HIVI ISRAEL HII YA NETANYAHU NDIO ILE YA KWENYE BIBLIA AMBAYO NI KIZAZI CHA YAKOBO?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Video from Nabii Eliya Ilyaas

ความคิดเห็น • 237

  • @ThomasMselle-rw5ej
    @ThomasMselle-rw5ej 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika hiyo ndo injili ya moto. Injili ya kanisa inayofundishwa na Roho mtakatifu. Big up pastor wa kweli. Tofauti na ile inayohubiriwa na maaskofu macardinali kwenye dini na madhehebu yake injili ya kuipenda dunia vyeo dr of divinity, philosophy theology uaskofu, ukardinali, umonsinior etc ofedha, mali kama majumba magari ya fahari ndege na starehe zake. Injili ya dini ni injili ya maandiko ukiifuata utakufa rohoni. Dini na madhehebu yake siyo kanisa bali maigizo tu!! Dini ndizi zilimuua Jesus Kristo na mitume wake.😢

  • @kipkorirbenard273
    @kipkorirbenard273 11 หลายเดือนก่อน +3

    You're doing a great work, I'm blessed

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 11 หลายเดือนก่อน +2

    Niliwaeleza watu kuwa kule israel hakuna wana wa israeli. Watu wakabisha. Asante sana

  • @FrankMjuni
    @FrankMjuni 11 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU akubariki Sana, ni juzi tu nilikuwa nabishana na watu juu ya habari hii!
    Umenifikirisha, Yawezekanaje watu waliomkataa Kristo wajenge Hekalu kwa ajili ya Kristo??? Je wanamjengea nani???

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nukukubali mwamba pamoja sana mkuu jina la yesu lihimidiwe

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 11 หลายเดือนก่อน +21

    Tatizo lako siku hizi unakaa muda mrefu sana bila kutupia nondo, nondo zako nazikubali

    • @noelimori4621
      @noelimori4621 11 หลายเดือนก่อน +1

      Hizi nondo nimezielewa yuko write

  • @fedinandnjeleka4102
    @fedinandnjeleka4102 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ninakufuatilia sana wengi wanatupotosha kwa kusema eti tuko juma la sabini kwa sasa jambo ambalo si kweli majuma sabini yalitimizwa pale majeshi yalipovamia na kubomoa hekalu ambalo halipo hadi sasa.majeshi ya rumi kwa hiyo Israel wa Mungu hawapo kwenye nchi yao

  • @YaaHoldings
    @YaaHoldings 11 หลายเดือนก่อน +4

    Thanks brother God give you more strength in educating our dear brothers Christians and orthodox church is the only church Christ left on earth.

  • @sospetermungai7733
    @sospetermungai7733 11 หลายเดือนก่อน

    Apana mtumishi mungu habadiriki mungu hajatengua agano lake na ibrahimu isaka nayakobo acha kuwadanganya watu was mungu 4:30

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mwanzo walikubeza lakini watakuelewa tu
    Ubarkiwe mzee Lugusha

  • @SalimHassan-g3b
    @SalimHassan-g3b 11 หลายเดือนก่อน +5

    tafsiri yake ni kwamba wale wote ambao wame weka bendera za islael kanisani maana yake ni wapinga kristo

    • @ThomasMselle-rw5ej
      @ThomasMselle-rw5ej 11 หลายเดือนก่อน

      Wamepotezwa na wachungaji wao waliolewa maandiko ya dini. Nikodemu alisaidiwa na Yesu kuelewa NENO maana ya kuzaliwa mara ya pili japo Nikodemo alikuwa mkuu wa mafarisayo waliojifanya kujua maandiko. Hao wapo wengi hadi Leo na wafuasi wao waliowapoteza. Hukupna Eliona Kimaro anawatembeza kule Israeli ya Mwilini. Mulize mstari unaosema nenda kahiji middle east ufike mbinguni. Yaani injili yao ni ya mwilini hasa. Mungu anawaona waliozaliwa kwa Neno na kwa Rohomtakatifu ni bora sana lakini dini inawaonyesha wao ni bure bora malaika. Hawajui thamani yao. Lijue NENO na kulitenda Kristo na BABA atahamia kwako na kufanya makao kwako na kujidhihirisha kwako atakufunulia maandiko na mambo ambayo jicho halijawahi kuona au sikio kusikia. Je neno hili ni jipya kwenu. Ubarikiwe mtumishi piga kazi

    • @flova7022
      @flova7022 11 หลายเดือนก่อน +1

      Sio maanake ..mm nna bendera..na nna Kiri Jesu ndiye mahiya

    • @majaliwawilson9372
      @majaliwawilson9372 11 หลายเดือนก่อน +1

      Hawajuwi na lait wakijuwa hawawez kuweka kwani teal elim wakipata wanajuwa nimapandikizi

  • @josephmasenga3517
    @josephmasenga3517 11 หลายเดือนก่อน +8

    Ni kweli Nabii. This is theological well explained. Be blessed by God.

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hata uwapigie madebe na kengere kama hawana roho mtakatifu hawezi jua lolote..🙏🙏🙏

  • @planetanimals9547
    @planetanimals9547 11 หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea vzr sana inabidi uwazindue wakristo maana walio wengi hajui kitu wanafuata tu! Wayahudi wale niwapinga wakiristo kweli wanawapinga hata wale wakristo wanaoishi palestina nampinga ukiristo atatokea kwao!

  • @comraderashid_nuru_m5260
    @comraderashid_nuru_m5260 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekuelewa moja kwa moja

  • @christophersway
    @christophersway 11 หลายเดือนก่อน +1

    nimekufuatilia sana, ila Nimegundua unasura mbili, kwanz unawaambiaje watu eti yesu ndiye issa bin Mariam? Huo Ni uwongo, yesu alizaliwa kweny hori la kulishia ng'ombe, isa alizaliwa chini ya mtende, je? Mtu mmoja awezaje kuzaliwa sehem mbili? Halafu kwa habar ya wayahud mda wao wa kumkir yesu bado, hv leo kuna muislam anaye mkubali yesu? Halaf kuna tofaut kati ya wayahud na waizrael. Ndo maana hujawah kusikia ugomv kati ya uislam na wayahud, Bali Ni uislam na ukristo.

    • @kibaikiramadhani1475
      @kibaikiramadhani1475 11 หลายเดือนก่อน

      Ww hujui maandiko waislam wanamwani yesu km mtume wa mungu hata yy mwenyweanasema hvo

  • @thesimzfamily7961
    @thesimzfamily7961 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekuelewaa sana mtumishi ubarikiwe

  • @cosmaspeterkamugisha2988
    @cosmaspeterkamugisha2988 11 หลายเดือนก่อน +1

    Unachoeleza sio sahihi
    Kasome
    Ufunuo vizuri sawa

  • @MAGRETHMAKANGE
    @MAGRETHMAKANGE 11 หลายเดือนก่อน +2

    Haya ndio mafundisho muhimu ambayo wengi wameyakosa.Be blessed

  • @jumabuckary7698
    @jumabuckary7698 11 หลายเดือนก่อน +1

    Somo lako tunafatilia zuri Sana Ila video inamalizika wakati bado unaongea

  • @NeroForte_
    @NeroForte_ 11 หลายเดือนก่อน +14

    THIS IS VERY SPIRITUAL, wapelekewe watu wote huu ufunuo.

  • @TinaMbilinyi-v5g
    @TinaMbilinyi-v5g 11 หลายเดือนก่อน +6

    Ni vigumu sana watu kukuelewa kwasababu unachokifundisha ni mpaka mtu awe na roho ya kristo ndani ndipo ataelewa unachokisema,binafsi namshukulu Mungu kwa uwepo wako.

    • @JoshuaMwamala-z1g
      @JoshuaMwamala-z1g 11 หลายเดือนก่อน +1

      Pamoja na kwamba walimkataa Yesu wapo masaria wanaomkubali na wengi walikufa ktk yeye.Ila Mungu ajamuacha israel atamrudia tena somen vizur neno la Mungu.

  • @peteromondi2254
    @peteromondi2254 11 หลายเดือนก่อน +6

    Asante sana nabii ni muda mrefu tangu uje hewani

  • @AbrahamBoaz
    @AbrahamBoaz 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ubarikiwe pastor

  • @erkusrichard2593
    @erkusrichard2593 11 หลายเดือนก่อน +4

    Umetufungua sana akili tulikuwa kwenye kiza kinene May God bless and empewer you,

  • @MichaelVicent-k7h
    @MichaelVicent-k7h 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nakufatilia Sana kitambo akika Mungu Amekupa Akili na Upambanuzi wa Ali ya Juu

  • @MichaelAbel-v3m
    @MichaelAbel-v3m 11 หลายเดือนก่อน

    Halijaisha,ni mawazo yako;Israel.mzabibu wa asiri, mzabibu mwitu ni mataifa inje ya lsrael,hivyo unachanganya ,wewe ni mpinga Kristo Wala hujui Biblia.Amen

  • @yohanaedward-ox2py
    @yohanaedward-ox2py 11 หลายเดือนก่อน

    The reason Jesus prayed not to be crucified.( math.38~39.)concern for God
    2 concern for his followers
    3 concern for Israel.
    IF THE PEOPLE OF ISRAEL HAD FOLLOWED JESUS.
    1 Kingdom of Heaven Established on Earth
    2 No Jewish -Christian Split
    3 No persecution of Christians
    4 No second Coming
    When God first created man,he created him to grow to perfection only by man's completing a share of responsibility. Man can either accomplish his responsibility, as God wants to do,or to the contrary, he can fail to accomplish accordingly, So it was necessary that God give two kinds of prophecies regarding the fulfillment of his Will.
    So its God's responsibility to send the Messiah but it is man's responsibility to believe in unfortunately, by not accepting Jesus,the Israelites failed to fulfill their responsibility :they did not fulfill God's primary prophecies for the Messiah's coming, which are in Isaiah 9,11 and 60 and Luke 1:31~33,but to the contrary, carried out the alternative or secondary prophecy of the sufferings Messiah, In Isaiah 53 7:47

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 11 หลายเดือนก่อน

    Acha UONGO. Agano MUNGU alilomwapia Ibrahim, Isaac na Israel na mfalme Daud halita badilika. Soma neno acha UONGO.

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 11 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu bwana keshapotea akili ziliruka siomzima tena 😏😏😏

    • @shukurumsebaloli
      @shukurumsebaloli 11 หลายเดือนก่อน +2

      Wendio siyo mzima

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@shukurumsebaloli kesha chizika kitambo kwani hujui uso umekosa nuru , kwamambo ya kishetani alijingiza

    • @changarawemichael5556
      @changarawemichael5556 11 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ni muislam ambae mwanzo alisoma saaana biblia ili aikosoe ndio kaishia huku watu wengi wa miadhara utakuta mwanzoni walikuaga waislam kwaio wanajikuta wanaelewa saaana biblia kuhusu kitabu chao

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 11 หลายเดือนก่อน +3

    Uko vizuri sana na unafafanua vizur sana

  • @goodluckkinyunyu3340
    @goodluckkinyunyu3340 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ni vizuri ukafundisha sawa sawa na maandiko na ufunuo wa Roho mtakatifu na sio kwa Elimu yako.

  • @FrankMjuni
    @FrankMjuni 11 หลายเดือนก่อน

    Na ukiwauliza, ni kitu gani ambacho Mungu ameibariki hyo Israel ya Netanyau ambacho wewe hajakubariki??? Hawajibu

  • @medardkalinjuma5503
    @medardkalinjuma5503 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni MKRISTO aliyevaa kibalagashia mwenye chuki na Taifa teule la Israel. Ninahakika huyu kakutana na mayesu wa kisasa km wakenya . andiken ISRAEL KATIKATI UNABII utawasikiliza watumishi wa Mungu akina askofu Gamanywa wachambua kuanzia asili na kila kitu utaelewa kabisa achana na huyu shekhe

  • @FrankMjuni
    @FrankMjuni 11 หลายเดือนก่อน

    Yohana 1;12
    Unaweza ukawa umezaliwa Jerusalem mjini katikati ya mji na ukawa haumini ka Kristo ni Bwana kwa definition hii ya Yohana wewe sio mwana WA Israel!

  • @peterlutemela9874
    @peterlutemela9874 9 หลายเดือนก่อน

    Nabii naomba kuuliza kwanini ulusi inashelekea Christmas tar 7/12 Kuna utofaut gani hapa naomba ufundishe

  • @YaaHoldings
    @YaaHoldings 10 หลายเดือนก่อน

    All the world will know the true orthodox church and its teaching ... God bless Russian Putin and the whole orthodox Christian church.

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 11 หลายเดือนก่อน

    Acha kidanganya watu wa MUNGU , unajiita nabii na hujui maandiko. Very sad.
    Endeleeni kudanganywa tu!

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi huyu ni mwislamu au ni mwenzetu ktk Kristo ,jibu tafadhali,

    • @DR.SAIFILLAH.5363
      @DR.SAIFILLAH.5363 35 นาทีที่ผ่านมา

      Kwaio kama ni muislamu akisema ukweli ukweli wake usipokelewe??

  • @FrankMjuni
    @FrankMjuni 11 หลายเดือนก่อน

    Kitu kinaniuma Sana ni kuona watu wamebeba bendera za Israel, kanga za Israel, wanaamini Israel Kama physical boundaries yaani Ile milima mabonde, lakini definition ya Israel ni mwana wa Ibrahim ambayo ni Imani ya kuamini kuwa Kristo ni Bwana!

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe mchungaji feki,acha kupotosha watu,maandiko yako wazi sana

  • @joshuakimanthi6930
    @joshuakimanthi6930 11 หลายเดือนก่อน

    Haujui ISRAEL ni nani wala YESU ni nani.
    Soma Bibilia yako vizuri.

  • @goodluckkinyunyu3340
    @goodluckkinyunyu3340 11 หลายเดือนก่อน

    Nabii Elia,Alitwaliwa wewe umerudi lini kinyume cha maandiko??!!!

  • @wignaspaschal38
    @wignaspaschal38 11 หลายเดือนก่อน +1

    Waambie Ukweli ufalme ulipoondolewa Israel ulipelekwa kwa taifa lingine (Wana wa Ishmael) taifa la Mungu sasaivi ni waislam ahadi hii alipewa Ishmael na Ibrahim Babaake soma Genesis .

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 11 หลายเดือนก่อน

      Acha uongo ww et Wana wa Ishmael Bible haikusema Kwa TAIFA lingine imesema Kwa MATAIFA mengine pia utambuwe hao Warabu ndiyo wamepotea kabisa labda kama wataamini kuwa yesu alikufa na kufufuka.
      Matendo 28:28
      Halafu Paulo akasema, “Jueni basi, kwamba ujumbe wa Mungu juu ya wokovu umepelekwa kwa watu wa mataifa. Wao watasikiliza!” [

  • @KamgishaIsaya
    @KamgishaIsaya 3 วันที่ผ่านมา

    Lakini shehee amza eneo usika yaani haridhi usika chimbuko la manabii ni wapi???

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 11 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi Israeli wapo wanaoamini kristo na wengine hawaamini.kuna wayahudi,wakristo,na waislaam.

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 11 หลายเดือนก่อน

    Ibrahimu sio myahudi Wala sio mkristo Mr umedunda we ni mtu unahitajia Dunia agherh huna lolote Bali Israel ni wamelaaniwa Wapaelestina wapo sahihi mashaallah

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa sehemu sikubaliani na ww.Naamini Israel hii ya Netanyahu ndio ile Israel ya zamani.Ww hayo ni mawazo yako na mimi nina mawazo yangu.Huwezi kuniaminisha kuwa waisrael waliopo sasa pale Israel sio waisrael nami nikakubali kirahisi.kila mtu bibilia anaijua na anatafsiri zake.

  • @fressoj-mova8640
    @fressoj-mova8640 11 หลายเดือนก่อน

    Mzee apo umepita kushoto ufalme haukuondolewa ila alisema unawez ondolewa, tuoneshe andiko likisema umeondolewa ufalme wa mungu katka israel

  • @KamgishaIsaya
    @KamgishaIsaya 3 วันที่ผ่านมา

    ASANTE nabii hamza kwa kuwa fungua macho watu.

  • @neemasanga5333
    @neemasanga5333 11 หลายเดือนก่อน +2

    Biblia ni msitu mnene kila mtu
    Anajimegea kipande chake
    Shika sana ulichonacho asije
    Mtu akaitwaa taji yako, SHALOM ISRAELI SHALOM JERUSALEM 🇳🇮🙌.

  • @Elisha-s6d
    @Elisha-s6d 11 หลายเดือนก่อน

    Unaongea hata hujielewi we mzee. Pole san subiria hukumu tu ww

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huna lolote we mrutadi

  • @straitnews3441
    @straitnews3441 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa ww unafikiri mungu aliwaaacha wayahudi moja kwa moja?????

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 11 หลายเดือนก่อน +1

    Acha uongo wewe... soma Warumi.. ROMANS 11:24-26...

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nadhamini mno mahubiri yako, lkn nilikuwa mwanafunzi wako kwenye group la WhatsApp nilikatwa huenda nilijioa pacpo kujua ikikupendeza niunge tena.
    Barikiwa zaidi mtumishi

  • @joshuajereman7510
    @joshuajereman7510 11 หลายเดือนก่อน +2

    Israel gani mashogaa ware wapigwetu

  • @maryammo-gd3me
    @maryammo-gd3me 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mtume alokosa kitabu anatumia vitabu vya mitume iliyopita😂

  • @YusterTitus-vz1cq
    @YusterTitus-vz1cq 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewa xna ila unanichanganya kusema we ni nabii elia

  • @jamaldeenmakenga
    @jamaldeenmakenga 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kama utafanikiwa kumfahamu paulo vizuri utaacha kutumia vitabu vyake,
    Mission ya Paulo ilikuwa ni kuibadili injili ya kweli ya Yesu Kristo na kuingiza upagani.

  • @R.mkushi-vo2hn
    @R.mkushi-vo2hn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Isaya 28:13-20

  • @YasryKasanga
    @YasryKasanga 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa sasa Aleruya wahisilam awataki waongo aito gusa uislam

  • @denmuskarisamulewa4743
    @denmuskarisamulewa4743 10 หลายเดือนก่อน

    Waislam wana amini yesu anashukia msikitini una amini Hilo?

  • @swalekhRamadhani
    @swalekhRamadhani 10 หลายเดือนก่อน

    Unapotosha watu et unajiita shekhe

  • @abdulrazaqfils4234
    @abdulrazaqfils4234 11 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂 wewe kaka Elia 😂😂😂😂ni wewe Tena

  • @johndelefa973
    @johndelefa973 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu imefundisha Vizuri, lakini umetaja juu ya jina Isa bin Mariam ni Yesu.
    Naomba kujua nini maana ya jina Isa, na asili yake ni wapi hilo jina Isa!???

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 11 หลายเดือนก่อน +1

      Check spelling,,, yissa (kiarab) yesu kiswahi, Jesus kingereza, mbona huulizi Mariam NI yupi, na vitabu vyote vinasema mamake yesu NI Mariam,

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 11 หลายเดือนก่อน

    YESU ndio mfalme wa wafalme.
    Lakini Israel ni mbarikiwa na siku ya mwisho atapata neema tena na akiamini ataokoka

  • @RojahKamalza-lw3ls
    @RojahKamalza-lw3ls 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kuna bibi harusi og, ndo Israel, na kuna bibi arusi wa ziada, baada ya yule og kusumbua, lakini ipo siku YESU KRISTO, atamkubali na yule og baada ya masamaha yake. Soma kitabu cha ezekieli sura ya 39:1-29 udhihirisho kua Israel ni walewale akinanathanyahu wa sasa utazame vizuri mstari wa 23-25, anatajwa yakobo hapo! Na yakobo sio baba wa mataifa kama alivo kua ibrahimu, sisi mataifa mengine hatuwezi kua sawa na Israel, sisi tumepata wakovu kwa neema tu.

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 11 หลายเดือนก่อน

    Sio taifa lingine bana ni mataifa mengine
    😀

  • @azizmiraji2610
    @azizmiraji2610 หลายเดือนก่อน

    Kaka njaa inakupeleka pabaya sana

  • @samwellekuraa32
    @samwellekuraa32 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ubarikiwe mahali ulipo

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 11 หลายเดือนก่อน +2

    Subhanallah

  • @AtanasBarigendele-cu7cg
    @AtanasBarigendele-cu7cg 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsantesanamtumishi MUNGu Akutienguvu

  • @samsonmwaipaja4839
    @samsonmwaipaja4839 7 หลายเดือนก่อน

    Ee SI kweli ndugu

  • @mpokimwakisimba692
    @mpokimwakisimba692 11 หลายเดือนก่อน +1

    Very powerful

  • @EsitaDavid2-wp1uf
    @EsitaDavid2-wp1uf 11 หลายเดือนก่อน

    NDIO YENYEWE NAIBARIKI ISRAEL,NA ITAKUJA KUKOMBOLEWA NA YESU ,BAAADA YA KANISA KUNYAKULIWA.

    • @mabadamabada8631
      @mabadamabada8631 11 หลายเดือนก่อน

      Ile ardhi ni ardhi ya israel lakini siyo watu (wazayuni) waliopo sasa pale.

  • @richardkunambi9400
    @richardkunambi9400 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kama sio waisrael je na ile nchi inaitwaje ?

    • @shukurumsebaloli
      @shukurumsebaloli 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mzee unashindwa kuelewa

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 11 หลายเดือนก่อน

    Uliyosema ni kweli kabisa Wa-Israel *HAWAMKUBALI YESU* (Nabii Isa) AMKENI.

  • @danchaz7236
    @danchaz7236 22 วันที่ผ่านมา

    Umeeleweka saaaana kaka

  • @simonlemein3530
    @simonlemein3530 11 หลายเดือนก่อน +2

    Amen from Kenya

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 11 หลายเดือนก่อน +1

    AMINA 🙏🙏🙏💯

  • @AlieMdogo-oi6il
    @AlieMdogo-oi6il 11 หลายเดือนก่อน +2

    Amina

  • @ajuayeofficial
    @ajuayeofficial 11 หลายเดือนก่อน

    Ndg zangu wakristo hakika mmepotea, maana hamna njia sahihi Kuna ambao had Leo wanaamin Israel n taifa la mungu, na wengine hawajui hata wakae wapi aisee mna upofu wa kutosha

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sio wote kama tanzania sio wote kenya sio wote wamwaminio kristo ndivyo ilivyo pia hapo Mungu anawatu wake hapo hapo israel

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 11 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa rehema

  • @jacobnyattam.3385
    @jacobnyattam.3385 11 หลายเดือนก่อน

    info haitoshi

  • @babaloisethan7010
    @babaloisethan7010 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nakuelewa vizuri Sana ,mwl

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli utatuweka huru

  • @ntazindajeanmarievianney1843
    @ntazindajeanmarievianney1843 11 หลายเดือนก่อน

    Ukweli kbs

  • @OscarMapunda
    @OscarMapunda 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli

  • @godsonmosi8428
    @godsonmosi8428 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna kitu najifunza hapa

  • @mbwaggermndali2038
    @mbwaggermndali2038 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hii nondo ni moto Sana........Shalom Mtumishi!!!!

    • @avinbely385
      @avinbely385 11 หลายเดือนก่อน +2

      Ya moto kweli kweli, Shalom

  • @mwandisimfukwe326
    @mwandisimfukwe326 11 หลายเดือนก่อน +1

    ila wao wanasecond chance according to bible soma vizuri

  • @johnoremo
    @johnoremo 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @BenjaminHenry
    @BenjaminHenry 11 หลายเดือนก่อน +7

    Roho wa Elia inakuja duniani mara tano. 1 Elia, 2 Elisha, 3 Yohana Mbatizaji ktk Malaki 3, 4 william Branham ktk wakati huu tunaoishi, 5 Elia atakuja na Musa wakiwa wamevaa mavazi ya magunia na kwenda Israel kuwahubiria kuhusu masihi walie mkataa. Na ndipo wataokolewa wale mia moja na arobaini na nne elfu ambao wataamini ujumbe huo
    Na ujumbe au mahubiri yatakao pelekwa kwao ni haya ambayo tumehubiriwa na mjumbe William Branham na itakua ni baada ya sisi bibiarusi wa mataifa kwenda ktk unyakuo. Kwahio ilikua ni upofu Mungu aliwapiga upofu wasimtambue masihi ili neema ije kwetu sisi mataifa kwanza na sisi baadae. Kwahio bibi arusi wa Yesu kristo wa mataifa atanyakuliwa pamoja na watakatifu wote walio lala mavumbini ktk nyakati zote saba. Watafufuliwa tuondoke pamoja na kila Mjumbe( Nabii) atasimama mbele za Mungu akiwa na waumini wake wale walio amini ujumbe wake au kwa lugha rahisi kila mjumbe atasimama na kanisa lake, wajumbe wote saba ambao ni Paulo, Ireneo, Martin, Columba,Luther, Wesley na William Marion Branham. Kwahio tutakuwa kwenye karamu hewani kwa miaka mitatu na nusu . Wakati huo huo ndio Mussa na Elia wanawahubiria kule Israel ili wapatikane 144000. Baadae watakapo patikana Ndipo Bwana Yesu atatuacha karamuni kwa kitambo kidogo kwenda sasa kujitambulisha kwao na ndio sasa pale kwenye maandiko anasema watamuuliza makovu hayo umeyapata wapi? Ndipo atawajibu na kuwaambia ni miongoni mwa ndugu zangu. Nao watalia sana na kuomboleza. Pia bila kusahau ndani ya hio miaka mitatu na nusu ni ziki kuu inaendelea huku kwetu mataifa.

    • @imranihussen5764
      @imranihussen5764 11 หลายเดือนก่อน +1

      Acha bangi

    • @BenjaminHenry
      @BenjaminHenry 11 หลายเดือนก่อน

      We ita bangi au vyovyote utakavyo lakini nikwambie kitu kimoja kwamba haya maneno nnayo kwambia siku moja utakuja kuyakumbuka na utakuwa umesha chelewa sana. Nabii Elia alie tumwa na Mungu ktk wakati huu ni William Marrion Branham peke yake. Nyie endeleeni kudanganywa na Eliasa Muigizaji. Kwa taarifa yenu huyu Eliasa wenu anachukua nukuu za William Branham halafu anatumia kuhubiria. Ingia kwenye mtandao umsome Nabii wa kweli wa Mungu na umwamini huyo. Nje na huyo hamna wokovu acheni upumbavu mtapoteaa.

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@imranihussen5764😂😂😂dah!

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 11 หลายเดือนก่อน +2

      Uko vizuri Mzee, ila umemsahau simioni, maana alipewa mihadi na YESU KRISTO, Kwa ufalme wa duniani, hata mbinguni.

    • @jacobjohn6852
      @jacobjohn6852 11 หลายเดือนก่อน +1

      Uongo wenye maneno matamu.

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante, ubarikiwe mtumishi wa Mungu.

  • @MichaelVicent-k7h
    @MichaelVicent-k7h 11 หลายเดือนก่อน

    lla tambua unyakuo Umekalibia mana hii ndio Vita ya mwisho Kwa lsrael lli Yesu Awakute kwenye Vita hii ya Al-magedon,,kuna linasema, Uonapo chafuko linasimama patakatifu pa patakatifu Tambua kuja Kwa mwana wa Adamu kumekalibia ni Wale Wamchao Mungu ndio wanaotambua Jambo hili

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu alisema atawakusanya wana wa israeli huko waliko na jambo hilo litazidi lile lakupasua bahari ya israeli

  • @hamadmakame6040
    @hamadmakame6040 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu si ndio Yule alie jiita mtume

    • @tashone7884
      @tashone7884 11 หลายเดือนก่อน

      Waislamu walikataa utume wake amekuwa mtume upande wa pili

  • @williammkenda5879
    @williammkenda5879 11 หลายเดือนก่อน

    We ndo ulifunga nvua kw jina lako, na mvua haikukuskia ikanyesha,,,,leo unatudanganya ten mwongo wew sikuamini.