Afaaizu Luheta - I miss you Mama(Official Nasheed Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 283

  • @AfaaizuLuheta
    @AfaaizuLuheta  3 ปีที่แล้ว +4

    Follow me insta:instagram.com/p/COljp5Rp4Lp/?

    • @DadaFiya-ge4lm
      @DadaFiya-ge4lm ปีที่แล้ว

      Allah akupe umri mlefu ili 2angliya nashidi zko mnzuri San👍

    • @hajratysaidy
      @hajratysaidy 10 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

  • @El-abryBintabdallah-o5i
    @El-abryBintabdallah-o5i 7 วันที่ผ่านมา +1

    ❤ Nimeipend sannnnnnaaaa mashallh nzury balaaaa

  • @luqmanyusuf1794
    @luqmanyusuf1794 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah allah akuzidishie kipaji olichonacho 👌👌👌

  • @abalqasimmfaumehassan6926
    @abalqasimmfaumehassan6926 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah safi kabisa nimeipenda Allah akupe kila la kheri

  • @khalfanabdallah8996
    @khalfanabdallah8996 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah allah awajaalie maisha marefu

  • @queen-yx8uo
    @queen-yx8uo 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaah nzr sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana Mashallah alf mashallah hasbiyallah alf mashallah hasbiyallah inagusa sana

  • @binnyundoofficial
    @binnyundoofficial 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaa Allah yaan hii ni kivyengine balaa on balaa

  • @suleimanshaaban4268
    @suleimanshaaban4268 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallaaaah nashdi imeenda shule imetugusa wingi sana. Asante sana broo

  • @hashyatkid1716
    @hashyatkid1716 3 ปีที่แล้ว +9

    Mashaallah mashaallah nzuri sna Kazi Hadi inanitoa machozi

  • @nassiralramadhany744
    @nassiralramadhany744 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashaa Allah kazi nimeikubali zaidi ya sana

  • @shadyasaleh5952
    @shadyasaleh5952 3 ปีที่แล้ว +5

    Kweli kbs maisha ya boarding bila wazeee twatesekaaa

  • @shufaaissa7065
    @shufaaissa7065 ปีที่แล้ว +10

    Kama umeipenda hii kwasida tia like no Mimi wako muislam mwenzako sersengoh or shabdifa was airport karakata

    • @MasturaMohd-e7w
      @MasturaMohd-e7w 5 หลายเดือนก่อน

      Mhhh ipo ammeizing sana🎉

  • @ustjumanasheed1228
    @ustjumanasheed1228 3 ปีที่แล้ว +5

    Masha allah kazi nzr sna asnt

  • @mylovetrueloveeverything4722
    @mylovetrueloveeverything4722 3 ปีที่แล้ว +18

    Subhanallah 😭 😭 Allah Ampe jannah firdous mama Angu

  • @muhammadmbinda1623
    @muhammadmbinda1623 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah fundii safiii ...

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 3 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😢😢😢😢😢😢I miss u mama Dah!!imenitouch Allah anikutanishe na mama angu kipenz nikiwa na furaha na mama ang awe na furaha 😢😢😢😢😢

  • @abufatmah9055
    @abufatmah9055 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah
    Hakuna mpenzi kama mama
    ILOVE YOU MY MOM💕💕👪👪

  • @salumyayu8404
    @salumyayu8404 3 ปีที่แล้ว +16

    Hatari kubwa saannaaa

  • @rashidhassan8218
    @rashidhassan8218 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwel affaizu unaweza mung akuweke phala pema katka mafanikio yko

  • @binothmannasheed8910
    @binothmannasheed8910 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Kaz mzur afaiz hatar kubwa sana

  • @IBRAHMEDIATZ
    @IBRAHMEDIATZ 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah Masha Allah Hii ni kubwa kuliko

  • @Official_Shaqiiq
    @Official_Shaqiiq 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah Mabadiliko Makubwa Mwamba Umekuja Nayo Allah Azidi Kukubarik Mwalim Wangu

  • @mahmoudmohamed4826
    @mahmoudmohamed4826 3 ปีที่แล้ว +15

    I Miss my mamaa🥺🥺🥺🥺😭😭😭😭

  • @YussraSeif
    @YussraSeif 21 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤ nakupnda jamniii afaizu luheta my Best choice napenda Sana nasheed ❤❤❤

  • @Arkan_tv7
    @Arkan_tv7 3 ปีที่แล้ว +8

    Good Nasheed asnt snaaa kwa nasheed yenye ujumbe mzur

  • @yaskidesaid5094
    @yaskidesaid5094 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah br9 ujumbe mzr umefika ww nd0 king wa nasheed

  • @tajibetese5567
    @tajibetese5567 3 ปีที่แล้ว +6

    Mama yangu mola akuweke miaka mingi

  • @qaisomarmunshid8934
    @qaisomarmunshid8934 3 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah munshid we hatari kumbe umeshalifanikisha jambo😊😊🙏

  • @abdulrahmansaid7922
    @abdulrahmansaid7922 3 ปีที่แล้ว +7

    I miss you mama nashed mzuri sana🙏

  • @saumnuru5153
    @saumnuru5153 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah mashallah mashallah 😍😍 Allah akujalie kila lakher

  • @muadhabubakar1999
    @muadhabubakar1999 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah
    Kiongozi kazi nzuri
    Allah akuzidishie InshaAllah

  • @hysamadam9838
    @hysamadam9838 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah.. daah umeugusa sana moyo wangu... Keep it up... Love u my mom

  • @MudrikAljadidy
    @MudrikAljadidy 3 ปีที่แล้ว +8

    Hey world come and see this great talent from the beautiful country Tanzania🇹🇿.Afaaizu Allah akuhifadhi ndugu yangu una kipaji kikubwa Sana. Allah Akupe taufiq na ikhlas uzidi kutoa kazi nzuri Kila leo🌹🌹

  • @zakiyamalik9715
    @zakiyamalik9715 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuka bali na mama ni tabu Sana afaaiz mashallah 😘

  • @MwanaidiAthumani-f5d
    @MwanaidiAthumani-f5d ปีที่แล้ว

    ❤❤nafarijika xan nahizi naxheed kwakwel nakukubal too much ❤❤❤

  • @shemsakombo6206
    @shemsakombo6206 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah,ni nzur kuliko

  • @skam8800
    @skam8800 3 ปีที่แล้ว +6

    Hatar kubwa sana baba

  • @midoozil9242
    @midoozil9242 3 ปีที่แล้ว +5

    I miss mama maaha allah saf sana

  • @zaituniomar4182
    @zaituniomar4182 3 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa allah afaaizu😍😍😍😍💗💗💗

  • @lutfiakombokhamis7038
    @lutfiakombokhamis7038 3 ปีที่แล้ว +6

    Ma sha allah....so nice.....I.really like it.....very emotional💖💞miss u mom...allah awape afya njema mama zetu ....awape kila la kheir na awaepushie kila la shar..ammin ...mom is the best

  • @mamafeisal2546
    @mamafeisal2546 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah....... Miss my mum tu 6 months now mbali na mamngu 😪😪😪😪

  • @rajimaalik.nasheed4237
    @rajimaalik.nasheed4237 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaa Allah kiongoz luheta

  • @tamimumelly3581
    @tamimumelly3581 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah ila tatizo unapotea sana akhy

  • @barghashally7791
    @barghashally7791 3 ปีที่แล้ว +3

    Wewe afaaiz ni mwezi ktk nasheed na wengine ni nyota ukichomoza nyota zote zina jificha.

  • @edmondwestminster5295
    @edmondwestminster5295 3 ปีที่แล้ว +13

    I can't stop replaying this song! I pray that The Almighty reward you my brother

  • @mouzaamour3205
    @mouzaamour3205 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashalllah afaiz mm nakusupport .😊😊.ur are the best😢😊😊

  • @saumnuru5153
    @saumnuru5153 3 ปีที่แล้ว +4

    Nasheed saf San 💕💕💕

  • @brother_asam7323
    @brother_asam7323 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah mashaaallah nassaaim juu kabisaa

  • @ifrahabdirahim3802
    @ifrahabdirahim3802 2 ปีที่แล้ว +3

    Najiforce kuizoea hali, ila moyo bado haukubali💔😭 may Allah grant you highest rank in Jannah 🤲♥️

  • @ghanimamohammed5305
    @ghanimamohammed5305 3 ปีที่แล้ว +8

    I miss u my Mom😭😭😭Mashaallah bro na hongera kwa burudan nzuri👌👌👌

  • @salimsaid3960
    @salimsaid3960 3 ปีที่แล้ว +5

    ❤️❤️❤️❤️ Ma shaa Allah.. Allah akulipe kila la kheir kaka ameen.

  • @BrotherMasoud
    @BrotherMasoud 3 ปีที่แล้ว +3

    Balaaa hili

  • @kautharmbarak8667
    @kautharmbarak8667 3 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah kaka afaaiz Allah akujaalie kila la kher

  • @nabrisahtwaha2712
    @nabrisahtwaha2712 3 ปีที่แล้ว +5

    hatari kubwa sana Luheta, I pass my love to all the Mothers around the world

  • @abuubaidahtz5132
    @abuubaidahtz5132 3 ปีที่แล้ว +3

    Maasha Allah inapendeza My brother

  • @zaharanisambala3061
    @zaharanisambala3061 3 ปีที่แล้ว +5

    Dah dah! Imenikosha

  • @islamrashid5451
    @islamrashid5451 3 ปีที่แล้ว +3

    Maa Shaa Allaah, Maa Shaa Allaah...kazi kubwa

  • @tajibetese5567
    @tajibetese5567 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hii nasheed inajua kunimalizia mb afaaizu Allah akuweke Sanaa🙏

  • @bindauud6596
    @bindauud6596 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah kazi kubwa

  • @mrsum9820
    @mrsum9820 3 ปีที่แล้ว +6

    Maasha llah bro, good luck

  • @zainabsaid3065
    @zainabsaid3065 3 ปีที่แล้ว +3

    Love from kenya nasheed nzuri sana

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe uwezo wakutoa nasheed nzuri Zaid ,nakubali kazi

  • @rahmaally4670
    @rahmaally4670 2 ปีที่แล้ว

    Mashs allah nampongeza sana afaizu luheta

  • @yusconasaaim3871
    @yusconasaaim3871 3 ปีที่แล้ว +4

    Khatwary na nusu🥺🥺

  • @officiallycyra6944
    @officiallycyra6944 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akulehem Mama angu

  • @ngosoboymjeshi5248
    @ngosoboymjeshi5248 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah nashid mzuri sana hiiii love mama

  • @mariammohammed3659
    @mariammohammed3659 2 ปีที่แล้ว

    Bro afaaiz cjutii mb zangu kuckiliza ur blessed voice

  • @mrkassimom9451
    @mrkassimom9451 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzr akhwiyy hongera

  • @kawangatvonline8069
    @kawangatvonline8069 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah kazi mzuri sana

  • @abdulrahmansaid7922
    @abdulrahmansaid7922 3 ปีที่แล้ว +2

    Ma sha Allah nashed mzuri sana

  • @saeki3095
    @saeki3095 8 หลายเดือนก่อน

    Yani umetishaaaaaa❤❤❤

  • @salimawamy3506
    @salimawamy3506 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mashabaab wapo safii🤣🤣🤣🤣

  • @wardasalim2135
    @wardasalim2135 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ..
    Supporting u..bro..

  • @rashidkhamis2801
    @rashidkhamis2801 3 ปีที่แล้ว +1

    hatari sanaa👍👍👍

  • @lilamaduk6402
    @lilamaduk6402 3 ปีที่แล้ว +9

    One of the best songs ever made for mothers!!! This nasheed made me love and miss my mom even more May Allah bless you abundantly brother and hashyat too and her family👏👍👍👍👍👍👍👍☺

  • @moo_zein8504
    @moo_zein8504 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭💝💝💖👍👊🙏👑nice work akhy umefany mabadilik san kka

  • @BethWambui-fr3ix
    @BethWambui-fr3ix 7 หลายเดือนก่อน

    I really like your songs the have a very good moral lesson keep it up afaaizu

  • @tajibetese5567
    @tajibetese5567 3 ปีที่แล้ว

    Daaah hii nasheed naipenda kiwango cha rami

  • @musamanase8556
    @musamanase8556 2 ปีที่แล้ว +1

    Better work you touch my heart brother coz am also love my mom more than 2much

  • @ashasarum4221
    @ashasarum4221 3 ปีที่แล้ว +4

    Bismillah mashaallah😍😍😍 keep it up 😍

  • @mahmoudbatwashy9206
    @mahmoudbatwashy9206 3 ปีที่แล้ว

    Big up we ni namba 1

  • @MasturaMohd-e7w
    @MasturaMohd-e7w 5 หลายเดือนก่อน

    Nasheed ipo ammeizing san❤❤❤

  • @yussufcalibso7474
    @yussufcalibso7474 3 ปีที่แล้ว +19

    Mashaallah Nasheed Safi Sana Akhiiiiiiii Allah Ajaaliye Nashed Zipande Juuu Zaidi Na Zaidi

  • @ummyomar8880
    @ummyomar8880 3 ปีที่แล้ว

    King of nasheed afaaizu luheta mashaallah uko vizuri ALLAH akukinge Na kila baya.Good job 💯

  • @musamkude
    @musamkude 3 ปีที่แล้ว +3

    Congratulation brother

  • @rashidhassan7412
    @rashidhassan7412 3 ปีที่แล้ว +3

    😓😓😓hii nasheed umeitoa kipindi kizuri hasa kwangu maake ni mwezi mmoja na nusu sijaonana na mimi

  • @PaskalinaRobert
    @PaskalinaRobert 4 วันที่ผ่านมา

    Mashalaaaaaahhhhhhhhh waoooooooh n nzr xan

  • @uniqueoptimist2199
    @uniqueoptimist2199 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaaallah...!!! I miss mama💞 good nasheed

  • @MahmudLonely
    @MahmudLonely 3 ปีที่แล้ว +8

    Maashallah Big up brother wallahi kila nikickiliza nasheed zko moyo wapata faraja kwa kweli ... I can say, among the munsheed I love most u're no.1 Allah azidi kukupa ujuzi in shaa Allah ... I'm so proud of you ❤️❤️❤️💕

  • @khalfansaid6771
    @khalfansaid6771 3 ปีที่แล้ว +2

    Talent from mahad znz🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @swaumujaffary6116
    @swaumujaffary6116 3 ปีที่แล้ว +1

    Maaashaaallah AFAAIZU LUHETA,🌹

  • @salmaali6622
    @salmaali6622 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallh allah akuzidishie

  • @munamohd3863
    @munamohd3863 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah i miss you mom i wish ungekuwepo but Alhamdulillah 3ala kulli hall

  • @yalsadsaeed
    @yalsadsaeed 3 ปีที่แล้ว +3

    Khattary maashallah

  • @hamdanabdallah1948
    @hamdanabdallah1948 3 ปีที่แล้ว +3

    U kill it bro 😁❤️❤️❤️

  • @ShadiaMohammed-rg6sy
    @ShadiaMohammed-rg6sy 10 วันที่ผ่านมา

    Nzuri sana inagusa moyo

  • @Ayshunnah
    @Ayshunnah 11 หลายเดือนก่อน

    Nimeangalia zaidi ya mala moja

  • @hajratysaidy
    @hajratysaidy 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah allah akuzidishie

  • @famiyussuf1058
    @famiyussuf1058 3 ปีที่แล้ว +4

    Hatar hatar kwa kweli

  • @aliomar255
    @aliomar255 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah nasheed ipo vizur kitu kizur kwamba utofauti unaonekana ila muzidi kuchkua location kali zaid maana watu wengi wanavutika na video kwa actions and locations kali. Wabillah tawfiiq

    • @MudrikAljadidy
      @MudrikAljadidy 3 ปีที่แล้ว

      Wazo lako zuri ndugu yangu ,sio Kama huwa hatutaki kutafuta location Kali ila ttzo linakuja pale locations Kali mfano Kama kwenye mahotel au sehemu nyengine za kuvutia huwa wanahitaji feza nyingi Sana ili ushoot na ndio maana inakuwa kikwazo kutokana sisi munsheed kiukweli hasaa hatujaanza kunufaika Kama wanavonufika watu wengine wanaofanya Sanaa Kam wana mziki mathalan sisi ndo tunatoa gharama zetu kurekodi na kushoot mwisho wa siku nyinyi mashabiki muenjoy lkn kiukweli baada ya kazi kutoka nusu ya hell tulotumia kwenye Nasheed hairudi huo ndo ukweli sio Kama huwa hatutaki kutamia locations kali.shukran Allah akubariki.....