ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MZEE PINDA AMFICHULIA RAIS SAMIA SIRI NZITO, KILICHOTOKEA AKIWA WAZIRI MKUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @msamanga2277
    @msamanga2277 หลายเดือนก่อน +5

    Amazing man. Huyu ni mtu anae weza kupiga sim ikulu isikataliwe bado anaunga mstari kama wananchi wengine wakawaida hongera kwake!

  • @mussaharun7257
    @mussaharun7257 หลายเดือนก่อน +4

    Nakukubali sana Mh PK Pinda. Una busara kubwa Allah amekujalia, una haiba ya uongozi, msikivu, Mzalendo na huna majigambo. Kweli umewatetea Wakulima. Unafaa kugombea urais

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli yuko vizuri maelezo hayo asingeweza kuongea maneno hayo

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 หลายเดือนก่อน +4

    Hahahaha dah nimependa sana pozi la mama Mheshimiwa Dr Samia Hoyeeeee 🎉🎉😂😂

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 หลายเดือนก่อน +4

    Kazi iendelee, lets the work continue Kazi njema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Kila la kheri na mafanikio. Tazama ramani utaona nchi nzuri !!!🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @eliasboniphacekidanha7596
    @eliasboniphacekidanha7596 หลายเดือนก่อน +4

    Mama naomba ufanye Royal tours awamu ya pili

  • @amanikudeli5297
    @amanikudeli5297 13 วันที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @MarbleBaswige
    @MarbleBaswige 22 วันที่ผ่านมา

    Mh wiziri mkuu mstafu Mungu aendelee kukulinda na akubariki sana nakumbuka utumishi wako ulikuwa mgumu sana enzi za mauwaji wa albino

  • @maligiretongora3333
    @maligiretongora3333 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaofaidi wanamuelewa sana

  • @user-xc3yo4ke4p
    @user-xc3yo4ke4p 15 วันที่ผ่านมา

    Mama upo kazini na wanao tunakuona,na tunakuunga mkono mama ni mama 5 tena.

  • @maryamsharif6926
    @maryamsharif6926 หลายเดือนก่อน

    Good job mhe pinda

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน +3

    Kachuo kapo

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani kampeni imeanza?, wabongo shida sana.

  • @francisMhulula
    @francisMhulula 28 วันที่ผ่านมา

    Mzee pinda salaamu alekumu mm nauliza vp ile campuni ya deci pesa zetu

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 หลายเดือนก่อน +2

    Namshauli mama wilaya ya korogwe iwe mkoa sasa maana imekua kubwa

    • @abdulhajiahmed8735
      @abdulhajiahmed8735 หลายเดือนก่อน +1

      Wilaya ya Korogwe haina maendeleo kubali usikubali Old Korogwe na Manundu bado kupo nyuma sana kimaendeleo. Ingawa katika historia wakati wa kilimo na biashara ya mkongwe Korogwe ilivuma sana na mkoa wa Tanga kwa ujumla nakumbuka anatoka marehemu Shaban Robert mzee wa fasihi ya kiswahili, mara yangu ya mwisho Korogwe ni karibu miaka 35 iliyopita lakini naona katika habari na TH-cam

    • @rashidkinyasi5645
      @rashidkinyasi5645 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdulhajiahmed8735 Shaban Robert alitokea Wilaya ya Pangani......na Wilaya ya Korogwe SASA hivi ina Halmashauri mbili....ambazo...ni...Korogwe Mjini na Korogwe vijijini....

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l หลายเดือนก่อน

    Hiyo hela uliyo fund ya kujenga shule wewe Pinda iliipata wapa kama siyo hela ulizoiba za ESCROW.??????
    SHAME ON YOU

  • @akibabautunzi2393
    @akibabautunzi2393 24 วันที่ผ่านมา

    KAMA KIGOMA MPO NJOONI TUMUSAIDIE YUNUSA GAMBO MIAKA 20 YUPO NDANI ANAPATIKANA MANYOVU WILAYA YA BUHIGWE KIJIJI MWAYAYA KITONGOJI RULOLO

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 12 วันที่ผ่านมา

    Mpingwe wamenuna…….

  • @jackisonmlaari4556
    @jackisonmlaari4556 หลายเดือนก่อน

    Acha sifa za kijinga mzee.huyo mama kafanya nini kipindi hiki kama siyo kutuletea madeni ya ajabu

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe pinda kisukuma hujuwi. Mzee pinda mwambie Rais ukweli. Wanaomusifu ni wengi wanamuziba macho. Tanzania haiendi vizuri kwa ufisadi. Wizi umeshika kazi. Hakuna wa kulkemea

    • @NDEWARA
      @NDEWARA หลายเดือนก่อน

      Pole 😂

    • @bernardjosephmulokozi3901
      @bernardjosephmulokozi3901 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe umeibiwa nini?

    • @huyu1993
      @huyu1993 หลายเดือนก่อน

      Tukuulize wewe umeibiwa nini?

    • @huyu1993
      @huyu1993 หลายเดือนก่อน +1

      Wacheni majungu nyinyi .fitina mbaya

    • @user-mp4hk1vv1u
      @user-mp4hk1vv1u หลายเดือนก่อน +1

      Sema wewe na wajinga wenzio
      Tulio weng tunampenda kwa kuifanya Tanzania Ina amani na maendeleo ya naenda bila kugombana Wala kukatipiana
      Uwezo wake na wanaomsaidia ni Mkubwa sana anatengeneza mifumo ya kumanage bila kutumia nguvu nyingiiiii
      Moumbavu hawez kumuelewa huyu mama ila waelevu wanamuelewa

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 หลายเดือนก่อน

    Wajinga watampa tena kula na familia yake

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh

  • @MarcoNtobi
    @MarcoNtobi หลายเดือนก่อน

    Mno
    L😅lu l

  • @titoamani-e8b
    @titoamani-e8b หลายเดือนก่อน +1

    Tunaomba Samia akataze Harmonize kuharibu accounts za Wasanii wa Diamond kwenye TH-cam na uchawi🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 หลายเดือนก่อน

    Kumbe magufuri alikutingisha na wewe dah! Yule kweli kiboko