subhannallah, hii nasheed inanitoa nachoz. yaallah msamehe bab yang makosa yake na muepushe na adhab ya kabr.najua ckuweza kuulpa wema wako ulio nitendea . ntazd kukuombea duwa
Mwenyezi mungu awarahamu wazazi walotangulia mbele ya haki. Na walioko duniani mwenyezi mungu awape afya na umri. Nacc Allah atupe subra na imani. Atuongoze siratul. Mustaqeem. tuwalee wazee wetu kwa mapenzi na imani..
subhanallah, enyi nduhi zngu wa kiislam, tumcheni allah tukumbukeni pepo yetu ipo chini ya nyao za wazee wetu, allah atupe iman yaraby tuweze kuwatizama wazazi wetu. amin
Allh Huma .iwe mwenyezingu irhamu Huma .warehemu wazee.wangu ...ina ma.anta swabirana.kama walivo nihurumia mm nilipo kua mchanaga ....nakupenda Sana baba ila allh amekupenda Zaid .....love you Mama nipo nawe daima
SubhanaAllah! it`s really touching....yana mafunzo kweli, Allah atuwezeshe tuwe watoto wema kwa wazazi wetu hapa duniani ameen....Our parents are the tickets to Jannah, May Allah bless them and have mercy on them....Allahumma ameen.
Ni huzuni kubwa kwani haya ndio yanayotokea katika jamii zetu. Wazazi ni muhimu wawe na watoto wao haswa katika uzeeni. Ewe Mungu tujaalie tuwe watoto wema kwa wazazi wetu. Uwape umri afya na maisha ya furaha hapa duniani na kesho akhera. Shukran sheikh kwa ukumbusho huu!!!!
Jazaakallaahu khayraa ya sheikh Yuusuf Abdi. haya ni ukumbusho kwa kila ambaye muniib kwa allah na mwenye chembe ya iman kwa watu. tumche Allah na tujue huenda kuna siku umri ukaenda na yakatutokea kwa watoto wetu mithli ya tuliyowatendea wazazi wetu iwe ni kama malipo ya dunian na adhabu ya akhera ni kubwa lau tungejua.
Allah atuhifadhi atuzidishie imani tusiweze watupa wazazi wetu wote wawili..Tuishi nao mpka mwisho inshaAllah.. this has touched my heart..Allah is great
wema ni akiba na ubaya ni akiba ukiwafanyia wema wazazi na wanao badae watakujakukufanyia wema mara mbil zaid na ukiwafanyia ubaya na wako pia watakuja kukufanyia ubaya thank you for good idea tumejifunza na nashid yako nzur
Allaahumma ghfir Aliy Hamad Aliy warhamhu Umlaze mahal pema pepon na umuashie nuru kaburi lake na umuondolee adhabu ya kabri Hakika ninakukumbuka sana mwanao hii nasheed inaniumiza kwa sanaaa
Ya Allah warehemu wazazi wetu walitangulia mbele ya haki wasamehe makosa yao wape vtabu vyao kwa mkono wa kulia waondolee adhabu ya kabri Innalillah wainna ilaih rajwn mbele yao nyuma yetu
Ewe mola wng wasamehee wazazi wng na uwarehem warham fil janat Amiinaa ya Rabilaaalamiin inshaallah 🙏😭😭😭😭😭nawakumbukaa sana ila Allah awapee vitabu vyenu kwa mkono wa kulia 🤲😭😭
Mashaallah vryy nice song sheikh usuf abdi a song wich can tought us alot of things concerning our parents in totally dat nice sheikh my God bless u and us all keep it up on remind muslms
Kiukweli mama yangu nilimpenda pamoja nababaa yangu haki naumwa najiona naenda kwababa yangu namuomba mungu anilehemu naanisameehe aaalllah AMPE mama angu fulaha yamilele dunian mpaka akhela mungu nisameeh yote makosa tangu
Ya Allah mjalie umri thuil Bbangu. Na umrehemu mmangu umuepushie adhabu ya kabr umsamehe makosa yake umajalie makazi mema peponi Amiin. Ya rabbi tujalie tuwe watto wema kwa wazazi wetu
Sijui nimeangalia mara ngapi........imenigusa hii qaswida Subhanallah 🥺😭😭😭😭😭 Allah Atuongoze Yaallah usitujaalie wenye kuwatupa wazazi wetu hata wakiwa wazee 😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲
Baba yangu nakupenda sana , nakuahidi sitakuacha hata iwaje ALLAH uwe shahidi Ameen
subhannallah, hii nasheed inanitoa nachoz. yaallah msamehe bab yang makosa yake na muepushe na adhab ya kabr.najua ckuweza kuulpa wema wako ulio nitendea . ntazd kukuombea duwa
Ameen ameen kwa uwezo wa Allah ampe kaul Thabit inshaallah kher
Sawa
Allahumma aamin
Aamin
Mwenyezi mungu awarahamu wazazi walotangulia mbele ya haki.
Na walioko duniani mwenyezi mungu awape afya na umri.
Nacc Allah atupe subra na imani. Atuongoze siratul. Mustaqeem.
tuwalee wazee wetu kwa mapenzi na imani..
Allah amrehem mzazi wangu amsameh madhambi yake ampee nur katika kaburi lake
Allah awarehem wazazi wangu awasamehe awape nur ktk tumbo la ardhi
Aamiin
@@hamadanomary5046 Aamiin.
Amiin
Amiiiin yaarbbi
subhanallah, enyi nduhi zngu wa kiislam, tumcheni allah tukumbukeni pepo yetu ipo chini ya nyao za wazee wetu, allah atupe iman yaraby tuweze kuwatizama wazazi wetu. amin
q
Ameen
Yaa RABBY Tujaalie miongoni mwa kuwahurumia wazazi wetu,walivo tuhurumia😭
Ameen ya Rab
Ammin ya rabb.lnshaallah
Amin
Inshallwah tuwapende tuwadekeze wazazi wetu kwani ndio pepo yetu inshallwah
Ameen ya rabi inshaAllah
yaAllaah tujaalie tuwe watoto wema kwawazaziwetu amin
maaaaaaaasssssshaaaslah
ameen
kwasida nzuri k Amin
Subhana llah
Amen
This nasheed made mi cry 😭😭😭 ooh Allah grant my parents janantu firdaws
Allh Huma .iwe mwenyezingu
irhamu Huma .warehemu wazee.wangu ...ina ma.anta swabirana.kama walivo nihurumia mm nilipo kua mchanaga ....nakupenda Sana baba ila allh amekupenda Zaid .....love you Mama nipo nawe daima
SubhanaAllah parents are the best gifts given to us by Allah..they are our key to paradise ❤️😍
Jmn inaniliza imeniingia liukwel Allah wafanyie wepes wazaz Wang hapa dunian na kesho akheraa
Ya Allah tujaalie tuwe enyehuruma na iman kwa wazazi wetu amin inshaallah
🙏 yarabii tujalie tuwangalie wazazi wetu ishaAlla
Ameen yaa rabb... Ili na ss tuje tuangaliwe na vizazi vyetu.
SubhanaAllah! it`s really touching....yana mafunzo kweli, Allah atuwezeshe tuwe watoto wema kwa wazazi wetu hapa duniani ameen....Our parents are the tickets to Jannah, May Allah bless them and have mercy on them....Allahumma ameen.
Ya Allah wahurumie wazazi wetu, wajaalie makaazi mema siku yasiku
Ameen
Ameen ameen kwa uwezo wa Allah
Ameen thuma ameen
Subhanallah Allah atujaalie tuwe miongoni mwa wale wanawatunza wazazi wetu
amin
aeen
salwa mahamed amin mungu atufanye sisti sote inshaalah
salwa mahamed mashalah amern
Shekhe Allah akuzidishie Allah akulipi mola wetu tujaalie tiweze kuwajali wazazi wetu
😭😭😭😭😭Allah wape pepo njema wazazi wangu
Let's not forget we will grow old also. Big lesson from that song.
Ni huzuni kubwa kwani haya ndio yanayotokea katika jamii zetu. Wazazi ni muhimu wawe na watoto wao haswa katika uzeeni. Ewe Mungu tujaalie tuwe watoto wema kwa wazazi wetu. Uwape umri afya na maisha ya furaha hapa duniani na kesho akhera.
Shukran sheikh kwa ukumbusho huu!!!!
Yaaaallah tusaidiee tuweze kuwalea wazazii wetuu ,,amiin
SubhanAllah....this nasheed really touches my soul.may Allah guide us to the right path🙏
Amin
Amin 😭😭
Ameen
Amiin😭😭😭
Ameen
Sina hamani week nzima sheghe want nalia tu na hi nyimbo ninayopitia Allah ndo anajua Alhamdulilah Pumzi pia ni mtaji tosha
Asia Mwarabu Mashaallah pole sana dada
Pole Sana
Asia Mwarabu mambo asia
Mashaallah
Jazaakallaahu khayraa ya sheikh Yuusuf Abdi. haya ni ukumbusho kwa kila ambaye muniib kwa allah na mwenye chembe ya iman kwa watu. tumche Allah na tujue huenda kuna siku umri ukaenda na yakatutokea kwa watoto wetu mithli ya tuliyowatendea wazazi wetu iwe ni kama malipo ya dunian na adhabu ya akhera ni kubwa lau tungejua.
Masallh
canoksa
This nasheed really touches my soul .Oohh Allah bless our lovely parents
Hii kaswida ad leo nikianganlia nalia tu yaaan nammis babangu gafra
Allah atuhifadhi atuzidishie imani tusiweze watupa wazazi wetu wote wawili..Tuishi nao mpka mwisho inshaAllah.. this has touched my heart..Allah is great
yarabi nakuomba umuepushie baba angu kipenzi na adhabu za kabri tujalie vizazi vyetu Allah viwe vyema km sisi tulivyo kuwa kwa wazazi wetu
Subhanallah, Allah atujaalie Imani ya kuwahurumia wazee wetu na kuwafanyia ihsan. Wallahy it's so sad.
Ya Allah wahurumie wazazi wetu
WA thamani Ujumbe. hii nasheed ni yako?
Yusuf jeylani amen
sorry
Eenh Allah nipe moyo wa huruma mbele ya wazazi wangu kwao wao ndo pepo yangu miye 😥😥
ya allah tupe imani kwa wazazi wetu amiin
shukran sheikh yusuf abdi
Allah awarehem wazazi wangu awape kauri thabit na nuru katk makabur yano 😭😭😭😭😭
Ya Allah wafanyie wepesi wazazi wangu na uwahurumie kama walivyonihurumia mimi nilipokua mdogo
Allah awarehemu wazazi wazazi wote wawili amin
Yahhalah wape afya njema wazazi wangu nawaombea. Uzima mwema amina
mashaAllah heart touching nasheed..this really made me cry...may Allah grant my parents Janatu firdaus
Allah atupe imani tuwalee W azazi wetu WAllah msiba
wema ni akiba na ubaya ni akiba ukiwafanyia wema wazazi na wanao badae watakujakukufanyia wema mara mbil zaid na ukiwafanyia ubaya na wako pia watakuja kukufanyia ubaya thank you for good idea tumejifunza na nashid yako nzur
Mashaallah Shukran wajazakum Allahu Kheir it really teaching my heart God bless you
Wallah naipenda sana hii qaswida nimeitafuta sana jina lake Alhamdulillah leo nimeiona
Tuwe na huruma na wazazi wetu amiin 🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼
subhannallah!! allah atujaalie tuwatunze wazaz wetu inshaaallah
Ameen
Inshaaallah
@@mayahhajih2636 f
Allah umsamehe baba yangu madhambi yake na umuondolee adhabu ya kabri na umsamehe na mama yangu umpe mwisho mwema
Mashaallah Allah atupe mwisho mwema sisi pamoja na wazazi wetuuu
YaAllaah tujaaliye tuwe watoto wazuri kwa wazazi wetu na tuwaheshimu wazazi wetu 🤲🤲 ..I LOVE MY PARENTS MORE THAN I LOVE MYSELF 😢
Ridhallahu fiiridwaalidayni wasukhtullah fiisukhtilwaalidayni Allah atupe mwisho mwema
Allah awaongoze wanetu watujuze wanetu
Enyi waislamu
Angalieni wazazi kwa kuwa nyinyi hamujui mwisho wenu
Allah atupe imani na Huruma tuangalie wazazi wetu kama walovyo tuhurumia tulivyokua wadogo
Hi
+Fatma Madhumn 👍
MashaAllah
@@ttv_noor_pro5227
Inshaallah
Balkan Vlogs Nimesema MashaAllah becoz he spoke nice speech na pia InshaAllah
Nawapenda sana wazazi wng MUNGU awape umri mrefu wenye kheri na baraka
Allaahumma ghfir Aliy Hamad Aliy warhamhu
Umlaze mahal pema pepon na umuashie nuru kaburi lake na umuondolee adhabu ya kabri
Hakika ninakukumbuka sana mwanao hii nasheed inaniumiza kwa sanaaa
Maa sha allah narshed nzur na yenye hisia kali sana.
Ewe allah tujaalie nyoyo zetu ziwe ni zenye huruma kwa wazazi na walezi wetu kwa ujumla
Wallahi wasiya mzuri sana Mngu awajaaliye wenye kuongoka watoto wetu . Shukran
PLIZ PLIZ PLIZ LET US TAKE CARE OF OUR PARENTS
Allah tupe mwisho mwema
@@rajabumohamedi2560 amin
Ya rabbi wasamehe wazazi wetu madhambi zao ameen
Hii qasid inaniliza Ya Allah msamehe wazazi wangu
I love uh dad, I love uh Mom from the bottom of my heart ❤
ya allah tupe kheiri yawazazi apadunia na akhera
yallah
ya allah tusamehe makosa yetu sisi na wazazi wetu na utupe mwisho mwema
Amin
Amiin rabbi amiin
May Allah Guide Us in th right path....... May Allah make our relationship with our parents Good
Aameena
Amiin
Nawapenda Sanaa wazazi wangu
@@husseniabduli8795 q
Ameen
Masha Allah baba yetu our parents do a lot for us plz let's take good care of them
Allah akbar yaraab tuepushe na roho mbaya zakuwachukia wazazi wetu tujaalie tuwe na upendo kwa wazazi wetu Aamiin
allha atupe iman tukumbuke ihsa na shida walizopitiya wazazi wetu tusiwatupe in sha allha
Mashàallah Sheikh Abdi na mwenzio Sheikh Kishki. Allah Zwajaalie Pepo njena
Yaarabi wajiazie afya tele wazazi wangu nawapenda sana na walio tangulia mbele za haki mungu awafuti Dhabi zao ameen
Ya Allah tujaalie tuwapende sana wazazi wetu ili tuipate pepo yako
Ya Allah warehemu wazazi wetu walitangulia mbele ya haki wasamehe makosa yao wape vtabu vyao kwa mkono wa kulia waondolee adhabu ya kabri Innalillah wainna ilaih rajwn mbele yao nyuma yetu
Allah atujaalie tuwe watoto wema kwa wazazi wetu in sha Allah 👏👏👏
Amin
Inshaallah
😭😭
Ameen
Wazazi wetu ndio waliobeba hatima ya maisha yetu
Allah atuepushe atujalie sisi tuwe wenye kuwatii wazazi wetu na kupata radhi zao.
Mashallah may Allah bless you shk Abdu
😭😭😭😭😭😭 Allah wape watoto wetu imani kwa wazazi Ameen.
Subhanallah atujalie tuwe miongoni mwawale wanawatunza wazazi wetu!!!
Aww this one really touched me, and your voice is incredible ❤
Good
Good
Our parents are treasure ❤️
Ewe mola wng wasamehee wazazi wng na uwarehem warham fil janat Amiinaa ya Rabilaaalamiin inshaallah 🙏😭😭😭😭😭nawakumbukaa sana ila Allah awapee vitabu vyenu kwa mkono wa kulia 🤲😭😭
Ameeen
Mmh huzuni imentandana ndan ya moyo wangu Allah awarehemu wazee wangu😱😱😭😭
roho inauma xn ,nawapenda xn wazaz wangu kupita maelezo
Mashaallah vryy nice song sheikh usuf abdi a song wich can tought us alot of things concerning our parents in totally dat nice sheikh my God bless u and us all keep it up on remind muslms
Ali Cious just so you know its a nasheed
Nashid nzuri yenye funzo . MASHAALLAH
كما تدين تدان-utavofanya ndivyo utakavyofanyiwa.tujitahidi kuwapenda,kuwaheshimu na kuwalea ipasavyo.
Nn Wamanisha?
Kiukweli mama yangu nilimpenda pamoja nababaa yangu haki naumwa najiona naenda kwababa yangu namuomba mungu anilehemu naanisameehe aaalllah AMPE mama angu fulaha yamilele dunian mpaka akhela mungu nisameeh yote makosa tangu
My best swahili nasheed of all time
Allah awazidishie you have made me cry you're amazing mashallah
a sante Yussuf mungu akubariki
Ummrayyan Ali 00252616131993
hasbunaallah
ربي اغفرلي والوالدي وارحمـهما كما ربياني صغيرا
Subhanaallah! Ama kwl nikupotea huko sheikh asante Kwa mafunzo mema
Kweli kabisa wazazi tuwashikeni MashAllah Allah akuhifadhi na akulinde
YarasuluAllah zitakaze nyoyo zetu ziwe nizenye kupenda na kujali wazazi wetu.kwani ndio janat dunia.it made me cry this nasheeda😣
😭😭😭 y’a Allah warahemu wazazi wetu uwape mwisho mwema
Nakupendeni wazazi wangu
Soo touching .Ya Allah make us to be kind to our parents
Nakuoenda kwa moyo mweupe USO kinyongo sheikh Yusuph Abdi ,,ujumbe mzuri
yarabb tujaalie tuw watoto wem kwa wazaz wetyu ameen
Faudhia Said ameen
Mola anijalie huruma kwa babangu mzazi wallahi
realy it is a hurtbreaking nasheed that passes very deep message may Allah guide us on the ryt path
mungu awarehemu wazazi wangu
Asma Ahmed amin ya Rabb...pole habibthy
Asma Ahmed Ameeen
Allah atujaalie mwisho mwema na wazaz wetu aaaaaaaaaaaamiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiin
Asma Ahmed pole san
Amin thuma Amin
Ya allah tupe imani tusiwatupe wazazi wetu
Ya Allah mjalie umri thuil Bbangu. Na umrehemu mmangu umuepushie adhabu ya kabr umsamehe makosa yake umajalie makazi mema peponi Amiin. Ya rabbi tujalie tuwe watto wema kwa wazazi wetu
Allah wasamehe wazaziwangu na wapunguzie adhabu za kaburi.wafufue wazazi wangu pamoja na wajawema.yaa Allah.
♥️turudini kwa Allah
ALLAh Walehemu wazazi wetu walio tangulia mbele ya haki na tujaaliye tuwatunze wazazi wetu
Allah akujazie kher
Sijui nimeangalia mara ngapi........imenigusa hii qaswida Subhanallah 🥺😭😭😭😭😭 Allah Atuongoze Yaallah usitujaalie wenye kuwatupa wazazi wetu hata wakiwa wazee 😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲
mashallah heart touching nasheed..
SubhanaAllah.. hii nasheed imenitoa machozi.