Njegere tamu sana za Malkia/ recipe ya Malkia kabisa na wali nazi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 17

  • @FarajaPerfectdove
    @FarajaPerfectdove 6 หลายเดือนก่อน

    Imependeza sana sikunyingie mboga iwe kwenye chombo chake dada akee❤

  • @Dohamoud
    @Dohamoud หลายเดือนก่อน

    Baking powder inasaidia sana njegere kubakia kuwa kijani unapozipika ❤

  • @cookingwithmimmo
    @cookingwithmimmo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa sana mapishi yako

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 8 หลายเดือนก่อน +1

    Beautiful

  • @Annestax2606
    @Annestax2606 8 หลายเดือนก่อน

    Sufuria umenunua wapi please ?

  • @HappyTarimo-kl9wb
    @HappyTarimo-kl9wb 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dada malkia kila nikiweka nazi kwenye njegere inakatika embu tupe somo kidogo jinsi yakufanya nazi isikatike hizi zakukuna dada

  • @upendogerlad594
    @upendogerlad594 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wali wa nazi siku nyingine subiri tui lijipike mpaka uone mafuta ndio uweke mchele

  • @a.856
    @a.856 8 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @Busweluhardware
    @Busweluhardware 8 หลายเดือนก่อน

    Hello dear hayo mafuta ya kula ni aina gani

  • @MagrethSirvesta
    @MagrethSirvesta 8 หลายเดือนก่อน

    Malkia hayo ni maharage mabichi

  • @officialsabbymasanja4323
    @officialsabbymasanja4323 8 หลายเดือนก่อน

    Ni lazima kuweka mchuzi

  • @officialsabbymasanja4323
    @officialsabbymasanja4323 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona najaribu kupika lkn haiwi hvyo

    • @fellybonny5618
      @fellybonny5618 8 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @TumainHabibu
      @TumainHabibu 5 หลายเดือนก่อน

      Pilau ile ya marage machanga naomba risip