga pushap migongoni mwenu

  • @fikirigabriel1999
    @fikirigabriel1999 หลายเดือนก่อน +2

    Serikali iliangalie kwa mara nyingine hili suala la kuwaondoa wafanyabiashara pamaja na kituo cha daladala Simu 2000 na kuwapa Dart eneo hili kwa ajili ya kujenga karakana.
    Serikali ambayo imejidhatiti kuwatumikia wananchi na inayowajibika kwa wananchi haiwezi kufanya maamzi ya namna hii labda kama ni serikali isiyojali na isiyowajibika kwa wananchi ndo inaweza kutekeleza mradi wa kuwaondoa wafanyabiashara na kituo cha daladala na kujenga karakana la DART.

  • @MarksevenTz
    @MarksevenTz หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Dada kaanza vizuriiii,...ila kamaliza VIBAYAA... Yaan mitano tena ndo nin sasa. Kwahiyo ametoa rushwa kwa Samia! Kwamba Rais kumsikiliza mwanainchi wake mpaka ahakikishiwe kwamba atapigiwa kura? Tunawaendeka hawa viongozi kuwajibika.

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 หลายเดือนก่อน +2

    Chalamila anaongea ana Hangover..

  • @rizikiminga3010
    @rizikiminga3010 หลายเดือนก่อน

    Mimi ninavyo jua ni kwamba wanataka kutoa daladala za simu 2000 apo stend ili mladi mwendo kasi iweze kuwa na wateja wengi wa kupanda, kama ni swala la kujenga kalakana mbona maeneo ya kujenge ni mengi sana kwa uwezo wao kwani ndio wameishia apo kufikir😢😢

  • @hamissomary6869
    @hamissomary6869 หลายเดือนก่อน +4

    Ndo tujifunze kuchagua viogozi "hawo ndo viongozi wa serikali ya CCm?

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 หลายเดือนก่อน

    Chalamila acha kulewa madaraka na kujeruhi miyoyo ya Watanzania. Wewe ni mmoja wanaoumia ni wengi. Unatumbukiza kura za mama Samia shimoni.

  • @nshoyachacha3497
    @nshoyachacha3497 หลายเดือนก่อน +3

    Mkuu wa mkoa ni vizuri kujitafakari na kujua kuwa uongozi ni dhamana. Hujachaguliwa na wananchi bali uliteuliwa na Rais. Haya manung'uniko ya hawa wafanyabiashara yana hoja kubwa. Mr. Chalamila ulitumia ubabe kujibu hoja za wananchi. Migomo ni njia pia ya kutoa hoja na matatizo kwa viongozi. Migomo inaruhusiwa kikatiba. Viongozi wanapaswa kutatua matizo ya wananchi na sio kuwatisha na kutumia polisi kama majibu.HAPANA MR. CHALAMILA UMEWAKOSEA WATANZANIA UNAPASWA UOMBE MSAMAHA KINYUME CHA HAPO UNAMUHARIBIA RAISI.
    Kuhusu karakana ya mabasi ni vizuri ijengwe nje ya jiji. Hakuna haja ya kuwahamisha wafanyabiashara ambao wamewekeza baada ya kuhamishwa kutoka Ubungo. HUO NI UONEVU.

  • @user-sb7lz9xp4v
    @user-sb7lz9xp4v หลายเดือนก่อน +7

    Kuna sehemu nyingi sana za wazi zakujenga hiyo karakana yenu acheni kuwasumbua hao machinga mmeshawaamisha sanaa kuweni na utu na wao wanajitafutia rizki za watoto wao na ndugu zao kama nyie wengine mnavyojipatia vipato kupitia hizo kodi zao mnazozizarau

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry หลายเดือนก่อน +1

      Wao wasubiri kipindi cha uchaguzi.

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b หลายเดือนก่อน +4

    Ccm oyeee nilitabili machinga wataleta madiliko siyo wakina zito wara mbowe tungeni sela za kuendesha nchi tuna sela za wakulima wafanyakazi wafanyabiashara kuwe na taratibu na uvamizi wa aridhi huluma ya ccm ndio ujinga wao

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani jinsi simu kunavyopendeza baada ya miaka mingi ya juhudi za watu kuna watu wanataka kubomoa?

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 หลายเดือนก่อน +3

    Chalamila lopolopo sana mwenzake makonda amuige utendaji wake

  • @fredimtaze9982
    @fredimtaze9982 หลายเดือนก่อน +5

    🇹🇿🇹🇿ifike hatua tuji tambue sio kuonewa onewa tu

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 หลายเดือนก่อน +2

    Mama watu tunanjaa sana pesa haitoshi

  • @nicolasmsaki5987
    @nicolasmsaki5987 หลายเดือนก่อน +3

    Chalamila aliongea kwa hasira pia ajawawihi kufanya biashara biashara ili ilete matokeo inataka masaà 10000ni sawa na miaka 5 kiongozi atakiwi kutumia hasira kuongoza watu uongozi ni cheoo tuuu hekima busara itumike huooo mradi ukifuatilia sio leo wala kesho kutwa chalamila uongoz ni dhaman tu mtunze na jitunze wafanyabiasha kujiamin kumeanza kujaaa

  • @deusurio9056
    @deusurio9056 หลายเดือนก่อน +3

    Mfike mahali mjue Hawa viongozi wa nchi hii hawamthamini mtu yeyete, mnatakiwa muandamane muweke mabango ,rais ayafahamu

  • @jumannentimizi9000
    @jumannentimizi9000 หลายเดือนก่อน +1

    HUYU MAMA AU DADA ANAESEMA MITANO TENA HIVI ANAJITAMBUA KWELI? AU NIMATOPE TU NYINYI NDIO MNARUDIDHA NCHI NYUMA HIVI RC ANATEULIWA NANI HIVI INAJITAMBUA KWELI WEWE DADA AU MAMA HUYU MAMA AU DADA NI MATOPE TU

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 หลายเดือนก่อน

    Nadhani :Mkuu wa Mkoa huyo Aliisema akiwa na Kwiki kwiki Akatibwe.kuna Shida mfumo ktk Ubongo.Ajirekebishe.

  • @hamisijuma3276
    @hamisijuma3276 หลายเดือนก่อน +1

    RIP JPM

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 หลายเดือนก่อน

    Karakana katikati yaa Mji waweke Kibahaa..Nimeona kitu kikubwa kwa huyu DOGO ALIYEVAA NYEKUNDU.

  • @HaryPoter-zw7vr
    @HaryPoter-zw7vr หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa mkoa Hana Hana adabu, CHALAMILA ziiiiiiiiiiii kabisa.

  • @DullahNyoni-cr2fu
    @DullahNyoni-cr2fu หลายเดือนก่อน +3

    Karakana zinakaaje kati ya mji?

  • @user-jl5uh1xq9f
    @user-jl5uh1xq9f หลายเดือนก่อน +2

    Ccm awafai kutuongoza

  • @christophershuma623
    @christophershuma623 หลายเดือนก่อน +3

    Nani mwaajiri wa hawa viongozi wanaegemea dola tuliowajiri sisi kukadamiza raia.

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 หลายเดือนก่อน +5

    Uongozi wa kimabavu

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 หลายเดือนก่อน

      Na nikauli ya kishetani,ya kijinga na imetolewa na mtu mpuuzi tu.

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 หลายเดือนก่อน +1

    Kaul,za,viongoz,kwa,sasa,ni,hatari,sanaa

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      Tumemsikia kiongozi mwingine huko kando ya ziwa. Ni hatari sana

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd หลายเดือนก่อน

    dah Yani mpaka roho Yang imeuma mno chalamila pombe sana pengne alikua kalewa ila hapa pana tosha akafanye kazi yake ya ukulima wa nguzo

  • @wokovumwazembe3505
    @wokovumwazembe3505 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mna Hera mpaka mlimpa na hera mkaosha na gari kumbe mko vizur nenden eneo mlilopangiwa

  • @PatrickBoniphace-po9kt
    @PatrickBoniphace-po9kt หลายเดือนก่อน +1

    Chalamila amejaa laana

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham หลายเดือนก่อน

    Wewe wa usafirishaji una kauchawa ndani yako,mitano na biashara vinaingilianaje

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv หลายเดือนก่อน +3

    Police wapige pushapu juuu ya migongo yetu😂😂 jamani

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u หลายเดือนก่อน

    MH. RAIS SAMIA....WATANZANIA WENGI WALIKUAMBIA NA KUKUSHAURI KUWA HUYU CHALAMILA NI 'BOMU'....MKOA WA DAR NI MKUBWA NA MZITO KULIKO ELIMU, BUSARA NA HEKIMA YAKE CHALAMILA!

  • @HABARIKATV-q3w
    @HABARIKATV-q3w หลายเดือนก่อน +1

    R.I.P MAGU

  • @mpendamema3694
    @mpendamema3694 หลายเดือนก่อน +1

    Finya Umefanya vema mussa wacha waseme we ni kada wa cdm ✌️ inject

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 หลายเดือนก่อน

    kusikia kwa kenge ni mpaka damu zitoke masikioni ,hapo ukiangalia wote mna kadi za ccm ,ilitakiwa mchome kadi za ccm hadharani hapo

  • @oswaldbukuku2776
    @oswaldbukuku2776 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie wa machinga mlishindwa kutoka pale na kufanya kama kenya

  • @godfredkimaro3292
    @godfredkimaro3292 หลายเดือนก่อน

    Nyie wanafiki wafanya biashara wakigoma nyie mnasema hamjapenda kuleni chuma icho.

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 หลายเดือนก่อน

    Duu alirudia tena kwa wafanyabiashara sokoni kariakoo eti hapa c kwa baba zenu na asilimia kubwa kauli ya MH raisi John Josef magufuli tutamkumbuka bado machungu

  • @godfreyfrugence4176
    @godfreyfrugence4176 หลายเดือนก่อน

    Huyu mkuu wa mkoa hana sifa ya uongoz rais samia suala hili angeliangalia kwa jicho la pili vile vile hawa viongoz kwann hawaigii mfano wa makonda wakat mwingine inabidi wajifunze kupitia viongoz wengine

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 หลายเดือนก่อน +1

    niliona clip ya Chalamila akiwadhalilisha wananchi.Nikajiuliza kwa nini hakutokea mwanamme mmoja akamtupia yai bovu machoni.Enzi za akina Chalamila na Nnape Nauye zimepita.Samia na CCM mnajichimbia kaburi kwa kuendelea kuwakumbatia hawa viongozi. Samia..fyekelea mbali watu hawa.

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 หลายเดือนก่อน

    KABISA. KAKOSEA SANA KWA KAULI HIYOOO NI MBAYA SANA. MIAKA 3 NOOO SIO KAURIII NZURI. TUSINYANYASANEEE JAMANI. HAPO NI KWETUUU NINI VIONGOZII WANAFANYAAA. NI UNYAMA KABISA

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc หลายเดือนก่อน

    Chalamila,Napenda sana Lakini sulala Jmosi Naomba msamehe Kwa kauri za vitisho na dharau Kwa wananchi,Amekosa sana

  • @shd12m55
    @shd12m55 หลายเดือนก่อน +1

    Hata nyie msipo sema kuhusu Magufuli basi hata mawe yatasema😢

  • @GraceDeo-g1n
    @GraceDeo-g1n หลายเดือนก่อน

    Bongo hakuna viongozi Kuna vibaka sema wabongo nimanyumbu ht hawajui kinachoendelea

  • @neemageorge7082
    @neemageorge7082 หลายเดือนก่อน +1

    RC chalamila sio kiongoz Bora tunaomba Rais amhamishe mara moja akaongoze ngombe hana hekima ya kuongoza watu pia na kuidhalisha selikal yetu tukufu inayoongozwa na mama etu

  • @hamisimkoma7380
    @hamisimkoma7380 หลายเดือนก่อน +3

    Chalamila hana hekima anahisi cheo kile ni cha familia yake! Hafai hata kuitwa Baba wa familia kwa utomvu ule wa adamu dhidi ya wazee

    • @charleslukumai7875
      @charleslukumai7875 หลายเดือนก่อน

      Umoja wenu nguvu yenu. Siyo kwenu tu hata wakati wa Wamaasai tungeunganisha nguvu.

    • @hollymore4904
      @hollymore4904 หลายเดือนก่อน

      Bora umewaambia.. wataelewa taraaaatib ​@@charleslukumai7875

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 หลายเดือนก่อน

    Chalamila sijui wamemtoa wapi kama dishi imeyumba hivi yuko sawa kweli MH rais huoni c busara kutuletea mtu ambae anaonekana kabisa umeme mdogo kwani lazima afanye kazi mtoe kama hakuna mtu unaempenda kwa dar baasi itabidi uteue tu mwingine hafai hata kuongoza family ya watoto 3

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 หลายเดือนก่อน

    Kwanini HASA nchini kweri kimetokwa??. Kunyanyasa WATANZANIA WENZENUUU. KISA NI VIONGOZIII ACHENI KUNYANYASA WATU

  • @namaanwilson6467
    @namaanwilson6467 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @chancesholdan342
    @chancesholdan342 หลายเดือนก่อน

    mtasubiri sana

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 หลายเดือนก่อน +1

    Dada wa mwisho ndo kaharibu kila kitu eti mitano tena pfuuuujj

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq หลายเดือนก่อน

    Matusi hayo kupiga pushap tena mgongoni mwa mama zake

  • @BIGCHENDREADLOCKS
    @BIGCHENDREADLOCKS หลายเดือนก่อน

    Must go

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 หลายเดือนก่อน

    Tutmkumbuka JPM pamoja na mapungufu yake kama binadamu.

  • @asibwenemwaipopo4863
    @asibwenemwaipopo4863 หลายเดือนก่อน

    Ushauri: 1. 20:13 Dart wahamishe mrafi wao eneo lingene lenye uwazi kama Kibaha. 2. Mbadala. Serikali iwajengee sehemu nyingine yenye wateja kabla ya kuwatawanya.

  • @user-hu8dt4se8w
    @user-hu8dt4se8w หลายเดือนก่อน

    Kahudum mbeya Kwa muda gani na Kagera Kwa muda gani ?
    Haoni sasa kama office ya mkuu wa mkoa nnchi sio nyumba ya baba yake Wala mama yake ?? .
    Najee government offices hakuna wazee ??
    Watu wa weuzi mpooo🎉🎉 ??
    Lakini tusimlaumu sana Alisema yeye kalelewa na bibi yake.😂😂

  • @ChazGoodluck-g3q
    @ChazGoodluck-g3q หลายเดือนก่อน

    Kikubwa ni ajitathimini

  • @joshuamwalusambo2391
    @joshuamwalusambo2391 หลายเดือนก่อน

    Chalamila ninamuheshimu saana Lakin sikuile kali alizozitoa nilimshusha thamani hafiz kua kiongozi wa zama hizi za wasomi wengi na wajanja wengi Casio na ajira ,tunaitaji kuongozwa sio kubulutwa

  • @user-mi8bw4gv4c
    @user-mi8bw4gv4c หลายเดือนก่อน +1

    Endeleeni kuwalamba viatu Ni washenzi tu

  • @user-dj3nf1wi2k
    @user-dj3nf1wi2k หลายเดือนก่อน +1

    Nitaenda mm nina watt watano mm ndio baba ndio mama nategemea mawasiliano

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 หลายเดือนก่อน

    Hafai kuwa kiongozi hata nusu saa

  • @user-dj3nf1wi2k
    @user-dj3nf1wi2k หลายเดือนก่อน +1

    Ni.emkumbuka mtetezi wa wanyonge 😢

  • @emanuelngonde6979
    @emanuelngonde6979 หลายเดือนก่อน

    Hizo ni kauli za watu walioshiba

  • @onesmolwambano9349
    @onesmolwambano9349 หลายเดือนก่อน

    Uyu ni MAGOMA WA SIMBA 😂😂😂😂

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc หลายเดือนก่อน

    Tatizo la Ubungo ni Mbunge,Serikali Haina shida

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 หลายเดือนก่อน

    Ilipaswa aje mbele yenu kuwaomba mshahara, Kuna watu wanajisahaulishaaa