Makange ya maini | Jinsi yakukaanga mchuzi wa maini mzito na mtamu sana | Mchuzi wa maini.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024
- Website:Rukiaskitchen.com
Facebook: Rukias kitchen
Instagram: rukias _kitchen
Cookpad: Rukias kitchen
Mahitaji :
Kitunguusaumu vijiko 2 vya kula
chumvi
mafuta vijiko 3-4
pilipilimanga kijik nusu kdogo
currypowder kijiko nusu kdogo
beefmasala kijikon1
tomato mkebe vijiko 3kula
maini nusu
Carrot 1
Pilipiliboga
Kitunguu Maji 1
Ndimu nusu
Rosti la nyama na mayai | Jinsi yakupika rosti la nyama na mayai tamu sana. • Rosti la nyama na maya...
Makange ya nyama | Jinsi yakupika nyama yakukaanga. • Makange ya nyama | Jin...
JINSI YAKUPIKA MCHUZI WA MAINI MZITO NA MTAMU SANA | ROSTI LA MAINI | MCHUZI WA MAINI. • Video
Jinsi yakupika mchuzi wa maini mzito na mtamu sana | Siri yakufanya mchuzi wa maini uwe na ladha . • Jinsi yakupika mchuzi ...
JINSI YAKUPIKA MAINI YA NGOMBE YAKUKAANGA MATAMU SANA | MAINI YA NGOMBE | MAINI. • Video
JINSI YAKUPIKA NYAMA YAKUKAANGA TAMU NA LAINI SANA AJABU | NYAMA YAKUKAANGA . • JINSI YAKUPIKA NYAMA Y...
RÖSTI LA NYAMA | JINSI YAKUPIKA MCHUZI WA NYAMA YA MBUZI NA VIAZI MTAMU SANA | MCHUZI WA NYAMA. • Video
If you would like to watch this video in English press the link ➡️Liver stew recipe | How to cook easy and tender liver stew | liver stew recipe. th-cam.com/video/38jizyZIoks/w-d-xo.html
Ahsante
Recipe n nzur sana will follow this ❤ila Mm ntachemsha kwanza maini coz kuna siku nlitaka kutapika 😢
😂😂😂😂😂
Rukia you are very creative kwa kweli, Maa Shaa Allah
Nimeijaribu hii jamani ni tamu balaa asante sana Rukia God bless you 😘😘😘
Asante my dear kesho nitampikia baba watoto
favourite cook ❤
Maa Shaa Aallah
Ur my savior
Asante kwa recipe nzr
Looking so nice...rahisi kupika kabisa👍
Mashaa Allah 😋😋😋😋
Mashaallah chakula kizuri sana
Upate na chapati sasa😋👌
Masha Allah da ruki hapo nipate chapati 😋😋😋😋
Mashallah
Thanks ❤️
Shukurani dada barikiwa sana
Masha Allah
Your food is amazing 🤩
MAA SHAA ALLAH MY SOMO UKO POA SANA
NIKIWA QATAR DOHA
Haya wapikie waarabu maini ya ngamia
@@ethandominic5907 👍
Binty said sio kila aliopo Doha nimpishi wengine wana pambana na hali zao na nikijaaliwa kua mpishi pia ni poa sana
@@rukayasalafiyat5230 usijali daa
Mashaallah
Nice
Mmmmm yammy yammy shukran
Masha Allah 😋😋😋
Masha-Allah So Yummy
wow Masha Allah 👌💖💖💖 😘😘
Uko vzr dada
Ma shallah
Wao,, looking delicious
Delicious😋😋😋
Tamu Saaana
Rukia mama naomb ntumie namb yako nashda na wewe napenda sn recipe zako
Tuelekeze jinsi ya kusaga kitungu thom na tangawi na jinsi ya kuhifafadhi, nimejaribu ila nimepata hasara vimegeuka rangi ya kijani na nimeweka kwenye friji Tuelekeze inakuaje ili visipige Rangi ya kijani
Ongeza mafuta dear inshallah nitaweka
rukia kwan lazima uweke tomato ya mkebe
Sio lazma
Hivo hivo na ماشاالله
Nyama yakusaga
Kumbe maini hayachemshwi...
Mwenzangu na me ndo naduwaa hapa🙈
Unaeza kuchemsha ni ubunifu wako tu na usipochemsha maranyingi yanakuwa na kashombo
Nice one
Ulitaja pili pili boga na karoti na kitungu hukutaja next
b
nimjrb hii leo
Mashaallah
Nice One