2. MAMBO YA KUFANYA UNAPOKATALIWA KIMFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || TABORA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @GraceMichael-h9b
    @GraceMichael-h9b หลายเดือนก่อน +9

    Neno la Mungu ni taa na Nuru ya maisha kwakweli safari ni ngumu ila Mungu ni Mkubwa kwetu Mungu akubariki sana Mwalimu

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c 26 วันที่ผ่านมา

    Asante Mwalimu kwa neno la ajabu🙏🙏

  • @LucyLwiva-h9l
    @LucyLwiva-h9l 18 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe kwa neno

  • @gracekambira7530
    @gracekambira7530 หลายเดือนก่อน +2

    Glory to God! I learned something new today that Mungu amewekeza ndani yangu! I’m fearfully and wonderfully made with power of God in me!! 🔥🔥🔥🔥

  • @AnnahBashugwa
    @AnnahBashugwa หลายเดือนก่อน +1

    Ahxantee mungu kwa kunipa nafasi ya kusikiliza haya maneno yako hakika sitabaki kama nilivyo

  • @queenchristopher1515
    @queenchristopher1515 หลายเดือนก่อน

    Asante mwalim,mung akbarki ckujua hivi Leo nitambua kwahayo unayofundsha ss naelewa nlikuwa nmepotea sn, mung akuzdishie maisha marefu

  • @jacqlinembuya733
    @jacqlinembuya733 หลายเดือนก่อน

    Mungu nakushukuru kunisikilizisha maneno yako matakatifu.

  • @gracy05ful
    @gracy05ful หลายเดือนก่อน

    Asante YESU kwa kunipa kusikia mafunuo haya. Nisamehe kwakuwa sikujua kile ulichowekeza kwangu! Kupitia maombi, badili maisha yangu, nipe ujasiri wa kutembea katika ufunuo huu.

  • @ephraimlewanga2002
    @ephraimlewanga2002 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu Christopher & Mamayetu Diana Mwakasege na huduma nzima ya Mana

  • @user-Ndashuka001
    @user-Ndashuka001 หลายเดือนก่อน +1

    AHSANTE YESU Kwa kunipa kusikia haya na sintabak kama nilivyo AMEN

  • @ElinuruMbise-w6s
    @ElinuruMbise-w6s หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki sana MWALIMU,nimekuwaa nikikufuatilia kwa njia ya radio na ninamwomba Mungu kabla semina hi haijaisha,nijuwe ni kitu gani amewekeza kwangu Ili nianze kuliishi kusudi lake kwa upya

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana Mwl Mtumishi wa Mungu. Nina furaha kuliko kawaida.

  • @YonahStaford-gh9cf
    @YonahStaford-gh9cf หลายเดือนก่อน

    Amen mwalimu Mwakasege

  • @MariaJohn-kl4fl
    @MariaJohn-kl4fl หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Mwl kwa Somo zuri sana 🙏

  • @paulaugustino3242
    @paulaugustino3242 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu Wa Mwl Mwakasege kunifunilia mema

    • @teddymhenga3006
      @teddymhenga3006 หลายเดือนก่อน

      Haleluya. Asante Mungu. Asante Mwl. Kwa kutufunulia msingi wa connection yetu na Mungu ni uwekezaji aliouweka ndani yetu. Kwa hiyo tusiwe watu wa mizaha Kwa Mungu. Mungu akubariki sana.

  • @DominicaHenry-u1r
    @DominicaHenry-u1r หลายเดือนก่อน +1

    Asante mwalimuuu

  • @christinachacha4664
    @christinachacha4664 หลายเดือนก่อน

    Ubarikie kwa neno zuri uzidi kutufundisha

  • @samoskiyalo6095
    @samoskiyalo6095 หลายเดือนก่อน

    Kuna shida kidogo Mungu ni muwekaji simuwekezaji ni muwekaji

    • @samwellaizer69
      @samwellaizer69 หลายเดือนก่อน +1

      Unatakiwa ufuatilie somo na ujitahd sana ku-improve Understand skills::::Huyu ni Mwalimu cyo mchungaji. MUNGU ni muwekezaji.

  • @Officialyoungbilltz
    @Officialyoungbilltz หลายเดือนก่อน

    Ahasante sana Mwalimu wangu karibu Arusha mwalimu

  • @ednanambua6171
    @ednanambua6171 หลายเดือนก่อน

    Amina Asante Mungu . Bwana aendelee kukutunza Mwl.

  • @ebenezatv765
    @ebenezatv765 หลายเดือนก่อน

    Hongera baba yangu kWAn😮🎉eno zuri ubarikiwe😂

  • @KabichiMwambungu
    @KabichiMwambungu หลายเดือนก่อน

    Mungu nifungulie neema nijue kitu ulichowekeza kwangu

  • @agnethakarokora9457
    @agnethakarokora9457 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki kwa neno lake alilolipitisha kwako mtumishi kutufungua akili zetu naomba likawe mbegu njema maishani kwetu likazae matunda kwa Kila aliyelipokea Asante Mungu kwa kuwekeza ndani yangu yaliyomema.

  • @lovenessminja2460
    @lovenessminja2460 หลายเดือนก่อน

    Mungu nifunulie nijue ulicchowekeza kwangu

  • @AnnahBashugwa
    @AnnahBashugwa หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @sekelabenard
    @sekelabenard หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @beatricekazinja5276
    @beatricekazinja5276 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu anifunulie neema aliyoweka maishani mwangu🙏

  • @samoskiyalo6095
    @samoskiyalo6095 หลายเดือนก่อน +1

    Pata tofauti ya kuweka na kuwekeza Mwakasege unakosea Mungu hawekeze anaweka

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je หลายเดือนก่อน

    AMINA SANA

  • @AgripinaMaha-n9b
    @AgripinaMaha-n9b หลายเดือนก่อน

    Uishi miaka mingi sana,

  • @urembonamapishi1946
    @urembonamapishi1946 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekufuatilia miaka zaidi ya 20 sasa kuna wakati sikukuelewa kabusa ila sasa nimejua wewe ni samweli wa Taifa hili ombi langu tumpate Daudi tu ili ufalme wa Mungu ujae taifani mwetu

  • @neemajohn4023
    @neemajohn4023 หลายเดือนก่อน

    WACHUNGAJI WA MSHAHARA...

  • @gracy05ful
    @gracy05ful หลายเดือนก่อน

    Asante YESU kwa kunipa kusikia mafunuo haya. Nisamehe kwakuwa sikujua kile ulichowekeza kwangu! Kupitia maombi, badili maisha yangu, nipe ujasiri wa kutembea katika ufunuo huu.

  • @AnnahBashugwa
    @AnnahBashugwa หลายเดือนก่อน

    Amen