Aiseee hii story aijawah tokea apa ktk Chanel 👌👌👌msipo jifunza apa basi tena kila asikizae story hii then akaenda kwa mganga jua uyo kajitakia mwenyewe...kuna maisha watu wanaishi magumu yamateso ktk ulimwengu mwingine...bila Yesu ni bureeeeeee
.. Un don pour relater ! A real gift to report! Thank you davistar for this wonderful testimony who reveal us the love of God for us.. Kweli, kulala kulamuka ni nehema ya MUNGU.. Apewe sifa na shangwe..
Zablon nyote yako inang’aa sana na Mungu anakupenda na atakuinua sana lakini sujui kama huko mwisho utasema kama umeacha mambo ya waganga. Hakuna msaada wa kudumu kutoka kwao.
Kkkkkkkk !! Hii part imenitach I say hata najiskia munyonge . Yani nilikuwa najua kafaulu lkn nilivyoskia ameonana na ajent aaaaaahhh !! Nimejua kwishaa kumeharibika . Haya tusubiri part 21
@@mashamramba3461 me Pia imeniumiza na zaidi ni babu alivyo fanya uharibifu Ili atupwe shimoni amfwate zabron wawe wote then wanakatwa tena kizembe na sijui kama babu atapona wacha tusubirie sehemu ya 21.
Duu mugangaa hatari anataka hela utafikiri kitovu chake kilixikiwa bank🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sasa mngeendaa mnyafure nyingi nyingi hata mkienda mkiaguliwaa muwe mko na helaa 😷😷😷😷😷😛😛😛
Hey Davistar,..Where is this Place behind The Camera, I Really Love it ..Which Place, Exactly In Tz??..I Mean which Town??Can Someone Tell Me Please.💗🥰.

Story nzr sana sichoki kuifatiria na ninashinda you tobe kusubili lkn inacherewa kwangu lkn Kaka tupo pamoja💯💥💥
Wawawaaaaa Tena 🤭🤭🤭🤭🤭Davista story imekua tamu. Drop part 21. Zablon kweli story tamu
Mungu mwema zabron kwa majanga hayo ilabado upo mungu anamakusudi nawewe
David unanifanya niwe Zabron's Story addictive, unajua nilikuwa nahesabu sekunde na bado nimechelewaaa
Icho kitabu cha Mama angu anakula nyama za watu nilishakisoma ni stori ya kweli na nzuri sana.
Lakini Zablon the old man loved u A lot not like ur cruel daddy who mistreated u and treated u like a slave bravo to the old man
الورد الورد very true
.. Un don pour relater ! A real gift to report! Thank you davistar for this wonderful testimony who reveal us the love of God for us.. Kweli, kulala kulamuka ni nehema ya MUNGU.. Apewe sifa na shangwe..
Yap yote yaliomkuta alisahau tu kutaja jina LA mungu muumba
Yap yote yaliomkuta alisahau tu kutaja jina LA mungu muumba
hongera zabron uko poa frm kenya
Mie leo niwakwanza chezeaaa👏
waaaa yaani mdomo wenu na mwenzio babu umewaponza tena mkarudi tena gamboshi woiiiii jamani leta eps tuendelee
Pole Sana Jamaa inatisha Salut David
Brother Davis king yaani picha kama ya kikorea yaani ndiyo Kwanza kama jumong wamerudy GAMBOSH...... Blessing Sana King Davis
Msala they back to Gamboshi again what a memories ? From zabron a good touch story DM Mr fact
Huyu jamaa apenda msosi maana husifia, 😄😄😄
We hupendi
😀😀😀😀
Acha kujifanya bishoo,asiekula Nani,hapo ulipo tu Leo umeshakula hâta Mara 5
Akitaja msosi mbaka mate yana mjaa🤣🤣🤣🤣
@@linazuke5838 😏
Shukrani
Mungu wangu umushukuru mungu kwakuwa amewatowa mbari sana
Davistar usituweke hivi huu uhondo hauitaji ku ngoja mda mrefu,
Ila asante
Hii simulizi inamafunzo mengi na niliipenda sana
Mmh story inaamza upya duuh kurudishwa gambosh!!!🙆♀️🙆♀️🇨🇦
Thanks for part 20. Keep them coming
Dah kazi imeanza tena
thanks zabron
hiyo wazungu wangeiita INTERMISSION watu wanapaswa warud tena GAMBUSH..Davister aty Aaah!!!....😝😝😅😅😅
Ndioooo kwaaaanzaaaa Mambo yanaanza
Tobaaaa pole kaka nin kiliendelea part21 tafadhali yan mm lazima ivyo vitabu nivibate
Imeisha patam devi tuletee muendelezo bhana 😘😘
Ninazo miendeoezo
Story utasema anatunga kumbe kweli
Mamaa yanguu ?? Hii story kweli itaishaa ? Mungu wanguu
number9 na leo sipati notification😢😢😢😢😢😢😢💺💺💺🇰🇪🇰🇪
Hii story nimeisikiliza na kuirudia! Nitatafuta hivo vitabu!! Vyote viwili!!
Kwa asira🤣
Wooooow nimewahi leo janiiiiii
Mimi kilasiku nachelewa jamani naombeni msamaha
Una moyo kweli yani ugumu ulionao napesa bado unagawa hela😹🙏
Maskini weeedah ivi Kaka zablon umeoa mh mm ningekuogopa
Sema kweli umempenda?
Nilitakusema ndio unaenda kufa kabisa ila nikakumbuka ndio wew unaye tusimlia😃😃😃😃
🤣🤣🤣🤣🤣umenichekesha sana mdau😂😂😂😂 ushaifanya kama muvi ya kihindi
😂😂😂😂
davista unajua sn bro
Aiseeee story inaaanza upya #GAMBUSHI tyeeena🤔🤔🤔
Duh, sasa hapa ndiyo movie inaanza looh, Davistar tuwekee 21 bwana be4 tulale
Daah kuridishwa tena😳😲
Zabroni Mzee wa kugonga Misosi
Safi
Itagramau Anatumia jina gn...fb Wengine Atuna
Zabron c mwita
kwani hii imekwa series
Doh!! Gambosh tena umerud mweh🙆🙆🤦kwel mlibug
Salute.kk
Duuh! Mzee Zabu karudi tena Gambushi...what is next Mr.D
Zablon nyote yako inang’aa sana na Mungu anakupenda na atakuinua sana lakini sujui kama huko mwisho utasema kama umeacha mambo ya waganga. Hakuna msaada wa kudumu kutoka kwao.
Hv ana mke?
😘😘😘mambo ni 🔥🔥🔥🔥
Kuludishwa tena gamboshi! Da!!
Wah!😩 Jesus protect us
.mh hatali wakakamatwa tena 😶😶
Naeka uporo mpaka kitrushwe kipande chengine niunganishe nizididi kuona raha
Mnakuwa kama majini hamuonekani kabisaaa yani mko mko tuu Ahera Hampo duniani mwatafutwaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaaaa umenichekesha huu msemo leo ndionmepata maana yake yaan unakuwa upoupo
Woooooow nimewahi leo jamaniiii
Mzee baba
🥱🥱🥱duuu tena gambosh ya Allah
Duu! Ule usemi ng'ombe wa maskini hazai ndio unapotumika hapa yani mmehangaika mwisho wa siku mmerudishwa Gamboshi 😰😭
Kkkkkkkk !! Hii part imenitach I say hata najiskia munyonge . Yani nilikuwa najua kafaulu lkn nilivyoskia ameonana na ajent aaaaaahhh !! Nimejua kwishaa kumeharibika . Haya tusubiri part 21
@@mashamramba3461 me Pia imeniumiza na zaidi ni babu alivyo fanya uharibifu Ili atupwe shimoni amfwate zabron wawe wote then wanakatwa tena kizembe na sijui kama babu atapona wacha tusubirie sehemu ya 21.
Hapo inaogopesha Sana kweli
Like zenu jaman😋😋
Lizeeee
Hata kama angejipigiza asingeweza kufa kwasababu mwili unaoumia aliuacha duniani. Kule Gamboshi alikuwa katika roho.
Pili mimimi somoe Amina njoon mazur🇪🇭🇪🇭🙄
✌✌✌😍😍😍
@@bintimrope pamoja 😍😍😍😍
Mpaka hapo upo uchi?
😍😍😍😍davista
Duu mugangaa hatari anataka hela utafikiri kitovu chake kilixikiwa bank🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sasa mngeendaa mnyafure nyingi nyingi hata mkienda mkiaguliwaa muwe mko na helaa 😷😷😷😷😷😛😛😛
Gonga like wewee😂
Duuuuuuhh !!! Yani tena kuregeshwa gamboshi ?
unge fanya move ungeuza kwel
Karibu nchelewe I say
Simba hukamuliwa kutolewa mafuta?
Yan picha ndo linaanza upya mmerudishwa tena gamboshi🙆♂️🙆♂️
Mida mwingine kama naona anatudanganya 😅
Ni kwasababu hukuepo so utulie
🙄🙄🙄🙄
Sasa mzee baba mpaka mda gan urushe sasa
Bwana misosi
Hapo sawa.
21 bado tu jmn
Ohooooo mkaludi tena
Zabron una kipawa cha kusimulia.
Kajaliwa kabisa
Mwandishi huyo tajir sana ndomana wakulugwa wakamtia mkosi
Mie ndo maana simwamini mti mkavu nawaza sijui nae niwa Gamboshi
😀😀😀😀😀ilo neno
Kbs
Aaaaah ingine
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noma
Ooh waoooh
Yani story kma kawaida kumbuka bado haja amka hapo
Hey Davistar,..Where is this Place behind The Camera, I Really Love it ..Which Place, Exactly In Tz??..I Mean which Town??Can Someone Tell Me Please.💗🥰.
I think it is mwanza rock city
Rock city, near the lake Kamanga area
@@francisruambothetechnician ..Thank you So Much Darling 💗🥰💋
@Zee Mud Thanks darling, 💗💋Will Surely Visit When I Travel To Africa..🥰🙏...Looks So Cool Plus The Lake..Wow.💜
Bro davi fanya episode inayofuata kama huto jali maana ninauchu hatarieee
😂😂😂
Kunakipindi Cha redio Alisha simulia zote zp utubu
Tobaaaa
davista vp kaka mbona story anairudiya mara tatu ni ileile
Hajawahi rudia kabisa kila kukicha story ni mpia hivi twangojea 21
Duuuhhhhhhhh! Leti mmmmm na subiri ila kusiwe mwenye ata kaa kwenye kiti changu icho chambele adi niwe tayari
Msala safari ya Gamboshi tena simchezo
Tuko pamoja mpaka part 100
😆😆
Davi kila mda nachungulia huku
Kumbe tunaibiwa madukani pesa kwa namna hyo.
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko
Mh gambushi tena 🙄mh
Story inafurahisha kweli
Tobaaaaaaa!Gambushi tena!
Imeniuma sana kusikia eti wamerudiishwa tena
Hahahha picha linaanza upyaaaaa...gamboshi tena
Hatar sana