NYIE WAISLAM NDANI YA MASIHI ISSA BIN MARYAM (YESU KRISTO) IPO NGUVU YA KUONDOSHA UKAFIRI ULIOPO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 93

  • @YaaHoldings
    @YaaHoldings 6 หลายเดือนก่อน +3

    Muhammad ni muongo tuu . Yesu ndio mpango wote . Kuja orthodox tutakufunza usio ya jua😂

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 6 หลายเดือนก่อน

      Muhammad na ISSA walipo kuako mamako na babako alikuako umbwa wewe ,,Yani ukristo nani Alie wambia ukristo ni dini

  • @faridbinjumaonlinetv9258
    @faridbinjumaonlinetv9258 6 หลายเดือนก่อน +3

    Naam mwalim wang sheikh hamza hua nakuombea baadh ya waislam wakuelewe km mimi inshaa allah

  • @alyjunbaun6515
    @alyjunbaun6515 6 หลายเดือนก่อน +4

    Inasikitisha sana kuona watu wanaudini nasio iman na uko ndo kukosa maalifa ostadhi mim ni mmoja kati ya watu wanaokubaliana na ww.Jaman mluosoma dini jalibun kumuomba m/mungu kiukwer utakuja kumuelewa uyo ostadhi anachomaanisha ila km mtakua wabishi shauri yenu ila uyo ostadhi yupo sawa kabsa km ukiwa na iman mungu atakuonesha ukwer ila km utakua na udini uwezi kumuelewa uyo ostadhi at kidogo,na wenye dini wengi washenzi tu watu wakukunja nne mala swara yaan wengi wamekuwa wachawi tu wakutembelea nyota za watu hakuna mungu wa ivo anauetaka umfanyie mwenzako kitu ambacho wew aupendi ufanyiwe nakm unataka kulijua ilo mkiingia kanisani msikitini chunguzeni niliyowaambia mtaamin wenye dini wengi wachawi ila ukiwa na iman mungu atakuonyesha anachokizungumzia ostadhi uyu yupo sahihi kabsa yaan namwamin kwa kua mim nimekutana na icho kitu wekeni iman kwa nabii isa mtakuja kuelewa ila kikubwa uwe na iman sio udini Asnt ostadhi fanya kazi ya mungu aliokutuma japo sio wote watakaokubaliana na ww we endelea wenye iman tushajua unachomaanisha🙏🏿🙏🏿

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe sio muisilamu nadhani

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 6 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga wewe sio muislamu huyu

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio kwa sababu hakuna muisilamu anasema ukweli duniani ndo maana unamkataa

    • @emmakimisha1221
      @emmakimisha1221 6 หลายเดือนก่อน

      amen kaka barikiwa sana kwa kuwa umelitambua hilo kupitia MUNGU

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@msemakweli243usibishe, soma Aya inayomuelezea Yesu kwenye Quran uelewe kwanza kama anaongopa ama la

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 6 หลายเดือนก่อน

    Mwanadamu yeyote asimwamini YESU KRISTO kuwa ni Mwana wa Mungu na kubatizwa hata ufie masjid utakwenda jehanam kweupeeee

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Hamza umepotea na hali unajua njia sahihi bila YESU KRISTO WOTE ni inali jehanam

  • @drgeraldcubwa481
    @drgeraldcubwa481 6 หลายเดือนก่อน

    Shehe ni sawa unachokisema.hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kuondoa uchafu wa dhambi kwa watu wote au ulimwengu mzima.Lakini inawezekana uchafu Huo ukaondoka kwa mtu mmoja au kikundi Fulani

  • @drgeraldcubwa481
    @drgeraldcubwa481 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa shehe ,shida ni kwamba hamna nyaraka au maandiko matukufu ya Issa bin Mariam ambayo mnayo ninyi waislamu. Sasa waislamu wenzako watamwaminije masihi Issa bin Mariam

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 6 หลายเดือนก่อน

    Ok kuanzia leo nimekujua kuwa ni shekhe au mwislam hivyo juwa usipozaliwa mala ya pili hata uhubili vp jehanam inakusubili

  • @AbduryMwinyimvua
    @AbduryMwinyimvua 6 หลายเดือนก่อน

    Mtume alisema uislam ulikuja mgeni na utaludi ukiwa huu ndo ugeni wenyewe

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 6 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤ msema kweli❤️👏👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌✅✅✅✅✅✅

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa wambie hao wakriso ukirsto sio dini na issa ni nabii wa mungu sio mungu

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 6 หลายเดือนก่อน

      ukweli kabisa ukristo sio dini kama uislamu...ukristo ni ufuasi au imani kwa Yesu Kristo....Dini zote duniani zimeanzishwa na mwanadamu... Yesu ni Mungu alivaa sura ya mwanadamu - Yohana 1:1,14

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@chapchap-oz1ouyesu alivaa mwl wa mwanadam na pale alipo Seema mungu mbona umeniacha alikuwa anamwambia nana

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 6 หลายเดือนก่อน

      yesu alivaa mwl wa mwanadam na pale alipo Seema mungu mbona umeniacha alikuwa anamwambia nana@@saphinalutaha9077
      🤣🤣🤣🤣
      Yaani umeandika jibu la swali lako lakini hujielewi??
      Yesu alifanyika Mwili akawa Mwana wa Mungu kwa hivo "mbona umeniacha alikuwa anamwambia" Baba yake!!
      Duh...uislamu msibaaa

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah s.w kwenye qur ani anasema : Hakika dini mbele ya mwenyezimungu ni uislamu .sasa wewe usojijua lete andiko kwenye bibilia linalosema hakika dini mbele ya mwenyezimungu ni. Ukiristo achaa kuongeaa pumba saivi tumeshakuelewa ujanja wakoo

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 หลายเดือนก่อน

      UKRISTO sio dini ni Ufalme wa Mungu , ni wapi kwenye korani imeandikwa uislamu ni Ufalme wa Mungu?

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 6 หลายเดือนก่อน

      Eti "Allah s.w kwenye qur ani anasema : Hakika dini mbele ya mwenyezimungu ni uislamu"....ni majini yanazungumza sio unayedhani.
      ANGESEMA "HAKIKA DINI MBELE YANGU"..........WATU SIO WAPUMBAVU BUANA HIHIHIHI

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@IvanChrisantusSasa bila dn uo ufalme wa mungu utaupata je

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@chapchap-oz1ou😂😂😂 ety majn mkikosa point mwasema majni

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 หลายเดือนก่อน

      @@saphinalutaha9077 Ufalme wa Mungu haupatikani kwenye dini, ila kwa kushika amri za Mungu ambazo zimehidhiwa katika sanduku la agano / sanduku la ushuhuda.

  • @AbdulMajid-pb2sx
    @AbdulMajid-pb2sx 6 หลายเดือนก่อน

    acha kuongonisha onganisha aya za ku Quraan na mada tofauti tofauti

  • @victorgasper7563
    @victorgasper7563 6 หลายเดือนก่อน

    ongera mtaalam

  • @jinomoko5510
    @jinomoko5510 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe nabii Mungu akuinue ktk viwango vya juu watakuelewa tu na wataokoka🎉

  • @davikastir8193
    @davikastir8193 6 หลายเดือนก่อน

    Sioni haja mtu kutukana,kejeli na mengine yasio namanufaa.kama mtu hataki basi asitazame wala asisikilize...

  • @ShabaniRashidi-d2v
    @ShabaniRashidi-d2v 6 หลายเดือนก่อน +1

    Uislam unawakubali mitume wote wa mungu ,issa,mussa,Ibrahim,Muhammad wote walikuwa waislam, n.k,shida imeanza alipoondoka issa ,wakaja wapagani wa kiroma walipoanzisha ukristo apo antiokia,na kuhamisha ibada za kipagani na kuziita ukristo wakimuhusisha issa ilihali hakuna sehem yesu alisema dini yake ukristo wala hakuna andiko kwamba aliingia kanisani,wakachoma injili ya ìsa,wakatengeneza biblia na kuingiza maneno yao,yakina matayo,luka n.k,injili alioandika yesu kwa mkono wake wakachoma,hiyo siyo dini ya mungu huo utatu waroma walikuwa wana maana ya nimrod,semiranusi,tamusi,wakawaongopea ni yesu

    • @DarmianDimatteo-rm3qk
      @DarmianDimatteo-rm3qk 6 หลายเดือนก่อน

      Issa ni zaidi ya mtume kaka

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 6 หลายเดือนก่อน

      KAMA MNDANGANYWA ,issa,mussa,Ibrahim,Muhammad wote walikuwa waislam,...NI MANGAPI MENGINE MNADANGANYWA?????
      UISLAMU ULIANZISHWA NA MUHAMMAD!!!!!!!!!!

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@chapchap-oz1ouYesu anasamehe kila kosa, na wewe je?

    • @chapchap-oz1ou
      @chapchap-oz1ou 6 หลายเดือนก่อน

      @@lilianluhasi311
      Nia yako ni ipi? mambo ya msamaha Yesu na mimi ni wapi na wapi? fikiria kabla hujauliza jambo!!

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@DarmianDimatteo-rm3qkkwa mjnga issa ni Zaid ya mtu lakn kwa mwelevu no kwamba mungu alimtumia issa kuonyesha miuzja yake

  • @Vgrace2023
    @Vgrace2023 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika huyu mtu si wamoto wala si baridi ,anatumia nguvu nyingi kuchanganya giza na nuru.
    Niheri kwake kama angechukua nira yake kristo na kusimama katika kweli.

  • @wesakawesaka3516
    @wesakawesaka3516 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtu anaongea ukweli mtupu

  • @benignajosephwatendewao2065
    @benignajosephwatendewao2065 6 หลายเดือนก่อน

    Siyo Mkristo na Unamuhitaji KRISTO😂😂😂

    • @faridbinjumaonlinetv9258
      @faridbinjumaonlinetv9258 6 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi ndio wale mnaoendekeza udini em mskize vizur analenga nini

  • @libonoka
    @libonoka 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo uliposema Issa ni mwana wa Mungu ndo nimejiridhisha kuwa wewe sio Muislamu

    • @DarmianDimatteo-rm3qk
      @DarmianDimatteo-rm3qk 6 หลายเดือนก่อน

      Upo vizuri kaka ,Issa sio mwana wa Mungu bali ni Mungu mwenyewe kwenye human form

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa sababu kakwambia ukweli

    • @Cabosport
      @Cabosport 6 หลายเดือนก่อน

      Ata wewe ni mwana wa mungu pia. Aujuwi ilo?

    • @IvanChrisantus
      @IvanChrisantus 6 หลายเดือนก่อน

      Hivi mtu akikuita " mwanangu" lazima awe emekuzaa? , hiyo tu ni heshima , kama vile neno " lady "

    • @msemakweli243
      @msemakweli243 6 หลายเดือนก่อน

      Anaezaa ni mwanamke lkn hili azae lazima aingiliwe na mwanaume
      Kuna aina mbili za mwangu wa kumzaa au kwakumweshimu basi

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 6 หลายเดือนก่อน

    Unaswali sheghe na unafunga?

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndiyo dajal mwenyewe

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 6 หลายเดือนก่อน

    Kosa Kila kitu sio Radhi za wazazi

  • @libonoka
    @libonoka 6 หลายเดือนก่อน

    4:05 wewe sio muislam

  • @AsimweKaswara
    @AsimweKaswara 6 หลายเดือนก่อน

    Hapa ni kweli muchungaji ni ushetani kabisa,ufiri na uchafu kweli

    • @lilianluhasi311
      @lilianluhasi311 6 หลายเดือนก่อน

      Hajasema mchungaji, kasema mchungaji kiongozi mwanamke

  • @YaaHoldings
    @YaaHoldings 6 หลายเดือนก่อน

    Thanks brother comes to orthodox Christian church.

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 6 หลายเดือนก่อน +1

    Namba ya sadaka

    • @nabiiilyaaseliya2551
      @nabiiilyaaseliya2551  6 หลายเดือนก่อน +2

      Tigopesa +255714750521

    • @MkumboJaphet-yx3jp
      @MkumboJaphet-yx3jp 6 หลายเดือนก่อน

      ​Jina inasoma nani ndugu..mahubiri yako yamejaa ukweli sana@@nabiiilyaaseliya2551

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@nabiiilyaaseliya2551lione limejibu number ya sadaka ,,,Sasa wewe nani amekwambia waislamu hawapendi nabii ISSA wewe huna Dini wachafua uislamu kama kafiri nenda kwamakafiri wenzio ,,juzi wasema watu wasifunge

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 6 หลายเดือนก่อน

    Kabisa nabii

  • @petermutuku1289
    @petermutuku1289 6 หลายเดือนก่อน

    Leo umetuthibitishia wazimu wako. Mara mkristo, Mara muislam. Kwanza kujiita eliya dio uchizi kabisa.

    • @ABUUALLY-tv8rl
      @ABUUALLY-tv8rl 6 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu ni mnafik ni haki kuchinjwa hadharani Kwa sababu anatumia maandiko ya dini kupotezaa watu 😢huyu sio sheikh ni kafirii hilii waislamu tujihadhari na watu kama Hawa

  • @nixonmwanguni3094
    @nixonmwanguni3094 6 หลายเดือนก่อน

    Kafiri mkubwa, elimu Hauna weye.

  • @BaekSun-s7g
    @BaekSun-s7g 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu analipwa na waitaliano mimi namjua sio muislam nikatika wale wanaipotosha nakupotosha watu wasio na uelewa wa Dini yao Inshaallah Allah awafahaishe

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 6 หลายเดือนก่อน

      Hamza hakil zmesha ruka nikama tito