Wanasayansi Wamegundua Jambo Kuhusu Mkia Wa Panya, Itakushangaza Kujua Ukweli Huu

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 9

  • @nelsonbisi6499
    @nelsonbisi6499 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri
    Tunaomba ufafanuzi wa Kisiwa kinachoitwa REUNION ISLAND kwa kina Malaika Salatis wa Jeje. kilichopo Afrika kwanini bado kinatawaliwa na Ufaransa hadi leo.

  • @binaliy7034
    @binaliy7034 หลายเดือนก่อน +1

    More love ❤ from Zanzibar

  • @RynoFiree
    @RynoFiree หลายเดือนก่อน

    Hahahaa😂😂 sisi wafipa Sumbawanga hiyo ni kitoweo kikubwa sana

  • @malkiawafizi2394
    @malkiawafizi2394 หลายเดือนก่อน

    Asante sana ❤

  • @henrylugendo280
    @henrylugendo280 หลายเดือนก่อน +1

    1

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah หลายเดือนก่อน

    Twende kazi 🔥🔥🔥🔥

  • @user-lo2dj2db1h
    @user-lo2dj2db1h หลายเดือนก่อน

    Je unaweza kutuletea story ya king Baldwin iv

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything หลายเดือนก่อน

    ✌️👍👊.

  • @jostamzxkaole3113
    @jostamzxkaole3113 หลายเดือนก่อน

    2017 ilikua hivi: panya walikua wanasumbua usiku chumbani nikaweka sumu kwemyw samaki moja.nilipoamka asubuh nikakuta amekata waya mmoja wa redio . Nikachukia nikatega tena sumu kwenye🐠wawili ,nilipotoka kazini nikakuta amekata waya wapili wa redio.nikaamua kutega sumu chumbani na stoo zilewaya nikaziunga nikawasha mziki vizuurii nikalala asubuh nikasepa niliporudi jioni nikakuta redio haiimbi nilichukia sana nikawaza ivi mbona kama nagombana na mtu anaenifahamu akiliyangu🥸 Asubuh nikaenda kwafundi akakuta spika imekatwa waya akaunga fleshi. Akanishauli niwape idosini apo ndio niliwamaliza woote ilikua mi panya mibonge miwili imeshiba😂😂..