Yani Wote Uliowaoji Wiki Hi Wote Awana Sauti Wambie Watoe Sauti Yani Awaeleweki Kabla Ya Kuanza Wambie Watoe Sauti Kama Awataki Achana Nao Wanazingua Sana
Bro Davistar story ni nzuri Sana na pia uko vizuri kwenye kuendesha vipindi vyako, hila camera man wako anabungu bro yani hii video imekaa vibaya Sana imekaa giza na pia picha ni mbaya
Davista niaje hii story ni the same na ya promover...tuonyeshe uso wa muhusika na utupeleke kwao tujue pia ukweli wake ... wanasema ni copy cat n u trained this guy. Tuonyeshe kwa huyu guy utuprove wrong
Bro huu ushuuda kama nimeisha sikia sehemu dizain yaan kwa kifupi bro huu ushuuda wewe umeibaaa, kubali kataa...! huu ushuuda ni wa jamaa anaitwa cosmas wa mwanza...na kwa nn mmnafanya hv ili iweje daaah tanzania bhana ndyo maana mm inakuwaga ngumu sanakuamini ishu za youtube uku daaah aibu
Tulimshauri pia hilo Davistar lakini hajalifanyia kazi. Sijui wanaiga wapi la kuweka muziki. Hata filamu nyingi za kibongo wanaharibu uhalisia wa tukio kwa kuweka muziki. Davistar aondoe muziki. Ibakie tu simulizi
Copy & paste from Promoter TV, Umekosa contents umeamua kuiba shuhuda za kweli za watu na kuziedit then umetafuta hao jamaa zako ukawamezesha script then uibie watu upuuzi mtupu
Bongo Kawaida Tu. Ukitaka Umwoe sawa Ukitaka muishi tu Sawa pia. Ila Shida Pale mnapo pata watoto kwa makabila mengine Watumia Ubini wa Mama Mpaka utakapo Enda lipo Mahali. Basi watoto hutumia Jina Yako.
Hii story umecopy bwana kwenye chanel.ya jactan umeshaanza kuzingua eeh kwani siutafute.story zako kwann ukaibe ya mwenzako na jactan amekupublish kila mahali kuwa umeiba story.yake na kweli ni ya muda 2yrs ago 😂tunakumin usitufanyie hivyo
Numbar one kama kawa 😂😂😂
Hongera
You're missed
Hongera kunywa soda kubwa kw bill yko🤣🤣n unitumie risiti
@@nguwalofakhr5965 Asante
@@nguwalofakhr5965 🥰
Angalau saiz tutaenjoy inaonekana kijana anajua kusimulia...tuko pamoja kaka Davistar
Sana.
@@pilimusa7770 shogar upo🥰😍😘 I love u
Noma
Hiii mzuri kabisa
Okay
Cameraman umezingua sana kazi yako haina ubora
Afadhali huyo yule mwengine hata siku maliza ku skiza mana story hai nogi
Mtafute zabron tena David na story yke nyingine. Wazee wa gamboshi tujuane 🤣 nahamu siku nipajue 🤣🤣🤣
Nimekuwa wa 10178 🙌makofi kwangu😁
Polesana kaka
😂😂😂😂😂😂Mmemsema sana jaman dev had kanunua maik ya kweny shat🤣haumii mkone tena
😄😄
Hongera kwake kaka Davista ndio maendeleo hayo
@@venahsithole6463 kweli
Nusra awe baunsa kwa kubeba mike
safii davii
Aise mkitaja Gamboshi na mkumbuka Zabron😂😂
87 top 100 big up davista
Pamoja saana 🙏🕌 dv
Safi mr fact...mtu makini
Yani Wote Uliowaoji Wiki Hi Wote Awana Sauti Wambie Watoe Sauti Yani Awaeleweki Kabla Ya Kuanza Wambie Watoe Sauti Kama Awataki Achana Nao Wanazingua Sana
Mic unaiweka mbali Sana Kaka...sauti iko chini Hadi earphone ndo unasikia
Wachawi siku ya mwisho mtalia na kusaga meno jinsi mnavyo tesa watu
Oky
Pole kaka yetu kwa hayo ...daah mpaka huruma hio miangaiko yote yakimaisha kisha wakuroge?Na kwakweli mchawi hana huruma.
Hana kabisa
Ukoo unazdi kupanuka dk ya 9 comments 28 chapa nembo Davistar Nakubal
Hii sauti km tushaisikia hp before
Fire mze mata
Nikua kwa kina mama dangote na mzee Abdul kwanza' ndo narudi nyumbani sasa kwa davistar
😂
Uchawi huuu mhh
Afadhali uyuu yule mwengine anajirudia tu
Me napenda uchawi walahiii
Alhamdulillah w mwishoo 😥😥🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂pole
@@pilimusa7770 Asante kipenzi 😂😂😂😍😍😍
Nooo!
Mie ndio nafika Aysha
Si wapenda kulala 😍😍😍
@@somoeawadh7774 Hapo sasa kipenzi😂😂😍😍
Asubuutuu👌👌👌weeeeh
🤗🤗🤝🤝
@@ayshamahariq6665 ✌😘😘
@@bintimrope 🤝🤝🤝😘😘
😀😀ila devi uko kuitikia mmmmhh mmmhh uchoki....
Ndio Raha ya stor ujui jmn kuongea bila kupewa sapoti akunog😏
Nipo mwalimu
Wanawake roho mbaya mbinguni hatuendi
Anajua kuelezea
Ukitoka Mtwara, njoo Songea Kuna mtu aliwahi kumiliki pesa za majini akaoa mpaka mzungu,story yake Ni Moto,na ushirikiano upo was kutosha
Davister mtafute Diana
Naomba namba yako
Naomba namba yako
Duh hatari sana
Twende kazi
Saf dav Jana nilikuwa busy lakn lazma nickilize story
Gamboshi bariadi simiyu
Tuendelee na hii inakautam flan hivi
Huyo bibi ndoalikuwa mchawi nandoalikuwa anakuitaa mybe tusonge nayo
Nimefika mzima mzima mr mata
Pili musa weee Davistar Nimekushukiaaaaaaa
Sawaaaa😂😂😂😂😍😍😍😍😍
@@pilimusa7770 😂😂😂😂😂😂😂
Twende kazi Davista makini kabisa
Nahisi shangazi ndio mchawi 🥴🤔🤔
Sautiiiiiii wengine hawaongei na sauti kabsaa
Gamboshi
Imerudi tena
Upo?. Habari
Aysha. Aiyam. Hamad. Khulood. Kawthar. Nguwalo. Najma. Zabiya. Frederick. Bady. Kevarist. Ezekia. Jirani. Somoe. Salim salim. Blessed. Griezmann. Amina. Fatma. Aisha. Sapna. Njooniii. Davistar uwanjaniii
Am here cwtie!!
@@nguwalofakhr5965 karibu sana
Nimefika kipenzi changu 😍😍
@@sapnaabdallah1084 karibu sana 😍😍😍😍😍
@@pilimusa7770 ahsante
😍😍😍
Wa kwanzaa.🎊🎉🎈🎈🎈🎈🎈🎊🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈
My love kumbe upo
@@somoeawadh7774 nipoo. Karibu
Kila mtu wakwanza siuongo huu
@@credo7837 kweli
@@credo7837 jamani mie wa kwanzaaa😅
Dm mtu mbad kabisaaaa 🙏🙏🙏
uleno
-
La Union
🙇🙇
kuna giza kaka
Camela mbovu mpiga picha hana analolijua
Nimechelewa kwa sababu ya kufatilia familia ya nyange 😀😀
😂😂😂😂😂
dah
HUO muziki ni kero
Mm sikosii umu 😋😋
🤝🤝🤝🤝
Aiseeee mimi wa kwanza, Leo na lala na viatu 😂
hongera siku hizi sina mbio ungelala miguu zikiwa kwa maji😁😁😁
@@moreenmbatha1147 🤣🤣🙌🙌
@@sitinassy8772 nikutulia siku hizi nimetulia macho tu 😁😁
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@moreenmbatha1147 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jameni duniya
Mbaya sana
@@pilimusa7770 sanaa
Bro Davistar story ni nzuri Sana na pia uko vizuri kwenye kuendesha vipindi vyako, hila camera man wako anabungu bro yani hii video imekaa vibaya Sana imekaa giza na pia picha ni mbaya
Camera man ha forcus na na camera
Kwani bwana misosi kaenda kabisa yani tume kimiss buda
Kweli hata mm sikumaliza inaboa sana
Hallow every one
🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Leo upo kwetu mtwara ila huyu anaongea kama sio mmakonde kama yule wa jini 😂😂😂
Hahhahahha yule wa ( ntumeeeee)
Mata media
Davista niaje hii story ni the same na ya promover...tuonyeshe uso wa muhusika na utupeleke kwao tujue pia ukweli wake ... wanasema ni copy cat n u trained this guy. Tuonyeshe kwa huyu guy utuprove wrong
👋👋👋🇰🇪🇰🇪🇧🇭
Najiuliza sekunde28 coment zimefika 60 kumanisha mnacoment bila sukilikiza kwanza ili miwe wakwanza ama 🤔😕
😅😅😅😅😅
😀😀😀😀sijuii wanajisikia Raha gani uko kuwai namba
Dv katuroga
@@rosecruiz4348mpaka tumerogeka bila kwenda Gamboshi🤣🤣🤣😂😂😂
@@charlesmapunda5905 kabisa mmeshakuwa misukule ya ghambushi
Takupata kka
Wa 26 nimewahiiiii 😀
Wakwanza mm leo hii
Mm nipo Dr Nina ushunda wa kutumiaa pesa za majini noma sana
Hongera
kisssssssssss.
Majini 22 wachawi siyo watu wazuri usiombe ya kukute
Namba 26 nipoooo.
Leo nimewahi
Ni ww ama nakufananisha kule kwa red bable 😛😛
Hongera kipenzi
Bro huu ushuuda kama nimeisha sikia sehemu dizain yaan kwa kifupi bro huu ushuuda wewe umeibaaa, kubali kataa...! huu ushuuda ni wa jamaa anaitwa cosmas wa mwanza...na kwa nn mmnafanya hv ili iweje daaah tanzania bhana ndyo maana mm inakuwaga ngumu sanakuamini ishu za youtube uku daaah aibu
Hii ni wizi kabisa za ushuhuda hii ushuhuda iko kwa promover TV hata aina utafauti na hile kabia umecopy
Labda ndo yeye mwenyewe
@@winniejustine2051 sio yeye
Mr fact tutafutie na story nyinginetofauti za maisha maana hiz za misukule zimekuwa nyingi kweli mbaka kizungu zungu
Endelea kuzunguka
Wa 6 mimi jaman leo 😂😂😂😂😂😂♌
Mi naona kama vile mziki unaharibu Hadith!
Tulimshauri pia hilo Davistar lakini hajalifanyia kazi. Sijui wanaiga wapi la kuweka muziki. Hata filamu nyingi za kibongo wanaharibu uhalisia wa tukio kwa kuweka muziki. Davistar aondoe muziki. Ibakie tu simulizi
Copy & paste from Promoter TV, Umekosa contents umeamua kuiba shuhuda za kweli za watu na kuziedit then umetafuta hao jamaa zako ukawamezesha script then uibie watu upuuzi mtupu
Elf tatu ya tz sikidogo hiyo yani nikama umepgaa trp tatu AMA inne🤨🤨🤨🤨🙄🙄 hiyo niyamwenye pikipiki wewe unakosaa
Naangalia comments wengi wao ni ujinga mtupu,
😀😀😀😀😉
Jamani kweli uko Hali ngumu bodaboda Kwa siku ndo umefanya kazi
unapata 30000 !!!
Nyie uko shlng ngp
@@deelissa2746 Huku kwetu upunguf Kwa siku Laki
Hili jambo nalisikia na wa tz sana eti ninamchumba naishi nayee hamjaoana VIP waishi namtoto wamtu hujamuoa🤣🤣🤣🤣🤣Kenya ukijulikana fln niwako mchumba wako wewe fanya tuu umuoe sio eti muishi nani kasema
Bongo Kawaida Tu.
Ukitaka Umwoe sawa Ukitaka muishi tu Sawa pia.
Ila Shida Pale mnapo pata watoto kwa makabila mengine Watumia Ubini wa Mama Mpaka utakapo Enda lipo Mahali.
Basi watoto hutumia Jina Yako.
😂
@@sallo27.70 Kenya hiyoo subutu unaoa kabisaa uchumba akae kwao wewe kwenu naaki potea step amepata mimba hivyo unamuoa
Hii story umecopy bwana kwenye chanel.ya jactan umeshaanza kuzingua eeh kwani siutafute.story zako kwann ukaibe ya mwenzako na jactan amekupublish kila mahali kuwa umeiba story.yake na kweli ni ya muda 2yrs ago 😂tunakumin usitufanyie hivyo
🇰🇪🎲🎲🎲👏
Hahahah nimefikaaa
Ww tena lazima ufike 😁😁
@@sapnaabdallah1084 😲😲😲
@@credo7837 😌😌
@@sapnaabdallah1084 😂😂😂😂😂
@@credo7837 😂😂😂😂😂
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo
WA 58 Leo 😭😭
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu uwiiiiiii. Poleee
@@pilimusa7770 ahsante 😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤸♀️🤸♀️
@@ikabako2454 😂😂😂😂😂😂😂😂
@@sapnaabdallah1084 pole my
Oky
dah