ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mark Dagascos WAHENGA Tujuane
Nipo na movi Kali ya ARMSTRONG
@@MRJ1308 Enzi izo tunajua kwa jina la paranawe😀
@@barakajpilly6900paranawee 😂😂
Movie yangu pendwa
Kuna crying freeman
MOVIE YA DRIVE NI MY BEST MOVIE DAIMA
Uyo ndo mzee wa palanawe og
Jmaa yupo hai 2023 katoa movie knight of the zodiac katazame iyo movie utamuona amekua mzee tu kdg
Number 2 kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Movie zake uwa nazipenda sana. Asante kwa simulizi nzuri 🎉🎉🎉
Yupo kwenye Serie mpya Netflix inaitwa Warrior ni noma sana kuna vichapo mwanzo mwisho ila usitazame na watoto karibu.
Sio mpya ipo tokea 2019
Sas twende kaziiiiii. Napenda kweli
Kuna chuma Inaitwa Drive weka mbali na watoto
Hiyo movie hadi kesho sijawahi kuichoka.Jamaa kaonyesha fundi wa kweli,bila kusaidiwa na computer
Yupo na yule rasta kmmk
Naitafuta muvi yake ya Nyamaume inaitwaje
cryng freeman is my best movie all the time
Don yen anajua lakin tonn ja n dunia yngne😅
Namkubali Sanaa Tony Jaa sema ndo ivo anatoa muv kivivu Sanaa mda mwingi anaonekana kwenye collabo😢au kaacha kuigiza?
Hajaacha kuigiza
Anaingiza low budget movie
@@sportstoall9394 😣
Yuko hollywood sema ajapata big role
Ina semekana ali wakataa Hollywood km alivyo fanya bruslee ndio hapo alipo poromoka ki media kbs now anafanya maigizo ya kisonzinyo tuh
The drive ile movie ni balaa jamaa anapiga ngumi kweli kweli
Umfatli ana move 3 moja ya uchawi
Congratulations brother
Nilitaman sana umueelezee tangu juz mpk nikaamua kupakua movie zake kama drive na DNA
😂😂
Drive noma sana
Sisi na mkandara Rufufu tulikuwa tunamuita Tobi kwenye movie ya drive😂
ACHENI KUDANGANYA WATU WAZEE STORY INA UKWELI NDIO ILA KUHUSU ALIPO ACHENI UONGO HUYO MARK 1985 MPAKA 2023 ANA MOVIE.. ACHENI KUA WAONGO PUMBAVU
Hatujakuomba mbwa wewe
Mark Dacascos nilikuwa namkubali sana
Kaka tutafutie Solo bas
yupo hata kwenye John wick 3
Mtoto wapili anaitwa "kapono"😅😅
❤❤❤❤
Maisha ni safari, one day nami ntafanikiwaga tu❤
Nimekupitia bro pia nawe nipitie subz
kwani mark paranawee si yupo mzee anacheza movie kama kawaida au wew unahisi yuko wapi
Nataman uelezee mauwaji ya kamanda wa jeshi la iran Syria na Iran itatowa jib gan
Kuna tambala linaitwa DRIVE ni hatari
Namukumbuka
Tusaidie kumjua SOLO
Hizo movie zote nilipakuwa siku Moja kumbe solo ni mexicana aisee
Nimependa story yamwamba
Muvi ya Nyamaume inaitwaje huwa naitafuta sana
Namkumbuka rafiki yake alikuwa Kunguru
👊👍✌️.
Jina lake Halisi anaitwa YUJIH UKUMOTO
Paranawe
Situlikuwa tunamuita PARANAWE
Tupe story ya chowchilla tragedy kutoka California mwaka 1976
Dah palanawe
SASA TWENDE KAZIIIIII
Nolan avendo yupo wap?
Wa kwanza jamani😅
😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tuelezee kuhusu SOLO
Mr. Paranawe 😅😅😅
Namkumbuka uyo alikua atari
Ana movie mpya uyo mark ya mwaka wa jana ila kazeeka japo sio sana
mm nilmfahamu kwenye drive
AMERICAN NINJA
Michel dudcolf
Kipaji kipo kwao
Huyu mwamba ni hatari ukiangalia THE DRIVE zile action na stunt tena miaka ile ujue ni balaaa
Tutafutie solo
Yule aliyecheza no strike no sarrender yupo wapi?Nolan avendo
Story ya CONOR MCGREGOR wa MMA Tafadhali