NABII ELIYA AWAJIBU BISHOP GAMANYWA NA BISHOP NGONYANI KUHUSU VITA YA ISRAEL NA PALESTINA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 176

  • @eliannko
    @eliannko 10 หลายเดือนก่อน +13

    Nakubali sana aiwezekakani taifa la mungu likubali ushoga

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 10 หลายเดือนก่อน

      Kwani ni mara ngapi wameadhibiwa kwa ajili ya dhambi? wao ni watu pia na wanafanya vita na shetani.

    • @eliannko
      @eliannko 10 หลายเดือนก่อน +2

      Wale sio taifa la mungu mbona mbendera yao imewekwa masonic nembo

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 10 หลายเดือนก่อน

      @@eliannko NI KITU GANI KINACHO KUAMINISHA KAMA ILE NEMBO NI YA FREE MASSON? KWA KUSIKIA HADITHI ZA MITAANI UTAOGOPA HATA KULA MAANA UTAAMBIWA SHETANI KALA KABLA YAKO. NA JE BENDERA YETU NAYO INA NEMBO AMBAZO MASSONIC HAWATUMII? SASA TUTATWISHANA MIZIGO.

    • @Harrison-zh9sb
      @Harrison-zh9sb 10 หลายเดือนก่อน +1

      @@eliannko Ile alama sio ya freemason wao freemason ndio wame copy kutoka kwa sulemani Ile nyota inawakilisha nyota ya daudi

    • @erickrakitic9113
      @erickrakitic9113 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Harrison-zh9sbnyota ya daud kwenye biblia gani inasema hivyo?

  • @fedinandnjeleka4102
    @fedinandnjeleka4102 10 หลายเดือนก่อน +5

    Ubarikiwe baba Dunia kwa sasa ipate wasema ukweli kama wewe

  • @akontzmichael
    @akontzmichael 10 หลายเดือนก่อน +7

    yaani wewe unafaa kuwa mwalimu unaeleweka ❤

  • @yudatv4911
    @yudatv4911 10 หลายเดือนก่อน +8

    Mtumishi Elias, Mungu akubariki

  • @kidybenisrael6341
    @kidybenisrael6341 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaisraeli wa ukweli, uzao wa yakobo ni wabantu (watu weusi) sio wazungu

  • @morismwambapa514
    @morismwambapa514 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akitaka kufikisha ujumbe unabii anamtumia mtu yoyote

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 10 หลายเดือนก่อน +5

    KWELI HAWO NDIO MAJAMBAZI WALIOPORA ARDHI NA KUUWA WATOTO HALAFU KANISA LA GWAJIMA WANAWAOMBEA 😢SAD

  • @kwamejoseph6482
    @kwamejoseph6482 หลายเดือนก่อน

    Yesu nisaidie

  • @rehanijuma1421
    @rehanijuma1421 10 หลายเดือนก่อน +5

    Uko vizuri sheh hamza wazungu asilimia 85 hawaamini mungu ulaya mimi naishishi hapa Australia 😢😢😅😂 watu wako bize na maisha mbio nyingi hakuna yesu wala nini mbio tuu lakini ukirudi Africa dahh makanisa yamejaa bendera za,,,????

    • @anordgerison8639
      @anordgerison8639 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kama hawaamini eeeh sisi itusaidie nn ..?? Kila mtu si apambane

    • @habibukitwana1552
      @habibukitwana1552 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@anordgerison8639muelewe maana hao ndy tunawetegemea kiuchumi

    • @rehanijuma1421
      @rehanijuma1421 8 หลายเดือนก่อน

      Akili za wabongo sisi tunajuwa wazungu wote wakristo??!!!!Pole zetu sana tuu!!!! Katika watu wasioabudu mungu duniani basi ni wazungu

  • @geotv1990
    @geotv1990 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hujui habari za unabii wa biblia brother,akina gamanywa na ngonyani wako sahihi kuliko wewe

    • @ramdanmbara8500
      @ramdanmbara8500 10 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe ushalishwa Matango pori, umekaririshwa kama mdoli

    • @geotv1990
      @geotv1990 10 หลายเดือนก่อน

      @@ramdanmbara8500 unaacha kusoma biblia vizuri kwa jicho jeupe unasoma kiudini pambana na hali yako biblia ni kitabu chamungu na ni sahihi kuliko opinions zake pamoja na wewe

    • @graysonpastory1918
      @graysonpastory1918 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli akili za kushikizwa na huna unachojua tena, hao unao sema wanajua ni sehem ya uozo wanao kufundisha😂wewe usie na akili

  • @mrishojuma4695
    @mrishojuma4695 10 หลายเดือนก่อน +7

    Uko sawa we jamaa japo sio Nabii

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 10 หลายเดือนก่อน +4

    Nakuelewa sana sjui kwanin watu hawahuelew ningekua na uwezo ningefos watu waelewe ata kwa viboko

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 10 หลายเดือนก่อน +2

      wanaelewa vizuri maslahi tu yanawauma

  • @AbdulAlly-dr7bf
    @AbdulAlly-dr7bf 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki sana shehe wangu wasipokuelewa hapa Jua washakula wino 666 hawat kuelewa tena unavofundisha hata asiekua naakili anaelewa ukovizur mashalhaa

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 10 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo wewe. Acha kudanganya watu wewe. Sioni hoja yoyote ya maana hapo. Zionism is a movement that facilitated re-uniting of Israelites diaspora scattered allover the world. Wasikilize vizuri watumishi wa Mungu Dr. Gamanywa na wenzie. Wewe ni muislamu huwezi kuijua history ya Biblia wewe.

  • @ramazaniissa-hv8yc
    @ramazaniissa-hv8yc 10 หลายเดือนก่อน +7

    Shukrani saana mtumishi kwa kutuelemisha wamesha pewa pesaa ao hawawezi kusema kweli

  • @daudimwakalinga1923
    @daudimwakalinga1923 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio maana nasema unaokoteza story.. Zionists na Illuminate ni watu wawili tofauti.. nikushauri tu... Nenda kamsome Albert Pike ambaye ndio Godfather wa Illumante ambaye alikua anaweka mikakati namna ya kuwagonisha vichwa Zionists na Atheism .. kasome wataka wake.. kisha utakuja kuelewa unalisha watu matango pori

    • @mabadamabada8631
      @mabadamabada8631 10 หลายเดือนก่อน

      Tofauti ya zionists na Atheism ni nini ?

    • @daudimwakalinga1923
      @daudimwakalinga1923 10 หลายเดือนก่อน

      @mabadamabada8631 Zionism ni movement iliyoanzishwa na wahayudi ili kupigania kuanzishwa upya kwa taifa la Israel na kutetea maslahi ya wayahudi. Atheism ni ideology ya kwamba hakuna Mungu.. yaani wao wanasema hakuna kitu kinachoitwa Mungu.... Illuminate wao wanayo mungu, wanaamini mungu wao ni shetani. Hii haiwaisemi hadharani lakini ndio siri ya uwepo wao. Wanaamini "lucifer is true god " according to them. Na Illuminate wao ndio wanataka kuitawala dunia na kuiweka chini ya mungu wao. Wao ndio wanagonganisha vichwa dini zingine ili kuleta machafuko.. katikati ya hayo machafuko wao ndio watajipenyeza.. ili kuishika dunia iwe na serikali moja, fedha moja na dini moja ambayo mungu ni shetani. Kwenye huu mgogoro kinachotafutwa hapa ni chuki dhidi ya Israeli, na mwishowe wakristo, uyahudi na Uislam upigane mpaka uchakazane kabisa na pengine vita 3 ya dunia. Kisha wao Illuminate ndio waibuke kama watoa suluhisho la uchumi, serikali moja na dini moja. .. hii comment iweke kwenye lamination kabisa. Utakuja kuikumbuka hapa.

  • @muangashiwallace8516
    @muangashiwallace8516 10 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sn Nabii Eliya kwa hili darasa. Mungu Akubariki sn uzidi kupata maarifa ya kutufungua macho wengi.

  • @petermutuku1289
    @petermutuku1289 6 หลายเดือนก่อน

    Na msikiti mulioujenga mahali pa hekalu je?hamuoni kwamba dio sinagogi LA shetani? Halafu waeslamu mkasema nyinyi dio wayahudi mnaofaa kuishi pale?.waislam mko na vituko. Maadiko ulioyasoma yanawausu nyinyi muliofaamia nchi ya watu mkajifanya kuwa wayahudi.

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa wasiojua, maadhimisho ya ushoga duniani kilele chake kinaadhimishwa Israeli Kila mwaka

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 10 หลายเดือนก่อน +1

    UZAYONI MWEUPE NA MWEUSI
    Jee, Mgogoro wa Palestine na Israeli unalingana na ziitwazo Kero za Muungano baada ya Ukoloni wa Uingereza nchini?
    1) Palestine
    2) Zanzibar
    3) Tanganyika
    NYEREREISM INALAZIMISHWA?

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unacho kizungumza ume tafautisha sahihi kabisa ila wapo ndani ya ukristo ambao wanaitwa christia zionism ambao walianzisha harakat hizi kabla 1700 huku uingereza hivi wanao sema ni hao waliopo pale ni waisrael bila shaka ni christian zionism.

  • @ofreyking5975
    @ofreyking5975 10 หลายเดือนก่อน +3

    Unajua sana nabii iliya nakukubali sana

  • @hassanally4960
    @hassanally4960 4 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la wakiristo hawapend kusoma sasa bora sisi waislamu tuwasomeshe ili waelewe

  • @SarahMalifedha
    @SarahMalifedha 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeona makanisa mengi yanaiombea hiyo Israel wanafunga kabisa.

  • @Unitedinbloody
    @Unitedinbloody 7 หลายเดือนก่อน

    Eeeee huo ndo ukweli wa kisasa ameni barikiwa ndugu yetu wa damu ndani ya kikrsto

  • @juliusphabian
    @juliusphabian 10 หลายเดือนก่อน

    Uyiiiii nilizani nimepotea kumbe dunia inajua kwamba Yesu analudu kulitimiza neno lililo andikwa kwenye biblia

  • @zainabadim8540
    @zainabadim8540 9 หลายเดือนก่อน

    Angalau kuna Wakristo kidogo wanasoma elimu na kuufahamu ukweli maana wengi wanaburuzwa tu kwa sababu wanaamini kila wanachofanya wazungu ni sawa.

  • @gilbertbada8385
    @gilbertbada8385 10 หลายเดือนก่อน

    By blood yes
    By ideology no.
    Judaism is yet to follow christ.
    Still on the law!
    2000 yes after christ came and went

    • @haroungeorge7603
      @haroungeorge7603 10 หลายเดือนก่อน

      Sio watoto wa yacobo wale waebrania ni watu weusi tu

  • @Enockkamanda
    @Enockkamanda 6 หลายเดือนก่อน

    Mm nilikuwa najiuliza kwnn isiraeli anapigana na mpalisitina yan unacho sema ni kwli

  • @musamsangi1610
    @musamsangi1610 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wote kama hawamkubali Yesu Wala Mungu wote ni wahuni hakuna sababu ya kuwatetea.

  • @raygabone63
    @raygabone63 10 หลายเดือนก่อน +2

    Amen ….Huko sawa kabisa Nabii Elias….

  • @kiwiacasmir6141
    @kiwiacasmir6141 10 หลายเดือนก่อน

    Sawa kabisa mwalim wangu.huwa nakuelewa sanaa

  • @nevinkogo511
    @nevinkogo511 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika unafundisha Nabii eliya

  • @LinosJohn-dp9xi
    @LinosJohn-dp9xi 4 หลายเดือนก่อน

    Hiki ni chakula cha watu wazimaa waliokomaa

  • @bamuabdala4671
    @bamuabdala4671 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akubariki nabii

  • @mbashaphabian7668
    @mbashaphabian7668 10 หลายเดือนก่อน +2

    May God bless you

  • @nicodemustesha1493
    @nicodemustesha1493 3 หลายเดือนก่อน

    Akili kubwa inahitajika sana

  • @DenisMalidad-up3pz
    @DenisMalidad-up3pz 4 หลายเดือนก่อน

    Naku pataje mtumish

  • @samwelmushi6162
    @samwelmushi6162 2 หลายเดือนก่อน

    Acha kusema uongo

  • @charlesgwambegu9188
    @charlesgwambegu9188 10 หลายเดือนก่อน

    Ivi biblia ilikusanywa lini

  • @jojomario916
    @jojomario916 3 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu nakuelewa sana

  • @fedinandnjeleka4102
    @fedinandnjeleka4102 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani watu walitegemea nini baada ya chukizo kutua pale? Watafanya zaidi ya hayo

  • @zacharynganga2124
    @zacharynganga2124 10 หลายเดือนก่อน

    Muyahudi ni muyahudi either ni mzionist ama Judaism....@nabii eliyas....Elimu unayo lakini mtazamo wako ni wa kislamu ambao ni maadui wa wayahudi na sehumu ya wapinga kristo... ndio maana walibadika msikiti juu ya hekalu ya wengine.....nanjisi hiyo

    • @khalifamahondo191
      @khalifamahondo191 10 หลายเดือนก่อน

      basi wayahudi ndo wapinga kristo WA kwanza kama hujui

  • @boazmwaipungu8989
    @boazmwaipungu8989 10 หลายเดือนก่อน +1

    thank you so much,nimepata kitu kikubwa sana,MUNGU akubari sana mtumishi

  • @godfreymuroba7973
    @godfreymuroba7973 10 หลายเดือนก่อน +2

    Uko vizuri nabii eliya Watumishi wengi wa makanisa ya kiprotestant hawayajui vizuri masomo ya kiunabii hasa kitabu cha ufunuo kwa taarifa tu Israel hiyo inashinikizwa kufanya hayo na jamii za siri ili mpinga kristo aanze kazi zake ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa dunia moja serikali moja

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 10 หลายเดือนก่อน

      Nyie make kimya hamuelewi chochote kuhu wayaudi au Israel Mungu ndo amewakusabya kawaleta mwaka 1948 ahijalishi Mungu aliaidi kuwaokoa Wana WA Israel hizi siku za mwisho hata wafanye vituko vyote haadi ya Mungu ni ya kweli nyie mnaokataa Hao waliopo Israel sio wayaudi tuonyeshe wayaudi wakweli wapo wapi ?

    • @michaelobed3022
      @michaelobed3022 10 หลายเดือนก่อน

      Inawezekana umesikiliza hadi mwishoni kabisa halafu bado hujaelewa kitu

  • @erickrakitic9113
    @erickrakitic9113 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewa sana mtumishi wa MUNGU. Asiyekuelewa unachofundisha basi wapimwe akili.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 10 หลายเดือนก่อน

      wAnaelewa vizuri wanapaficha kwa sababu ya maslahi yao

  • @madindangonde4044
    @madindangonde4044 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina siku moja ruletee historia ya Urusi nadhani hapo ndio utawatoa jasho

  • @williamuphilipo2120
    @williamuphilipo2120 10 หลายเดือนก่อน +2

    Haya mafundisho angefundisha Mzungu tungemuamini 100% lkn kwa sababu ni mweusi mwenzetu wengine wetu watambeza na kumzodoa pasi na ushahidi wowote. Shida ni moja tu "brain wash" tuliyofanyiwa na Wazungu tukaamini kila wasemalo wao ni kweli, kitu walichofanikiwa sana kutulisha matango pori katika nyanja nyingi sana. Barikiwa sana Mtu wa Mungu endelea kufungua fahamu zetu tupate kujua usahihi wa mambo.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 10 หลายเดือนก่อน

      kwa sababu kuna maslahi ya watu pale

  • @JohnjohnMnonjela-br3xl
    @JohnjohnMnonjela-br3xl 10 หลายเดือนก่อน

    Unaongea maneno Yako cjaona umenukuu maandiko

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 7 หลายเดือนก่อน

      Jitahidi kumfuatilia kwakuweka din na dhehebu pemben afu chambua pumba na mchele.....utaelewa

  • @raygabone63
    @raygabone63 10 หลายเดือนก่อน +1

    Preaching good

  • @ahmadjuma2538
    @ahmadjuma2538 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli mchungu
    Watu ambao wana wafuasi wengi ni ngumu sana kukubali kwamba mada kama hz hawajazielewa vzr maana tayar washawadanganya waumini wao sasa unapojaribu kuwafumbua watu macho lazima wakupinge kwa nguvu zote
    Na usikute wengine ni wanachama wa Zionism

  • @susanawereschuhmacher9880
    @susanawereschuhmacher9880 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ama hawa ndio walesiku yakiama watakaokuja kwa Yesu na Yesu atawaambia nendeni zenu siwajui mtokako ?

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 10 หลายเดือนก่อน

      wepi hao mayahudi wanaotangaza ushoga na wafuasi wao

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 10 หลายเดือนก่อน

    Nashangaa kwenye hizi comment wakristo wanamuona huyo jamaa shehe ni mtumishi WA Mungu huyu jamaa anajitambulisha yeye ni mwislamu mara ni mkristo hakuna kitu kama hicho huyu ana mabwana wawili Yesu alishema ukitaka kunifuata lazima ujikane huyu ni commed kwasababu uislamu unapinga ukristo wakristo semeni quruan muone quruan hinaipinga biblia mkitaka kumujua huyu jamaa ni muongo kamuulize kazaliwa mara ya pili kulingana na Yohana 3:1 ,7 huone BWANA YESU alichomwambia Nikodemu kahiyo huyu kumuamini ni mtego waislamu Kwa Imani Yao wanaamini Muhammad yupo juu ya Yesu kristo wasema Muhammad ni mbora kuliko mitume na manabii wote hamuoni kuwa huyo ni mpinga kristo wakristo tusidanganyike Allah WA kiislamu sio Mungu WA kweli kwasababu Allah sio Yehova Yehova kwetu sisi ni Baba Allah sio baba hataki kuitwa baba wakristo tuna sala tuliopewa na Mwokozi wetu YESU Baba yetu uliyembinguni

  • @emanuelmwanamonga4407
    @emanuelmwanamonga4407 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tufafanulie na judaism

  • @eliamwankenja7087
    @eliamwankenja7087 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu was Eliya

  • @MaryJoseph-o5d
    @MaryJoseph-o5d 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi wa Mungu aliye hai kwa kuokoa roho za watu waliokuwa wamefunikwa gizani kwa udanganyifu, Mungu akulinde mpaka umalize kusudi lake amina

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 10 หลายเดือนก่อน

    Kulikuwa na maandamano ya ushoga Tel Aviv

  • @lawileon8204
    @lawileon8204 10 หลายเดือนก่อน

    Hakika hao kweli watakuwa sinagogi la shetani ni vipandikizi tu.

  • @babafranco3366
    @babafranco3366 10 หลายเดือนก่อน

    Niwafundishe kidogo mpinga kristo anatoka Asia

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 10 หลายเดือนก่อน

    Nakutahadharisha, unaowaita Maaskofu , wamejipa uaskofu , hawajateuliwa wala kupakwa mafuta. Wenyewe wapo, wanajua mengi. Wapo kimya kama Bwana wetu yesu kristo alipokuwa anahukumiwa.

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 10 หลายเดือนก่อน

    Sharom sharom nabii elias nasadiki unacho nifundisha napata neno kamili

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 10 หลายเดือนก่อน

    Sote ni wasomaji vipi kwa makabila yaliyojitenga mawili kwa kumi utasemaje juu yailo maana kama walitenga so kwamba watakuwa wanapatana katika yotehapana .afukumbuka kunawakati makabila mawili yalitaka kwenda kuwavamia wenzao lakini mungu aliwazuia kwamba haiwezekani kumwaga dam zawenzao mungu akawazuia sasa kama wakatihuo walitaka hata kuangamizana sasa leo?ndo watapatana?lazima pamoja na kwamba waoko pamoja hawawezi kupatana ivyo tusishangae wao kutfautiana kwaitikad .wakati ule walitofautiana kwaajiri ya ufalme wa mwana wasuleeman kwajili ya maamuz maabaya kusu skokoa ambalo suleemani aliwapa baadh ya watu lakini baada yakufa mtoto wake akaamua vibaya juuya watu ambao walikwenda kujitetea awapunguzie lakini yeye akubali ushauli wa vijana akawapa utumwa zaid ya ule wa baba yakena ndoikawawazowakujitenga sasa je?kama ndohao?

  • @planetanimals9547
    @planetanimals9547 10 หลายเดือนก่อน

    Nikweli lkn yote hayo nikua Bible imechanganywa na upagani wa warumi ndio maana hao wenzako hawaoni mpaka utumie akili kubwa ndio uone huo upagani ndani ya Bible

  • @SarahMalifedha
    @SarahMalifedha 10 หลายเดือนก่อน

    Yaani we mtumishi ww nakuelewa vizuri mnoo,ubarikiwe.

  • @juliusphabian
    @juliusphabian 10 หลายเดือนก่อน

    Nimwambie kitu alilolipanga Mungu hakuna mtu atakaye pangua lazima maandiko yatimie sio wote waliopangwa kuingia mbinguni

  • @JamesSunga-x9k
    @JamesSunga-x9k 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi barikiwa

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 10 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa kuwapa elim wachungaji maana bendera ya israer imetawara makanisa

  • @MapangaMapanga-wm1hz
    @MapangaMapanga-wm1hz 10 หลายเดือนก่อน

    Nabii eliyas mwanafunzi wako hapa

  • @African511
    @African511 10 หลายเดือนก่อน

    Huwa napenda sana kukusikiliza sana tena sana,na umenijuza vitu vingi sanaa.

  • @NeemaMhina-km8ok
    @NeemaMhina-km8ok 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu kwa kuinua watumishi kwa wakati uliokubalika,

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 10 หลายเดือนก่อน +1

    👊✌👍.

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa ambao hawajui, maadhimisho ya ushoga duniani kilele chake kinaadhimishwa Israeli Kila mwaka

  • @dannyking8908
    @dannyking8908 10 หลายเดือนก่อน

    ase congratulation

  • @charlesgwambegu9188
    @charlesgwambegu9188 10 หลายเดือนก่อน

    Kutoka katika vitabu mbalimbali

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel 10 หลายเดือนก่อน

    Nimekubali kwa asilimiya mia, hiyo nikweli kabisa

  • @EurogiusClavery-sn2wl
    @EurogiusClavery-sn2wl 10 หลายเดือนก่อน +3

    This is nothing but heresy, bro na unajiita ati nabii? You need to repent and unadanganya kuliko unaosema wanadanganya

    • @mabadamabada8631
      @mabadamabada8631 10 หลายเดือนก่อน

      Toa ukweli wako wewe

    • @EurogiusClavery-sn2wl
      @EurogiusClavery-sn2wl 10 หลายเดือนก่อน

      Eliya ni mmoja wa manabii wa uongo PERIOD.

    • @mabadamabada8631
      @mabadamabada8631 10 หลายเดือนก่อน

      Huna mstari ndani ya biblia wala Aya ndani ya quran inayosema Hamza issa au nabii eliya ni Muongo., Unayo?

    • @EurogiusClavery-sn2wl
      @EurogiusClavery-sn2wl 10 หลายเดือนก่อน

      @@mabadamabada8631 I don't need to have a bible verse for me to know that this guy is fake/false prophet, na bila aibu ati anachallenge watumishi wa Mungu shame on him

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kama unajiamini muite mfanye mjadala na watu wachambue mbivu na mbichi, kama unampinga bishop ngonyani wewe ni kichaaa hakuna mwinjilist Tanzania anaemfikia bishop ngonyani Kwa elim ya eskatology hayupo nawanaokufatilia kama wakimsikia bishop ngonyani amini amini watajua ukweli

    • @reginarutazamba5474
      @reginarutazamba5474 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kumbuka Mungu atainua hata mawe, yatangaze injili iwapo, hatutaki kuamini. Ukisema hakuna mtumishi mwingine unakosea, Mungu bado anainua watumishi wapya, tatizo wengine hawachimbui elimu kamili na kusoma zaidi ya biblia.

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 10 หลายเดือนก่อน

      @@reginarutazamba5474 unachosema ni sahihi kabisa ILA Kwa sasa bishoshop ngonya ni hatari JAMA anajua histori na bible labda anaemfuatia ni ndacha WA Kenya sasa nakuomba Gusa linki hiyo na umsikilize Kwa makini Kwanza jamaa hapindishi kila anachosema kina ushahidi th-cam.com/video/fk72vIpZJG0/w-d-xo.htmlsi=W-CEVs5njm5l_irQ,

    • @petermatabwa2133
      @petermatabwa2133 10 หลายเดือนก่อน

      Na akina mgisa mtebe

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 10 หลายเดือนก่อน

      @@petermatabwa2133 ujamsikiliza bishop ngonyani ni generous kama unabisha ingia TH-cam tafuta bishop ngonyani asee jamaa anajua bible na historia sio kawaida

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 10 หลายเดือนก่อน

    Na hata hayo maandaki yaliopo kwenye hospital
    Wameyajenga hao hao waisrael kwa sababuzao
    Wanazozijua huko mbeleni wakati wakijenga hizo hospital
    Baadae hamas waliyastukia ndio yakawa machimbo yao
    Ndio maana sasa wanapiga sehemu hizo wanazijua kindaki ndaki
    Wambie Eliya

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy 10 หลายเดือนก่อน

    Nakikubali sanaa uchambuzi wako u wai tena wa kisomii sana

  • @reginarutazamba5474
    @reginarutazamba5474 10 หลายเดือนก่อน

    Tatizo letu ni elimu ndogo, hatuchimbui kujua siri zote.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 10 หลายเดือนก่อน

      maslahi ya watu tu ila wanayaona vizuri kwa macho

  • @Summaya-o8h
    @Summaya-o8h 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi nakuelewa kabisa mungu akulinde

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa upande wangu nawaamini wote kwani upande wa wazayuni wanaweza wakawa ndo upande wa makabila kumi yaliyojitenga nyakati zile vilevile ata judaizim ni wale kabila kumi nambili zizobakizwa kwaajili ya kumtunzia daudi ufalme kwaiyo wao wakiwa wanapingana ni kawaida nisawa nakuwa na vyama tofaut lakini so kwamba akina netanyau so wayaud hapana

    • @EliyaUhaula-ck3pu
      @EliyaUhaula-ck3pu 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe nae ndugu yangu vp humo kichwani

  • @naujila-rb2mg
    @naujila-rb2mg 10 หลายเดือนก่อน

    tuelezee kuusu ulusi pia

  • @MapangaMapanga-wm1hz
    @MapangaMapanga-wm1hz 10 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana mkuu

  • @JosephBilombelejosbimtungwa
    @JosephBilombelejosbimtungwa 10 หลายเดือนก่อน

    Stachoka kuhuliza professor ,
    Where's physically a true isarael

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 10 หลายเดือนก่อน

      Swali hilo huwa halijibu hata mara moja. Mimi niliuliza swali hilo live lakini sijapata majibu hadi leo na ndiyo maana alikimbia mdahalo tuliokuwa nao online. Akikujibu swali hilo naomba uni tag.

    • @samwelimistri5
      @samwelimistri5 10 หลายเดือนก่อน

      Bado wako uhamishoni ukifika Muda Mungu atawarudisha na watashika Sheria zake. Historia unasema kuwa hao kazar walibadilika na kushika dini ya kiyahudi katika Karne ya 10 ambao ndio haohao inasemekana ni axhkenaz Jews wa sasa

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV 10 หลายเดือนก่อน

      @@samwelimistri5 kwa nini useme inasemekana. Inasemekana na akina nani kama wanao ukweli wote. Kwa nini useme inasemekana. Hii maana yake haina uhakika. Tafut ukweli

    • @samwelimistri5
      @samwelimistri5 10 หลายเดือนก่อน

      @@BAYYINATDMTV bila shaka ni mkristo utanielewa ukisoma mwanzo 10 na Ezekiel 38-39 uhusianishe na Yale yanayotekea sasa middle east

  • @MashakaMtewa
    @MashakaMtewa 10 หลายเดือนก่อน

    Amina amina Baba nakuelewa sana.

  • @ShafiiAthumani-m1i
    @ShafiiAthumani-m1i 10 หลายเดือนก่อน

    Naaam naaam

  • @HenryGuhunga-wx2hm
    @HenryGuhunga-wx2hm 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli imeniweka huru

  • @clemencelisonga8261
    @clemencelisonga8261 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mwongo sana wewe hujui chochote

    • @swalacopper5792
      @swalacopper5792 10 หลายเดือนก่อน +2

      ww unayejua tuambie ukweli

    • @Faithinchrist-4713
      @Faithinchrist-4713 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@swalacopper5792 Kabsaaa atuelimishe yy basi

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂njoo utoe yakwako..iyo elimu....!!!

    • @simonlukiko2850
      @simonlukiko2850 10 หลายเดือนก่อน

      Una zikiliza ya NINI Acha ujinga NENDA kwenye page nyingine

    • @imranjuma1197
      @imranjuma1197 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli watu wa Mungu tuna kazi imagine huyu mjinga anacho sema🚮 huku ujaitwa broo nenda kule kwa ngamaji au gwajima

  • @elishajohn9660
    @elishajohn9660 10 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana sana

  • @samsonthoya4275
    @samsonthoya4275 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni Baba 🙏

  • @issaowden4400
    @issaowden4400 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo hao judaism wapo wabi Mtumishi Eliya, naomba kujuaa.

    • @planetanimals9547
      @planetanimals9547 10 หลายเดือนก่อน +1

      Judaism wapo palepale israel lkn hawana power km hao zionist hapo israel wamefunikwa

    • @issaowden4400
      @issaowden4400 10 หลายเดือนก่อน

      Kwa maelezo ya huyu mtumishi inamana, judaism hawafanyi dhambi kitu ambacho sio kweli, ushoga kuufanya ni maamuzi ya mtu binafsi kama dhambi zingine tu, kingine katumia vifungu viwili tu kuelezea haya mambo, biblia ni kitabu pekee kilichojikamilisha ko kina mawanda mapana sana

  • @JumahAShabani
    @JumahAShabani 10 หลายเดือนก่อน

    Neta nyau Gou

  • @yusuphnundu6113
    @yusuphnundu6113 10 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri mkuu

  • @mwakatundujr1674
    @mwakatundujr1674 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mafundisho yenye vioja😅😅😅

  • @AbuuKajembe
    @AbuuKajembe 10 หลายเดือนก่อน

    Kwel kabisa

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 10 หลายเดือนก่อน +2

    Leo naraha sana nikimaliza kuangalia natoa sadaka yangu🙌🙌🙌😊

    • @Frank-b2d6u
      @Frank-b2d6u 10 หลายเดือนก่อน

      Amina

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 10 หลายเดือนก่อน

    HUYU JAMAA ANATAKIWA AFUNGUE CHUO ILI TANZANIA IKOMBOLEWE.

  • @WAKRISTOKANISALAMUNGU
    @WAKRISTOKANISALAMUNGU 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pumba sana.

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 10 หลายเดือนก่อน

      Kichwa chako kibovu huekew tafsili za biblia we unasoma biblia kama gazeti afu mnadanganya watu jinga kabisa tulia

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 10 หลายเดือนก่อน

    Mekuelewa hata asie elewa darasani akafeli hata std 7 atakuelewa tuu