MUISLAMU ASIYEKIRI MASIHI ISSA ALIKUFA PALE MSALABANI KISHA AKAFUFUKA NI KAFIRI JEHANNAM INAMSUBIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 46

  • @HenryTweve
    @HenryTweve 6 หลายเดือนก่อน

    Watafute wasabato (waadiventst wasabato) utapata ujuzi zaidi Mungu akubariki

  • @YaaHoldings
    @YaaHoldings 6 หลายเดือนก่อน

    Fanya ubatizwe orthodox Mzee

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe mzee malengo yako tushayajua kwamba unatumia kitabu cha waislamu ambacho ni qur ani ili kitetee umani lako ambalo batili la kikristo sasa unafik wako tushaujuaa mbwaa wewe

  • @MohamedSalim-fy8ic
    @MohamedSalim-fy8ic 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂 huna lolote mzee kelele ya chura

  • @ElihurumaElimwokozi-tx8mh
    @ElihurumaElimwokozi-tx8mh 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @yolandipetersen
    @yolandipetersen 5 หลายเดือนก่อน

    Nimekubali mwalimu

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 6 หลายเดือนก่อน

    Fanya utakacho fanya ila dini ya kiislamu huwezi kuiweka sawa na imani ya kikristo ni vitu viwili tofauti wala qur ani haiwezi kutetea imani ya kikristo kwa sababu ni imani batili haina kichwa wala miguu ,yaani kama umejitahidi kujifunza kusoma qur ani ili uwapotoshe waislamu baba umechemkaa waislamu sio watu wa kudanganywa wakaamini kirahisi😂😂

    • @maulidi8479
      @maulidi8479 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio ujielewi yaaani mnakalilishwa tuuu sikiliza alafu ujibu kwa hoja

  • @omaar5693
    @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน +1

    15:30
    Hawakumsulubu?
    Pale msalabani alifikaje???
    AMA alijitundika mwenyewe...
    Lugha fupi
    Kusulubu= kumtundika mtu msalabani....
    Nimekuelewa hawajamuuwa (kifo cha usingizi)
    Lakini kama aliyeko msalabani ni yeye kama tusiseme amesulubiwa tutasema ametundikwa mtini

    • @sanaf8367
      @sanaf8367 8 หลายเดือนก่อน +1

      Acheni ubabaifu nyie mie binafsi huyu simuamini kila analosema lkn hili la kuwa nabii isaa alipitia mauti (kifo cha usingizi) wewe unapinga hakuna kifo cha usingizi unapinga quran au? Ila faham sio wao waliomuuwa ni yeye Mwenyezi Mungu ndio alimfisha sasa tatizo lipo wapi hapo?

    • @omaar5693
      @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน

      @@sanaf8367
      Sio ubabaifu..
      Mimi Niko na quran wewe ndio mpingaji...
      Mimi sijakataa kufishwa...
      Lakini Quran haijataja location huenda alifishwa akiwa kwake au mskitini..
      Wewe Hamza na imran Hussain..
      Mumetohowa location kutoka kwenye biblia
      Quran ikapinga 4:157
      Munahusisha msalaba na kifo cha usingizi???
      Msalabani mtu analala au anakufa???
      Huelewi??
      Hajafa, hajasulubiwa, bali amepaishwa..
      Biblia ndio inamhusisha MASIH na msalaba na kufufuka...

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 6 หลายเดือนก่อน

    Lichawi hili

    • @KK-ygh
      @KK-ygh 6 หลายเดือนก่อน

      Acha matusi ya kikafiri.

  • @SamiriMansour
    @SamiriMansour 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naona anazunguka tu hajuilikani kipi cha usahihi

  • @omaar5693
    @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน

    7:23
    Weh hiyo si roho
    Hapo imetajwa nafsi.. wewe unaongelea roho...
    Labda ujui tofauti ya roho na nafsi..
    Roho ikitoka ndo imetoka...
    Nafs inatoka na kurudi...

  • @omarhaji751
    @omarhaji751 8 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu uko sawa tena sahihi sana endelea na darasa zako sisi wanafunzi wako tunakuelewa

  • @peteremanuel8022
    @peteremanuel8022 8 หลายเดือนก่อน

    Shehe unafundisha sahihi kuhusu kufa na kufufuka bwana wetu yesu kristo. Lakini waislam wengine hawakubari kuwa yesu alikufa na kufufuka. Wakati quruan inakubali. Je tumwamini nani anaekataa kuwa yesu hakufa. Au tuiamini Quruan maana ndo inayotufundisha

  • @yassernoah8984
    @yassernoah8984 8 หลายเดือนก่อน +2

    We mzee acha kuzuzua watuuu hapaa kasome 155 hadi 162 Suratu Nisa jibu unalo halafu tafsiri Quran ipasavyo sio kwa hicho kiarabu cha mchongo sui umesoma wapi

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 8 หลายเดือนก่อน

      Kwanini msikubali na kuachana na huo ukafiri??

    • @wesakawesaka4549
      @wesakawesaka4549 8 หลายเดือนก่อน

      Kubali kuelewa kijana

    • @abubakarmhesa5742
      @abubakarmhesa5742 8 หลายเดือนก่อน

      issa ibn mariam tunamuamini lkn kuhusu kusulubiwa na kufufuka hajawahi, quran inajieleza vema katika surat NISAA

    • @kichenjekichenje2072
      @kichenjekichenje2072 8 หลายเดือนก่อน

      Tatizo mmeletewa maandiko kwa lugha ya kukaririshwa.ukweli hamuujui,ndio mana hata mpinga kristo wenu hakujua kusoma wala kuamdika.Kiongozi wenu kipofu.i​@@abubakarmhesa5742

    • @alyjunbaun6515
      @alyjunbaun6515 6 หลายเดือนก่อน

      Tatizo sis waislam atufundishwi km din inavotaka kufundisha Ila uyu Ostadhi yupo Sahihi San mininachoona anachokosea Yeye Ni kujiita Nabii Tu Ila vitu vyengine yupo Sawa kabsa

  • @ahmedmakame1687
    @ahmedmakame1687 8 หลายเดือนก่อน

    mimi nakuamini sana quran haijichnganyi

  • @WonderfulPrince-x3c
    @WonderfulPrince-x3c 8 หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja Mwalimu kutoka Nairobi Kenya

  • @omaar5693
    @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน

    ...ila hapo kuna mvutano
    Yahudi wanasema wamemuua wao,,
    Wewe unasema Allah aliahidi atamuua nani kati yao alifanikiwa???

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 8 หลายเดือนก่อน

    mwenye masikio na asikie💯✍️ Hii ni Qur’an kwann waislamu hamtaki huu ukweli🙆

    • @abubakarmhesa5742
      @abubakarmhesa5742 8 หลายเดือนก่อน

      Akafafanue andiko kwanza la QURAN 4;157

    • @imranjuma1197
      @imranjuma1197 8 หลายเดือนก่อน

      @@abubakarmhesa5742 Kwani hapo anasoma biblia? Mbona aya zote zimetolewa ufafanuzi

  • @juliusdominic-uk4bu
    @juliusdominic-uk4bu 8 หลายเดือนก่อน

    Kamanda Mungu akuongoze

  • @omaar5693
    @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน

    12:11
    Hakuna kifo cha usingizi dah.
    Si useme amelala akaamka...
    Alafu usingizi na damu vinausianaje???
    Si unataka tukiri damu yake,, sasa unatwambia amelala hiyo itakuwa ni damu qu udenda???

    • @ahmedmakame1687
      @ahmedmakame1687 8 หลายเดือนก่อน

      soma dua ya kulala utakua kama mtu kulala anakufa

    • @omaar5693
      @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน

      @@ahmedmakame1687 NOoooo
      kulala sio kufa..
      As-hab alkahfi
      Wamekaa miaka 309
      Allah anasema wamelala 18:18
      Wewe usiku mmoja tu unasema amekufa///
      Hakuna kitukama hicho

  • @abdallahkassim-z2e
    @abdallahkassim-z2e 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akufungulie ujuwe uwache kupotosha watu

    • @maulidi8479
      @maulidi8479 5 หลายเดือนก่อน

      Sasa anapotosha nini wakati maandiko yanasema hivyo. Tatizo lenu watu wa Africa mnapenda kudanganywa

  • @MapangaMapanga-wm1hz
    @MapangaMapanga-wm1hz 8 หลายเดือนก่อน

    Ndio Baba nipo APA mi mwanao

  • @abubakarmhesa5742
    @abubakarmhesa5742 8 หลายเดือนก่อน

    tofauti ni kwamba,
    wakristo wanaamini ISSA alikufa na alifufuka
    wayahudi wanasema ISSA alikufa kabisa wala hakufufuka.
    wa islaam wanaamini ISSA hakusulubiwa wala kufa, ila ALLAH alimnyanyua kwake na atarudi baadae kutimiza mission yake

    • @sanaf8367
      @sanaf8367 8 หลายเดือนก่อน +1

      @abubakarhesa quran ndio inathibitisha kuwa hakufa wala kusubuliwa isipokuwa yeye mwenyewe Mwenyezi Mungu ndio alimfisha wale mayahudi wakaona wamumsulubu na kumuuwa sasa hilo tatizo wewe kutofaham liko wapi? Wee endelea kudanganyika eti yule alikua mtu mwengine kafananishwa tu hayo maneno ya watu tu ndugu hayana mashiko kimaandiko.

    • @abubakarmhesa5742
      @abubakarmhesa5742 8 หลายเดือนก่อน

      hilo sisi hatuna shaka nalo@@sanaf8367

    • @KhalidMwijaku
      @KhalidMwijaku 8 หลายเดือนก่อน

      Wakristo wanaamini Biblia isemavo kuhusu kufa na kufuka kwa Yesu...miaka 700 baadaye kukaja mpinga kristo akamdanganya muhammad pangoni apinge habari hizo

    • @abubakarmhesa5742
      @abubakarmhesa5742 8 หลายเดือนก่อน

      mpinga kristo wala sio muislaam,
      mpinga kristo atakaekuja nyakat za mwisho sis tunamuita DAJJAAL ambaye atajitangaza kuwa yeye ni masihi. ambaye atatokana na kizazi cha wayahudi.
      so
      mpinga kristo ni myahudi mwenyewe tena hajaanza leo kupinga ,
      alipinga uwepo wa kristo tang na tangu@@KhalidMwijaku

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 8 หลายเดือนก่อน

    ❤️❤️❤️

  • @abubakarmhesa5742
    @abubakarmhesa5742 8 หลายเดือนก่อน

    hata kama issa alikufa na kufufuka we have nuthing to do with it. point is
    shahada, swala, zaka, swaum, na hija.
    plus
    kuamini mwenyezi mungu, kuamini kitabu , kuamini mitume ,kuamini malaika, kuamini Qadar , na siku ys ufufuo

    • @KhalidMwijaku
      @KhalidMwijaku 8 หลายเดือนก่อน +1

      You have everything to lose if you dont believe Jesus Died and rise for the sins of the world....your shahada, swala, zaka, swaum, na hija.
      plus kuamini mwenyezi mungu, kuamini kitabu , kuamini mitume ,kuamini malaika, kuamini Qadar , na siku ys ufufuo is useless....ni bure tu.
      "I told you that you would die in your sins; if you do not believe that I am he, you will indeed die in your sins.” John 8:24

  • @naujila-rb2mg
    @naujila-rb2mg 8 หลายเดือนก่อน

    unatuelewesha Sana mwalim