Mashaallah nasheedi nzuri San my brother kwahakika tuliisubilia kwahamu sana sema kweli mm sichoki kusikiliza nshd zako kila laher my brother mungu akuzidishie kipaji chako usikate tamaa kwahakika watu wengi wanakusapoti sanaaaaa❤️🌹
Mashallah huna mbaya kk,in sha Allah mungu akuzidishe elmu na ufaham pamoja na ujuzi wa kutoa nasheed zenye ujuzi na mafunzo mazur sana💓💓🥰💓💞🥰🌹💌 I AM SORRY MY FRIEND 🥰
🤣🤣🤣🤣🤣make kwanza ncheke naona ni afaaiz kawa limafia 😂😂😂😂😂ama kweli sanaa kipaji hongera kaka cjui ata umewaza nn hasa ata ukatoa video hii yaaani ni AMAIZING🥰Mashallah👌👌
Punguza kulala siku. Amka kijana, peperusha bendera uzidi kung'ara. Usinifanye nami nivunjike moyo kwenye hii tasnia kwa ukimya wako mwingi... Ila yote kwa yote Al-laah azidi kuinawirisha talent yako
FOLLOW ME INSTA :instagram.com/p/Ci2lytyoXvH/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Br0 tutengenezee nashid m0ja mzur yenye maudhui ambay0 inaelezea vijana na wanaoingia mjini inshaallha
Asalam alaykum naomba namba yko
Mashallah bro sauti nzuri ya kukarir mungu akuzidishie uzima uendelee na mashairi ya kumjali mola wetu inshallah 🙏🙏
Affaiz Allah ukuzidixhiee kua mxomaji mzur wa nasheed habiby💞
Mashaallah napenda xana nashid zako
Inshaallah huna baya afaiz Luheta
Mashallah kazi nzuri sana nimeikubali mungu akuzidishie
Niseme hongera sana mzee wa Saada yaani salot
Maasha Allah kaz iko poa brother....yaan zile Kaz za kimarekan hasa 💥
Kazi nzur na mafunz yakuzingatiwa ❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥 by ml.lyrics
Maa sha Allah yaani inagusa moyo 😥
Mashallah huna mbaya unayotoa na vile unajuwa hicya za kuimbia nasheed allah akuhifadhi 🤲🤲
Mashallah kazi nzr kabisa iyooo
Masha allah hatar kubwa snaa
Hatar kwa kweli
Mashallah Allah akupe yote Mazur nasheed ni mmoj ya Ahaw
Mashaallah nasheed pambe htr👌🥰
Asantee luheta hakika nasheed zako nizauhakika mno sana💯👍good job ww zidisha2 kutoa vigongo washaabik wako wapo pembeni yako luhete.by me leyth aflah
Mashallah wallah nasheed nzur sana keep it up skhy
Mashallah nasheed nzuri sana
Allah akuzidishie sana dear♥️♥️🥰
Safi sana Akhuy tuko pmj piga kaz.
mashaa allah kaz nzr san zije nyingi kuliko hiii
mashaallah hongera kaka kwa Shari zuri
🙏 I am sorry
Mashallah kazi nzuri
Mashallah nasheed nzuri sana
Mashaallah nice nasheed, japo action zake zimenitoa machozi😥😥
Maa sha Allah brother afaaizu nasheed iko 🔥🔥🔥yaani big up 💯💯💯 Mungu akubariki
Big up broooh❤️💯💯💯💯💯
Thanks al-habib
Hiii sini jamaa anatiya makali kwenye para imeniacha hoi🤣🤣🤣🤣ila nakubali kazi👳💥 mashallah
Tulikusubiri kwa hamu
Kwa nasheed zako taamu
Hilo ndo jambo la muhimu
Ujumbe ushatufikiaaaaaaaa❣
Baaraka Allahhu fiik
Every time my sister cries I always manage to cool her with this song😊 beautifull❤❤❤❤❤
Masha Allah Kwa kazi zako
MashaAllah tuliisubiri kwa hamu😊😊😍😍
Nasheed imenigusa dah inauma honger
Luheta naona sasa umetuletea movie hasaa...asante sana💯
Kabisa yan. Na kun. Watu katukosha apo🤣🤣🤣
Nakwambiaa
Maa Shaa Allah nice nasheed😍Allah akujaalie kila la kheri🤗kazi yako izidi kukua.(l am sorry my Friend❤)
MaashaAllah Afaaizu luheta unajua sna 👍👍👍👌👌👌
Ma sha Allah khtr kubwa Afaaizu Luheta
Mashallah yaan huna mbaya kabisa mashallah
Hakuna atakae pinga uzuri wake broo ktk kila nyanja!!!big up kwako...hongeraa
بارك الله فبك
brother afaiz mbn hiii.kali kuliko.me nikuwa.najuwa inakuja move weeee nikuwa.nawaza kutakuwa na sezon 5 sijui😂 kumbe ni kity nasheeed mashaallah ALLAH akulipeni kheir💓💞💓
Mashaallah nasheedi nzuri San my brother kwahakika tuliisubilia kwahamu sana sema kweli mm sichoki kusikiliza nshd zako kila laher my brother mungu akuzidishie kipaji chako usikate tamaa kwahakika watu wengi wanakusapoti sanaaaaa❤️🌹
Balaaa Kubwaaa
Nasheed mashaallah imepangika kuanzia mashairi na kivideo imetulia sana
NEXT LEVEL VIDEO✅✅✅✅
Mashaallah good idea 💡
Kazi nzuri hatariii🔥🔥🔥🔥🔥
Mashaallah kpz Allah akuze zaidi kipaji chako
Mashallah huna mbaya kk,in sha Allah mungu akuzidishe elmu na ufaham pamoja na ujuzi wa kutoa nasheed zenye ujuzi na mafunzo mazur sana💓💓🥰💓💞🥰🌹💌
I AM SORRY MY FRIEND 🥰
Nasheed ya kipekee mashaallah
Mashallah 🥰 afaizu uko vizur 👍
Mashallah Allah ibarik love u bro
Bastawy Masha Allah akhuy unjua sn Allah akuzidishie
Maashallah hjawah kkoseag
kazi nzuri sana😍
Mashallah baarakallahlaka kka hii n Zaid ya utunze ....hakika n wachache Sana katika wengi Allah aliowabariki saut n utunzi kama hii
Mashallah nasheed mzur n ina mafunzo makubwa sana 😍
mashaallah bro , very nice 🤗😍
Mashaallah nasheed nzur❤
Hhhhhh Duh!! Watu wengi tulivy ona Tangazo la hii nashd, Tukajua ndio waanz kuingia kwenye movies
Maa shaa allah kazi nzuriiiii
Maasha Allah hii Nasheed ni Hatari na Nusu
Mashaa Allah huna nasheed mbaya afaaizu
I'm sorry Movie is out Mashallah
🥰🥰🔥🔥🔥🔥I AM SORRY MY FRIEND. Khattaaar. Maa Shaa-Allaaaah. Nakubali Babaa.🔥
Mashaa allah afaaizu nasheed nzuri.
Hio sio nasheed ni mziki na mziki ni haraam.
Hakika
@@alqamarchannel1740 mziki gani ulopigwa hapo ??
Hkk
@@rahimasaid3674 usitake tutetee batwil we huoni kama kuna mdundo
Mashallah unakipaji 🤩🤩👍🤩
MashaAllah
I am sorry my Friend Nasheed nzur sana
Maa shaa llah.
Tukutane kwenye video reaction TH-cam aseee... raha sanaaa
Mashaalllah nzuri Sanna
Mashaallah napenda xana nashid zako
Afaidh ww ndomwenyewe hii game nasheed
Masha Allah, fire Umetisha sana Hongera sanaaa...
Masha Allah i do love always my best 21&23
Nzuri Sana Akhy Aflu
mashaAllah imetulia sanaa good job 👌👌
MashaAllah, wordz, voice, background voice 👏🔥 can't stop listening to this nasheed
Mashallah Afaizu umetisha kaka
Nzur mashaallah
Yaa rabb
Subhanallah inatisha
Shukran sana kwa nasheed nzuri yenye ukumbusho mkubwa ndani yake
Kutokana Na usaliti juu ya mali 😭😩🥺
Am sorry my friend kwa kuchelewa kuweka comment yangu #goodideabrother always 2gather
Assalam aleikum shehe hii mashed kam inajirudia na ile moyo tulia naona ndio iyo kwa iyo
Mashallah mungu akuzidishie
Mashaallah! what a nice reflection❤❤❤
mashallah nasheed pambee😘😘
Nisamehe rafiki dah💪
Mashaallah nice nasheed 🥰
Mashallah 🥰🥰🥰
Mashaallah Akhiy khatar sana.....Mafunzo mazur sana
Masha allah allah akbar upewe ulinzi wa kutosha 🌹🌹🌹❤❤❤
Mashallah Kaz mzur
Mashaa Allah, baarakallah fiik
🤣🤣🤣🤣🤣make kwanza ncheke naona ni afaaiz kawa limafia 😂😂😂😂😂ama kweli sanaa kipaji hongera kaka cjui ata umewaza nn hasa ata ukatoa video hii yaaani ni AMAIZING🥰Mashallah👌👌
Punguza kulala siku. Amka kijana, peperusha bendera uzidi kung'ara. Usinifanye nami nivunjike moyo kwenye hii tasnia kwa ukimya wako mwingi... Ila yote kwa yote Al-laah azidi kuinawirisha talent yako
Mashaallah
Mashallah akhuy
Mashallah mashallah mashallah ya akhy
Mashallah 🤩 nimemuona hata mzee gari la mwisho yupo 🤩
Hongera sana allh akujaalie uzidi kutupa vilivo bora zaidi
Mashaallha 🥰😍🌹kaka nakubali
Mashallah mashallah habbeeb
Masha Allah nasheed paambe 👌❤️👌❤️👌
Mashaaalah 🥰🥰🥰
❤️
Mashaallah Allah azidi kukuongoza
Nice
Masha allah💯