Hatari kubwa yaani unatisha kwakutoa vitu adimu hakuna anaekufikia kama ile ya saidi nayo adimu kisa chenyekueleweka maashallah Allah akulipe kheri na akuzidishie zaidi nazaidi
SubhanaAllah😭SubhanaAllah 😭Heart Touching Nasheed😭😭😭So sad wallah😭😭😭Can't explain😢May Allah protect us from doing Such Sins🙏Ma shaa Allah Akhy Afaaizu ❤Ujumb mzri sanaaaaa weny kusikitisha😢Allah Barik🙏Kwa kazi yakoo😍
Hii anasheed ina ujumbe mzito sana, ndio maana Rasuul akatutajadharisha na rafiki wabaya. Lakini pia Rasuul ametutaka tuwe tunaomba khatma njema. Usia wangu kwa wanaotoa anasheed wajitahidi kutotia beat au sauti zinazofanana na Ala ya mziki. Wajitahidi iwe sauti natural kwa sbb mziki na zumari ni haraam. Pia Mtume alitutahadharisha kuacha kitabu cha Allah na kupenda mashairi. Kwa maana hiyo kitabu na sunna iwe asilimia 99% na mashairi 1% wallah aalam. Barakallah fiik.
هناك نجوم في حياتنا تتلألأ نشعر بالسعادة عندما تظهر، ونحزن عندما تختفي وانت نجمنا الذي يضئ لنا حياتنا. ما شاء الله عليك.. يا أخي .. لله درك .. نشيد جميل ورائع 💫💫💫
Wallah kaka Afaiz imenitoa machozi yaani nilipokuwa nikisikiliza mwanzoni nilijisemea kwamba mwisho wake utakuwa mzuri.wallahi kweli usilolijua nikama usiku wa kiza. Allah atujaalie mwisho mwema .
Dah! Bigapi sana mwanangu wew fundi ulifikilia nini hadi ukatunga kitu adhwiim kama hiki kweli unahaki ulie kwamuda mrefusa tena machozi yamvua pole sana hatari hatari tena hatari kubwa sanaaa.
Kazi nzuri mashaAllah .ila kaka afaiz kuna kama ala za makofi .hili tunaliangaliaje ili wale wasioupenda Uislaam wakapata la kusema.naomba uliangalie kaka Afaiz maana tunathamini sana mchango wako katika kuuokoa umma wa KIISLAAM.
Dah! Bigap sana mwanangu wew fundi ulifikilia nini hadi ukatunga kitu adhwiim kama hiki kweli unahaki ulie kwamuda mrefusa tena machozi yamvua pole sana hatari hatari tena hatari kubwa sanaaa.
Imenifunza vitu vingi .nayipenda Japo kila nikiyiskiliza napashwa kuliya nawaza mengi sana.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Dakika ya mwisho imenisikisha sana🤲👋🤲🤲🤲 Allah atupe mwisho mwema.nayipenda sana naweza yisikiliza ATA Mara Kumi nikiendeleya kuliya😭
Mashaala jmn nimeisikiliza mpaka mwisho nimejikuta nalia tuu kwakweli Allah atujalie mwisho mwema inshallah Allah akufanyie wepesi ktk kz zako endelea kutoa nashidi nzuli kwakweli nashidi nzuli sana naile ya Said yaan ni nzuli sana
Alf Alf Mabrouk👏 Allah yaatik siha Wal-Afia Inshallah☝ Uzidi kututoa kwenye JIZA na kutueka kwenye MUANGAZA kwa kaz zako nzur zenye kubeba UJUMBE wenye kuelimisha 👏👐 Allah yuko pamoja nawewe Inshallah ☝ Nakupenda bure😘😘
Mashallah Kuna mtu anaimba hii Aggash Kama ww Yani utazani Yuko studio kumbe hakuna hata ,ndiye alisababisha nikaanza kukufatilia...Ni hatariiiiiii sana 🙌🙌🙌🙌
Follow me insta:instagram.com/p/COljp5Rp4Lp/?
090
Sawa
Afaiz nitumie namba ya uyu agash si yupi huku huku oman 🇴🇲 nataka nimtafute
❤❤
Alhamdulilah
inahuzunisha kweli Allah atupe mwisho mwema waislam sote na wasokua waislam waufate uislam na sote utuingize peponi Yaa Allah
Aamina yaa rabby
U
Amin
Amiina Inshallah.
Wallah! na comment huku choz likinidondoka.
Hatari kubwa yaani unatisha kwakutoa vitu adimu hakuna anaekufikia kama ile ya saidi nayo adimu kisa chenyekueleweka maashallah Allah akulipe kheri na akuzidishie zaidi nazaidi
afaaizu Mashallah hatari kubwa sana sanaa💯
Kwa nasheed za mafundisho MAA SHAA LLAH mwanangu endelea hivo hivo ALLAH akupe umri mrefu wenye kheri na baraka tele na mwisho mwema Ameeeen
Amiin
Ameen
Amiin
Inahuzunisha sana allah atupe mwisho mwema ... hongera mashallah nasheed nzuri😊
Inshallah
saana dah
Amiin
Mashaallah! Km wampenda affaizu luhetha plzzzz lyk plzzz
SubhanaAllah😭SubhanaAllah 😭Heart Touching Nasheed😭😭😭So sad wallah😭😭😭Can't explain😢May Allah protect us from doing Such Sins🙏Ma shaa Allah Akhy Afaaizu ❤Ujumb mzri sanaaaaa weny kusikitisha😢Allah Barik🙏Kwa kazi yakoo😍
Mashallah mashallah mashallah ni nzuri sana
masha allah afaaizy
mashallah allah shall love u barka is you my friend
mashallah allah shall love u barka is you my friend
Inshaallahh allah atupe tawfiiq njema
Maa shaa Allah tabarak Allah hakika nasheed inamafunzo makubwa sana nimejikuta namwaga machozi
MashaAllah, ujumbe mzuri, Allah atujaalie mwisho mwema.
Ila hao wanao dislike hii nasheed ni kwa sababu gani wana dislike au kwa kuwa pameongelewa ukweli .
Ma
Mashaallah nice nasheed
Inamafunzo mazuri sana💖💖💖💖💖💖💖💖💖
❤❤
Maasha Allah kazi nzr❤️❤️❤️
Masha allah masha Allah masha Allah masha Allah is beautiful masheed are you are feeling Allah yeah😍😍😍
Inahuzunisha Sanaaaa Wallah , Maa Shaa Allah Bwana Mkubwa Kazi Nzuri Sanaaa
An amazing nasheed Allah bless you
Hii anasheed ina ujumbe mzito sana, ndio maana Rasuul akatutajadharisha na rafiki wabaya. Lakini pia Rasuul ametutaka tuwe tunaomba khatma njema.
Usia wangu kwa wanaotoa anasheed wajitahidi kutotia beat au sauti zinazofanana na Ala ya mziki. Wajitahidi iwe sauti natural kwa sbb mziki na zumari ni haraam.
Pia Mtume alitutahadharisha kuacha kitabu cha Allah na kupenda mashairi. Kwa maana hiyo kitabu na sunna iwe asilimia 99% na mashairi 1% wallah aalam. Barakallah fiik.
😭😭😭 sisemi kitu,ila Allah Akuzidishie mashallah,hakika wewe ni fakhari yetu 😘😘😘
Mashallah nzr sna
Mashallah tabarakallah 😭allah atuhifadhi INSHALLAH
Hatari kubwa sana imetendeka ndani ya luheta record ,nasheed ya kiwango mashaallah...
Emotional 😢❤️, May Allah guide us all
Mashallahh hakika nasheed hii imenigusa sana na nimepata funzo kubwa sana mashallahh allah akuzidishie Amiin! Amiin! Amiin! Ya rabal alamiin🙏🙏😭😭❤️❤️
Maaashallah fundi wangu kaz mzuri wallah imenitoa machoz
Mashaalah hongera xana kazana kjana
هناك نجوم في حياتنا تتلألأ نشعر بالسعادة عندما تظهر، ونحزن عندما تختفي وانت نجمنا الذي يضئ لنا حياتنا.
ما شاء الله عليك.. يا أخي .. لله درك ..
نشيد جميل ورائع 💫💫💫
اللهم اجعل له خير وزد عليه أجرا
كتبت التعليق بالعربية لكن هذ منشد انشد بالسواحلية هل انت تفهم هذه اللغة
Mashaallah
Subhanalla
Good
ice voice
Mashallah aggash nimeipenda sana hongera sana
Masha Allah be blessed broo for a very beautiful nasheed 💟💟💟
Daaah hii nasheed inaweza kukufanya usiwe na marafki
Masha Allah nasheed nzuri sna hongera sana💖💖💖💖💖
Kazi nzur mashallah❤❤💪
Kaz nzur kaka afaiz allah atuepushe na maovuu kma hayaaa ameen😢😢😢😢😢😢
Sheikh Habiib asante
Hatari hatari hatari 🔥🔥🔥🔥
Mashaa Allah nasheed nzr yny kuhuzunisha pia😭😭
Ismail khamis
Maashallah inahuzunisha kwel
Mashaa allah hatar kubwa sana 🔥🔥🔥
Aggash kaz nzur sana
Mashaallah ni nasheed nzur na yenye mafunzo makubwa
mashaa-allalh allalh atujaalie mwisho mwem
Mashallah afaiz mungu akuengezee kipaji
Mashallah allah akuzidishie
Wallah kaka Afaiz imenitoa machozi yaani nilipokuwa nikisikiliza mwanzoni nilijisemea kwamba mwisho wake utakuwa mzuri.wallahi kweli usilolijua nikama usiku wa kiza.
Allah atujaalie mwisho mwema .
Aamin
Kweli
Amiin
Maaa sha aallah nasheed nzuri na mafunzo makubwa ndani yake
Mashallah nasheed nzry, so sad, Allah atujaalie mwsho mwema🤲
Afaaizu luheta haifai kuigiza namno hiyo kwa madhumuni ya kufundisha watu kama Kuna nasheed yako moja mtu alikuwa anavuta sigara
Kwa kweli hii Nasheed imeniliza Mashallah uko vizuri.
Allah atulinde na atuelekeze kwa njia ya uwongofu.Na atujalie mwisho mwema. Amiin
😭😭😭😭😭😰allah huakɓar congratulation kaka allah azidish kipaj mashallah
Dah! Bigapi sana mwanangu wew fundi ulifikilia nini hadi ukatunga kitu adhwiim kama hiki kweli unahaki ulie kwamuda mrefusa tena machozi yamvua pole sana hatari hatari tena hatari kubwa sanaaa.
Mashallah ..it's amazing sadly nasheed
Masaallah aggash inamafunz ya kwl mung akujalie kutufunza ivyivy
Maashallah khattary khattary
Yahya Ally khaswaa khatyaryy
Daa kweli hatarii
Maashaallah Allah akuepusha na fitna mbal mbal broo na akupe ikhlasw❤️❤️❤️
Kazi nzuri mashaAllah .ila kaka afaiz kuna kama ala za makofi .hili tunaliangaliaje ili wale wasioupenda Uislaam wakapata la kusema.naomba uliangalie kaka Afaiz maana tunathamini sana mchango wako katika kuuokoa umma wa KIISLAAM.
Effect ile haina shda sio makofi hasa kma umeiskiliza pepo ya duniani mama ya sheikh Yussuf ktu kma ichi kipo...
@@bigmoto4965 ila makofi ni ibada za mayahudi.au ikoje ? MAna some times anakuwa ni yule director na cio munsheed aliye apply.
Mashallah mashallah mashallah ni nzuri sana
Uyo #Habibu hata ukimuimbia kasida hawez kuacha bangi kwasababu mazoea yana tanu
weweeeee ahhh
Kwaiyo baada ya kifo ana hukmu gn
والله هذا هو حيتنا 😭😭 اللهم خعلن حسن جتم😭
Mashallah nasheed nzri sanaaa♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Masha Allah Hongera Kaka Nasheed ipo vizuri sana imebeba ujumbe mzito kwa kweli.
Subhanallah, 😥 Allah atujaalie mwisho mwema na atuepushe na marafiki wabaya
Your the best my brother nice masha Allah
Dah! Bigap sana mwanangu wew fundi ulifikilia nini hadi ukatunga kitu adhwiim kama hiki kweli unahaki ulie kwamuda mrefusa tena machozi yamvua pole sana hatari hatari tena hatari kubwa sanaaa.
BIGAP
Mashaallah ,Allah atujaalie mwisho mwema
Mashallah hongera Sana kaka
Hongera broo ujumbe mzuri
A alaykum ukiskiliza inafika mpaka kwenye sehem husika ya huzuni Mungu atupe mwisho mwema
Mashaallah sauti yenye malengo na kufikisha ujumbe allah atupe mwisho mwema sisi na vizazi vyetu
yaani wewe ukiimbaga nashidi za namna hii untisha sana ndugu yangu
Masha Allah your voice is good😘😘😘😍😍☺️
Umejitahidi ustadh habibu....maa sha allah....kweli wahuni c watu wazuri
Mashaallah nasheed😥😥😥 YA ALLAH tujaalie mwisho mwema 🤲🏻🤲🏻jazzakallah kheir kwa ukumbusho
Kaz nzur sana kaaka nakukubal sana
Kakangu Yuko hivyo nataka mtu ambadilishe 😢😢 inshallah 😢😢💯
May Allan guid as all💗💗💗👏👏mashalah 😘😘😘
Imenifunza vitu vingi .nayipenda Japo kila nikiyiskiliza napashwa kuliya nawaza mengi sana.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Dakika ya mwisho imenisikisha sana🤲👋🤲🤲🤲 Allah atupe mwisho mwema.nayipenda sana naweza yisikiliza ATA Mara Kumi nikiendeleya kuliya😭
Big up bro u lit do wat u so best 10/10
Masha Allah. Hakika nasheed hii yahuznish endeleza kazi hii nzur😭
MashAllah AFAIZ pole sana agash kwa msiba uliokupata
ما أجمل النشيد! اللهم اهدنا الصراط المستقيم
aswamsu😅
Allah atupe mwisho mwema
Mashaallah nice voice,keep it up
Pole Sn Aggash Kwa Kilichomkuta
Ila Affaizu Kaz Nzr 💟💝 Mashallah
Hongera sana Al Akh Afaidh Luheta Nasheed ni nzr yakutya moyo kwa vijana walojisahau.
Mashaallah maashaallah wallah nasheed inahuzunisha😭
Hii nasheed inafundisha saana maashallah Allah atujaalie Hasn al Khaatim InshaAllah
Kiukweli inasikitisha sana
Nice nashed and so 😔 for us
Masha allah hee balaa zitoo hatariiiiiiiii..Aggash inahuzunisha allah atupe mwisho mwema nice nasheed and heart touching
Ni maneno machache yenye mafunzo teleeeee
Mzgo uhakikaaa......safii fundiii
Allah Akbaru Yaa Rabbby Sote Atupe mwisho mwema
Mashaallah Ilove you nasheed
Aggash alfaiz kaka mashaallah mungu akuzidishie
Mashaallah huwa naisikiliza kila siku huwa najiuliza mwisho wangu ni upi nakosa majibu ,Ewe Allah twakuomba utupe mwisho mwema kwa huruma zako, aamiin
Mashallha luhetta Ol da best mere dost, nashhed nzurii san Mashallha more then more ❤❤❤❤
Mashaallh
Hatari kubwa sana 💯
Mashaala jmn nimeisikiliza mpaka mwisho nimejikuta nalia tuu kwakweli Allah atujalie mwisho mwema inshallah Allah akufanyie wepesi ktk kz zako endelea kutoa nashidi nzuli kwakweli nashidi nzuli sana naile ya Said yaan ni nzuli sana
Masha Allah Masha Allah heart touching nasheed I love it 😍😔😔😔❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
Mashaallah, mungu akuzidishie, nasheed zako nazikubali sana. Zina ujumbe mzuri mno
Masha Allah mashers nzuri Sana kweri
Mashallah allah atakuzidishia broo😔
Aameen
Asalam alyku majid vip kijana
Masha Allah
Mashaallah Allah atupe mwisho mwema
Alf Alf Mabrouk👏
Allah yaatik siha Wal-Afia Inshallah☝
Uzidi kututoa kwenye JIZA na kutueka kwenye MUANGAZA kwa kaz zako nzur zenye kubeba UJUMBE wenye kuelimisha 👏👐
Allah yuko pamoja nawewe Inshallah ☝
Nakupenda bure😘😘
hatar kubwa sana
🤜🤜
Mashaa Allah napenda sana nasheed zako zimetulia na zina mafunzo zina skitisha yani mpk choz linatoka Allah atupe husnul khaatima
Mashallah Kuna mtu anaimba hii Aggash Kama ww Yani utazani Yuko studio kumbe hakuna hata ,ndiye alisababisha nikaanza kukufatilia...Ni hatariiiiiii sana 🙌🙌🙌🙌