VIJANA WA FORODHANI NI NOMA WAMPAGAWISHA KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2023
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 717 619 834
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 17

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mtihani mkubwa kwakweli Allah kiokoe kizazichetu dhidi yamtego huwu wakuingizwa katika mambo yakiuzushi namambo yasio faa kwa waislam

  • @seifhabib5987
    @seifhabib5987 7 หลายเดือนก่อน +1

    Beautiful Zanzibar

  • @seifhabib5987
    @seifhabib5987 7 หลายเดือนก่อน

    1:45 1:56

  • @yahyajuma9353
    @yahyajuma9353 7 หลายเดือนก่อน

    jAMANI UTOFYORO YUKO WAPI

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 7 หลายเดือนก่อน +3

    INNAA LILLAHI WAINNAA ILAIHI RAJIUN. NI MSIBA ULIOJE KWA WAISLAM KUSHEREHEKEA X-MASS. NINI TUTAKWENDA KUMJIBU MOLA WETU JAMANI?

    • @mumasa498
      @mumasa498 7 หลายเดือนก่อน

      😅Kwan zambi

    • @feyxalbarry4595
      @feyxalbarry4595 7 หลายเดือนก่อน

      Ww unamangap yakumjibu Allah au mnaagalia x-mas tu wacheni kuwa niwaona wenzenu watenda maovu tu swali la kujiuliza uislamu ulishuka Zanzibar na kabla ya uislamu kushuka ww kizazi kilichokutangulia kilikuwa kikiabudu Nini ,tambua kuwa inna Mal amali binniayat hebu tuisome dini sio tukurupuke tu

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 7 หลายเดือนก่อน

      Anakosea lakini inambidi kwasababu ni kiongozi ila nafsi yake na Iman yake inasemaje kuhusu hili

    • @AbdullaSeifKhamis-tv4zq
      @AbdullaSeifKhamis-tv4zq 7 หลายเดือนก่อน

      Hayaweeeee Twende kaz wasomi

    • @mufidomar1293
      @mufidomar1293 7 หลายเดือนก่อน

      Kuna baadhi ya vijana waliochupa ayo makachu wenginewameumia vp kuhusu hili wapo spital hali mbaya tena kuanzia kwenye kiuno mpaka chini hakufanyi kazi jee serekali imejipanga kuwafidia maana ndio washaharibumaisha yao jee kama serekali mnaliangaliaje hili.
      Kabla ya kutoa maamuzi muangalie hili jambo faida na hasara yake.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyiye mnaosema msiba mkubwa kwani hiyo zanziba mkumbuke kuwa ni nchi na sio nyumba yamtu binafsi na serikali haina dini watu wake wana dini sasa kusheherekeyq krismas ni kwa muislam kupenda mwenyewe ila kqma halikuhusu kaa pembeni watching wanaohusika washereheke hakuna haja kusema msiba ulioje znz ni nchi ya dini zote sio uislam tu tuacheni chuki binafsi

    • @Asilimedia
      @Asilimedia 7 หลายเดือนก่อน +1

      Facts ❤❤❤❤❤

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 7 หลายเดือนก่อน

      Inahitajika ufahamu wa kika mtu alicholetewa hapa Duniani.
      Ukimuona mwenzako anakosea wewe usikosee. Na wala haina haja ya kulumbana.

    • @mahnalamry
      @mahnalamry 7 หลายเดือนก่อน

      Askari hao hao mnaowasheregekea ikifika wakati wa uchafuzi ndio wanao wauwa na kunajisi dada zetu.

    • @Asilimedia
      @Asilimedia 7 หลายเดือนก่อน

      @@mahnalamry kuepuka hayo wewe kuwa Raia mwema tu fanya mambo yako nani atakusumbuwa ila sasa ukileta ujuwaji mwingi ukaishi kwa vile isivyotakiwa basi utatiwa tu Adabu

    • @yohana1242
      @yohana1242 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@salimharrasy7047ww itakua shoga hatutaki usenge apa zanzibar