MPINA ASHANGILIWA NA WANANCHI AKIWACHANA MWIGULU, BASHE, "HATUWEZI KUWA WANAFIKI, MNAHUJUMIWA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 22

  • @jumambilinyi9519
    @jumambilinyi9519 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyo ndiyo mbunge wa kweli Mungu akulinde

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutie nguvu na kukupa maisha marefu wewe ni mzalendo wakweli tunaendelea kukuombea.

  • @willisonTheonest
    @willisonTheonest 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli umenena mpina bwana akutangulie

  • @EnockSamwel-m2k
    @EnockSamwel-m2k 2 หลายเดือนก่อน

    Brother mungu akujalie Sanaa

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mpina ni mbunge mzalendo na Mungu azidi kukubariki sana.

  • @jacobnghwani1891
    @jacobnghwani1891 2 หลายเดือนก่อน

    Brother Mpina

  • @RobertSiwavula-jj4pj
    @RobertSiwavula-jj4pj 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuongeze sik zakuishi wapig span wamezoea.

  • @RichardMadebe-f1m
    @RichardMadebe-f1m 2 หลายเดือนก่อน

    Broo mpina ccm haipendi kukosolewa ukweli wako unawaumiza sana kuwa makini nao

  • @MtumbaOG
    @MtumbaOG 2 หลายเดือนก่อน

    Mwamba kabisa Mungu akuongoze vyema kiongozi wetu

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala 2 หลายเดือนก่อน

    Home

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 2 หลายเดือนก่อน

    huyu ndio mubunge wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mweshimiwa mpina mi wengine siwajui na ninachukia mtu anaitwa mweshimiwa alafu mzembe mzembe

  • @AbdMohamedi
    @AbdMohamedi 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka mazao yameshika bei nchi nzima kaka tusaidie Bashe anatuumiza

  • @Kisaboleonards
    @Kisaboleonards 2 หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja kaka

  • @MelkizedekUrio-xl1jp
    @MelkizedekUrio-xl1jp 2 หลายเดือนก่อน

    brother,ccm unawajua,nakuonea huruma wanakuangalia,upinzani cio mchenzo ni shida,marungu ya polisi,kesi za kughushi,ww jikanyage,wavue nguo wenzako,huna hata kovu,wewe imba hawajui na hawaangalii nyimbo zako,komba aliimba nyimbo nyingi zinatosha,kama umeokoka Toka kwenye dhambi,

  • @mwalimukhamisi1680
    @mwalimukhamisi1680 2 หลายเดือนก่อน

    Haya mambo ya ukweli kweli?

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx 2 หลายเดือนก่อน

    utapata shida sana ww ni mtu mdogo sana

  • @Malaikahomedecoretion
    @Malaikahomedecoretion 2 หลายเดือนก่อน

    Mwamba

  • @emmanuelmichael7856
    @emmanuelmichael7856 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa CCM ipo njiapanda Kisese

    • @MelkizedekUrio-xl1jp
      @MelkizedekUrio-xl1jp 2 หลายเดือนก่อน

      kwa huyu hata wasipomfukuza,ubunge hapati,,unawakosoa miungu watu hadharani...vikao vya chama havipo....angalia bro wapinzani wengine ni walemavu kwa kuongea ukweli,japo ni kazi yao kwa mujibu wa Sheria,ww ni nani kwa Hawa,Bado hawajakuita Dodoma,mm nawaogopa wanaangalia mpaka kitanda unacholalia,hivi unafikiria kwajima kaenda kushiriki kuiba kura kawe sababu tu asivunjiwe kanisa lake paleee ubungo,mradi ungeifata lile jengo ww nyamaza kama Bado una njaaa,kamuulize,

  • @emanuelelias4695
    @emanuelelias4695 2 หลายเดือนก่อน +1

    ℍ𝕚𝕚 𝕟𝕚 𝕞𝕒𝕤𝕙𝕚𝕟𝕖 𝕪𝕒 𝕜𝕒𝕫𝕚 𝕞𝕫𝕒𝕝𝕖𝕟𝕕𝕠 𝕜𝕨𝕖𝕝𝕚 𝕜𝕨𝕖𝕝𝕚 𝕛𝕒𝕤𝕚𝕤𝕚𝕝𝕚 𝕜𝕨𝕖𝕝𝕚 𝕜𝕨𝕖𝕝𝕚 𝕟𝕒 𝕙𝕒𝕫𝕚𝕟𝕒 𝕪𝕒 𝕥𝕒𝕚𝕗𝕒 𝕪𝕒 𝕥𝕒𝕚𝕗𝕒 𝕝𝕖𝕥𝕦 𝕒𝕝𝕚𝕟𝕕𝕨𝕖 𝕟𝕒 𝕜𝕦𝕥𝕦𝕟𝕫𝕨𝕒 𝕤𝕒𝕟𝕒

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu Mpina ndio aina ya wabunge tunaotakiwa kuwa nao kwenye bunge letu.Huyu ni hazina ya nchi yetu na Mungu azidi kumbariki na kumlinda.

    • @MelkizedekUrio-xl1jp
      @MelkizedekUrio-xl1jp 2 หลายเดือนก่อน

      atauponza