MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KAMA UNATAKA KUFANIKIWA DUNIANI, KUOMBA PEKE YAKE HAITOSHI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 182

  • @emmanueljegu3419
    @emmanueljegu3419 8 หลายเดือนก่อน +16

    Mwamba hyoooo mwakasege jamani dhahabu Kwa tanzania

  • @yudithmwamaso7438
    @yudithmwamaso7438 8 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu akubariki Mtumishi, mara nyingi nimekuwa nakosa Amani nilitaka kufanya jambo ila nilikuwa sijui maana yake nn

  • @praygodjublant4412
    @praygodjublant4412 5 หลายเดือนก่อน +5

    Na damu ya BWANA WETU YESU KRISTO Ikulinde daima

  • @TunsumeJasson
    @TunsumeJasson 8 หลายเดือนก่อน +24

    Wewe mzee mi najivunia Sana maana Huwa napata vitu adimu Sana kwenye semina zako

  • @milembesaguda631
    @milembesaguda631 5 หลายเดือนก่อน +4

    Tunajivunia sana uwepo wako

  • @WorldwideG7-q7c
    @WorldwideG7-q7c 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalimu na mchungaji waukweli na ukweli ndan yake

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤🤝hakika! Mungu awabariki huduma ya MANA sana.Maombi+ Sadaka+ Kazi halali+kuweka akiba=kuelekea utajiri au kufanikiwa.

  • @BarakaMali-d4s
    @BarakaMali-d4s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeamini kua watu ndoo hawataki kuenda mbinguni sio kwamba hawaambiwi yanayo paswa mtu kutenda ili aende peponi ❤

  • @alfredkipalwi1825
    @alfredkipalwi1825 8 หลายเดือนก่อน +8

    nabarikiwa sana na masomo ya huyu Mwalimu mm nashauri vitabu vyakee viwekwe mtandaonk ili tuwe tunadownload au viuzwe mtandaani

  • @ericksindato7582
    @ericksindato7582 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu aendelee kukubakiza tupate alvyokusudia kwetu

  • @maloukabemba1230
    @maloukabemba1230 8 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU akubariki Mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏 hili neno likawe mbegu ndani yangu

  • @AMENMUSHI-wt4li
    @AMENMUSHI-wt4li 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe maisha marefu

  • @fathiasaed9718
    @fathiasaed9718 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu aku baliki sana

  • @karamandaprosperermanno1349
    @karamandaprosperermanno1349 วันที่ผ่านมา

    Nasisi tunaitaji ukuwe unafika uku kwetu Congo RDC sud-kivu

  • @DARAJANI_TV
    @DARAJANI_TV 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hili ndio neno ukilijua linakuweka huru

  • @AnitaAkidaLyimo
    @AnitaAkidaLyimo 27 วันที่ผ่านมา

    Hakika baba na mama Mwakasege ni Joshua wetu ktk kuvuka tufike nchi ya ahadi. Mungu wa mbinguni azidi kuwalinda na kuwapa afya njema na furaha na amani.

  • @CheerfulBoaSnake-bs5zr
    @CheerfulBoaSnake-bs5zr 8 หลายเดือนก่อน +3

    Tulikumbuka sana Tunamshukuru Mungu semina zimeanza

  • @GraceRichard-rt1ov
    @GraceRichard-rt1ov หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee jamani nikimuoma tuu najawa tumaini na furaha ndani ya kristo

  • @tulafabian2475
    @tulafabian2475 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🙏

  • @aggy1489
    @aggy1489 8 หลายเดือนก่อน +1

    nimevushwa mahali pengi sana kupitia mafundisho ya Mwl ambayo Mungu ameweka ndani yake utunzwe sana na Mungu Baba etu ktk Imani

  • @veronicaErasto-k5s
    @veronicaErasto-k5s หลายเดือนก่อน

    Najivunia huyu baba yangu wa kiroho

  • @ElishaMollel-kn5tl
    @ElishaMollel-kn5tl 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU Akupe Maisha Marefu

  • @andrewmalamsha3042
    @andrewmalamsha3042 7 หลายเดือนก่อน

    Nataman kuwa kama wewe

  • @henrymntangi7783
    @henrymntangi7783 8 หลายเดือนก่อน +2

    AMEN PAPA

  • @CatheJohn-x2q
    @CatheJohn-x2q วันที่ผ่านมา

    Mungu atutie nguvu

  • @veronicaErasto-k5s
    @veronicaErasto-k5s หลายเดือนก่อน

    Najivunia baba huyu wa kiroho

  • @AhimidiwePrince
    @AhimidiwePrince หลายเดือนก่อน

    MUNGU aendelee kukuweka kwanza

  • @FedrickKyelula
    @FedrickKyelula 7 หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @evelynengoma5517
    @evelynengoma5517 8 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa Mwalimu

  • @ElitaNkwavano-xj7mb
    @ElitaNkwavano-xj7mb 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutunze tunakuombea MTU MUNGU.

  • @nicotawi
    @nicotawi 6 หลายเดือนก่อน

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @alex_vincent
    @alex_vincent 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah

  • @RevinaMushi-p3o
    @RevinaMushi-p3o 13 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa sana BABA

  • @FedrickKyelula
    @FedrickKyelula 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nabalikiwa sana na uyu mzee kwa semina zake

  • @RosePeter-g1n
    @RosePeter-g1n หลายเดือนก่อน

    Ukweli nawapenda sana

  • @MeshackMwitamarwa
    @MeshackMwitamarwa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana baba wangu umenisaidia mengi sana Mungu akuzidishe.

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe baba

  • @megacoffees6409
    @megacoffees6409 8 หลายเดือนก่อน

    Christo aendelee kukutunza na kukupa umri mrefu

  • @nummenyemwalukasa2561
    @nummenyemwalukasa2561 7 หลายเดือนก่อน

    Mwl,MUNGU aendelee kukupaka mafuta ,na mbegu unayopanda ianguke kwenye udongo mzuri

  • @sekelabenard
    @sekelabenard 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @GreyMbogela
    @GreyMbogela 4 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @veilajoshua4603
    @veilajoshua4603 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @ireneamani2048
    @ireneamani2048 7 หลายเดือนก่อน

    Najiungamisha na WATOTO wangu tufindishwe kutembea katika NEEMA yako Ee Bwana

  • @RosePeter-g1n
    @RosePeter-g1n หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba na mama yetu mungu aendelee kuwapa uzma

    • @shedrack-e9q
      @shedrack-e9q หลายเดือนก่อน

      Mungu aendelee kukupa kibali machoni pake

  • @bensonashery2360
    @bensonashery2360 หลายเดือนก่อน

    Hakika ww ni sehem.ya maisha yangu mzee mungu akupe umri mrefuuu

  • @JeanpaulBushambale-wi9jd
    @JeanpaulBushambale-wi9jd หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mzee wetu umebeba kusudi la Mungu ndani mwako

  • @WarulyaSimeon
    @WarulyaSimeon 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU tutie nguvu tuzidi kuwa watii wa neno lako ili tulikimbie kongwa la utumwa lililo kikwazo kwa watu wengi.

  • @AlexDeogratius
    @AlexDeogratius 7 หลายเดือนก่อน

    Oooh my God unafundish vizr San baba ubarikiwe San mwalim wanguu 🤲🤲🙏☝️

  • @neemaleketika1006
    @neemaleketika1006 2 หลายเดือนก่อน

    Uishi milele baba unazid kutufungua 🙏🙏🙏

  • @gudilamauki6465
    @gudilamauki6465 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa mafundisho ya mtumishi wako nazidi kufunguliwa,natoka kwenye vifungo vya shetani

  • @AshaKihombo
    @AshaKihombo 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishie maisha marefu ❤❤❤❤❤❤

  • @PeterRaphael-f8c
    @PeterRaphael-f8c 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana Mwl ❤❤❤❤

  • @Samweliagustino
    @Samweliagustino หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha marefu mtu wamungu🎉😢😅❤

  • @julietymartin1739
    @julietymartin1739 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyenzi Mungu akuzidishie maisha hapa duniani ili aendelee kukutumia wewe kutufundisha zaidi hakika Mtumishi wa Mungu umebarikiwa sana

  • @franklinjr996
    @franklinjr996 5 หลายเดือนก่อน

    God Did

  • @LeahDonald-kn9sz
    @LeahDonald-kn9sz 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @LucyKyando-f7t
    @LucyKyando-f7t 7 หลายเดือนก่อน

    2:03

  • @barakanevele1601
    @barakanevele1601 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Jeremiahsephu
    @Jeremiahsephu 7 หลายเดือนก่อน

    BABA MUNGU miaka mingi yakuishi hapa dunian ili tuzidi kupanuka kiakili

  • @lightymmary22lightymmary27
    @lightymmary22lightymmary27 8 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Baba wewe ndio utanitoa kwenye vifungo nilivyonavyo vyote Mungu nisaidie

  • @EDITHACHINGUILE
    @EDITHACHINGUILE 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏🙏

  • @richsongadson4308
    @richsongadson4308 2 หลายเดือนก่อน

    SINA CHA KUSEMA ILA MUNGU AKULINDE NA AKUTUNZE SASA NA HATA MILELE AMEN.

  • @KusiMushi
    @KusiMushi 5 หลายเดือนก่อน

    Amina sana, chakula safi cha kiroho, somo zuri la kuivisha imani, barikiwa sana mwl.

  • @furahagurumo8018
    @furahagurumo8018 7 หลายเดือนก่อน

    Amina baba

  • @ManawaBundala-jj7li
    @ManawaBundala-jj7li 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera baba mwakaseke kwa mafundisho mazuli

  • @EinothSareyo
    @EinothSareyo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Good lesson🔥

  • @esterdaniel3083
    @esterdaniel3083 5 หลายเดือนก่อน

    Ameen Mungu wa mbingu na nchiii akubariki sana Baba🙏🙏🙏🙏

  • @michaelsanga5301
    @michaelsanga5301 8 หลายเดือนก่อน

    Naaam, asate kwakuliponya kanisa kwa neno la kweli, maana kunawatu wanafikiri wakifunga nakuombea wafanikiwe bila kufanya kazi. Huu niuonga. Mungu akutunze

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sanaaaa mchungaji Mwakasege nayapata vizuri

  • @akwinomsombe
    @akwinomsombe 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukutumia kama chombo chake daima

  • @LiberiaJohn
    @LiberiaJohn 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ampe maisha marefu na afya njema kila siku

  • @EZEKIELMBWILO
    @EZEKIELMBWILO 8 หลายเดือนก่อน

    Ashukuriwe MUNGU aliekutunza Kwa kusudi hili

  • @VicentNdunguru
    @VicentNdunguru 8 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa chakula cha kiroho.nimebarikiwa sana

  • @DOLICEALCHARD
    @DOLICEALCHARD 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Mzee hakika umenifungua

  • @rachelmasaju3434
    @rachelmasaju3434 8 หลายเดือนก่อน

    Ahsante mungu kwa Uhai me na mwanangu na familia yngu yote

  • @LeonardMasunga-gx2rl
    @LeonardMasunga-gx2rl 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki pamoja na familia yako baba kwa jina yesu

  • @EliazeliAbely
    @EliazeliAbely 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amazing in Jesus,, masomo yako yote ni chakula ya amina na kweli

  • @EmmanuelNkya
    @EmmanuelNkya 4 หลายเดือนก่อน

    Namuomba sana MUNGU akupe maisha marefu

  • @uvccmsenetiiringa7272
    @uvccmsenetiiringa7272 8 หลายเดือนก่อน +1

    🎉 Amen

  • @EstherMwakabonga
    @EstherMwakabonga 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukibariki mtumishi wake

  • @MariaKitundu-l1m
    @MariaKitundu-l1m 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki na akuzidishie sana🎉❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @evamerycostantin2458
    @evamerycostantin2458 7 หลายเดือนก่อน

    Mm nimejifuza vingi sanaa kwenye hili

  • @onolinegidion3385
    @onolinegidion3385 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa mtumishi wako

  • @SimoniKelly-w5b
    @SimoniKelly-w5b 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki mtumishi

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 7 หลายเดือนก่อน

    Nimeamini unachofundisha.

  • @JamesRichard-q5r
    @JamesRichard-q5r 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤ napenda mafundisho yake

  • @mateysaweshopphone1364
    @mateysaweshopphone1364 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi umenigusa sana

  • @onolinegidion3385
    @onolinegidion3385 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤ Nabarikiwa. na mahubili yako

  • @JosephMbuya-c7y
    @JosephMbuya-c7y 7 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu mungu azidikuku bariki

  • @Joseph-l9r2l
    @Joseph-l9r2l 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumish wa Bwana

  • @JosephKitila
    @JosephKitila 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU

  • @UpendoJoel-hy5mc
    @UpendoJoel-hy5mc 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kuku tunza Baba angu

  • @kisinzaemmanuel6318
    @kisinzaemmanuel6318 8 หลายเดือนก่อน

    Amen sanaa mtumishi wa Mungu

  • @paschalduwe817
    @paschalduwe817 8 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu mwakasege Napenda Sana masomo yako

  • @TUMAINIKimario-s2q
    @TUMAINIKimario-s2q 6 หลายเดือนก่อน

    Mchungaj nakuelewaa sana

  • @rechosagumo8971
    @rechosagumo8971 8 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumish nabatikiwa sn

  • @RaphaelMdami
    @RaphaelMdami 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atukuzwe kwa neema yake juu yetu kutuletea mwalimu huyu

  • @kileoisaac
    @kileoisaac 5 หลายเดือนก่อน

    Umeniinua sanaa kiroho; mafundisho yako yamekuwa chachu saana katika maisha yangu katika ulimwengu huu wenye mambo mengi na yakuudhi

    • @Lilian-ms2ii
      @Lilian-ms2ii 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu akulinde Mtumishi hakika Mungu anakutumia❤

  • @LesikariLukumay
    @LesikariLukumay 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana na Bwana Yesu

  • @rachelmasaju3434
    @rachelmasaju3434 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba mwanangu aongee vzur Brayden wangu awe na akili nyingi mfungue na vifungo vyote vya maadaui

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 7 หลายเดือนก่อน

      Muombee Kamtolee sadaka Ya Kumuombea