BREAKING: RAIS SAMIA ATEUA NA KUTENGUA, ZUHURA YUNUS, MAGOTI WATEULIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 123

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 7 หลายเดือนก่อน +21

    Endelea kuteiwa mpaka basi, hongera makonda maana unafanya kazi nzuri ARUSHAAAAA

  • @cyrilkessy3032
    @cyrilkessy3032 7 หลายเดือนก่อน +15

    🎉Zuhura Yunus hongera sana

    • @kiatu
      @kiatu 7 หลายเดือนก่อน

      Amepanda au ameshuka? 😅

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera Petro Magoti

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana kigogo aliyasema haya

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 7 หลายเดือนก่อน +8

    Hongera San zuhura

  • @abakibibi9917
    @abakibibi9917 7 หลายเดือนก่อน +1

    NAKUTAKIA UONGOZI MWEMA MWENYEZI MUNGU AKUONGOZE AKUZIDISHIE FAHAMU KATIKA UONGOZI WAKO MHESHIMIWA MADAM ZUHURA.AMIN

  • @CNM-u3c
    @CNM-u3c 7 หลายเดือนก่อน +6

    Yuko sahihi ❤

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 7 หลายเดือนก่อน

    Dah Tuta i miss sauti nzuri ya Zuhura Yunus, hongera ulifaa pale ulifanya kazi kisomi zaidi

  • @gaudencekalyalya8721
    @gaudencekalyalya8721 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mh Nyongo

  • @AmaniMrema-i3i
    @AmaniMrema-i3i 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera mama yangu....mungu akujalie kwa kila ulifanyalo,,,naomba unikumbuke mimi mwananchi wa hali ya chini,,,,kwa chochote ulichojaliwa....

  • @GeediGeedi-kq9hn
    @GeediGeedi-kq9hn 7 หลายเดือนก่อน

    Lifelong inshaa allah

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 7 หลายเดือนก่อน +12

    Ni kheri niteuliwe na Mungu tu !!Hapa nilipo ninaamani kuliko kuamka sina Cheo cha binaadamu!!!
    Tusali sana Mungu atupe na sisi maisha mazuri na yenye amani na upendo!!

    • @jeffreymgaya7568
      @jeffreymgaya7568 7 หลายเดือนก่อน

      Hapa ajatengulowa bali wamebadilishiwa majukumu tu,,,serikali hii haina majipu

    • @KhalfanShaban-x4x
      @KhalfanShaban-x4x 7 หลายเดือนก่อน

      Una uhakika mungu nae kakuteua ? Au unajipa moyo ndugu😂😂😂😂

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 7 หลายเดือนก่อน

      @@KhalfanShaban-x4x
      Nina uhakika wewe huna uhakika mpaka leo

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@KhalfanShaban-x4x😂😂😂😂hapo Sasa unaweza kuta hata MUNGU hakumbuki Kama yupo hapa DUNIAN 😂😂😂

  • @mariamuyusufumalale8933
    @mariamuyusufumalale8933 7 หลายเดือนก่อน

    Mama angu nakupenda sana kiongozi wetu mungu azidi kukubariki kwenye kazi yako mama chapa kazi duniani hapa huwezi kupendwa na kila mtu tunazidi kukuombea mama angu aamin allahuma amiin inshaa Allah

    • @OmaryZuberi-o3b
      @OmaryZuberi-o3b 7 หลายเดือนก่อน

      Huna kazi ya kufanya mjini apa au?

  • @aminarajabu5795
    @aminarajabu5795 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kabla mkurugenzi hajatulia vzr kuweka maendeleo anateuliwa mwingine kumuhamisha aliyekuwepo, Maendeleo sijui lini huko Shinyanga.

  • @navioma4882
    @navioma4882 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ndo kazi anaeijua

  • @MariamAthumani-zb3tg
    @MariamAthumani-zb3tg 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ nzuli sana

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 7 หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana zuhura yunus❤❤❤ i wish siku moja nionane nae,milard ayo naomba unikutanishe nae🙏🙏🙏

    • @OmaryZuberi-o3b
      @OmaryZuberi-o3b 7 หลายเดือนก่อน

      Ww kama nani ukutabe na muheshimiwa 😂😂😂😂

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 7 หลายเดือนก่อน +4

    Honger San kaka magoti

  • @gaudencemhagama7216
    @gaudencemhagama7216 7 หลายเดือนก่อน +13

    Kila siku kuteua tuu hata hizo teuzi zenyewe hazitusaidii chochote mbona tunaishia kama hatuna serikal vile mi naona kama tunapotexa mda tuu hapa duniani

  • @nixonjohnson4908
    @nixonjohnson4908 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mpaka kieleweke uteuzi kila kukicha kama uchizi vile...

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 หลายเดือนก่อน

    MAMA MWENZANGU HONGERA KWA UTEUZI WAKO LAKINI NILINI UTANIJULIA KWA CHOCHT KILE HUENDA HATA TUMEMALIZA WOTE ELIM YA MSINGI LAKIN SIJAFANIKIWA KUENDELEA.. BARIKIWA RAISI WANGU.

  • @hadijasaid8032
    @hadijasaid8032 7 หลายเดือนก่อน

    Siku moja inshallah natamani kufanya kazi kwenye serikali yangu ya Tanzania.

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nilisema akitoka safari ni kuteua tu wanajenga mwendo kasi gari zimekufaaa hazifanyi kazi mbezi usafiri shida mbagala hakuna hata gari za mwendo kasi wakati barabara imeisha

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 7 หลายเดือนก่อน +5

    Petro Magoti nakukubaali saana Mhe tokea enzi ya Mzee magu

  • @LucyRichard-hn8wg
    @LucyRichard-hn8wg 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera magoti

  • @ShaidaAfati
    @ShaidaAfati 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mama kilasiku anakopa pesa lakini maendeleo hamna mama matembezi hautufai kutuongoza wa Tanzania mnakopa Kwa maslahi ya kikundi flani makonda kazi njema

    • @mrmahmoud1278
      @mrmahmoud1278 7 หลายเดือนก่อน

      pakikopwa mnapiga kelele pasipokopwa mnaliaHamna jema

    • @OmaryZuberi-o3b
      @OmaryZuberi-o3b 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@mrmahmoud1278kwan nani alikwambia tunataka rais akope ebu tutolee uchawa apa tunataka maendeleo tu na sio kukopa kopa bila msingi mfuu

    • @mrmahmoud1278
      @mrmahmoud1278 7 หลายเดือนก่อน

      @@OmaryZuberi-o3b Kwani wewe nani amekuambia kua tunataka raisi asikope? huo uchawa ndio unaokufanya utoe hoja zisizo za msingi, hoja je wewe ni chawa wa nani? kama mnataka maendeleo angalieni maendeleo sio visingizio visivyo maana

  • @VumiDavid-lo1cl
    @VumiDavid-lo1cl 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mama yangu muheshimiwa mama samia suluhu mama yangu mzuli hongela kwa kazi nakuomba u nisaidie mtaji mama yangu nakuomba

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 7 หลายเดือนก่อน

      Kwani anakujaua😂😂😂😂😂😂😂 acha nikucheke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 7 หลายเดือนก่อน +1

      Unafki tu huna lolote unajifanya unampenda kumbe njaa TU mama angalia Sana watu Kama hawa ndiyo wabaya kabisa Bora hata mm na kwambia ukweli unazingua Sana mama😂😂

    • @diva_20162
      @diva_20162 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@deogratiusyudatadei5658njaaa mbaya sana asikuambie mtu

    • @diva_20162
      @diva_20162 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@khadjamhozyahahahahaha huyo yuko na njaa sana

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 7 หลายเดือนก่อน

      Acheni ajaribu bahati yake wanapataga mnabaki kutoa macho

  • @mudrick4553
    @mudrick4553 7 หลายเดือนก่อน +2

    bora salama

  • @DAUDIMAHIMBO-hb4sc
    @DAUDIMAHIMBO-hb4sc 7 หลายเดือนก่อน

    Kazi iendelee

  • @haleemahaleema6991
    @haleemahaleema6991 7 หลายเดือนก่อน

    Kazi njema mama

  • @KazunguZabron
    @KazunguZabron 7 หลายเดือนก่อน +1

    MICHAEL SARANGA NYAMSENDA

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 7 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah zuhura hongera Dada

  • @AloyceTz762
    @AloyceTz762 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kayoza hongera

  • @jacobmgao-hi7rj
    @jacobmgao-hi7rj 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mama nakupenda sana ❤❤❤

    • @diva_20162
      @diva_20162 7 หลายเดือนก่อน

      😮😮😮

  • @wardadvaz
    @wardadvaz 7 หลายเดือนก่อน +2

    Magoti hongera km zote

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sielewi mpaka lini

  • @richardbenny156
    @richardbenny156 7 หลายเดือนก่อน +8

    Atajua mwenyewe, Sisi tumemchoka bhana.

  • @KazunguZabron
    @KazunguZabron 7 หลายเดือนก่อน +1

    MICHAEL SARANGA

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 7 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda apewe nafasi ya waziri mkuu hiyo ndio nafasi saiz yake apate kupiga spana nchi nzima

    • @KelvinConorard
      @KelvinConorard 7 หลายเดือนก่อน

      Lini uliona waziri mkuu anatenguliwa

    • @ahmednoor1412
      @ahmednoor1412 7 หลายเดือนก่อน

      Waziri mkuu anateuliwa na rais akiwa mbunge then anapigiwa kura na wabunge apite au la hivyo yuko sawa

    • @KelvinConorard
      @KelvinConorard 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@ahmednoor1412kumbuka akishakuwa waziri mkuu uwezi kumtoa labda uvunje baraza lote la mawaziri

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@KelvinConorardawapi 😂😂😂 majaliwa wamagufuli siyo majaliwa wa Samia nahiyo inaonesha anaogopa kutumbuliwa tu 😂😂😂😂 nahiyo inaonesha kuwa inawezekana tu kutolewa

    • @Mahene-w1l
      @Mahene-w1l 7 หลายเดือนก่อน

      Jamani nyinyi ndio mpo Humo ikulu mnasoma ufanisi wake?

  • @SaidiNgowo
    @SaidiNgowo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kiongozi wangu mkuu wa nchi raisi wetu mama Samia suluhu hassani. mm shida yangu ni mtaji wakufanyia biashara kiasi chochote nitapokea na kukushukuru mama yetu

    • @Tanafa-j9q
      @Tanafa-j9q 7 หลายเดือนก่อน

      Toa no nikutumie mwanangu

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@Tanafa-j9qutakuta kiasi chochote kina anzia milioni Sasa jichanganyee😂😂😂😂

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 7 หลายเดือนก่อน

      Kakope kwenye mikopo ya kausha damu

    • @elishangowi-xr7wg
      @elishangowi-xr7wg 7 หลายเดือนก่อน

      tafuta mashangazi utasagika

  • @wardadvaz
    @wardadvaz 7 หลายเดือนก่อน +1

    Zuhura yunus hongera km zote

  • @Yojusmediagroup
    @Yojusmediagroup 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo Lupa kilolo si alishafariki miezi 4 au 6 iliyopita jaman hii kitaalamu inakuwaje?

  • @AllyDaudiNgoyeji
    @AllyDaudiNgoyeji 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani uteuzi na utenguzi huu wa mara Kwa mara unaofanywa na Mhe. Raisi,Je utawezesha kupatikana uthabiti wa kiutendaji kazi,?
    Mtu anateuliwa Leo,kabla hata hajakamilisha kuzipitia taratibu za ofisi yake mpya,tayari anabadilishwa kazi!
    Je,Kwa taratibu hizi zinazofanyika,mteule atakuwa tayari amesomwa na hivyo kuonekana kashindwa nafasi hiyo mpya ,hivyo kulazimika kuhamishiwa nafasi nyingine,,,?
    Mhe Raisi akumbuke kuwa mtu yeyote atakae mteua kujaza nafasi Fulani asitegemee mteule huyo kufanya "miujiza au mageuzi ya Kimungu" ndani ya muda mfupi ktk nafasi hiyo mpya.Ni lazima kwanza ajifunze taratibu zote humo,hatua Kwa hatua ndipo Sasa ataweza kujua aanze na lipi kwanza nk.Ikizingatiwa kuwa uteuzi huo mara nyingi hauzingatii "taaluma gani" mteule huyo anatakiwa awe mayo ili aweze kumudu madaraka yake mapya.
    Ni Mimi Ally Daudi Ngoyeji wa Itilima,Kishapu,Shinyanga.

  • @Martin-w2l9p
    @Martin-w2l9p 7 หลายเดือนก่อน

    Kuteua na kutengua unaupinga mwingi

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b หลายเดือนก่อน

    Na bado paka mseme no

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 7 หลายเดือนก่อน

    Vipi Salim Kikeke, au yeye ni mwiba

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 7 หลายเดือนก่อน

    Mh.Rais naomba unione na mm

    • @NadyaSamson
      @NadyaSamson 7 หลายเดือนก่อน

      Ukihitajika utaitwa

    • @dilludillu2747
      @dilludillu2747 7 หลายเดือนก่อน

      @@NadyaSamson Sawa

  • @joshuajofrey9832
    @joshuajofrey9832 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ko bi mkubwa akitua nchini kazi yake nikuteua afu anapaa anakuchukua udaktali wake na uprofessor

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 7 หลายเดือนก่อน

    Mama samia malizia miakayako usitafu kama Mandela wasikudanganye hao mafisadi ubakinaheshima

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 7 หลายเดือนก่อน +7

    Ndio maana ubadhirifu wa mali za umma hauwezi kuisha sababu kila anae teuliwa anaingia kwa presha za kuogopa kutenguliwa,na badala yake ana kuwa bize na kuijenga kesho yake ili hata aki tenguliwa kwake ni boma yeee🙆🏽🏃🏽🏃🏽

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 7 หลายเดือนก่อน +5

    Teuzi zinatia kichfuchefu Hakuna kitu uchafu tu

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 7 หลายเดือนก่อน

      Kwako wewe si wote wacha mama afanye kazi yake

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mama yangu nakushauri ikikupendeza Mrudishe Agrey mwanri atakusaidia sana tena huyo mlete dar amsaidie chalamila au mpeleke arusha amsaidie makonda.

    • @jacobmgao-hi7rj
      @jacobmgao-hi7rj 7 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa mwaniri akikaa na chalamila patanoga

  • @user-kr5dp2ip9g
    @user-kr5dp2ip9g 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi sijawahi kuona Rais kuteua watu wenye elimu wasiokua na ajira bali huteua wale wale wenye ajira na kuwabadilishia tu ajira..kwa hiyo wale wasiokua na ajira wanabakia hivyo hivyo..! au huwa inakuaje maana sielewi!!

  • @sabathosamson5381
    @sabathosamson5381 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mama nakuomba mrudishe zuhura ikulu......... Nakuomba mama yangu Zuhura kakosa nn ikulu mama

    • @samwelilazaroTZ2835
      @samwelilazaroTZ2835 7 หลายเดือนก่อน

      Kule kupanda zaidi

    • @daudiayubu4464
      @daudiayubu4464 7 หลายเดือนก่อน

      Kwani Zuhura akiwa Ikulu wewe inakusaidia nini???

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda tu ndo tunamuona ukiteua wengine sijawahi ona kazi zao,ila one day watoto wa maskin watasikika tu njaa zitavozidi watasikika

  • @NassorAlmazruy-bz4or
    @NassorAlmazruy-bz4or 7 หลายเดือนก่อน

    Free Palestine🇵🇸

  • @kiatu
    @kiatu 7 หลายเดือนก่อน

    Rais anateua watu wa chini katika ngazi za utawala. Natamani utaratibu huu uachwe. Yaani anawasimamia vipi?

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kumekucha

  • @elishangowi-xr7wg
    @elishangowi-xr7wg 7 หลายเดือนก่อน

    naulizia hapa kilolo🤣🤣🤣🤣🤣🤣⚰️⚰️

  • @eleonorashirima1604
    @eleonorashirima1604 7 หลายเดือนก่อน

    Wapeni na wototo wetu jamani mama

  • @oneviusonesphory6156
    @oneviusonesphory6156 7 หลายเดือนก่อน

    Kongole Zuhura Yunus

  • @SunlightKimambo
    @SunlightKimambo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Anko magot hongera

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 7 หลายเดือนก่อน

    Endelea mama kuteua na mim labda utanifikia tu.

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 7 หลายเดือนก่อน

    Mh mkuu wa wilaya Wa Arusha hujambadili?! Nilitegemea yeye ndio awe wa kwanza

  • @Tumainimwmbuluma
    @Tumainimwmbuluma 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mama na Mimi niteue basi

  • @AbiaWilliam-s1s
    @AbiaWilliam-s1s 7 หลายเดือนก่อน

    Mmm

  • @paulojohn5504
    @paulojohn5504 7 หลายเดือนก่อน

    mimi paulo sisemi na nyamaza kimya

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 7 หลายเดือนก่อน

    Zuhura siwawahi kumpenda hata iweje apewe vyeo vyoote vyadunia alimshambulia mwenda zake mnooo mbwaaa huyu

  • @ShkiruIsmail
    @ShkiruIsmail 7 หลายเดือนก่อน +1

    mama tusaidie umeme urudi tsh 27000,nasie tupate umeme

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 7 หลายเดือนก่อน +5

    Ndio maana ubadhirifu wa mali za umma hauwezi kuisha sababu kila anae teuliwa anaingia kwa presha za kuogopa kutenguliwa,na badala yake ana kuwa bize na kuijenga kesho yake ili hata aki tenguliwa kwake ni boma yeee🙆🏽😀

  • @ashrona9884
    @ashrona9884 7 หลายเดือนก่อน +6

    Hiy ndio kazi anayoijua na kuzulura tu duniani

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 7 หลายเดือนก่อน +1

      Waonaje uichukuwe wewe hicho cheo cha raisi ulale ukiamka kwako bila kuzurura

    • @fatmaothman4983
      @fatmaothman4983 7 หลายเดือนก่อน

      Yaani huyu mama anaranda wee,, akirudi kuramda,, anamawazo ya kuteua,, hatujui hata anafanya kazi gani naona yupo tu. Haya sisi tunaangalia season episode ya ngapi inaendelea

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 7 หลายเดือนก่อน

      Chuki mpaka kwa Raisi watu wengine sijui vipi!​@@sarahmuhammed6872

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 7 หลายเดือนก่อน

      Wacheni ushabiki na ufala nye anazurura mnatakaa akae ikulu ale alale anatafuta pesa hata Putin anazurura itakua Samia hizi ni chuki tu na mtabaki hivyo hivyo Samia 5 tena mbaka mkimbie shenzi zenu

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 7 หลายเดือนก่อน

      @@fatmaothman4983 endelea kuangaia hivyohivyo but usioongee pumba

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 7 หลายเดือนก่อน

    Badala aja azunguke kwanza tz a2jua anaenda kuangalia waliokimbia nchi

  • @haleemahaleema6991
    @haleemahaleema6991 7 หลายเดือนก่อน

    Tunakuomba utusaidie sisi haki zetu zinapote kuhusiana aridhi tulinunua viwanja tumeshaiza kujenga baada yapo kunatoa mwingine anasema nayeye kauziwa nakuomba unisaidie niweze kuipata haki yangu Kila siku sekari za mitaa Wana waekea tarehe

  • @rashidisalumu3933
    @rashidisalumu3933 7 หลายเดือนก่อน

    mama wananchi wako wa kibaha tuzurumiwa vipande vya viwanja na halmashauri tusaidie masikini sisi hii inch yetu sote

  • @emmanuelakko9014
    @emmanuelakko9014 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu aliyetoka bbt mwehu tu

  • @GraceGoodluck-n7t
    @GraceGoodluck-n7t 7 หลายเดือนก่อน

    Mihata sielewi bwanA ateuwe tu