Padriiii😳😳😳mamangu alifariki baada ya kupakwa mafuta na padri nimelelewa kwenye familia ya kiroma damu damu.Ila mama alipofariki roho yangu ilishtuka nimeokoka baada ya kutafuta ukweli wa kifo cha mamangu .Sina hamu na roma Jesus is my Lord and saviour.
Sorry to be so offtopic but does any of you know a tool to get back into an Instagram account?? I somehow forgot the account password. I would love any tricks you can offer me!
Yaani Davistar umeanza kutuzingua aloo DKK chache hz tuekeee dkk 30 zinatutosha kisha kwa Siku japo vipande 3 wanaokubaliana na hili wa like hapa by mzenji
Dunia yasasa hamna sir hasakwahawa viongoz wetu wadin weng wanaua watoto na kuzin na waumin wao nakuvuna pesa zabure zawaumin wao hata hizo divai nazan huwa wanawawekea mavitu ya ajab
@@mcheshcomedy5809 wewe nenda lakin fuata maandiko ila ukisema uangalie matendo yao utaama makanisa na misikiti .ndomana huyo padr amejutia matendo yake mwisho wa siku
@@butondodavid2105 Alafu nimegundua kitu unapoona hawa VIONGOZI maarufu wakubwa WA din ,hawafatilii haya Mambo ya Gombishi kumbe wanahusika Yaan NI walewale wanaitumikia kuzimu!!!🏃
Mbona kwa radio free Africa ulisema iliona mwenye alilala alikuwa ni wewe,? Hapa unasema eti ilikuwa mzee? Hii story iko tofauti sana. Kwani ni ndoto ama ni true story?
Wakwanza leo naomba like yan nipo makin na iyi story
Hongera
Hongera
Team Wi-Fi tujuane na Bado tunakua wa mwishoo 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Umeona eee
Nami naomba team hamam mu subscribe tu kwa channel yangu
@@fatmaalrshdii7615 yaaaaah
Tupoo. Hatuna pressure na cm hazichemki!!!!!🏃
Naona gamboshi ni kuzimu na kila nchi ina kuzimu kwake lweli Mungu atusaidie
Na atupiganie sana ulimwengu umejaa kila aina ya uchafu. Yesu ni Bwana
Story kali, huyu jamaa ako na story mzuri sana, sioni ukiweka next episode. Very interesting story I wish I can get his book.
Padriiii😳😳😳mamangu alifariki baada ya kupakwa mafuta na padri nimelelewa kwenye familia ya kiroma damu damu.Ila mama alipofariki roho yangu ilishtuka nimeokoka baada ya kutafuta ukweli wa kifo cha mamangu .Sina hamu na roma Jesus is my Lord and saviour.
Zabron you're very matured my brother just the way you talk n out your things God bless you
Sorry to be so offtopic but does any of you know a tool to get back into an Instagram account??
I somehow forgot the account password. I would love any tricks you can offer me!
@Korbin Zavier instablaster :)
Mambo
Yaani Davistar umeanza kutuzingua aloo DKK chache hz tuekeee dkk 30 zinatutosha kisha kwa Siku japo vipande 3 wanaokubaliana na hili wa like hapa by mzenji
Tatizo Davistar hataki kutusikiliza ndio shida hiyo..
Mzenji mwenzangu huyooo
@@dorcaskidoti249 kabisaa
Apo ingependeza zaid
@@fatmamucha4419 sana. Lakini anaweka moja mojaa. Mpaka tungoje weeeee
Kaka nimeisubiri sana
Mbarikiwe waarab kwa Wi-Fi za bure kutwa tunashinda TH-cam 😂😂😂😂😂😂
Wange jua tunavyo tumia kwa fujo wange tutoa😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Yn Story Ikisha Kitabu Nimesha Kisoma....
@@magzeeee Ningekuwa Tz Ningekinunua bila wasi Siko Tz
Mimi nilikuwa safarini naona iko hadi 50 na..... nafuatilia hope I will finish 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙆♂️🙆♀️
Nimechelewa Leo naomba like
😂😂😂😂😂😂😂😂
Davista kweli huwa unarusha story lakini Kwa hhii hapa umetisha mzee
@@noelkisonga5534 yani sanaaa. Nzuri mnooo. Kama aweke zote zilizobaki tuhangaike nazo
I woching from dubai abudhabi
Zabron umepitia mambo mengi sana,
Laillah ila allah duniyani kuna mambo mengi
Sana. Muhammadan rasulu Allah
Davistar tuwahishieeee iyooo nyingineee ipo vzr Sana'a...
Huyu jamaa anapenda kula sana😂😂
Ugari nyama Chooma zablon umemuuma maskiin alikuwa kaumiiss
😅😅😅😅😅ugali nyama choma unauma jaman hata kama ni mimi ningelia
Oyoooo kichaaa angu Devy lete story hyo unakaa masaa mengi sanaaa hadi mtu unakasirika 🇩🇪
hivohivo dav usichoke kuuliza maswali hili nasi tujue
Thank you DM...brother zabron big up
Chief Gikaru wa an imitation of Christ..hatari kubwa!
Safi Sana Leo umetuwaishia
Kabisaa
@@pilimusa7770 kabsa
Kwa kweli unatukosea lusha hata vipande vinne
@@estermarua167 tusubr🤗
Omba usikutane na mapito kama haya maishani mwako
We're here 🇰🇪watching from 🇧🇭
Maa shaallah 😍😍
@@ayshamahariq6665 😍😍
🤝
@@cliffordmaboi2298 sana
@@ayshamahariq6665 👍
Niko Mombasa Kenya nasibiri Part 19 kabla sija lala. Please vipi version ya English?
Zebron mm nipo dubai nalud tz 2021 mwez wa 6 nikilud mi ntakutafta nipate ivyo vitabu ya hii simulizi yako hapo ntainjoi zaid
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ajue kabisaa siku yakufika huko sio
Ndio ajue kabisa
Ubarikiwe davistar
Pili mimi mimi cute emmy Riziki violine somoe njoooniiiiiiiiiiiii mambo tayariiiiiiii🇪🇭🇪🇭💃💃😍😍🙄
💃💃💃🤸yaan nulikuwa bz lakn nimeifukuzia had nimefika sasa tupo pamoja🤾
@@aishahassan9812 karibu
Ndiyo nimefika . asantee
Njooo umsikie mimi mimi hukuuu
@@aishahassan9812 pamoja somo yngu😍😍
Tunaidaka juu kwa juu hii story kiboko sana
Lkn mapema vzr
Mpk hap mzigo unashika namb 1 nabad seazon inasonga 💪
Hongera
🙏🏾🙏🏾
dvi mter 19 plyz yani leo nimedamka kutengemea next
Saga continues .........wueh! kali
Yesu wangu hao watoto wachanga jmn 😭😭😭😭😭😭😭😭
Wewe unalia nini,hao si watoto,ni majini,
@@joycesycherlwy3835 😂😂😂😂😂😂
@@joycesycherlwy3835 😳😳😳😳 jmn kwani nimajini si bd nibinadamu wametekwa huko uchawini..au mimi ndo sielewi
Good story...
Doooh dunia ina Mambo kwakweli
Kabisa
Davistar Mata tuendele na story Zabron kagoma kukupa ubuyu wa Marehem Padri
Was waiting sana
Tayari kitabu tunaendelea kuisikiliza ila nitanunulia rafiki yangu ili nipromoti zablon
@@theunseen.believe5672 Sawa nunua
Duhh. Aisee. Matukio haya ni balaa
Saaana
Story nzur sana
Mambo ni safi
Tuwekee kipande Cha 23&24 please
Mzee wangu Davy usiuweke usiku sanaaa kichaa angu
🤔Dunia hii!!!!!
🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️eeeee kaburi kupasuka na mtu kupaaa amekuwa yesu 😳😳😳😳😳😳
Wewe kimbizana na huyu madam wako na Ramadhan ndo unakuja 😂😂profil yako
@@juliejulie8704 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hapa uxuri wanapika wenyewe vyombo ndo nipambane nahali yangu🤣🤣🤣🤣Ramadhani lini jamani😄😄
Zabron anapenda msosi 🤣🤣🤣
Leo kidg nimejaribu kuwahi pamoja sana kk
daaaa aiseee😢
Huyu jamaa ni geneous!!! Kwangu mimi hii ndio story namba moja
1. Zablon
2. Magere
Duh Leo mapema, 😂 Asante
Kabla ya uxingiz🤣🤣💃
@@ayshamahariq6665 kabisa my love 💃
@@somoeawadh7774teenaaaaa😍😍😍😍
Kajitahidi leo
@@pilimusa7770 sana mpenzi
Dunia yasasa hamna sir hasakwahawa viongoz wetu wadin weng wanaua watoto na kuzin na waumin wao nakuvuna pesa zabure zawaumin wao hata hizo divai nazan huwa wanawawekea mavitu ya ajab
Daah yaan mm cjuhi NIHACHE kushirik duh!!!😜🏃🏃🏃🏃
@@mcheshcomedy5809 wewe nenda lakin fuata maandiko ila ukisema uangalie matendo yao utaama makanisa na misikiti .ndomana huyo padr amejutia matendo yake mwisho wa siku
@@butondodavid2105 dah bora nijenge kanisa langu mwenyewe!!!
@@butondodavid2105 Alafu nimegundua kitu unapoona hawa VIONGOZI maarufu wakubwa WA din ,hawafatilii haya Mambo ya Gombishi kumbe wanahusika Yaan NI walewale wanaitumikia kuzimu!!!🏃
Hahahahahaa hii mitaa kwa sasa hatuchezi mbali hadi rahaa loh. Natamani nipange humu nisipitwe hata sekumde loh 😁😁
Kabisaaa😂😂😂😂😂
Story safi
Zabroni anapenda msosi kweli😂🤣
Nimejitahidiii leoo tuko sambambaa....🥰
Bittee hongera,
Mesinda!
@@Fm-MornStar2014 kwa kwelii nimetimua mbio mpaka nimefika
Davistr kijan wako hp mtu mweny utu wang
Haya mambo ni uongo sana
Devi tuletee muendelezo tupo apa mpaka saa 00: tunakusubirii
😂😂😂
🙌🙌🙌🙌
Mbona kwa radio free Africa ulisema iliona mwenye alilala alikuwa ni wewe,? Hapa unasema eti ilikuwa mzee? Hii story iko tofauti sana. Kwani ni ndoto ama ni true story?
Hata mm nilsikiaga mara ya kwanza alisema alikuwa yeye pale kahama hospital, lkn saiv anasema alkuw mzee, waliosoma kitabu watwambie aliandikaje?
Sante davistar kwa kutuwekea mapema
🙏
Daaah hatarii sana
Pamoja xaana
Leo mimi wakwanza kudadeki nakufatilia vizur dav
Hongera
Izo damu mnazo chukua je mkichukuwa damu za watu wenye virus vya ukimwi hamtapata ukimwi?
😂😂😂😂😂 kweli kabisa
@@pilimusa7770 😅😅
@@nakundwamkubwe7823 nimecheka kweli. 😂😂😂😂
Nataka nunuwa hicho kitabu please
Jamani hii story ni nzuri na ni ndefu itaendelea mpaka ngapi?
😀😀
dude tamu
Kila saaa nilikuwa nachungulia
Mimi hivyo hivyoi😂😂😂😂
@@pilimusa7770 🤣🤣🤣🤣🤣
Wa kwanza
👍
eti roho yaniuuma kisa msose wa maaana na c yeye😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
@@pilimusa7770 🤣🤣🤣🤣🤣
Nimeingoja sana#🇰🇪
Pamoja💃💃
Sanaaa
@@ayshamahariq6665 njooo uone mimi
@@pilimusa7770 nmemuona🤣🤣 daa😍😍
Davista Cheka tuuu
dav wapenda nyama
Anajifanya zabron anagonga msosi nyama choma😀
Naomba wapenzi wa Mungu subscribe kwa channel yangu
Taasisi za watu vingne tuviache haw watumishi Hawa sio watu
nisubiri part 19 ama ni 🛌🛌🛌
Jamaa kwa misosi huyuu hajambo
Ndio maana wachawi wana roho mbaya sana
Sanaaa
Leo nimechelewa naomba no yake ya WhatsApp
Yeah
shusha mzigo wa 19
Twasubiria ya kulalia✌️✌️😅😅
Kabisaaa
@@pilimusa7770 😃😃saa 6 atatuletea in shaa allah
@@bintimrope InshaAllah.
@@bintimrope silali mpaka nipate 19. Nitaivizia balaaa😂😂😂😂. Hii story nzuri mnoo
@@pilimusa7770 😂😂😂😂chezea gamboshiiii yaani kuingoja ni lazimaaa
Hii story unanifanya nimalze kaz za waarabu haraka😆😆😆😆😆😆🤣
😂😂😂😂😂hii story noma
Uko wapi wewe, omani au Dubai
Waroma MUNGU anawaona.
Story za huyu jamaa ni kweli ama kachanganyikiwa.
Hahaaaa umenipa raha...
🤣🤣🤣 hta mm kuna mda hua nawaza hivyo🤣🤣
Ndo hapo
@@wandejumanne5853 kabisaa.
Kama angekua kachanganyikiwa asinge onyesha ile nembo ya Gamboshi ambayo kuna watu na walipigwa chapa
Nimemaliza next....?twende kazi
Pamoja sanaaaa
Tupo pamoja na safari ya story
Naona wadau wanaongezeka kadri episode zinavyoongezeka
Hili nibalaa
Tunawaambia Roma catholic Vatican sio kanisa la Mungu..eleweni jamani Roma catholic church sio kanisa...
@@dorcaskidoti249 kama kuelewa kaelewa kila mtu imani yake humponya na usisubili kuombewa tu hata kanisa ni nyumbn kikubwa imani yako 🙄🙄🙄👍👍
@@dorcaskidoti249 hapo sasa
@@marthamaligo458 kabisaaa
Hapo Cha Cha
@@pilimusa7770 hakuna kulala 🙄🤣🤣
Duh duniani kuna mambo miujiza kama yote
Brother weka tu zote zilizobaki tunapata shida sana...kusubiria asee
Kabisaaa
😂😂😂 hatarii
@@hunkybully2547 umeonaa nimecheka kweli. Maana kaona bora ziwekwe zote😂😂😂😂😂😂
@@hunkybully2547 kungoja sana noma. Inachosha
@@pilimusa7770 yaani braza aziweke tu zote mara moja..😂😂 tunangoja aiseh sana
Ulivyo kataakuongea mambo ya askofu umefanya vizuri sana maana siolila jambo la kusema mengine yawe siri