Afaaizu Luheta - Moyo unauma(Official Lyrics Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 219

  • @AfaaizuLuheta
    @AfaaizuLuheta  2 ปีที่แล้ว +26

    FOLLOW ME INSTA:👇👇
    instagram.com/p/Cno9mxwO8P9/?igshid=YmMyMTA2M2Y=

  • @asuminiyussuf2658
    @asuminiyussuf2658 ปีที่แล้ว +3

    Afaaizu yamekukuta ww hayo polee sana Allah akufanyie wepesi upate mke mwema kama mm

  • @barghashally7791
    @barghashally7791 2 ปีที่แล้ว +16

    Maashallh afaaizu ww ni mfalme wa nasheed kwa TANZANIA🇹🇿

  • @thureyazuheir293
    @thureyazuheir293 2 ปีที่แล้ว +4

    huna hurma umenchoma mashaa llah kaka nakupnda kwajili yallah kila lahri kwenye kaz yako

  • @safiamohmd8443
    @safiamohmd8443 2 ปีที่แล้ว +8

    Aloangangaliy zaid ya mara moja agonge like mashallah nasheed

  • @gharibasalim2511
    @gharibasalim2511 2 ปีที่แล้ว +2

    By bastawy masha Allah akhuy Unjua sna wallah

  • @saidashaaban1840
    @saidashaaban1840 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha allah uko vizur akhuy Allah akupe mke mwema awe saada ktk hatiy yak akunyili ktk kil la kher na kueposhie wa shadi kam huy

  • @NRukan-i2l
    @NRukan-i2l 2 หลายเดือนก่อน

    jamani luheta ningependa kukuona n pia lk Mashallah wanavuruga akili naomba kam twaweza ongea Nakupenda😍😍😘😘🙆🙆

  • @rakimsuleiman2726
    @rakimsuleiman2726 2 ปีที่แล้ว +5

    Masha allah mungu atufanyie wepesi kwa kila hatua

  • @shuuabdallah6921
    @shuuabdallah6921 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimesoma comments Watu wanamdhania mke wako kakufanyia hayo Dahh Allahu yaa’lam🤦‍♀️
    Nasheed inafahamika na inajieleza Mashallah

  • @mwanaidmussa
    @mwanaidmussa 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah kaz nzr💯

  • @mwanahawakhamis5707
    @mwanahawakhamis5707 2 ปีที่แล้ว +2

    Hatokei km wew mashaallh allah akupe nguv zaidy

  • @WardaRamadhan-lj5bn
    @WardaRamadhan-lj5bn ปีที่แล้ว +1

    Zinahuzunishaa sanaa..

  • @kautharahmed3742
    @kautharahmed3742 2 ปีที่แล้ว +8

    😢sad words and nice nasheed💕Allah akujaalie kila kheri shekhe wangu(moyo unauma😔)shawarmaa kabisa😍

  • @abdisalamijumaali7155
    @abdisalamijumaali7155 2 ปีที่แล้ว +2

    Wew ni pingwa tu💪🏽🥳
    Ilapole sana 😰😨

  • @mansourmagezimrisho4960
    @mansourmagezimrisho4960 2 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah Munsheed Mbora, Hongera sana Akhy

  • @zeanaissa5310
    @zeanaissa5310 2 ปีที่แล้ว +6

    Hata usiwe na wasiwasi ukitaka kura zetu tuta kupa ❤❤❤ au huzi taki

  • @MwanamvuaAli-c3w
    @MwanamvuaAli-c3w 14 วันที่ผ่านมา

    Ya Allah mpe mwengine mwema na mwenye dini installation

  • @abuubaidahtz5132
    @abuubaidahtz5132 2 ปีที่แล้ว +3

    Maasha Allah barakallahu fika, Kaz Nzuri san kaka

  • @qaisomarmunshid8934
    @qaisomarmunshid8934 2 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah bingwa wa mabingwa
    Pole munsheed

  • @nassorjahadhamy4256
    @nassorjahadhamy4256 ปีที่แล้ว +1

    Hivi afaizu ww ni wa nchi gani maana haya mambo ata africa 🌍 sijawahi kuona 😅

  • @FatmaMbarouk-l6o
    @FatmaMbarouk-l6o 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nashid nzur mashallah❤❣️

  • @ZubeidaHaji-f7d
    @ZubeidaHaji-f7d 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu akuzidishie kipaji zaidi

  • @abuu-farhaanhassan
    @abuu-farhaanhassan 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah brother affaaizu, inagusa hisia za moyo

  • @muhamadkhalid4976
    @muhamadkhalid4976 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah natamani nije studio nione vitu live 💝🌹🌹

  • @mwanahawakhamis5707
    @mwanahawakhamis5707 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaallh kwa kweliy moy unaumaaa. Nakukubaliy san kak angu upo vizury kw kila kitu

  • @MealiRiziki-cy7rc
    @MealiRiziki-cy7rc ปีที่แล้ว

    Mashaallah 🥰 Allah akufanyie wepesi kwa kila changa moto nakupenda kwa sjili ya Allah ❤

    • @AishaGeofrey-t5k
      @AishaGeofrey-t5k ปีที่แล้ว

      Mashaallh ALLAHA akuzidishie napenda unavo imba❤ nakupenda sanaaaaaaa kwajili ya Allah akulinde s

  • @MasturaMohd-e7w
    @MasturaMohd-e7w 7 หลายเดือนก่อน

    Dahhh pole sana kwa yalo kukuta

  • @rahmakufi4051
    @rahmakufi4051 2 ปีที่แล้ว +2

    Mash Allah 😊🙏 kila la kheri Allah akuongoze 😊🙏🤲

  • @saiqabdallah7017
    @saiqabdallah7017 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kaka😞 jikaze ndo ukubwa uoo

  • @yassiryasal7766
    @yassiryasal7766 2 ปีที่แล้ว +1

    Dahh🤗 yan mashallah . huna mbaya kabisa. خزاك آلله حير🙏

  • @ukhtymuslimah2551
    @ukhtymuslimah2551 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah 💔
    Nasheed nzuri sana
    Nakuombea Allah akuzishie sana my dear❤️💕❤️🌹

  • @abdulomar446
    @abdulomar446 2 ปีที่แล้ว +2

    Moyo unauma... Maa Sha Allah.. Tumejifunza

  • @AbuuBakar-ye4fr
    @AbuuBakar-ye4fr ปีที่แล้ว +1

    Pole San kaka

  • @alibin4real
    @alibin4real 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah maalim luheta kazi kubwa hii 🙏🙏

  • @abdullahisihak8703
    @abdullahisihak8703 2 ปีที่แล้ว +1

    Allahuakbar wallah umejaaliw kipji cha tungo mashaallah upo vzur bro salut 🌹❤️🌹

  • @zeanaissa5310
    @zeanaissa5310 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah ❤ nice 👌 allha akujalije kila la kheri ❤❤ katika ❤❤ maisha yako ❤❤

  • @shadyaashour4163
    @shadyaashour4163 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah allah ibarik bro
    Kitu kimetuliaa mpka hutmn kuacha kuskiza

  • @abdillahalbakeer5121
    @abdillahalbakeer5121 2 ปีที่แล้ว +2

    Hiii ni zaidi ya annashed masha allah kali saaana

  • @ramadhanirajabunkungu2870
    @ramadhanirajabunkungu2870 10 หลายเดือนก่อน

    Daaah😳 poleee san maalim allah atakujalya wa kher tuu usjl

  • @RahmaHamadomar
    @RahmaHamadomar 2 หลายเดือนก่อน

    Allah akuzidishiye kipaji chako mashaallah

  • @alygado567
    @alygado567 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ya Allah mlinde huyu kijana

  • @tripplescholarschannelt.s.5211
    @tripplescholarschannelt.s.5211 2 ปีที่แล้ว +2

    Safiiii.....ipo vyem

  • @mohdislam1
    @mohdislam1 2 ปีที่แล้ว +2

    kazi safi brother

  • @binzubeirnasheed4088
    @binzubeirnasheed4088 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah Good, Nasheed Umetisha sana Bingwa

  • @fakihmohd8506
    @fakihmohd8506 2 ปีที่แล้ว +2

    Best one again 🤗🤗Mashaallah 🙌hit to hit 😱alhamdulillah my number one of 2023

  • @BamedHamad-xu6wm
    @BamedHamad-xu6wm ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki

  • @izzihmokd1396
    @izzihmokd1396 2 ปีที่แล้ว +1

    DAh bro unajua ase🙌🙌✅

  • @aliyissa9490
    @aliyissa9490 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah kazi mzuri bro Afaizu moyo unauma big up sana

  • @masdiy9254
    @masdiy9254 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah atustiri na mitihani mizito kama hii🤲🤲

  • @UmmuKhamis-mp3xx
    @UmmuKhamis-mp3xx ปีที่แล้ว

    Nakukubali cn mashaallh mungu akulindee kwa binadamu wabay 🤲

  • @muniraahmed8794
    @muniraahmed8794 2 ปีที่แล้ว +1

    Moyo unauma. Nasheed nzur brother

  • @fatmamcha2556
    @fatmamcha2556 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah ipo vzr

  • @AbuumukhtaarTz
    @AbuumukhtaarTz 2 ปีที่แล้ว +3

    Maashaallah dah M💔YO UNAUMA 😭😭 Allah atuhifadhi 🤲🤲

  • @hassansaid4584
    @hassansaid4584 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran bro Kwa kutoa hichi kitu mungu akujaze kheri inshllh

  • @zihrahumoud5069
    @zihrahumoud5069 2 ปีที่แล้ว +3

    😭😭 Story inahuzunisha kwa kweli moyo unaumaa♥️

  • @FatmaMkubwa-cj7he
    @FatmaMkubwa-cj7he ปีที่แล้ว

    Mashallah huna baya afaaiz nasheed zako ni nzuri sana👌

  • @kingsolitaire-zy6mr
    @kingsolitaire-zy6mr 10 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa ila afaaizu nyimbo zk ni nzr MN zinafundisha sana

  • @mansourmagezimrisho4960
    @mansourmagezimrisho4960 ปีที่แล้ว

    Maashaallah yaa Akhy Munsheed Brother Afaaizu Luheta Nasheed Nzuri Kbs

  • @hadijaomar1907
    @hadijaomar1907 ปีที่แล้ว

    Mashaallah 💕💕 mashaallah Allah akuzidishie kheir

  • @muharramkassim5716
    @muharramkassim5716 2 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah kweli moyo waumaa wowww

  • @halimahassan4555
    @halimahassan4555 2 ปีที่แล้ว +3

    Aah sitaki kukumbuka jamani MPK nalia 😭😭 mie

  • @Ajwjdjc
    @Ajwjdjc 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tukiwa Febuar ya 2025 bas tumuomb mung tuweze kudiriki mwez mtukufu wa ramadhan insha allah

  • @dhulkiflihamdan
    @dhulkiflihamdan 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka yangu nakukubali yani nashid zako zinasisimua

  • @mamzain2021
    @mamzain2021 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mashallah 🥰imetulia sana

  • @HamisaBori-yl8hk
    @HamisaBori-yl8hk ปีที่แล้ว

    Mashsllah kaka angu Allah atuongoze na hatusamee sisi dada zako nanyi pia.😂😂😂

  • @RehemaAbdallah-rq1si
    @RehemaAbdallah-rq1si ปีที่แล้ว

    Mashallah 🙏 nasheed inafunzaa kwa kwel

  • @ahmedmattar5891
    @ahmedmattar5891 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ina funzo nzuri sana

  • @issahchamajaha2934
    @issahchamajaha2934 ปีที่แล้ว

    ❤❤mashaallah hii ni hataree

  • @salimkitego7103
    @salimkitego7103 ปีที่แล้ว +1

    Fantastic Allah bless you and your family

  • @Salma-t4x
    @Salma-t4x ปีที่แล้ว

    You make me happy for every nasheed lakin pole kaka fikiria kablavhujapenda❤❤ kazi njem

  • @NawalAbdullhakim
    @NawalAbdullhakim ปีที่แล้ว

    Masha Allah kazi mzuri kk😄😄😄😄😄😄

  • @idrisjumadarusi3037
    @idrisjumadarusi3037 2 ปีที่แล้ว +8

    This is great my brother the vibes and lyrics are just fantastic....Masha Allah...all the way from Kenya ...Big love brother 💯

  • @nurdinalbustaany1305
    @nurdinalbustaany1305 2 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah 🌹🥰🤝 brother moyo unauma😩 pamoja Sana brother

  • @ummujab6323
    @ummujab6323 ปีที่แล้ว +1

    Pambeee 😘

  • @FathiyaFathiyanassor
    @FathiyaFathiyanassor 10 หลายเดือนก่อน

    M/mungu akuongezeee kipaj amin ❤❤❤❤❤

  • @maallimissa1759
    @maallimissa1759 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah kaka pole moyo 💔 unauma 😭 mashaallah mashallah mashaallah mashallah mashaallah mashallah mashaallah mashallah mashaallah mashallah mashaallah ❣️💞

  • @Official_Shaqiiq
    @Official_Shaqiiq 2 ปีที่แล้ว +2

    Another Hit Huna Mbayaa Fundiii

  • @zuberikijangwa6708
    @zuberikijangwa6708 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera

  • @fahadnasheed
    @fahadnasheed 2 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah nasheed nzuri sana❤

  • @muharramkassim5716
    @muharramkassim5716 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah 😭😭😭 pole kwa yalokukuta ila Masha Allah

  • @fahadsalim4403
    @fahadsalim4403 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mambo shawarma

  • @mustafaabubakar24
    @mustafaabubakar24 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah nakukubali sana broo 🙏

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 2 ปีที่แล้ว +4

    🌹⚘ Maa Shaa Allah 🌹⚘😁 Hili jambo nililiongea lakini kabla haujaingia kwenye mahusiano unajiona doctor wa mahaba. Ingia sasa 😁
    Afaaizu!
    Allah akuhifadhi ni siri yangu niliyo nayo siku moja utayafaham....😭

  • @bindauud6596
    @bindauud6596 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah kazi kazi

  • @abdulrahmansaid7922
    @abdulrahmansaid7922 2 ปีที่แล้ว +2

    Ma sha Allah nasheed mzuri sana

  • @abuuhafswamunsheedu5790
    @abuuhafswamunsheedu5790 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah pole sana Afaizu 😰
    Ila Maa Shaa Allah ni Nzuri na inagusa na pia Ina mafunzo

  • @abdulhakimyussuf3567
    @abdulhakimyussuf3567 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi bora Mashaa Allah

  • @MozaSuleiman-j9w
    @MozaSuleiman-j9w ปีที่แล้ว

    Nzur inafunza kiukwel mashallan

  • @twalibsuleiman1804
    @twalibsuleiman1804 ปีที่แล้ว +1

    Work hard broo ,u have a tarlent use it to make your life beter

  • @rajabmaimuna2483
    @rajabmaimuna2483 8 หลายเดือนก่อน +1

    I loved ❤❤❤ this nasheed

  • @SaidSalum-bn9vl
    @SaidSalum-bn9vl ปีที่แล้ว

    و الله أول مرة سمعت هذا النشيد الرائع.
    بورك الله عليك 🤲
    Allah akulinde ya rabbi na akuhfdh na kil jich bay ndug yang

  • @kingsolitaire-zy6mr
    @kingsolitaire-zy6mr 10 หลายเดือนก่อน

    Wow nimeipenda sana❤❤

  • @AminaRamadhan-hb7jc
    @AminaRamadhan-hb7jc 7 หลายเดือนก่อน

    Inasikitisha pole kwa kila yalomfika

  • @aishambiko200
    @aishambiko200 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah kaka afaaizu

  • @allyhabib7468
    @allyhabib7468 2 ปีที่แล้ว +3

    Good aggash

  • @suleimanibrahimshafat5031
    @suleimanibrahimshafat5031 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah 🥰✨ afaaiz luheta

  • @AbuuBakar-ye4fr
    @AbuuBakar-ye4fr ปีที่แล้ว +1

    💔💔💔moyo umefujika 💞💞💞💞

  • @alkheyfilmohd2561
    @alkheyfilmohd2561 2 ปีที่แล้ว +1

    Sina la kusema just 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ma shaa Allah

  • @NurdiniYusuph
    @NurdiniYusuph 9 หลายเดือนก่อน

    🎉maashaallah tunaburudika ❤❤