RC MAKONDA AKIWASHA KWA KAMISHNA | KWANINI UMEKIUKA MAAGIZO YA WAZIRI SILAA |MAMA APEWE HATI YAKE...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 3 หลายเดือนก่อน +6

    Makonda 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪Jeshi la mtu mmoja

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 3 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda you are a young genius 👏

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 3 หลายเดือนก่อน +10

    Vichwa vya wanasheria 10 ni sawa na makonda mmoja

    • @irangamatandura8537
      @irangamatandura8537 3 หลายเดือนก่อน +2

      Sio 10 sema 100 kabsa kwa sababu Tanzania hii ina wanasheria weng sana lkn uozo umekisili

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 3 หลายเดือนก่อน +1

    Duh Makonda shikamoo sana x 100000000❤❤❤❤

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera mtoto wa mjini MAKONDA mama samia Angekuacha msemaji wa chama WANGENYOOKA MAJIZI 😂😂Watu kama hawa wanawekwa katika huongozi kasoma nini tapeli mkubwa

  • @mremaelisenguo
    @mremaelisenguo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hungera Mkuu & mdogo wetu. Kazi unayoifanya ni ya Mungu. Hakuna kuchoka wala kukata tamaa kwa kuwa huyo ni Mungu mwenyewe ndani yako

  • @norbertbaijukya5857
    @norbertbaijukya5857 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mh. Makonda mwenyezi Mungu akuzidishie nuru, afya na baraka njema, uzidi kuondoa uozo uliotanda nchini mwetu.

  • @Devota-mr6ng
    @Devota-mr6ng 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tunashukur raisi kumrudia makonda kumpa nafasi Tena yupo vizuri Sanaa kuongoza

  • @leylaruhabaye9017
    @leylaruhabaye9017 3 หลายเดือนก่อน +3

    Makonda mungu akulinde mdogo wngu akufunike kwa mbawa alizoziumba yy hakuna wakuziziba 💉💉💉 zindano zinawaingia

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ukirudi home watoto watakucheka baba ulikuwa unajichanganya kujibu maswali.

  • @MakameAbdallah-wn3hc
    @MakameAbdallah-wn3hc 3 หลายเดือนก่อน +5

    Choyo chenu ni cha bure mwiteni majina mnayotaka lkn Mhe Makonda amebarikiwa kuwa kiongozi mwenye kipaji cha uongozi amejaliwa akili na ana maono 2030 awe Kiongozi mkuu wa hii nchi

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 3 หลายเดือนก่อน +7

    Makonda nikichwa cha taifa

  • @Kim-xr1yw
    @Kim-xr1yw 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe maisha marefu kaka yngu na akurinde na maadui

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 3 หลายเดือนก่อน +4

    simu zao zichunguzwe hawa wanakura rushwaaa ndio maana hajui afanye nini

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani natamani kugombea kazi ya siasa nimalize watu waovu wote nchi hii

  • @alichengilangwa1361
    @alichengilangwa1361 3 หลายเดือนก่อน +4

    Piga kazi mheshimiwa Mungu awe nawe

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 3 หลายเดือนก่อน +2

    Keshachanganyikawa huyo Afisa kavurugika hao wa ardhi hao Mungu anawaona wapigaji hao, wabane wakakojoe wakalale

  • @user-bg3jj5nw1b
    @user-bg3jj5nw1b 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saf sana makonda mungu akubaliki saana wote wanokutakia mabaya washindwe kabisa

  • @user-jd5ru7dr2r
    @user-jd5ru7dr2r 3 หลายเดือนก่อน +4

    King makonda piga kaz

  • @user-pn7fk7xx5x
    @user-pn7fk7xx5x 3 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda 🔥

  • @daudpatrick1173
    @daudpatrick1173 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo ndo serikali ya samia, kipindi cha JPM angetumbulia mapema.

  • @bukharyally
    @bukharyally 3 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa hafai kuwa hapo

  • @zakayochungwa9707
    @zakayochungwa9707 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kapewa rushwa huyo

  • @loyakanuda2521
    @loyakanuda2521 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kujibishana na kijana wangu makonda ujipange, hongera jembe 😂😂

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kili kosa omba msamaha
    Lekebisha makosa Very Simple
    Tatizo la hawa watumishi hawatakagi kukili makosa 😂😂😂

  • @rashidsaid3538
    @rashidsaid3538 3 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda nimtu nanusu

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 3 หลายเดือนก่อน +2

    na kwanini kunakua na kamishina mmoja tu nmkoa una hekari za kutosha vijana hawana najira

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ila watendaji tunatia aibu sana sana

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 3 หลายเดือนก่อน +5

    Makonda ni mtu na nusu

  • @Kim-xr1yw
    @Kim-xr1yw 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda oyeeeee❤

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hiyokichwa yake inawaza hongotu

  • @boscomwangosi1042
    @boscomwangosi1042 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaokupinga wote ni majizi pamoja na watendaji.

  • @charlesmarco248
    @charlesmarco248 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hyo kafeli mtihani

  • @deniskaguo4698
    @deniskaguo4698 3 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda mtu sn

  • @HeboniBabu
    @HeboniBabu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe wacha na mtoto wamjini mpumbavu wewe mtakoma sana nyau nyinyi lushwatu apo kama mimi mtoto wamjini

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน +2

    HUYO NI MLA RUSHWA NA NI KIBURI NA JEURI HANA HATA HAYA FUKUZA SHENZISTAN HUYO 😂😂😂😂 SURA KAMA ANAKUNYA.

  • @user-tz8hj1sd5o
    @user-tz8hj1sd5o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Magufuri's Son Makonda

  • @agnessikalangwe2463
    @agnessikalangwe2463 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nikuku bali

  • @saidramadhan3212
    @saidramadhan3212 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂