Tunaisubiria hiyo simulizi ya gambosh, bila shaka wewe utatuelezea kwa ufasaha, kwa kuwa hatujui ukweli zaidi, wengine wanasema ni kijiji tu cha kawaida, wengine wanasema ni kijiji cha kichawi,sasa wewe utatuambia ukweli.
@@fredichaki4868 duh humu duniani kuna mambo mengi ya ajabu, sasa hayo magorofa yasioonekana, ila yapo, si ni mauzauza, yaani ukitafakari hata huwezi kupata jibu. ila ngoja tumsubirie Zabron aje atuhakikishie, huko mbele ya simulizi yake.
Dil ya bank mm pia siwezi kabisaaa heri nipatoke hapo 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️mana huko nikuuxa moyo wako lkn kuna wengine hiyo nikaxi rahisi sanaaa tuu kwao
Me nimekaa tuliii nafuatilia Story ya Mr.Zabu ...nikaomba dawa ya kuona wachawii.....ehee baadaya ya hapo...Mr David Tuliaa mzee baba Mwendelezo unakuja part 11 ,,nimetulia Mr D.🛀🛀
Davistar story ya huyu jamaa nii ndefu na ni mzuri sana sasa jitahidi ata kutupia vipande ata vnne kwa siku maana hapo ilipo fika bado Ndiooo mwanzoo maaana aliepelekwa gambush akafanikiwa kutoka akaja kamatwa tena ajarudishwa akatoka tena akawa ahonekani yaniii
Hapo uriwaza vema sana boy nasio kuigia tamaa isionamaana hongeraa sana
Ila zabron upo vizuri sana kwa kusimulia DM hongera kwa kutafutia story nzuri km hii
sema zabron ulikuwa na.hekima na akili ya kutosha sana hufanyi maamuzi ya haraka 😊brother be blessed 🤝
Kumbe Zabron Ni Handsome bhana😘😘😘😘
Wasaba leo nipeni like zang😥😥
Mwezi mmoja unapiga supu safi unakua kibonge hapana kwa kweli hapana I say nooooooooooooooo ujambazi mhm
😂😂😂😂
His journey was very tough and rough God protect u and give u more yrs in this world...
THANK u so much Mr davistar for good job
He's a survival
Story nzuri sana,,,👍big up davistar💪
Moshi Technical School , My Lovely School aaaah , Mpande the teacher daaah kitambo sanaaa
Yep mpande wa kitambo...Now amestaafu. Nilimwacha akiwa mwalimu wa vijana na michezo.
The best story ever
Duuu Zabroni umepitia shida sana dooo AISSEH pole ZABRONI
Tunaisubiria hiyo simulizi ya gambosh, bila shaka wewe utatuelezea kwa ufasaha, kwa kuwa hatujui ukweli zaidi, wengine wanasema ni kijiji tu cha kawaida, wengine wanasema ni kijiji cha kichawi,sasa wewe utatuambia ukweli.
Nikweli nimji wenye magorofa pia ni mji wenye Mambo mengi sana ya kichawi ila uwezi kuona kwenye macho yakawaida mbaka uwe na jicho la tatu
@@fredichaki4868 duh humu duniani kuna mambo mengi ya ajabu, sasa hayo magorofa yasioonekana, ila yapo, si ni mauzauza, yaani ukitafakari hata huwezi kupata jibu. ila ngoja tumsubirie Zabron aje atuhakikishie, huko mbele ya simulizi yake.
SHUKURAN MR FACT
Nataka likes 10k za davistar kama wamukubali
Sehem ya 12 vp
Dah yani natamani hata isiishe ilivyo nzuri hongera bro
Davistar keep up good story.
Kaka Davistar Pole Sana kwa kazi Zuri na Ngumu Unayoifanya Ili Sisi Tuhabarike MUNGU Akutie Nguvu Zaidi.
Msimuliaji Ww Ni Shujaa.
dav mata fanya bidii ufike gamboshi utuletee habari
Daaaah. Nakumbuka kipindi hicho vocha inaitwa dola
Naona taba sam la davistar kuskia gambosh
Hongera sana Davista umetuletea mtu wa story ya ukweli kabisa bila ya kupepesa macho aisee
Ivi huo mda zabron ukiwa kwenye gari lao hao majambaz si ulijua Tyr umekwisha watakuua?yaan huyo bibi Yako,alikuweza kwl kwamateso hayo, la
Dav co kwa kunitesa ivi na huu usiku afu Nina mtoto mchanga,story inanoga balaaa
Dil ya bank mm pia siwezi kabisaaa heri nipatoke hapo 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️mana huko nikuuxa moyo wako lkn kuna wengine hiyo nikaxi rahisi sanaaa tuu kwao
Waoooo nimekubamba mama la mama kutoka Kenya😜😜😜😜
@@abbyadams8691 yani imeshika sana tuuu ss kumeza msimuliaji anavoitafuna 🤗🤗🤗
Daaah htr xna
Nishaanza kumiss zile story zetu za kichawi,, mm na Goodluck na pili Musa, 🤗🤗🤗
Kabisaaaa😂😂😂😂😂
Teeenaaaaaaaaaa🤔😍
@@pilimusa7770 Atuekeeeeee🤗
@@ayshamahariq6665 aaaaa bhana hii tamu kweli
@@ayshamahariq6665 kabisaaa. 😂😂😂😂
Me nimekaa tuliii nafuatilia Story ya Mr.Zabu ...nikaomba dawa ya kuona wachawii.....ehee baadaya ya hapo...Mr David Tuliaa mzee baba Mwendelezo unakuja part 11 ,,nimetulia Mr D.🛀🛀
Zablon ana kumbukumbu nzuri saana ila ametesela kweeli jamani
Jamaa ulikuwa unajielewa kweli ndugu yangu
Nampenda anavyojielezea mpk jinsi kituo Cha stor anavyomeza fundo lamate
Wampe maji
Davistar story ya huyu jamaa nii ndefu na ni mzuri sana sasa jitahidi ata kutupia vipande ata vnne kwa siku maana hapo ilipo fika bado Ndiooo mwanzoo maaana aliepelekwa gambush akafanikiwa kutoka akaja kamatwa tena ajarudishwa akatoka tena akawa ahonekani yaniii
Nimekukamata mapema Leo Mr dav
Wow jamaan😋😋😋😋😋
Like bas
Hongera
Asalam alaykum wapenz watazamajiii
mdogo mdogo tunaingia gambosh
simuliz ndıo kwanzaaa imeanzaaaa
Umejiandaaa kuingia lakini?
Kujiandaa kwenda,???!usiombe kwenda huko Bana,gambushi Noma,
Kidogo kidogo naanza kuogopa
elionara
unajua nn watu wengi tunapenda siöulz zile za mayza uza
ndıo nmesema tunaingia gambosh kila mtu anapapenda
Wow umepitia mengi kaka poleni
Hii bandika bandua co mchezo 😘😘😘
Story nzuri sana wallah
Wonderful story
Nitampataje kitabu
Kwangu u ndio ushuhuda namba Moja kwanza huyu jamaa ni geneous.
1. Zabron mwita
2. Magere
3. Kanyerere
🥰🥰🥰🥰🤝🤝🤝Nai kubali Sana iyi simulizi 🥰Asente Sana kaka zabroni
asa mariam siuje bobo mama
Asante bro
Unakula nini supu😀 unakuwa kibonge😀😀
Hizo no. Ni tigo au voda?
Unapenda kununua nguo🙄
I always wonder if this stories are for real.are they true stories Mr.Davistar?
Thanks
Yani huyu jaama amepitia mengi Hadi Basi tu
Na hapo Badoo yan
Sana
Yote hayo ni bibiake mzaa baba
Na vile Davister anapenda dawa ya kuona wachawi na story za Gambosh hapo kafika
Uyu jamaa alikwama sana.me ningepiga dili na wale majambazi sass iv ningkua dubai
Hakuna kulala paka cheee🇯🇴🇯🇴🤔😍😍🙄🙄
Pache kabisaaa😂😂😂😂😂
@@pilimusa7770 🤝🤝 nmeona leo chidada changu 😍😍😍🤣🤣🤣🤣
Kaka naomba jina rakitabu
Chakulalia hiki hapa😋😋😋👋👋
Dah stor nzur sana
Duuh pole kaka
Wa kwanza leo daaaaah
Hongera
Jamoon simulizi NI Tamu Sana!!
Nimejitaidi kuwahi lakini wapi majukumu nayo wacha niendelee
Jamani mungu amegutowa mbari sana
Numb1
Gamboshi nomaaaaaaaa🤓🤓🤓🤓🤓🤧
Duh nyie viumbe sio watu wazuri 😂😂😂😂🙄haya 14
Huyo muuza vileja ajipitisha kilasaa hahahahahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Let's together 2022
🤗🤗
Ndan😍😍🇪🇭🇪🇭🙄🙄
Karibu.
@@pilimusa7770 😍😍😍😍😍😍😍🤝🤝🤝
Wangepita île njia yule Jamaa aliyowaonyesha wangefika ila wasingerud,
Tukae kwa kutulia sasa tumeingia nchi ya ahad 😋😋
🤣🤣🤣
Kumbe majambazi nao wanatrick namna hii!
Ndio maaana nasema kila siku kwenda kwa mganga halafu aka kuchanjie makaburini kwisha habari yako
🙌🙌
Davistar kacheka kidoog😂😂😂
Kusikia gambush
😂😂😂😂😂😂
Zablon ume pambana ktk maisha akuna kukata tamaa ongera sana na yote hii kuteseka kote ni Yule Bibi yako mchawi? Gamboshi ni mji km London au New York
Na raisi wao ni nani
Kweli kabisa. Yule bibi ni noma kweli
Jamani nimezamiria kua wa kwanza mara ya tatu sasa
Waooo
Stor imeeenda school
Huyu jamaa anasimulia vizuri Sana
Sanaa😍😍
@@ayshamahariq6665 kapitia shida maskini 😔
@@violinenyakara5028 sana😥😥😥😥
@@ayshamahariq6665 😔😔😔
@@violinenyakara5028 😥😥🤗🤗
Davista kwan huyo cameraman wako umuhamin nn
Mlalage khaa
Hatulaliii😂😂😂😂😂
Davistar mata panga safari ss uende huko gambosh ukatulete ukweli wahuko
Haya mapolisi mchezo wa kunywa kahawa mtaleweshwa
Ss ndo story inakuja kunoga Zaid hapo kwenye kuanza kazi ya kupaka rangi,atakapo Anza kuona kivuri chake..
Mambo mazito utasema sio Tanzania kumbe ni apo apo tz
Davistar tafuta hio picha plz
Sasa Davis ufanye mpango uende gamboshi uchunguze wanaishi vip.
Kabisaaa maana ndio atautupa Fact Kama jina lake.
Akawahoji na wale huko gambushi, hahahahahaaa
@@martinmaryogo6081 eeeh kwa Bakari Chandoma ulienda sasa komaa uibukie gamboshi ili tuonee maajabu
@@wantangosaimon5295 hahahahahaaaaa, weeee kule unaweza kwenda usirudi mzee
@@martinmaryogo6081 aaah czan yeye aende tu
Kweli soon tutafika gambushi
Muendelezo please
Dogo kapitia mitihani mikubwa sana kuliko umli wake
Mh uyu Baba kateseka jamani
Leo story ni tamuuuu aisay
Tumalizie story bwana wacha kutupimia
Alafu jamaa shabiki wa arsenal
Muendelezo tujue aliwaona wachawi?🤣🤣🤣
Mjengoni kama kawaidaa jàpo nimechelewa
Jamani nyingine wekeni
Mbona nasikia vitu vya ajab story inaishia nin
💥💥🔥🔥
Bitteee!
@@Fm-MornStar2014 Bee mzimaa...umewahieehh aisee nnaviporoo Kila nikiangalia nasinzia 😂😂 nikiamka mzigo mpya aloo mpaka sielewi naishia wapii niombee kwa Davistar apunguze spidii mnaniachaa🤣🤣🤣
@@beatricekweka6683 ndio naendelea kutazama bado sikamaliza hii. Acha iende mdogomdogo tuuu!
Inanoga! 🤣😅🤣😂
La kucha!
@@beatricekweka6683 duh we VP c wenzio tunatamani story hiishe at Leo !! We et unahachwa😭🤣🤣🤣🤛
@@Fm-MornStar2014 😁😁😁....haika nga mkure necha..nyuda oifoo
Ambao wana #Dislike wanamatatizo gn😣😣😣😣
Mmh story ya gamboshi inaanza kunitisha sasa na usiku huu nipo pekee yangu 😩
Nilikuwa nahisubiria