Huwa nakupenda sana na kutumia mapishi yako kama darasa kwangu maana unatumia mapishi halisi ya kitanzania huna makororkoro mengi ni mapishi yanayomfaa mtanzania yeyote
da aika hakuna chakula napend kama Wal maharage na spinach pamoj na kishombo chchte pemben kama kuku,samak, nyama na main yani Leo umentamanisha sana jaman
Goodgirl kb When someone is asking question you suppose to respond if you know the answer and don’t laugh or ridicule them, to me that is genuine question.
Huwa nakupenda sana na kutumia mapishi yako kama darasa kwangu maana unatumia mapishi halisi ya kitanzania huna makororkoro mengi ni mapishi yanayomfaa mtanzania yeyote
MashaAllah Allah akuzidishie kukupa wepesi kwa kila Jambo Maana mwenyewe faster 2 umepika nimekupenda buree 😘
Woow asante sana my dear, sijutii kusubusikraibuu.
nimependa unavyo elezea vizuri,Ahsante kwa mapishi
MashaAllah, good job napenda sana mapishi yake chef🌹thanks alot kwa kutufundisha. 🇰🇪
You are very helpful kwa sisi bachelors na tunaopenda nyamnyam😋😋😋
Nimeikubali sana style unayotumia kupika wali...
Wee noma
😋😋😋
Pishi rahisi nalinaonekana tamu sana,hongera dada kwa kutupa darasa
Mashaallah na vle namic vyakula vya nyumbani uku kapusa tu na makarona jamani Africa tunaupishi sna
Hongera dear,unajua kuelekeza kwa uzuri,na mapishi yako yako bomba sana
Chakula hichi,kinanikumbusha nyumbani, asante sana Ika🙏🏽
Asante sana shoga Angu,Mungu akuongoze
Shopping time for my Sunday meal.. Asante kwa upishi bora.
So nice 😍
Asante Sana dada nmependa mapishi yako nimejifunza vingi kutoka kwako. Mungu akubariki🙏
Amen
For a very long time nillikuwa natafuta mapishi alisi ya kwetu bara , finally umefika.. THANK YOU. Simplicity and delicious..yummy
Kizuri
Hongera sana unajitaidi mungu akubariki
Ntakuja niekee makao ...unifundishe mamii....umestustiri umestustiri❤️❤️😘😘
Nimekipenda icho chakula dada lazima nitajaribu..
One thing I like from your video upo very natural I really like that 😋😋
I love ur videos hazina complications na umebase african ways safi sana
Unapika kwa usafi. Hongera
Nimetamani😋😋😋😋
Your doing really well. Keep up, like the simplicity of your videos and all details well put!
Thank u
Dada weee mkalii vizurii...
Sasa Dada wali unaweza ukapika bila kuweka mafuta kama ulivyopika
Delicious menu.. Duuh.. Hii menu naipika Leo Sio kwa kusalivate huku.
😋😋tatizo anazingua location 😂😂
aisee marage hayoo nimependa hulivyo pika
Waooooo❤❤❤❤❤❤
Mate yanitiririka👍
Finally wa kwanza Leo.. Kutamanishana tuu.
Hahaha umeonaee
Oh men unajua kupika nimekupenda bure
Asante Sana Kwa mapishi Ika samahani et maharage yanaitwaje hayo mbna yanapendeza Sana
Ni Maharage ya njano
Asante Sana
Nmependa unapika kwa usafi sana, hupakazi pakazi masufuria!
Asante nimekipenda
Kazi nzuri mrembo Ika
Asante
Kazi safi ika malle
This is my favorite meal ishh
🥰🥰🥰🥰
Mmh umeshemsha woooo
Dada siku ukiona comments zangu nakuomba unifundishe kupika na wali Maua
Safi una upishi simple.......
Upishi wako simple hongera
asantee san na mm nitajaribu
Mambo yangu wali na maharagwe
Mimi pia napemda wali maharage jamni mweeeh
Umetutamanish kbs tuliok warabun
😂😋
yaan tena huku wasivo jua kupika..uwiii mtihani..maana kila siku wali na mamichuzi yamejazwa maji kama mto ..mpka mtu unaamua ukule tu wali mkavu😢😢
@@rosesamwelitenga4648 🤣🤣🤣Yaan tuvumilieni tu ila wenzetu kupika ni zirooooooooo
da aika hakuna chakula napend kama Wal maharage na spinach pamoj na kishombo chchte pemben kama kuku,samak, nyama na main yani Leo umentamanisha sana jaman
😋😋😋
👌👌👌👌👌 Where are you from????
Tanzania 🇹🇿
Asante mpendwa ubarikiwe sana
Hiyo mboga ya majani siyo spinach mpenz hiyo ni Chinese... nice cooking tho
Mashaallah!! kazi safi saaana
Awwww you are so sweet
And you are doing good... you're the best cook
Nice dear
Nimependa mapishi yako dada je maini umeyachemsha ama umeyakaanga yakiwa mabichi?
Nimeipenda
Yummy😋😋😋
Uko vzr
Hilo jani la Basil linapatikana wapi jamani?
Keep up Girl😍 Looks so 😋
Thank u 🥰
Thank u 🥰
Napenda kujua wewe uko mji gani Tz
Asante sana kwa recipe nzurii.....😍
Samahani kuna video ulitoa ya pambo la ukutani nataka kuuliza ulitumia nn kubandika lile pambo ukutank?? Sorry.
yummy with sima
Hongel
Sante my
Menu sio yaki toto SAFI SANA
Yummy 😋
Awesome
Barkiwa
🙏
Mashallah
So nice
Nice
Maini ukiongeza maji hivyo yanakuwa magumu.
Hiyo sio spinach, ni mustard greens. Wachina wana chezea akili za watu.
nice
Unanitia njaa tu
Dada asate unatumizatu sasa wengine tupo mbali
Dada eeeh maini ulichemsha kwanza ndio ukaeka kwenye viazi au zilikuwa bado mbichi?
Look so yummy
After boiling the beans do u have to wash it or not
Why to wash them😂, we dont wash them after boiling.
no
Goodgirl kb
When someone is asking question you suppose to respond if you know the answer and don’t laugh or ridicule them, to me that is genuine question.
😋😋😋
Hi ya spinach ya aina gani? Sio ya kiChina?
Chai2574 Hilo I wondered about that too lakini ni Romaine lettuce sio spinach
Sylvia Nyotieno No, sio romaine lettuce ni mustard greens.
Unapenda karot hata marage unaweka karot😉
Karot inalet ladha nzur kwny chkl
Karoti usaidia kutoa gesi na kuzuia mnyambo💨
Ooh nimefahamu👍
maharage wachemsha vipi kuzuia gesi?
Tumia pressure cooker kwenye gesi ama chemsha na mkaa
Roweka maharagwe kwanza usiku mzima ukiweza ndio hutatumia gesi nyingi kupika
Hi guys km mnapenda kujifunza urembo basi nawakabisha kweny channel kujua mambo mengi ya urembo
Ilo jani ulioweka kweny maini linapatkana wapi Yan wapi nanunua???
Dada eeh nimependa sauti yako jamanii
Nice
Nice