Nyota Yako Ina Thamani | Maombi Ya Kuombea Taifa | Pastor Tony Osborn
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ก.พ. 2024
- Do you know the impact your star has? Watch this to receive the full revelation on how impactful your Star is.
Link to playlist from this series:
• MAOMBI YA KUOMBEA TAIFA
Connect with Pastor Tony Kapola Ministries:
Facebook:
/ pastortonykapola
Instagram:
/ pastortonyosborn
Contacts (Mawasiliano): +255 713 702 187
Offerings (Sadaka): +255 762 153 539 (ANTHONY KAPOLA) - เพลง
Narudisha nyota yangu Kwa jina la yesu,aijaliahi ni nani aliye iba from today,kama unasoma huu mwezi wa saba , like tafathali
Narudisha nyota yangu kuanzia Leo nyota yangu iliyo ibwa nakubebwa katika jina la yesu alie hai I return it🙏🙏🙏
Hakuna mchezo m'baya kama huu wa kulala na kile mtu aah una maliza nguvu sana ila wengi hawajui. Unalala na mtu mnabadilishana Energy( STAR) kama ukikutana na nzuri twende ikiwa mbaya ndo hayo mashimo marefu anayosema mtumishi apo
Mung naomb nisaidie mm jamn huu mchez ndo ninaufanya nimeomb San kutok nashindwa
Amen
@@jenjuma6255 Pole jeni Mungu wa mbinguni anasikia dhamila yako kuu yakuacha sasa subiri Muujiza wako utaacha na utasahau maan Mungu anasikia dhamila ya ndani kabsa,,,
Dear pole but hata mim nilikuwa hivy ila nikakutana na one man I believe him a lot but she hurts me ndo nilijifunza to stay in one pass but nilisaidiwa napastor kwa maombi@@jenjuma6255
Nimekuja kugundua very late pombe na uhasherati ndio adui wa mwanaume
I wish Hawa wanaocheka wangeelewa na kulia... Somo sensitive sana
Narudisha na kupokea nyota yangu in jesus name 🙏🙏❤️❤️
😭😭😭😭😭😭😭😭ninatman ningekujua toka zaman mung nisaidie mm
Mungu azidi kukuinua umenibariki kwa maneno yenye nguvu yaliyobadilisha maisha yangu.
U chang my life pastor nilikuw nimejikatia tamaa san lkn umebadilish maish yang kwanzia sas am going to change🎉
Mungu baba Mumbai mingus na inji naomba unirejeshee nyota yangu mahali popote ilipo mungu na baba yangu niurumie
Ameen Pastor God bless you ,hizi Siri za Mbinguni unatufunulia Tunakuombea Baba 🙏🏼😭😭
Eeh Mungu naomba unirudishie nyota yangu na kuiihifadhi . Nisamehe na kuniokoa mimi mwana kondoo wako 😢🙏
Ningelikujua zaman nngelikua mbali sanaaa... ❤
Muda ndio huu, haujachelewa utafika mbali sana bado una nafasi hiyo.
Kila jambo na WAKATI wake
Wakati wa Bwana ndo huu
Mwenye sikio na asikiye☝️
Amen napokea nyota yangu leo kokote iliko iludi katika jina layesu amen
Imagine what you could be if you live a Holy life? ...what a powerful msg? Barikiwa Mtumishi
Lord Jesus😢 have Mercy on me and my friends and Family 🙏
Mahubiri mazuri sana yenye ujumbe mzito.ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Namshukuru mungu kwa neema ya kujua haya na kumjua yeye mapema❤
napenda niwe mwanafunzi wako kila cku
This guy is more talented,, God bless you pastor
Asante kwa kunifungua na Mungu anisamehe kwa ujinga❤wangu wa kutomkaribisha mapema zaidi
Sasa hapa nimegindua why mume wangu huniambia ninanyota ya utajiri lakin ameniachia majukum yote na kustareh nyumbani
Pastor Tony may you always be blessed, AMEN AMEN AMEN.
Narudisha nyota yangu aijalishi sijuwi nani laibeba ila kwa jina la yesu kristo aliye hayi irudi kwangu🤲🤲🤲🤲
P.p😊l
Amen narudisha nyota yangu popote ilipo irudi kwa damu ya Yesu kwa jina la Yesu amen
Ulimpa nani😂
This is deep
Napojea nyota yangu kwa jina la yesu.nyota ya utajiri na ufanisi.nyota ya ndoa
Umbali huu Nimekosa Mengii! Yaani Najifunza Neno kiundani Sanaa Mungu akutunze sana Pastor Kwa Ajiri yetu🙏
Mafunzoazuri sana,nimejifunza mengi ambayo sikuyafahumu nimebarikiwa sanaa
God hv Mercy on me😭😭
Amiiin 🤲
Mungu akupe hekima na maarifa ya kuendelea kutupea ujumbe mzuri utakao badili Maisha ya kila mmoja barikiwa Sana mtumishi 🙏🙏🙏
Amen napokea nyota yangu kwa jina la yesu🙏
Narudisha nyota yangu kwa jina la yesu🙏
Nailudisha nyota yangu popote pale ilipo kwajina la yesu kiristo
😂
sjui kama kuna pastor anajua kufundisha kama pastor tony namuelewa
Amen narudisha nyota yangu popote ilipo kwajina la Yesu
Nani aliyeiba,,prove scriptures
Wee powerful msg MUNGU tusaidie tupatekuelewa watu wanaotafuta kilicho ndani yetu
May God intervene 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Nabarikiwa sana sana na Pastor Tony Kapola......
Aise wewe mtumishi unanipaga somo zuri sana.
Surely mtumishi wa MUNGU UBARIKIWE SANA kwa hilo neno linazidi kunisaidia
Dady thankyou kwa haya mahubiri
Ukweli mtupu
Barikiwa mchungaji somo zuri👏🏽👏🏽
Napokea nyotayangu kwajina la Yesu
Bas tu niumbali ningekuwa naabudu kwenye kanisa lako❤
Hiv kanisa lake liko wapi
Mungu na mwanawe yesu kristo akuzidishie nguvu na ufunuo zaidi umenibariki sana.
Pastor nashukuru sana kutoka Kenya.Mi mwenyewe umeniguza sana.shabiki wako na mshirika wako kuendelea sasa
Together we can
Tuko site🎉mtumishi ananena ukweli ❤🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mungu tusaidie point ni nyingi sana anazisema ....ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Be blessed pastor
Nakubalii:::::!!!
Umetuzaidia sana pastor Mungu akubariki tumejua kuchelewa lakin namini kwa Mungu hakuna kitu kama kuchelewa
Bring all back
🔥
A very powerful sermon,thank you so much.my daughter will not make the mistake i did because i know where i went wrong.🙏🙏🙏🙏
This word is next level.
Amina
Tumeelewa
Be blessed man of God
Mungu akubaliki
Hallelujah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤❤❤
Amen pastor
Hallelujah 🔥🔥🔥
Amen tufungue baba
Mungu akubariki mutumishi
Neno nitaa asante Mungu kwa ajili ya neno lako barikiwa Sana mtumishi
Amen and Amen Pastor ,powerful message
Amina
Nabarikiwa sana
hili neno tamuuuuuuuu❤❤❤❤❤❤
Asante kwa neno
Amen 🙏
Barikiwa saaaana
Barikiwa mtumishi
True pastor Mungu akubariki sana
Amen ❤
Ukweli mtupu, zinaa, uasherati unaua nguvu za kiroho na Kila kitu
Amen
ubalikiwa sana
Ameeeeen Ameeen kubwa pastor barikiwa kwa ujumbe mzuri
Nothing but 🤩 wow!! Asante mutumishiii
Mungu akubaliki mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏
Wooooow I get you
Nimekuelewa vizuri
Ameen Mungu akutunze Pastor nimejifunza na kuelewa🙏
Mungu azidi kukubariki pastor, najiona nazidi kuwa mpya kila siku
MUNGU atusaidie pastor Tonny coz tumeisha ukweli,nyota imeenda ,
Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina
Aisee nimekuelewa sana na nimeipenda❤
Mungu akubaliki sana pastor Tony
Mungu aniponye kwa kweli mtumishi umeongea powerful message to me 🔥🔥🔥
Ameen Ameen
Hakika 🙏🙏🙏 Mungu atusaidie
Thanks pastor now I understand ❤❤🙏🙏🙏😇😇 your blessed
Ameeni napokea nyota yangu kwa Jina la Yesu
Ameeeeeeeen.
I always understand pst Kapola❤🎉
Amen napokea nyota yangu kwa jina la yesu
Barikiwa sana Mtumishi wa MUNGU
Ubarikiwe mtumishi
Amina Mtumishi