Wao.utamu thanks Julia for your delicious foods.Am in Germany and these recipes will be of giant help to me and my family.wish could cook all of them at the same time coz everything is just hammer. Once again thank
Asante sana dada yangu kwamafunzo mazuri ninakuhomba majina yaizo rangi kwa kingereza na invo viungo nahomba majina yake kwa kingereza mimi niko marekani nikihenda sokoni nikiuliza kwa kiswahili awata nihelewa
Oh hi sis thanks for getting back to me I asked you becoz when I was watching your video and I saw the red rice container I have it lol, well I'm your fun from Canada but Ugandan
Rukia tafadhali kiswshili kidogo kinanichanyanya haswa kwa ingredients, please can you give highlights in English.... yaandikwe in English hapo chini ya video 😢😢
If you would like to watch this video in English press the link ➡️ th-cam.com/video/MwvSXlBxSFQ/w-d-xo.html for all swahili spices kindly contact us ➡️ +254 787 022663
Nani Ana enjoy kama mimi iyo tamm tamm tena sanaaaaa😘
Waooooooo mapishi mazur so sweet
Pili-pili ni lazimaaa kuwekaaa maana km anakulaaa mtoto inafaaa kwelii
Uko vizuri mapishi mpaka sauti yako tamu
Napenda mapishi yako sana unapika vizuri
Asante sana sis kwa somo lako
Mapishi yako mazuri mashaallah
Na matamu nimeyapenda sana
Na mimi nitafuwata mapishi yako
I loved the wali wa mayai but pilau ya nyama looks like vegetable rice!
Fantastic I like pilau nyama na mayai.
Mapishi mazuri apo nmpenda tena sana I just wish I was there to test 😘😘
Masha allh although I don't know kiswahili but I'm admiring my dear keep going from somalia
Hapo kwenye wali watuna ndio nimependa sana shukrn mungu akubarik
Tuna nini
@@winniekiwale9592 naomba msaada huyo tuna ndo kitu gani plz
Wali wa nadi
Wao.utamu thanks Julia for your delicious foods.Am in Germany and these recipes will be of giant help to me and my family.wish could cook all of them at the same time coz everything is just hammer.
Once again thank
Maashaallah
hae, umetumia mchele upi?
Asante nimeipenda sana
Wao
Napenda unavyoeleza shukran Sana kwa mapishi
Asante sana, maashalah huko vizuri
Ahsante, naomba pishi la vitumbua
Sina pan ya vitumbua angalia recipe kwa Tajiri kitchen
Asante sana dada yangu kwamafunzo mazuri ninakuhomba majina yaizo rangi kwa kingereza na invo viungo nahomba majina yake kwa kingereza mimi niko marekani nikihenda sokoni nikiuliza kwa kiswahili awata nihelewa
Google
Ongera sana
I cook more than three times tuna rice wow yamyam all my family they like thank you Octy😘
Mashaallah wali wa tuna
Nakupenda bure
Vzr
Nitapika kesho ninaandaa mahitaji asante
Shukran sana chakula kizuri
Asante sana
Thanks for the uploads,they are amaizing and easy to learn and make...!
Just going to try one this evening.thank you dear for the tutorial
Uko sawa dada
Mashll nmeipnd sanaaa
Asant sana naijal sna kz yko mama
Honestly somo zuri sana.
Tanzania hoyeeee
MI mkenya lakini nasema hoyeeeee
Pishi zuri sanaa
Kabla hujapika hiyo tuna unatakiwa ichemshwe au mbichi?
Mashallah mamy km unafundish kupik uko uliko I mean private naomb tuwasilian napend san unavopik
Una mapishi mazuri sana kwa sasa nijuwa kupika mikate yote ni kwasababu yako nahomba namba yako dada asante sana 🙏🥰
Mashallah wote umetoka vzury
Asante sanaa ❤️
@@RukiaLaltia Munisaidie mi ni munya rwanda tuna ndiyo nini?
@@hassanharuna1519 samaki wa mkebe
Wao, looking delicious and healthy.... Nice recipe my friend
Thank you 🥰
Tuna ndio nin
Samaki wa mkebe
Asante sana dada etu
Shukran habibty 😘
What is tuna in English
Hiyo tuna inakuwa ishachemshwa?au mbichi?
Jmn tuna n samaki au😺😺😺😺
Samaki
Samaki wa mkebe
Oh hi sis thanks for getting back to me I asked you becoz when I was watching your video and I saw the red rice container I have it lol, well I'm your fun from Canada but Ugandan
It's the best thing I ever bought 🥰👌
Nmepka nmeweza Sana
Hiyo tuna ndo nn au ndo nyama?
Mashallah rost zuri
Well put, , thanks
Asante sana nakupenda sana wamiye 🥰🙏🥰🇹🇿
Rukia napenda upishi wako Dada, tafadhali tumia English kwa ingredients
Yummy😋😋😋
Asante mpenzi 😍😍😍🙏
@@RukiaLaltia karibu kipenzi❤❤❤🥰
Samahani dada hiyo ndimu ulokamulia sijaona chujio la kuchujia mbegu za ndani je nisawa zikichanganyw na birian?
Ndimu za huku hazina mbegu, ndio maana
Nilikuwa najiuliza hili swali mara nyingi sana
tuna ni nini wakenya wenzangu?
Samaki wa mkebe
E M K samaki wa kopo
Tuna ndo nn mi cijui pls nijibu
Tuna ndyo niniii
Wali ulikua unamchemsha na maji matupu?,namaanisha kuuliza hta mafuta hakueka?
Kwann ??sikuelewi
Nimemaanisha wali ule ulopigia kwa microwave timer...haukutumia mafuta????ni mchele,maji na chumvi tu??
Tuna wa mkebe ni nini
Nandi
Tuna ndo nini? Samaki au?
Samaki
Latina iyo Biriani waeza tumia mala badala ya yoghat
Hi sis do you live in Canada?
No belgium
Afuan Hiyo pilau haina viazi au sio lazima au hupendi
Just can't understand how some people don't like the foods,what do they like,boiled foods?!
Asante ila nyama ya biriani uliichemsha mwanzo nakusudia imeiva
Noo sikuchemsha inaiva pole pole na rojo
@@RukiaLaltia asante sana mumy
@@RukiaLaltia dawa za pilau ni nn?
Wani tamanisha chakula chako
Rukia tafadhali kiswshili kidogo kinanichanyanya haswa kwa ingredients, please can you give highlights in English.... yaandikwe in English hapo chini ya video 😢😢
I will do that
Reen Nyar Adwen me too
Tuna ndo nn na Inapatikana wap??
Samaki wa mkebe supermarket huezi kosa
Dawa ya pilau ndo ya aje? Naomba nijibuwe
Dawa ya pilau ni spice za pilau ambazo ni hiliki, karafuu, uzile, mdalasini na pipi Manga.
Santa mama
Aaaaarrrrrriiii
tuna ndo nn jamani
Tuna ni nini dada
Samaki
Uko vizuri lkn hupendi hot chill
Cz mume wangu hail pilipili huwa napika kando
Nsaidieni maana ya Tuna cjui
Ni pishi zuri linavutia
Thanks dear
Hujambo inabidi ukienda madukani unasema nataka tuna ndo jina lake
Mapishi ya donuts tuonyeshe
th-cam.com/video/a4b6gONFKJs/w-d-xo.html
th-cam.com/video/_Xbe8og2qbM/w-d-xo.html
Tuna ndio nini?
Samaki
JAMAN MM MSHAMBA TUNA NDO NN
Ni visamaki vinauzwa supermaket
Apo kwny tuna umenimc ha tuna no nn
Samaki
Mimi sijui tuna ndo nini nielewesheni jaman
Samaki wa mkebe
@@RukiaLaltia asante nilikua sijui
Tufundishe na kupika urojo
Rojo liko tayari hapo
Shy) baba Nimefika tu VP CT and the 85 to
Hapo kwa pilau, if not dark brown then it isn't pilau
😝😝😝😝
nakupenda unaelekeza vizur wish unipe nmba yako ya whatsapp
Unda group wasap mpenzi
Hapana sina
@@RukiaLaltia sawa
Tuna kwjin jingn ni nin
Ni samaki
Tuna na kitu gani samahani lkn
Ni samaki mkebe 'au samaki wa kwenye vikopo
If you would like to watch this video in English press the link ➡️ th-cam.com/video/MwvSXlBxSFQ/w-d-xo.html for all swahili spices kindly contact us ➡️ +254 787 022663
Dah kutiana njaa tu usiku huu
🙈🙈🙈🙈
Iyo pilau imenitia njaa
Tuna ni nn
Samaki
Tuna ni aina ya samaki
Hiyo Kari bauda nini
Tuna ni samaki wa kwenye makopo
Dawa ya pilau ndio nn fafanua sijajua