Dah story tamu hii hakuna kama hii ila huyu jamaa Mungu amsimamie saiv aishi vzr mana c kwa mateso aya duniani kweli hujui lipi litakukuta tumuweke Mungu Mbele kwa kila kitu Hakika tutaishi vzr Amen 🙏
Davistar Mata hao police km wapo ilibidi wachukuliwe Atua maana walikuwa wana fanya kz zao kinyume cha sheria kisa Mwarab ana pesa amewaonga pesa hili wamtese Chifu Zabron Pole sana Duu hila mitihani imekukuta
Mimi uwaga napenda kutoa makosa....story ya huyu jamaa ni nzuri...anajua kuadithia sana.....Ila davista karibu uwe una edit makosa Kuna mahala uwa unatoka au kuongea..✌️
Yaaan katika story ulizo wahi kutuletea hii no one yaan daah unataman hata isiishe brooo maisha yako yote ni hadithi na vitendawili yaaan ukiaadaa movie utapiga hela sana brooo tena unaweka kwa mfumo wa series
Huyo mpelelezi mtu mzuri haki hataki mtu kuxulumiwaa wallah huyo mxee mwarabu anakuwa naro mbaya kama warabu wezie wauwarabuni pole sana maumivu hayo tena makubwaa
Duuu Aisseh pole sana kumbe Hinavyokuwa jamani kubambikiwa kesi kumbe kupo jamani Daaa AISSEH nimeumia kwa maana dev mwanangu yupo Butimba mpaka leo Yani mtihani uhuu sijui Utaesha lini kupeana kesi
☹☹☹☹☹☹☹☹☹☹yani bdo dada anakaza kamba eti bado anaitaji kuishi nayy hata kama kijijini 😢😢😢😢😢😢😢😢yani mm huyo ningemwitikia tuu nikitoka tuu usiku wamanane nahama mana utaishii kama kuwadi
🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️duu kweli huna hata mtoto wakusingixiwaa usaidiwee tuu mana sio kwakipigo hichoo hadi mbavu xaumaa hadi sahii fanya bidi ufanye x ray kuangalia VIP hixo mbavu...
Yani hadi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭hayo Mateso yote wewe pia achana nawatoto wakiarabu kaka huku wauliwaaa kabisaa kwaza unakatwaaa shingo kabisaa Bora utafutee masikin mwexako
Duhh. Mateso yote hayo hali mtu huna hatia. Hao polisi km bado wapo hadi hii leo yafaa wachukuliwe hatua. Bwana Zabron asaidie kuwatambua hao maaskari na wachukuliwe hatua kabisa. Yaani kutoka masuala ya mapenzi hadi kubambikizwa kesi ya ujambazi? Hii mbaya sana.
😭😭jamani binadam hawana utu mpk machozi yamenitoka japo sjaona nijinsi ngani majeleha ulitapata na maumivu pole Sana zabloni❣️
Pole sana kaka ang mpnz
Kwa yote uliyapitia🙏
Mungu ni mwema had hapo ulipofikia🙏😭😭😭 binadam sio watu wema jaman😭😭😭
Kabsa😥
@@ayshamahariq6665 hujambo mamy
Kabisaa😭😭😭😭😭😭
@@aishahassan9812 Alhamdulillah xijui ww😍😍
@@pilimusa7770 😥😥
Hehe number 1 likezngu wapendwa
Hongera Asia
Hongera
Nimekutime..😜🌞
Mkujeeee
Duuhh pole sana aisee sipendi mambo ya hivyo unaeza Loga mtu!!
Davistar kwa hii story nishatumia hadi hela ya akiba kwa kuweka mb. Kwakweli ni Moto🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂pole
Aisee pole Sana umepitia magumu Sana ingekua mm khaaa singe tamani kuishi
Dah story tamu hii hakuna kama hii ila huyu jamaa Mungu amsimamie saiv aishi vzr mana c kwa mateso aya duniani kweli hujui lipi litakukuta tumuweke Mungu Mbele kwa kila kitu Hakika tutaishi vzr Amen 🙏
Amiin
Pole saana mungu yupo nawe😥😪😥😥😥😥
Kila ninapo fwatilia story hii,nazidi kujitia nguvu katika maisha haya,😢😢🇰🇪🇰🇪
Pole kwa yote kaka yngu mpenzi ♥️♥️🇪🇭🇪🇭
Kabisa. Shemeji yako kateseka mno
@@pilimusa7770 Had huruma😥
Still following up till part 100 kweli hii dunia inamambo hop ni true story
Davistar Mata hao police km wapo ilibidi wachukuliwe Atua maana walikuwa wana fanya kz zao kinyume cha sheria kisa Mwarab ana pesa amewaonga pesa hili wamtese Chifu Zabron Pole sana Duu hila mitihani imekukuta
Kabisa yani. Watafutwe na wafunguliwe mashtaka ili iwe fundisho kwa wengine.
Askar njaa kali sana ndyo maana wakistaafu maisha ya mtaa yanawashinda wanajikuta wamefirisika vibaya
Bora
Ndomaana imeandikwa jinsi gani ngamia hawezi kupenya kwenye tundu la shindano matajili😭mungu anawaona
Kabisaa
Watu hawachezagi mbali...Davister big up.. you are really entertaining up.
Hakika ulitesaka aise 😢😢😢pole sana
Nakubali davistar mata round hii umetuletea series kali hatari uchawi na love story ndani umetisha kinoma
@Elizabeth Lyimo pole na nn sister
Likes za OC .CID zicome😂😂☝🏿👏🏿👏🏿👏🏿
Somoe pili Aisha aiyam cute emmya sapna mimi mimi wetuuuuuu njooon 🇪🇭🇪🇭🙄
Tupo uwanjan mama🤩
@@aishahassan9812 Nmefurai kukuona♥️♥️
@@ayshamahariq6665 ahsante niko hapa habibty..
Nimefika sasa. 😂😂😂😂😂😂
Asante
Team kuchelewa 💃
Dav tatizo unachelewa kupakua nyingine jamani 😫
Mimi uwaga napenda kutoa makosa....story ya huyu jamaa ni nzuri...anajua kuadithia sana.....Ila davista karibu uwe una edit makosa Kuna mahala uwa unatoka au kuongea..✌️
Duu jamni hatari sana mungu anakupenda kaka yangu na una mwili wa ushujaa kwakweli
Zabron nishida😂😂😂 jamani ila pole umepatwa na makubwa mh🙄
Yaan huy zablon daah
Kateseka sana. Pia anabahati
@@pilimusa7770 sana🤔
Sasa wewe jamaa kila kipigo unachoelezea unasema ndo kikali zaidi, umesahau kipigo cha omela tena 😂😂
🙉🙉🙉😆😆😆😆😆😂😂 Omela alikuwa gaidi hashwaaa. Ila huyu jamaaaa nae mpole sana, ndio maana wanamuonea.
@@abbyadams8691 ahahahahahah na kule gamboshi alivyomwaga damu😂
@@abbyadams8691 😂😂😂😂 huyu jamaa amejua kuteseka aisee
@@deelissa2746 😂😆🙉🙉🙉🙉Jamaa hamna sehemu aliyoishi akatoka bila kichapo,labda kwa yule dada tu aliyemuokoa akibakwa.
@@deelissa2746 we utakuwa hukusikia wale majambazi waliomfirisi duka lake 😂
Chief gikarooo without kivuli dah. Ulipitia magumu sana.
Kazi ya ufundi ni nzuri sana imagine wangekua
Nipeee likes za davistar I was waiting this episode
Thanks my dear brother your story so nice
Wakwanza mimi gonga like kama na wewe upo humu
Jmn nimefurahi kukuona Davistamata live at kamanga garden
pole sana
Pole sana broo
Tamaa jamani mbaya laana maalam iwaandame kabisa shame on them
Masikini wa Mungu kwahayo mateso😭😭..Ila hao waliotenda hayo wajue siku ya hukumu Mungu hapokei pesa yao.
Kabisaa
Rudia tenaaaaaa!!!Yaani natamani uwe na kipaza sauti ambacho ukiongea dunia nzima isikie
@@luciamutongore799 wamesikia sana my.
Imenibd nkamwone angel fb aiseee sio poa unahaki upigike 🤣🤣🤣🤣
Leo nimewahi💃
Mh pole sn zambiron kwa safar ulio pitia
Yaaan nmesubl hyo part 30 toka asubuhi🤔🤔😌
Mimi hivyo hivyo. Saaa zote siishi kuichungulia😂😂😂😂😂
Kitabu chako lazima nikitafute ila umepitia mengi sana wabaya wko bado wapo? Hai
Aki pole humepikwa sana
Mungu hatupi mja wake duh
Kabisa
@@pilimusa7770 kabsaaaaaa
Zabron appetite yako iko vizuri
😂😂😂😂😂😂
@@asiaside9558 Fikiria kipigo alichopata ila alipostuka bado appetite ilikuwepo na alikula vizuri tu😀
Huyo mgambo me ningemtafuta😪😪😪😪lazima ningelipiza kisas
Yaaan katika story ulizo wahi kutuletea hii no one yaan daah unataman hata isiishe brooo maisha yako yote ni hadithi na vitendawili yaaan ukiaadaa movie utapiga hela sana brooo tena unaweka kwa mfumo wa series
Kabisaaa
Hiv mpk hapa nshasahau kivuli kishaletwa au bado???
Mie hivyo hivyo😂😂😂😂😂😂 . yani sijuwi kama kishaletwa au bado
Pole sana😔
Hello dear...ndo nafika😍😍
#Davistar usisahau kumuuliza vipi kuhusu ile Hirizi ya kupumua je alikua bado anayo mda huo au aliitelekeza?
Kabisaa
Watu wengi wanabambikiwa kesi mungu awalaani hao police wote pamoja na baba yake huyo demu washitaki kama wapo mashetan hao😭😭😭😭
Kweli mungu awalani
Kbs angewachukulia hatuwaaa
Yaan wengi wao wanabandikiwa kesi zisizo zao na kufungwa maisha duh😥😥
Kabisaaa
@@shantellemwanakombo3703 kabisa
Huyo mpelelezi mtu mzuri haki hataki mtu kuxulumiwaa wallah huyo mxee mwarabu anakuwa naro mbaya kama warabu wezie wauwarabuni pole sana maumivu hayo tena makubwaa
Muarabu Nani bhanaaa wasitunyanyase waswahili...
Duuu Aisseh pole sana kumbe Hinavyokuwa jamani kubambikiwa kesi kumbe kupo jamani Daaa AISSEH nimeumia kwa maana dev mwanangu yupo Butimba mpaka leo Yani mtihani uhuu sijui Utaesha lini kupeana kesi
Hatari kweli. Pole
Pili musa Asante my
pole sana zabron sio wote wanafungwa wamefanya makosa wengine nikuekelewa
Huruma saana police wetu walivyo malimbukeni kisa hela wapo radhi kumdhulumu haki yake kaka wa watu. Pole zabron mungu ana makusudi na ww
Hyo ocd nimempenda bure hawa warabu koko wanajionaga sana kwamba wao ndio wao tu
☹☹☹☹☹☹☹☹☹☹yani bdo dada anakaza kamba eti bado anaitaji kuishi nayy hata kama kijijini 😢😢😢😢😢😢😢😢yani mm huyo ningemwitikia tuu nikitoka tuu usiku wamanane nahama mana utaishii kama kuwadi
😂😂😂😂😂😂
🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️🤦🏽♂️duu kweli huna hata mtoto wakusingixiwaa usaidiwee tuu mana sio kwakipigo hichoo hadi mbavu xaumaa hadi sahii fanya bidi ufanye x ray kuangalia VIP hixo mbavu...
Kabisa
@@pilimusa7770 kabsaaaa
aiseee 😢😢😢
Wamwixho leo
Kama mie 😂😂😂😂 ndiyo nimefika
Hao asikari tupatie majinayao tukusaidie kulipakisasi,tafadhal hatakama wamestaafu inatakiwa ulipekisasi kwaonafamiliawao nahuyomwarabu yupowapi? Naetumjue
Kabisaa
duuh pole sanaaa z
Davistar hebu jaribu kuturefushia story kidogo angalau ifike lisaa limoja1 jaman
Mmhh kaka pole
Waaa aki pole kaka
Tuma inayofuata kk
Kila siku mimi wa mwisho daaaa🙆
😂😂😂😂😂😂 pole .
Yani hadi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭hayo Mateso yote wewe pia achana nawatoto wakiarabu kaka huku wauliwaaa kabisaa kwaza unakatwaaa shingo kabisaa Bora utafutee masikin mwexako
Duhh. Mateso yote hayo hali mtu huna hatia. Hao polisi km bado wapo hadi hii leo yafaa wachukuliwe hatua. Bwana Zabron asaidie kuwatambua hao maaskari na wachukuliwe hatua kabisa. Yaani kutoka masuala ya mapenzi hadi kubambikizwa kesi ya ujambazi? Hii mbaya sana.
Ndgu yangu sio kila aliefungwa ana hatia, wengine ndo kama hvo, ila pesa shikamoo duuuh
Sanaaa. Wamemuonea kweli. Na police wanaonea mnoooo
Mapenzi ya zablon na Angel ni kama Romeo and Juliet 😀😀😀
Hakuna haki za binaadam
Very sad story
Weka mbili mbili kaka
Kabisaa
Pole kwa misuko suko kaka
Safi mtu makini davistar ubarikiwe
Daah part 30 mpka sahv bado
Askar ni mbwa
Sana.
Leo Nimewah Namimi
Aisee hii History ya kweli
Pole umepitia magumu kaka
😊😊🤥🤥zabroni akiitaji udhamini apewe amepambana sana mtangazaji davista wewe nimtangazaji wakimataifa.
waa safi dav
Mwanaume unapigwa mpaka demu mzuri akichojoa nguo, unalala nae mpaka asubuhi bila kumgusa.Kudadadeki! 🤸🤸🤸🤸🤸🤸😜😜
Ivi facebook ana tumia jina gani uyo mwamba
Zabrani c Mwita
Leo nimewai
Duuu ama kwel duniani haki hakuna.
Kabisaa
Hii story ni tamu mno japo inaumiza
Au ndo Angel wewe uliyetutesea Zabron wetu
@@learnselfdefense765 hahahah inawezekana
Basi hiyo mbaya
Sanaa
@@learnselfdefense765 😂😂😂😂
Uongo mbaya kama mgambo ndo anapiga hivyo kwa hali hii sasa hivi hawahitajiki Mimi nae ningemtafuta ale lungu
Kabisaaa
Zabroni wewe nishuja aki mungu akurinde sana
Sanaaa
Wamemuonea kweli😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Njoon tayar huku
Tumefika asante
Wa Arabu kenge tuu
Yeah
Zablon hii part 29 nimeipenda sana
Hao mapolice wabaya sana . hata sijuwi wanalala vipi wakirudi nyumbani. Wanawafanyia watu ubaya mnooo.
Kabsaa😥
Ok
Watuweka sana
Davista mi najitolea kushikilia mic kila ukiwa na interview si lazima sura yangu ionekane
hahah a haha
Vizuri ndugu
Davista hautununulii bando ww, weka vipande vinne kwa ck, hzo nyingine hatufagilii.
My friend finish this story please
😁 😁 😁 Daaadeki hiv kweny bata ukiacha kumkumbuka chacha aliyekutumia radi gamboshi ulimkumbuka hata mother