Nakukumbusha tu, wakati wote wa mchakato wa uchaguzi hatukuwa na Internet, hatukuwa na uhuru wa kuchagua, na bado hata sasa hatuna uhuru na usawa wa kupata au kuripoti habari. Ahsante
Zabu kaoza kwa toto la kiarab 😅,Ila kana ruka viunzi🛀🛀😌😌 #TeamZabu#TeamZabuMadiko 🍝🍜 Sema Bwana Zabu nilicho note kukata tamaa kwako Ni mwiko ,Big up Zabu.😌 Mr.Fact# DM
Mi mama yeyote yule akinikaribishaga kwake sitojivunga. Naendaga na sitakataaga chochote kile atakachoniambiaga hata kama ni kwenda kumsaidia kumsuguaga mgongo bafuni. Naenda tu. Wamama wanamahitaji mengi hata wawe na hela nyingi kiasi gani.
Cd no 36 Rnb na card nzuri, I love you ina wa kawaka, mbona kisu sikioni angel kakuletea kisu ujiuwe mwenyewe, chefu unazinguwa unajifanya utaki maziwa 😁😁😁
Davistar mwanzoni story ya Zabron ilikuwa ya niliza ya leo nimecheka ila kivuli kilipo rudishwa mbona haja elezea vp kafika kwa yule mganga mpaka akakirudisha au sija ona ana story ndefu sana maishani mwake kumbe wapo wa zaidi yangu
Gonga like kama unakubali kuwa zebron ndiyo anayeongoza kwa story ndefu kuliko wote walio hojiwa
Alafu pia stori yake inaburudisha sana
Hivi mwisho utakuwaje
wanaosema a man behind the camera anapaswa kupigwa makofi gongeni likes hapa
Yupo sawa SEMA Kaka ako ndio anaangaika tu 🤸
@@deelissa2746 😅
Alikuwa ameolewaa.....alikuwa ana mzee hahaha davista ww hatari sanaa wamama watakunyooshaa 😂😂😂😂😂
Yaan we kaka hongera Sana mapito yote ulopitia lakini hujawai kata tamaa
Kuregeshewa kivuli NA hiriizi misuko suko imeisha,,Sasa ni srori,za raha😁😁😁
😄😄
Kwani amesharudishiwa🙄
😅😅😅😅🙌🙌🙌
Saa tisa usiku from India 🇮🇳🇮🇳🇮🇳😁😁umetuweza davido 😀😀😀❤️🌹
ametuweza davido..hahaa
Unachekesha eti unamlazimisha bint akupende😄😄😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wapenxi yakulazimisha wapi nawapi jamani
Tangu Mr brown Davistar ahanze vipindi vyake hii Story ndo ya kwanza kucheka kila siku
Devistar mchokozi et alikua anamume ???🤣🤣🤣wakati hata kwa uyo mama hapajui😂😂😂😂😂😂
Usi msau chacha aliokoa maisha yako,
Ahahahaaaa zabloni acha utani na kifo eti sumu jamani mapenzi shikamoo MARAHABa😂😂😂😂
Allah amekyjalia fahamu nzuri. Mshukuru saana Allah
Sasa Zabron. Je, unapofanikiwa unampa support Chacha? Yafaa ungempa hata mtaji yule. Alikuokoa sana yule Chacha
Mi naona alimsahau kabisa maana hata wakati alimfukuza akaenda kufungua duka hakumkumbuka
Wacha tusikize coz chacha anamdai 350k hope alimlipa nakama hakumlipa doh sio vizuri
@@الوردالورد-ز4غ Husiombe yakakukuta!!!!!!!!!!!!🙄
@@shantellemwanakombo3703 Husiombe yakakukuta!!!😜🙄
@@shantellemwanakombo3703 Husiombe yakakukuta!!!😜🙄
Daah leo nimecheka aiseee bonge la move
Ubarikiwe davistar
Ahsante sana Davistar pamoja na Zablon
Wa 16 jamn npen ata like
asalam alaykum
kweli hii style ya utongozaji ya wakulya
hapo ndipo nmechoka !!
duh kunywa sumu !!!!!
Nakukumbusha tu, wakati wote wa mchakato wa uchaguzi hatukuwa na Internet, hatukuwa na uhuru wa kuchagua, na bado hata sasa hatuna uhuru na usawa wa kupata au kuripoti habari.
Ahsante
😄😄😄😄😄😄😄wateja wanashidaa kuvaa kutoa anaezajaribishaa shati kumi lkn anachukuwa moja AMA amaasichukue kabisaa😄😄😄😂😂😂😂😂mm pia sipendi
Top 100 wapi likes from Qatar nafuatilia Sana ila 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
tuko pamoja
💪💪💪💪
Pamoja
Tunapata vyema
Mmmmmh.!
Huyo Binti Wa Hindi.
Kakuvuruga.
Zabron usimsahau chacha
Zabu kaoza kwa toto la kiarab 😅,Ila kana ruka viunzi🛀🛀😌😌
#TeamZabu#TeamZabuMadiko 🍝🍜
Sema Bwana Zabu nilicho note kukata tamaa kwako Ni mwiko ,Big up Zabu.😌
Mr.Fact# DM
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Zabron leo umenichekesha sana,
Hapo umenifurahisha, wanawake wa kihindi au waarabu wanazinguka sana.
Big up davsta
Zabron bwana ukapata pesa ukaacha kufanya maendeleo na kusaidia wazazi ukaanza kula bata 😆
Madhara ya kukosa kivuli😆😆😆😜😜🤸🤸🤸
@@abbyadams8691 😆😅
@@abbyadams8691 kivuli alishaludishiwa.
@@abbyadams8691 kukosa kivuli utajuaje ?
Sema point tu.
23:38 daaah Husiombe yakukute!!!!🙄🤗😜🙄
Jamaa ananikumbusha mbali sanaaaa kweny nguo hapo
🤣🤣🤣🤣dav et keshaanza kuchanganyikiwa kama zaman
Nimekuwahi Leo😀
😂😂😂 akazunguka hviiiii...akanipiga bonge ya roba!!
Zabron una moyo wa upendo sana yule Okelo asingestahil kuendelea kuwepo mpk sasa kwa mabaya aliyokufanyia alitakiwa atendewe kama alivyokutendea.
🤣🤣😂 ni omera👆🏿
@@IANA2030 😆😆😆 nilisahau kidg
Chief gikarooo eti nitajiuwaaa Leo nimecheka
"mwili unaonyesha ushirikiano" hehe nice
Wamama WA Magomeni Manazingua! Kwann MNALAZIMISHA NILALE KWENU😜 MNATAKA KUNIBEMENDA🙄😜🤣
😄😄😄😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nice Niko rada sanaaa😘😘😍😍😍😍
leo tumengogana vichwa hapa😁😁😁😁😁💣💣💣💣💺💺🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Davista ynapenda sana wamama wewe
True
Kupenda kwel ugonjwa
😂😂😂😂😂zabron somehow comedian, eti najisikia kufa huku nakuona 😂😂😂😂😂 chezea penzi wewe 😜❤🇨🇭
walioshtukia hapo n Kamanga Ferry -Mwanza tujuane
jamaa anamuulza hapo ulikua una akil ya kawaida au uliku umeshaanza kuchanganyikiwa..😂😂😂😂
Hii story tamu sana
Wenye upendo wa kihindi tujuane kwenye like
Cheef we hatariiiii ila usingekutana na changamoto kukurudisha nyuma ungekuwa tajiri mkubwa unajitahidi kupambana hukati tamaa harafu huchagui kazi
Sana🤝🤝🤴
Wa 175 naombeni like zenu
😀😀😀 dvstr noma snaaa
Da vista unapenda majimama
Davista naomba unisaidie kumuuliza zablon kwamba mtu atajuaje kuwa hana kimvuli atupe dalili usije ukakuta na sisi tunatembea bila kivuli
Jmn mapenz haya mwenyewe🤣🤣
Good night..🤞🤞
Kujiuwa tena duh😂😂😂😂😂
🤔
Mi mama yeyote yule akinikaribishaga kwake sitojivunga. Naendaga na sitakataaga chochote kile atakachoniambiaga hata kama ni kwenda kumsaidia kumsuguaga mgongo bafuni. Naenda tu. Wamama wanamahitaji mengi hata wawe na hela nyingi kiasi gani.
Cd no 36 Rnb na card nzuri, I love you ina wa kawaka, mbona kisu sikioni angel kakuletea kisu ujiuwe mwenyewe, chefu unazinguwa unajifanya utaki maziwa 😁😁😁
kuna mtu alikua mzinguaj hpo
Mbona mama anakazana uende kwake😄😄😄😄huku huna sim naunauzaa bidhaa zamaana hujui sim ndokila kitu
hiki kipande nmecheka sana aisee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣hapo kwenye roba lazima alikunywesha kinguvu dadeeki 😀😀😀😀Dav tupia vitu. Mi huu mtaa siondoki nishahamia
ZABRON UNAKUMBUKUMBU NYINGI SANA MUNGU AKUTANGULIE!!!!!!!!!!
Kweli mapenzi yana endesha dunia,,yaani hakuwaza kunywa sumu enzi zile za Gamboshi, anakuja kunywa sumu juu ya demu🤔🤔🤔
😂😂😂😂😂😂😂daaa kwenye kujiua hapo zabron daaa 😅😅😅
Duu kaka mbambanaji😢😢😢
Tunaojipitisha mbele ya demu gonga like
Davistar mtoto wa juzi ajui zizle jeans
Hahaa hahaa, davista Leo nakufa kicheko, mapenzi kweli ya Tisha kweli, zaburon huendi kwa wazazi vile ulipata hera
Watoto wa dar es salam kweli walio wengi hawanaeshima aisee... Heshima ni silaha kubwa
Story imefika penyewe ninapopapendaga,ngoja nisogee siti ya mbele.🙉🙉😜😜😜🤸🤸🤸
Davistar mwanzoni story ya Zabron ilikuwa ya niliza ya leo nimecheka ila kivuli kilipo rudishwa mbona haja elezea vp kafika kwa yule mganga mpaka akakirudisha au sija ona ana story ndefu sana maishani mwake kumbe wapo wa zaidi yangu
Itakuwa bado au
Labda
Aliyempa demu cd na card gonga like
mngekuwa mnapiga na bites wakati anasimulia maana tunamuona msimuliaji anapiga mihayo kweli
Sawa kaka
Una coment na hujamaliza kutazama
Ati ukule sumu Mimi nimecheka sana😅😅😅yani wewe ulipitaa mpaka gambosh
Nzuri
Yap
Aaah huyo mama duh au ile hilizi ndo maana mama alimuangalia kwa mahabati
Hahahahhh mapenzi ya zamani hayo
Aki cjacheka kama leo waah Zablon😂😂😂😂😂
Kaka ana story uyu kha haiishi😆😆
Tatizo hana kivuli 😆😆😆🙉🙉🤸🤸🤸
Zabroooon
🤣🤣🤣🤣huyu jama ana stori Sana
Yani hiyo scene nakupa mwezi utazikuta bongo movie si unajua walivyo mazoba baadhi yao kwa kuiga
Amkeniiiiii tayari huku
Dv kwaiyo inge kuwa ni wewe ya wezekana yule mama ung mula yaana akupiti mtu😄😄😄😄😄😄😃😃😃😃😄
Number 1 tena
Stori inaendelea mbaka tutafka nayo 2021😂😅
Kwenye mwaka huna kumbukumbu nzuri
Waah aki 😂😂sema kupenda🙈
jaman mukue mnasinzia..manaake tunadhalalishana sasa. haiwezekan kila watu tukijitahd tunakuta watu 90 tayar
😂😂😂😂😂like zenu wa 13 leoooo
sema kingne tena kama nikuja inbobo sie tunakusiklza tu mama..hta ukituambia tutembee kwa magoti. ..😅😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah nimecheka sn kwa sum na majibu ya dada
Davistar na camera man wako mna makelele sana😊
🤣🤣🤣
😂😂😂
😂😂😂😂
Basibnikwaambie ukija Kenya husiamini mtu yeyote kwanza hao unasema mwanamke yeyote tafadhali huo ndio usiku husiyoujua.
Jamani huyu jamaa Sija msikia ametuma Pesa kwa mamake wala kwa rafiki yake Chacha.
Zabron bwana sichok kkusikliza unataka unywe sumu sababu ya mhind
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo
😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pesa kidogo...kampani kama yotee
Yan hii part 26 ndo inafraisha duuh noma san
Nani amesikia pamba nyepesi ndani ya pamba nyepesi