Hi Lovies Hakikisha maini yako unayaosha vizuri kama mara mbili wakati unaosha weka chumvi(soak maini yako na chumvi kwa dakika tano then yaoshe umwage)alafu endelea na kupika
Huyo ameruka steji bwana,kwanza kabisa unayabandua ngozi yake ya juu,unakatakata,unayaosha,unaandazi vitunguu swaumu unavitwanga,tangawizi unaimenya alafu unakuna kwenye kikunio Cha nyanya,unaweka vyote kwenye maini Yako pamoja na pilipili manga kidogo,na limao ni muhimu sana yanachemka kwanza na kuiva,ndo unaanza kuyarostiiiiiii
Hi Lovies
Hakikisha maini yako unayaosha vizuri kama mara mbili wakati unaosha weka chumvi(soak maini yako na chumvi kwa dakika tano then yaoshe umwage)alafu endelea na kupika
jaman mimi mbona maini yananishinda kupika
Asante sana
JAMANI, MAINI YAKO UTAYAPIKAJE? WAKIKUTOLEA SI UTAKUWA UMEKWISHA FARIKI? AU ANAMAANISHA MAINI YA NG'OMBE??
Wow MashaAllah TabaarakAllah
Asante nimejifunza
Mashallah 😘nimependa jinsi unavyo pika na kuelezea .
Mery. Chirstas🎉🎊🎀🙏🙏🥳🥰😁
Asanti Sana,,umenisaidia,sijui ningeanzia wapi kupika🤣🙏🙏🙏
Karibu sana dear niko hapa kwa ajili yako
Unaweza lakn utatuua kwa hayo mafuta
Waoo namenda sana mapishi yako we dada
Hadija punguza madikodiko maana mate yanatoka. Nimekukubali. Big up Hadija
poleeeeee bby🤣🤣
Waooo umepika vizur😂😂😂😂😂
Nice❤❤❤❤❤
Natak nipike kesh kwa ajil ya baby wang
Huyo ameruka steji bwana,kwanza kabisa unayabandua ngozi yake ya juu,unakatakata,unayaosha,unaandazi vitunguu swaumu unavitwanga,tangawizi unaimenya alafu unakuna kwenye kikunio Cha nyanya,unaweka vyote kwenye maini Yako pamoja na pilipili manga kidogo,na limao ni muhimu sana yanachemka kwanza na kuiva,ndo unaanza kuyarostiiiiiii
Nyama moja mapishi mbalimbali.
Finika 😊
Finikaaaaaaaaaaa😂
Funika
Masha Allah 👌
Mashallah napenda sana upishi wako
Asante sana kipenzi
Mashallah sis khadija ❤❤❤❤
Sante kipenzi
Hongera sana dada utam juu ya utam
asante sana
Asante kwa pishi zuri.
Kwann finika lakin kiswahili chawp iki😂
😅😅😅
😂😂😂
Walhai
Nadhani Kenya
😂😂😂😂
Tumu wana asante kwa mchizi familia nzima ili penda kweli🍲🍲🍲🤤🤤
daah atari
Wow😋
Maa sha ALLAH
Shukran habibthy MashaAllah TabarakaAllah 😋😋😋
Tabarakallah darling 🥰🥰
Bad baby will come a boy
Ahsante
He unaweza kupika keki bila sugar
Hii si firigisi?
JAZAKA ALLAHU KHAIRAN habibty ❤ Shukraan
Afwan love
Masha'allah
Jamn wangap wameskia finuka😂😂😂 gong like hapo
😂😂😂
Hahahahahha
Siyo finuka na WW ni kasema finika 😂😂
Ni finika sio finuka wazanzibar wanasema hivyo
Asante san dada
Endelea kutufunga asantee
Asante kwa pishi la maini
Karibu sana love
Ma Shaa Allah
Simple n easy 😋
Thanks
Mume wa mtu anashinda kulalamikia kuisha kwa gesi kumbe kisa ni hiki😂
😀😀😀😀😀
Siyo mgeni mm
😛😛❤❤
❤
Cooking oil ni mob Sana
Poa
Nzur!
Asante
😋mashaallah
Tabarakallah love
Waelezea vyema saana ...
Asante sanaa
Ahsante mwaya nimeipika ndo matak Nile na chapati hapa
Wooow hongera baby
Nimependa haina mambo mengi
Maashaallah maashaallah
Tabarakallah
What is your baby's name
Baby Aisha
Hiyo ni figo
Yummy yummy
Shukran mpenzi
Nakuja na chapati😢
karibuuuu
Finika
Kwani ayatakiwi kuchemshwa
Yeah sio lazima mpnz
Mashaallah
Tabarakallah
Tume penda mapiko hayo, assente sana.
Shukran sana
NimuZuri
Hii mafut mengi sana dada
poa
Mashallah
Tabarakallah 🥰
❤😂😂😂😂
😂
🤩🤤
🔥
ماشاءالله شكلها لذيذة ❤
Tabarakallah
Maini na Figo ukiweka chumvi Huwa ngumu . Kawaida chumvi yawekwa mwisho
Tena nami nilikua sijui
It's been long since I did liver. It's kinda like I even forgot that liver was available.
ooh then cook it soon
@@HadijaSheban I'll buy liver this weekend
Ni matamu sanaaa
Sanaa asante
😋😋😋😋😋
thats kidney
Thanks
Sima
🔥🔥🔥
Kwa kiafia hufai kutoa ngozi ya maini
Mimi natoa sababu sipendi hio kama boll gum
good
Asate
karib
Chapo
🔥🔥
Maini na ugali iko sw sana
Eeeh hapo umenena dad🥰🥰🤗
@@HadijaSheban ahsante sana umetsha
,😊🎉😂😢
Funika
ok
Main matamu ayooooooo
matam sanaa