MAKOSA YAKO YA JANA YASITAFSIRI KESHO YAKO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2020
- Life Chapel International Church, Morogoro Tanzania.
Preaching the Word of Life through Our Man Of God Pastor Tony Kapola.
Unaweza kunifutalia kwenye mitandao yangu mingine kwa kubonyeza links hapa chini:-
Facebook: / pastortonykapola
Instagram: / pastortonykapola
Subscribe My TH-cam: / @pastortonykapola
#PastorTonyKapola#makosayakoyajanayasitafsirikeshoyako
Amina baba🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ameni 🙏🙏🙏 Mtumishi wa Mungu
Mungu azid kukutumia mtumishi
Amen Dady.
Amen amen 🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏
Amen
amina
AMEN
Amen nmepokea ujasir mtumishi nashukul
Amine mchungaji munch atusaidiye
Umenifunza mengi paster Tony mungu amekupa kipawa continue touching peoples heart Amen
Amen mchungaji wacheni kushusha watu wacha tutiane moyo wonderful sermon
AMEN AMEN 👏👏,,,, Mungu atabaki kuwa Mungu 🙏🙏🙏
Sitoacha kukusikiliza kwa kweli...I gain something here
Ubarikiwe kwa kweli mahubiri yako ndiyo maisha yangu.,na kwa kweli umenipongeza ,kunitiya moyo
Mungu akubariki mwanangu kwa neno . Mafuta ya Bwana yazidi kuwa juu yako.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu nakula chakula kisicho ghoshiwa na kitamu sana
Ameen
Barikiwa sana MTU wa mungu i am really bless with your teaching from Mombasa kenya
YOU ARE A WONDERFUL MAN OF GOD WHO CAN SHOW THE WAY FOR BROKEN HEARTS. BLESSES!
@@pastortoneykapola2764 you are a scam and we have known you and we are working on you... Watch what we will do.
Nakuelewa pastor duh
Nimeguswa sana. Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu zaidi kwa Jina la Yesu. Amen.
huduma yko haiendi bure,tunapona sana kupitia huduma hii,Mungu anae kutumia azidi kuwekeza ndan yako ,Amina
Very powerful sermon, just what I needed to hear, God bless you sir 🙏🏾
W
@@rehemajohnson8544
Nahisi aliyekujibu siyo pastor,ukiangalia jina la Kati utakuta ni tofauti, toney Vs Tony.
Ameeeeni asante
Nabarikiwa sana nkiwa kenya
mchungaji kwakwel sijutii kuchelewa kuyasikiliza mahubiri yako lakini naamini umekuja wakati muafaka katika maisha yangu na katika kunibariki na kuiponya nafsi yangu. Mungu aendelee kukupa nafasi na uzima uendelee kutupa sega la asali kutoka mbinguni.
Ameen🙏🙏
Amina we mtumishi MUNGU azidi kukulinda nimetoka kwenye nyakati ngumu kwa ajir ya mahubir yako
Amen, Mungu mpe zaidi Mtumishi wako mafunuo ili neno lako lizidi kujidhihirisha kwetu.
Barikiwa mtumishi
God bless u
Nimefunguka na hii neno
My dream is to sit at your church and listen to you...God bless you.... your a blessing
Huu ujumbe imenijia kwa wakati inao FAA,,mungu azidi kukutumia
Ni kweli kabisa katika maisha ya Sasa.Mtumishi barikiwa sana.Tunahitaji mengi.
God bless you man of God
Nafurahi SANA ninapo sikiliza mafundisho yako pasta Huwa najifunza SANA MUNGU AKUBARIKI
Maisha ni mafundisho
Watching from Kenya,Turkana county
Timely message. Kweli Mungu amenena nami leo
shetan kaa nyuma yangu
Asante Mungu wangu
Ubarikiwe
That Preacher and mentor i was looking for all that time
Am blessed ❤❤❤❤
Amen🙏🙏🙏🙏🙏NITAOLEWA KWA HESHIMA KWA JINA LA YESU🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💃💃💃💃🇰🇪🇰🇪
Na mume niko hapa karibu
So powerful sarmon ,amen.amen🙏
Ameeen! That is true pastor, Yesu nisaidie kutokukumbuka giza la jana.
@@pastortoneykapola2764 you are a thief
Amina, nasonga mbele ya Jana hayanisumbui tena, asante Yesu
Nimebarikiwa mtumishu, ubarikiwe pia kwa neno lakututia moyo.
Kwanzia leo najisamee na naitazama kesho yangu iliyo na nuru.
Powerful message
Nakushukuru sana mtumishi wa MUNGU nimebarikiwa sana na nitafucus na yaliyo mbele .AMEN
Amen pastor huwa unanibariki Sana keep it up my Dady.
Aminaaaaaa...!aliyoko ndani yangu siyo aliyoko nje yangu asante mtumish wa MUNGU🔥🔥🔥
Nzuri sana Pastor, hakika somo linabariki sana
Amen somo zuri Mungu akuzidishie ulipotoa
Ubalikiwe sanaa kwa ujumbe wenye nguvu sanaaaa
Amina mtumishi wa Mungu
Amen man of God u always blessed me
@@pastortoneykapola2764 fake account only 2 subscribers. Be ware of scammers
Unanitia moyo sana pastor namshukuru Mungunkwa ajili yako.kweli kina vyombo vya Mungu nikishasema hakuna tena mtumishi nitakae mwamini.niliona kama wote ni wabaya na Mungu anisamehe sana kwao kuhukumu anisamehe kabisa niliona kama wote wanafanana.
Pastor nimecheka sana maneno yako yamenitia nguvu sana 🤣🤣🤣🤣🤣🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Aky pastor una hubiri vzur mungu akubarki xan, hakika na barikiwa
Mungu akubariki mtumishi
Giza yangu ya Jana sitakumbali izime taa yangu inayo nimulikia Leo na kesho asante Sana mchugaji
Ameen
kabisaaa baba mchungaji
umenigusa katika hili
Aliyeko ndani Yangu ni Mkuu kuliko wao Ameeen
Woo great revelation
Am always touched by ur preaching. ....
Amen. Makosa yangu ya Jana sikubali yanirudishe nyuma. I focus to the light
Amenii mungu azidi kukubariki baba
These sermon was meant for me regardless of how late i am to hear it , I've been focusing on my mistakes for years and it has derailed my progress but not anymore. The mistakes i did won't dim my progress today abd days to come . I have forgiven myself 🙏. Amen
Mchungaji kwakweli nimebarikiwa na maubiri Aya and I know that am not late bicoz God's time is the best❤
Mungu ni mwema
Mungu akbarikisana saaaaana
Amen, thank you so much pastor. Hii imenisaidia
Amen! Thanks for this teachings pastor they've blessed me
Haleluya!! Pastor nampenda Mungu wako kweli nabarikiwa mno na mafundisho yako natamani kufika madhabahuni pako siku moja nitafika tu naamini nfuatilia sana mafundisho yako na nasikia amani mno kina mahali navuka kiroho kabisa Mungu anakutumia kweli.Mungu akubariki ubarikike.
Amina mtu wa mungu
Ameeeeeen 🙏 jamani MUNGU akubaliki mtumishi wa MUMGU moyo wangu ulizimia Ila Sasa umeamka tena
MUNGU akiongezee maono Zaidi pastor. Hakika nabarikiwa Sana nikiwa Oman napenda Sana masomo yako ni kweli na Amen
Amen Amen mtumishi wa mungu. Nazidi kubarikiwa.
Nabarikiwa sana na mafundisho yako pastor, Mungu azidi kukutumia akupandishe viwango ukahubiri kimataifa na dunia kwa ujumla
Tanzania tunatji injil kama hii kabsaaa ndo tutapona roho asant kapola
Amen mungu akumbe maisha marefu uendelee kuokoa iki kizazi
Amen mtumishi kweli anaekutupa leo kuna Mungu aliekupangia kukutoa jalalani alikotupa yule wa jana na Masaki kukaa na kula kuvaa kuishi na majirani mabalozi mawaziri nk
Mungu hutamka mwisho mwanzon...watu hufika salama kwa kuiangalia nuru nasio giza
Amen Sana ninafuraha kila wakati waja mungu akubariki tu sana
Amina ❤❤
Amina
Good bless you pastor 🙏
Asante kwa meji
❤
Thenks
Mungu akubarik uish miak ming...
🙏🏿
Mungu akuzidishe pastor Tony
An ay mahubir Leo kesho Bado nayakubali,,,,yamenifungua kifungo flan iv aise achen Mungu aitwe Mungu
You are always a blessing to me watching you from lebanon
Powerful Wisdom
I really needed this🙏🏼amen I receive
Nafuta makosa yangu jana naangalia nuru ya mbele