Siku hizi sitazami ata jua kali naangalia tu kazi za makonda adi raha Sana mungu akulinde kabisa, mwakan gombea urais tutakupa baba, mie sijui kwann utekelezaj wa mahakama haifanyi kazi wanaweza ata kuomba ufe ili waishi kwa dhulma
Makonda mm nikuombe tuu baada ya rais samia kumaliza mihura yake yote jiandae kwenye kiti chako cha urais na sio hapo ulipo hongera sana kwa kazi yako zaman ulikuwa wap?
Siku hizi sitazami ata jua kali naangalia tu kazi za makonda adi raha Sana mungu akulinde kabisa, mwakan gombea urais tutakupa baba, mie sijui kwann utekelezaj wa mahakama haifanyi kazi wanaweza ata kuomba ufe ili waishi kwa dhulma
Nakuunga mkono na miguu Yani nakuunga mwili wote
Huyu dada apewe MAUA yake..nimependa UJASIRI wake KATIKA kutafuta haki yake daaa..🎉🎉❤
Saàaaaaafi mkuu Mungu akulinde
Big up mkuu, Mungu akulinde ili uendelee kuangaza kwenye kiza, na palipo na haki itendeke
Mama Yuko vzr
Makonda Sik Moja awe laisi tanzania inatajilika san🎉🎉
Uyoo dada Yuko vizuri maji papo papoo
I salute you makonda 🎉
Makonda ni taa huwezi izima kirahisi, he fits everywhere 🎉
Kweli huyu ni kiboko
Kama Sheria inhekuwepo kwamba wakuu wa MIKOA watatue KERO kwa njia hii..tungefika mbali
Kwely
Kliniki kama hii,wangefanya mawaziri na wakuu wa mkoa wote. Hali ingekuwa vema sana
Sana yan
Yaan ukimsikiliza unachotaka kamishena wez
Makonda ni mwisho
Makonda mwisho wa leri
Makonda kiboko ya wahuni wakisheria
Mama anajiamni mpka rahaa😂🎉🎉🎉
Huyu jamaa makonda hakuna anae muweza Tanzania nzima
😂😂😂😂😂😂kamishna anatoa elimu wote kaeni kimya darasani!!
Hii Ngoma itatulia atawalia watu mb zao sana mana inafaa sana kuangaliwa
🙏🙏
Ila hii nchi imeoza sana jamani Makonda heshma yako
Yan tunauozo wa kutupwa sna dah viongozi hawajui kufanya haki kisa rushwa ndogondogo
JESUS DID IT 🎉🎉🎉🎉
Mungu atakulipa
Dada umemtoa kamishna Jasho
😢
Hongera makonda
LOVE YOU MAKONDA UWISHI MIAKA 100
MAKONDA KIBOKO ASEEEE ❤❤
Makonda mm nikuombe tuu baada ya rais samia kumaliza mihura yake yote jiandae kwenye kiti chako cha urais na sio hapo ulipo hongera sana kwa kazi yako zaman ulikuwa wap?
Citizens are more competent than doer of government isn't.
Apewe ulinzi huyo dada
Sasa izi kelo kwa makonda tu wakuu wamikoa wengine vipi jamani vipi
What 😢😢😢😢😢 dalali nizaidi ya kamshina na hakimu?
Viongozi wa ardhi karatu wilayani wachunguzwe hatasisi kesi tumeshinda lakini hatujapewa haki yetu jmn
Wakuu wa mikoa mingine muige hiii
Kazi za makonda nazifatilia balaa piga kazi baba midomo mali yao acha waseme unaigiza.
mwanamke akiamua kukuchongea utoki.
Hahaha hahahahahaha
Aaaaaaaaaaaa dada wa taifa
Makonda wewe nichaguo la mungu afu anaemtukana tutamshughulikia
Naomba Huu uongozi ufike huku Kenya maanake sisi wakenya ndio tukonashida kulio nyinyi wa TZ
😂😂😂😂😂😂😂niwaombee neema kwa Mungu wazaliwe viongozi kama hawa kwa mamlaka YESU KRISTO WA NAZARETH MWANA WA MUNGU ALIYE HAI
😂😂😂😂 Tutawaombeaa mpatee kama huyo !
Kuna vitu vya ovyoo huwezi dhania vinafanywa
Kazi ya serikali ni kutekeleza hukumu ya mahakama
😂😂😂😂😂😂😂😂kimeuma unakuna kiparangoto😅😅😅😅😅
Hiooo imeenda Mheshimiwa Makonda
Hizi kazi za makonda zinatumalizia bando
yaani Mh.makonda na Mh Jeri silaha mnanimalizia bando na sichoki kujiunga bando kwaajili yenu
Kwel kabisaas
😂😂😂😂😂 Tanzania bana
Shamba limepigwa uchawi.
Dhulmaaaa nyieee
Haki na usawa Tanzania