Ahsante Bwana Yesu kwa damu yako Ee Mungu nirehemu kwa kuzembea juu ya kufanyia kazi ndoto zote ulizonijulisha amen Nainyunyiza damu ta Yesu ya agano jipya ikazuie hilo pigo lililoachiliwa kwangu kwa njia ya ndoto katika jina la Yesu amen
Mungu nirehemu nisamehe kwa kuwa umesema NA mimi mara nyingi siku daka. Damu ya Yesu ininenee mema indoe kila kilicho achiliwa NA adui. NA kama ni ww Mungu wangu pia nirehemu kwa. Damu yako. Yesu
Nashukuru Mungu nimeota ninatoka mafuta meupe mwilini mengi niliona miguuni na funza warefu na mwisho funza weupe wale mabongo mkono wangu wa kulia walitoka nilipominya walitoka nikashituka .Asante nimeelewa mtumishi.
Yaani niliposikiza mafundisho yako uwezi amini kila ninachoomba hicho hicho kinatokea niliomba kazi nikapata nikikaa napigiwa simu njoo huku kuna kazi kisa nilifungua mifumo ya kazi yaani mungu wako anatisha
Shalom mwalimu mimi nimeota ndoto nikaona nyoka mweusi ndani ya nyumba yangu lakini ghafla yule nyoka nikamuona kwenye mlango akiwa anaondoka lakini akawa anamfuata Mme wangu kwenye mguu wake alipokung'uta mguu yule nyoka akadondoka nje mlangoni ,Kisha nikaona Tena mme wangu amepata ajali ameumia mguu wa kushoto na kichwa chake kilionekana kuumia sana naomba unisaidie nn nifanye
Bwan yesu asifiwe mtumishi mim niliot nimepanda juu alafu nimeshindwa kushuka nikashuka nikiw ninaruka kutok juu hadi chin naomba unitafsirie hii ndoto inanisumbua mara kwa mara
Mi naota nipo na wanafunzi wenzangu nilosoma nao shule ya msingi katika mazingira tofauti na shule lakini katika hao ambao nipo nao hapa kunamwingine anatokea mwishoni mwa ndoto nimeota hivyo mala kazaa Zaid hata ya mala4 na huyu wa mwisho ni yuleyule habadiriki hii inamaana gani?
Bwana yesu asifiwe mtumishi mm nimeota nimeludi kijijini kwetu njiani nimekuta kunawatu wanaubili neno la mungu nami nikaenda nikaanza kuubilii
Ahsante Bwana Yesu kwa damu yako
Ee Mungu nirehemu kwa kuzembea juu ya kufanyia kazi ndoto zote ulizonijulisha amen
Nainyunyiza damu ta Yesu ya agano jipya ikazuie hilo pigo lililoachiliwa kwangu kwa njia ya ndoto katika jina la Yesu amen
Mungu nirehemu nisamehe kwa kuwa umesema NA mimi mara nyingi siku daka. Damu ya Yesu ininenee mema indoe kila kilicho achiliwa NA adui. NA kama ni ww Mungu wangu pia nirehemu kwa. Damu yako. Yesu
Nashukuru Mungu nimeota ninatoka mafuta meupe mwilini mengi niliona miguuni na funza warefu na mwisho funza weupe wale mabongo mkono wangu wa kulia walitoka nilipominya walitoka nikashituka .Asante nimeelewa mtumishi.
Ameeen nimenarikiwa sn
Nimepata kitu kikubwa sana leo naamini yakua Mungu yupamoja nasi na atatupa Amani yake❤
Mungu akubariki mtumishi kutupa tafsri,niliota nimeota wadudu kwenye moyo
Mungu akulinde
ww na familia yako akutuze na azidi kukutumia
Yaani niliposikiza mafundisho yako uwezi amini kila ninachoomba hicho hicho kinatokea niliomba kazi nikapata nikikaa napigiwa simu njoo huku kuna kazi kisa nilifungua mifumo ya kazi yaani mungu wako anatisha
Shalom mwalimu mimi nimeota ndoto nikaona nyoka mweusi ndani ya nyumba yangu lakini ghafla yule nyoka nikamuona kwenye mlango akiwa anaondoka lakini akawa anamfuata Mme wangu kwenye mguu wake alipokung'uta mguu yule nyoka akadondoka nje mlangoni ,Kisha nikaona Tena mme wangu amepata ajali ameumia mguu wa kushoto na kichwa chake kilionekana kuumia sana naomba unisaidie nn nifanye
Omba Mungu kataa roho ya ajali ambayo amikusudia kuileta kwenye familia yako hasa kwa mume wako.
Bwan yesu asifiwe mtumishi mim niliot nimepanda juu alafu nimeshindwa kushuka nikashuka nikiw ninaruka kutok juu hadi chin naomba unitafsirie hii ndoto inanisumbua mara kwa mara
Amina bb yangu
Ameni
Na jee ukiota vunza wanakudondokea kutoka juu ya mti
Naota Niko vijijini Mara Niko shuleni jama muniombeye
Mi naota nipo na wanafunzi wenzangu nilosoma nao shule ya msingi katika mazingira tofauti na shule lakini katika hao ambao nipo nao hapa kunamwingine anatokea mwishoni mwa ndoto nimeota hivyo mala kazaa Zaid hata ya mala4 na huyu wa mwisho ni yuleyule habadiriki hii inamaana gani?
Omba sana kataa roho ya kurudishwa nyuma.