MASHALLAH , naweza kumwita first munsheed from Zanzibar maan kila nasheed ya kwake afaizu anayosoma Ni nzuri kupita maelezo ikiwemo AGASH , NIKIKUMBUKA na hii ewe nafsi kinai zote nzur na Sina budi kusema mashallah ili nisije nikakuhusudu MASHALLAH.
Maxhallah brother naxheed iko vzr xana mm mwnyew nimeikubal Allah akufanyie wepesi inxhaalla ututolee vitu vikali zaid ya vikali pamoja xaaana na mxhabk wk enwar
Luheta mm in kijana wako nafrahiashwa na kazi zako nikikuona namkumbuka R.I.P. brother wa ng mlikuwa mnasoma pa1 ISTIQAMA PEMBA ila ulimpoteza rafiki yako wa nguvu me mdogo wake nipo nakusapport brother keep it up
😢😢😢😢😢😭😭😭😭 Dah! Umenikumbusha mbali sana ndugu yangu! Ni kweli tulikua tunaishi vizur sana na kaka yako,tulikua tukisaidiana katika masomo na kushindana katika mitihani.maashaallah alikua mtu mwenye jitihada sana darasani,alikua ni kipenzi cha watu.kila mtu alikua ni rafiki yake.allah ampe makazi mema huko alipo.shukran sana ndugu yangu kwa kukubali kazi zangu.
@@AfaaizuLuheta a. alayqoum! luheta mm nikushauri tu! ikiwa haujaoa, najitolea kwa ajili y allah niwe mke wako ikiwa utaridhika, lkn jengine umenza vzur kaka yng, jitahid sana ucjekutubadilikia kama brother nassir, vilevile, ungeacha hata no ya M-pesa ili tukuchangie chochote kw kile tulichojaaliwa in xha allah.
Mashallah navokupenda kwajili ya Allah mpaka mwanangu nimemuita jina lakooo
Allah nakuomba wazishie kheri walotufikishia ujumbe huu Nawapenda wenzangu kwajili ya Allah🙈🙈
Nilikuwa naisubr kwa muda now najivunia kuwa wa kwanza kutazama ipo vizuri Allah akufanikishe uzidi kutukumbusha
Maasha Allah hongera kaka kazi nzuri tupo pamoja
Mashalllah
MASHALLAH , naweza kumwita first munsheed from Zanzibar maan kila nasheed ya kwake afaizu anayosoma Ni nzuri kupita maelezo ikiwemo AGASH , NIKIKUMBUKA na hii ewe nafsi kinai zote nzur na Sina budi kusema mashallah ili nisije nikakuhusudu MASHALLAH.
Kweli kabs Mashallah❤
Mashallah napenda nasheed zako
KUTOKEA WAPI DOGO
Mashallah mashallah
Mashalllah barka llahu fik
I like that your nasheed
Maashaallah* Kiukweli ni nasheed Nzuri iliotugusa wengi wallah...Allah Akueke akhy Ili uzidi kutupa mazuri*
❤❤❤ nakupend xan kwaajili ya Allah ❤❤❤
Mashaallah allah ibarki inshallah amen mungu akulnde snaa ndgu yngu na akubarki snaa
Yani ninavoipend
Mashallah,💝😘
Mashaallah. Ujumbe mzur
Naenda hii nasheed inanipeaga moyo wakati wa mitihani ya madrasa
Mashaallah laahaula walaquwwata illaabillah unazid kuwapa wat moyo juu ya mitihan wanayopitia ktk maisha ya sasa
Jamani hii nasheed hii nyiee acheni tuuh naipenda sijui nielezeeje
Masha Allah naomba Namba yako kaka
MashaAllah nasheed nzuri kweli rayuu kutoka kenya
Allah akutilie wepesi ndg yng mesej imetufikia vzuri maa sha Allah na sheed ina ujumbe mzito sana
yani mpaka leo cjaipatia mwenzake hii nasheef❤❤❤❤❤❤
Thiz guy iz 0n 🔥🔥🔥 Masha'Allah
Kila nnapohc uzuni naskilza hii kaswida mashallah inaujumbe mzuri
Maa sha Allah nasheed nzuri sana sana
Shukran
Mashallah mngu akuzidishie zaidi na zaidi❤
Masha allah kila la kher bro Allah akujaalie nafsi yenye kinai ww na ss amiin🤲🌹 tunakupenda Sanaaaaaaa❤️
Mashaallah allah akuzidishie kila la kheri napenda sana nashid zako
nipe like zangu kwanz baba afaaizu umetishaaa🤲
Mwenyez mungu atujalie nafsi ikinai mambo ya dunia kwan tunapita tuelekee kwa Allah tuu
SAWA
Allah tupee nafs zenye kukinai na subra
Ma Shaa Allah kaka afaaizu luheta Allah akujaalie in shaa Allah 🤲
Mashaallah 🙏Allah akuongoze Inshaallah
So good nasheed zak nazipend sana yan sapport ip ucjli
M.a ,afaizu luheta ,nilikuwa nakuoenda since 2019, uko wapi ,Kenya ama Zanzibar coz nimependezwa na anashid zako
This nasheed give me lesson
Mashallahu mungu akubark Kwa ukumbusho
Mashaallah Allah atuongoze inshallah
Ni hatar mwaka huu..
Maashallah akhui... a very beautiful nasheed. ALLAH akuzdshie kheri 👍👍🤝🤝🥰
Marsha allah
Masha'Allah 💞 Wallah ninapokumbwa na wazo naja hapa kila mda
Mashaalla napenda nasheed zako
Thanks were kept best songs(qwasida)from serengoh or shabdifa
Allah akuzidishie hekima nabusara
Masha allah naipend sana hii nasheeed na ww piah affaizu umetufunza kitu kizur sana kuhuc maixha yetu allah akubarik 🥰🥺👌
Mashallah safi sana shukran
Maxhallah brother naxheed iko vzr xana mm mwnyew nimeikubal Allah akufanyie wepesi inxhaalla ututolee vitu vikali zaid ya vikali pamoja xaaana na mxhabk wk enwar
X or s
Mashaallah Ndugu Yangu Ktk Imani
Nasheed, inanipa matumaini Kua nitatoboa, kikubwa subr
Mashaallah 🙏🙏🙏 Allah akuhifadhi kaka
Mashaallah kpnz changu ❤you are the only best munsheed from Zanzibar ❤huna baya hujawah kutuangusha 😊
Daah mashaallah affaiz
Wallah kaka uko sawa,,,ma shaa Allah
Mashallah nice video
Mashaallah mung akuzdixhie kipaj
Ujumbe mzur Sanaa Allah akup kher nying akhy
Maashallah jazakallahu khailan
Mungu atuongoze inshallah.
Mashallah nzuri👍
Hii nasheed siwezi kuichoka naitazama muda wote
Masha Allah naipenda saana hii nasheed
Dah! Mungu akujalie offcourse unakipaji baba
Allah akujaalie amin💖💖💖💖💖
Allah ajaalie nafc zetu ziwe zenye kutuamrisha mema in sha allah
Allah zijalie familia zinazo angaika kwa chakula pia sehem ya kulal nyakati izii za matatizo ya magonjwa
Mashaallah ujumbe umefika Allah akujalie Kila la kher akuepushe na fitna,husda na vijicho vya watu
Mashallah
Inshallah
Limeliwazika sanna na hii nasheed
Imenifanya nijione tajir ijapokua masikini
ماشاء الله عليك
جزاك الله خيرا
Masha Allah bro I can't stop watching it
MashaAllah safi kaka kaz nzr
Mungu atupe nafsi njema
Mashaallah I like it .it's the beutifull one broooo👍👍👌👌👌💖💖💖
Allah awajarie herii
Hongera sna mwalim wetu afaiz allah akujaalie khatma njema ishaalah mbele ya kipaji chako
Luheta... ALLAH akupe mwisho mwema kaka
Penda Sanaa qaswida mashallah
Nashed zako nzr sn yn hp dukani nimewafanyisha watu mpk kuzipnd na kua nz ktk nfc zao.mola akupe wepes
Allah akujaalie pema amiiiiiin
Mashallah nice nasheed Allah akulinde na hasdi kwel dunia tunapita mattO tumeubiwa
Nakupendaa kwaajl ya allah
Mashallah ur the king of nasheed very proud for you dude
Iko poa😻😻😻😻😻😻
Maaa shaaa Allah Afaaiz.... I cant stop listening to this song. I loove it :-)
Namimi naomba kujiunga.
Mashallah kaka Allah akuzidishie
Mashallah ♥ my ber
MASHA'ALLAH KWA KWELI NI NZURI KUANZIA SAUTI HADI MASHAIRI ***WALLAHI IMENIPA FUNZO...✍
Mashaallah nimependa
Mashallah nashid nzur sana
Mashallah tabaaraka Rahman 😍😍
mashallah🥰 i love you ❤️so much i nasheed🎼 your mashallah 🥰allah bless you inshallah 🤲
Asante sana mungu akuweke🥰🥰
Mashallh ume uwa
Nani mwengine afanya kuskiza moree than ten times ha hachoki nayoo
Congratulations on your well-deserved success
ALLAH awabarik ujumbe mzur
That song is good mashallah❤❤
Mashaala Allah akuifazi
Masha allah
Luheta mm in kijana wako nafrahiashwa na kazi zako nikikuona namkumbuka R.I.P. brother wa ng mlikuwa mnasoma pa1 ISTIQAMA PEMBA ila ulimpoteza rafiki yako wa nguvu me mdogo wake nipo nakusapport brother keep it up
😢😢😢😢😢😭😭😭😭
Dah! Umenikumbusha mbali sana ndugu yangu! Ni kweli tulikua tunaishi vizur sana na kaka yako,tulikua tukisaidiana katika masomo na kushindana katika mitihani.maashaallah alikua mtu mwenye jitihada sana darasani,alikua ni kipenzi cha watu.kila mtu alikua ni rafiki yake.allah ampe makazi mema huko alipo.shukran sana ndugu yangu kwa kukubali kazi zangu.
@@AfaaizuLuheta a. alayqoum!
luheta mm nikushauri tu!
ikiwa haujaoa, najitolea kwa ajili y allah niwe mke wako ikiwa utaridhika, lkn jengine umenza vzur kaka yng, jitahid sana ucjekutubadilikia kama brother nassir, vilevile, ungeacha hata no ya M-pesa ili tukuchangie chochote kw kile tulichojaaliwa in xha allah.
@@halimajuma5515 ni wa tanga au Kenya uyu kaka??,, nmempnda wallah
@@abdallamwinyikombo6557 mmmmmh mwnzng mm ata cielewi yuko wapi.
@@halimajuma5515 sawa
Allah akuhifadh ❤
MashaAllah🌹
Hizo ndio kaswida zimebeba ujumbe mzito sio kaswida zasikuizi kama taarabu
Mashaallah ,Nasheed zako mzuri sana Allah akujaalie afya njema ili uendelee kutuelimisha kupitia nasheed
Mashaallah nasheed nzury brother ALLAH akujaze khery
Kwa nasheed hii umeweza sana yaani sichoki
Mashaallh jazakallahu l-khair
Manshaallah Ni kweli kabisaa maisha yataka uvumiliv kaka
Mashaallah allah akuzidishie nazipenda san nasheed zak