HESHIMU MAHUSIANO YA WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 มิ.ย. 2021
  • 1 WAFALME 3:6
    [6]Sulemani akasema, Umemfanyia mtumwa wako Daudi baba yangu fadhili kuu, kadiri alivyoenenda mbele zako katika kweli, na katika haki, na katika unyofu wa moyo pamoja nawe; nawe umemwekea na fadhili hii kubwa, maana umempa mwana wa kuketi kitini pake kama ilivyo leo.
    Solom alipopewa nafasi na Mungu ya kuomba analolitaka hakuanza tu, kutaja Maombi yake, alimtambua kwanza Yule aliyekuwa Sababu ya Yeye kuwa pale...
    Lesson: Siku ukipata nafasi uliyokuwa ukiitafuta Usimsahau au Kumpuuza Yeye aliyekuwa Sababu ya Wewe Kuwepo pale.
    #MaishaNiSafari
    #BibliaInaHekimaZake
    #KwenyeKilaAndikoKunaFundisho
    NOTE: Hii ni Sehemu tu ya UJUMBE Katika ibada ya Jumapili. Usikose IBADA zetu kila Jumapili
    Ibada inaanza Saa 1:00Asubuhi Hapa kanisani KASANGA-MOROGORO.
    KWA MAWASILIANO PIGA: +255659085731 au +255713702187
    KWA SADAKA YAKO TUMA: M-PESA 0762153539
    JINA: NEEMA MASENGA

ความคิดเห็น • 30

  • @shadya977
    @shadya977 3 ปีที่แล้ว +9

    Napenda jinsi unavyo toa somo kwa hisia km vile umetendewa 🤣🙌 Barikiwa Mtumishi wa MUNGU 🙏

  • @petermaro9852
    @petermaro9852 2 ปีที่แล้ว +3

    Listening to Pastor Kapola is more than education you acquire in school.

  • @djackishara-lj6zd
    @djackishara-lj6zd ปีที่แล้ว +1

    Kabisa Mwenyezi Mungu wa mbinguni aendeleye kuku hudumiya kiroho ili uendeleye kutu umba kiroho piya n'a Mungu aku bariki mchungaji nina barikiwa sana na neno lote unalo tu huburi

  • @mzalendohuru...4967
    @mzalendohuru...4967 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen I got you pastor Tony Kapola ....
    Barikiwa sana Mtu wa Mungu🙏
    Nimeipenda hii (Usiwachukulie watu Poa)

  • @Damaris-fk6vv
    @Damaris-fk6vv ปีที่แล้ว +1

    ❤🙏🙏🙏🙏🙏

  • @dullamuso6955
    @dullamuso6955 2 ปีที่แล้ว +1

    Hili neno limenibariki sanaaa

  • @teclamsigwafashao496
    @teclamsigwafashao496 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana pastor wangu 🙏

  • @beatrice3671
    @beatrice3671 ปีที่แล้ว +1

    Absolutely 💯

  • @sulemanhamisi-zw7ew
    @sulemanhamisi-zw7ew ปีที่แล้ว

    Thanks so much pastor

  • @jacklinekishiwa397
    @jacklinekishiwa397 3 ปีที่แล้ว +1

    am blessed to hear this 🙏

  • @godknowsbetter.6352
    @godknowsbetter.6352 ปีที่แล้ว

    Highly recommended brother

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 Amen

  • @joshuatai40
    @joshuatai40 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen kweli papaa❤❤❤❤

    • @majed8488
      @majed8488 ปีที่แล้ว

      Kabisaa napenda mafudisho yako yananitia nguvu na hii nimejifunza kitu ubarikiwe

  • @fadhilimgala2255
    @fadhilimgala2255 3 ปีที่แล้ว +1

    I really appreciate you man of God

  • @pendomatei846
    @pendomatei846 2 ปีที่แล้ว

    Amen ameniiii

  • @annahkalole965
    @annahkalole965 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏

  • @mwl.njakachai7752
    @mwl.njakachai7752 2 ปีที่แล้ว

    You deserve to be man of God.....

  • @truthch1642
    @truthch1642 2 ปีที่แล้ว

    This is so true🙌

  • @mumymushi2672
    @mumymushi2672 2 ปีที่แล้ว

    Your so blessed

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mtumishi

  • @yesuanikumbukejanuary8363
    @yesuanikumbukejanuary8363 ปีที่แล้ว

    Ameeni

  • @fumakulelucas9652
    @fumakulelucas9652 3 ปีที่แล้ว

    I love you Tony

  • @conciousclement2
    @conciousclement2 3 ปีที่แล้ว

    A get You Man Of GOD
    #ApostleConcious
    #KijiweChaInjili

  • @Paplick9
    @Paplick9 3 ปีที่แล้ว

    Pastor

  • @WTC492
    @WTC492 ปีที่แล้ว

    Kapola umeugonga mwingi

  • @BeatriceOmwaka
    @BeatriceOmwaka ปีที่แล้ว

    Huyu anayeitikaitika anaudhi

  • @odiliamathias5424
    @odiliamathias5424 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁 wapo watu kama awo jamani

  • @hurumamtambo619
    @hurumamtambo619 ปีที่แล้ว

    M