BELLA KOMBO: Kuhusu Huduma yake | Kuhusu Ndoa yake | "Namfahamu Zoravo"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.พ. 2021
- Sikiliza Bethel Radio
bethelradio.co.tz
Connect with Bethel Radio
/ bethelradiotz
/ bethelradiotz
/ bethelradiotz
Contacts (Mawasiliano): +255 764 582 584
Give | M-Pesa: 0764 582 584 ( Bethel Media)
Jmn dada bela mungu akubarik,,ila kuna wengine wapo mtaan uku unawashaurij
Mungu ni mmoja ndio umeua yaani unaupako kwa kweli
MUNGU akutunze Bella nyimbo zako nzuri sana nakupenda ❤❤
We Kenyans love you Kenyans and in general TZ gospel singer...hatakama sa zingine we fight on line..you are part of us Tz❤
Mungu ni mmoja wimbo huu kwa kweli upako wa khali ya juu sana
sana I love this song Mungu ni mmoja tu .
MUNGU alie msaidia Bela amsaidie kijana wangu
Amen
amen
Jonathan Kutoka Kenya, Mungu azidi kukutumia kujenga ufalme wake
Mungu hatazami kama wanadamu songa mbele.
Yes yes mujakazi wa bwana, ina bidi kusikiliza roho mutakatifu
I have never had enough from this lady Bella i believe she is too mature for her age from the way she expresses herself i love the song Nifinyange kabisa Keep the good work alive
She is beautiful...ndio maana wadada hawaskizani...lakini kazi ya Mungu lazima isonge mbele
Usitoe tattoo yako....they're super beautiful,hakuna aliye mkamilifu!! Tutapewa mwili mpya mbinguni!! 💙💙💙💙🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu ambariki sana mtumishi wa Mungu bella ameongea vizur sana
Jamn ushuhuda wako unazidi kuniganya nikupendee, Neno moja tu Mungu akutunze
Utukufu mkuu ni kwake Yeye, Jehovah.{Hakuna jambo gumu mbele ya imani kwa Mungu, kwani yote mtu aaminiye, YANAWEZEKANA}.
Wimbo wa mungu ni mmoja tu kwakwelii n mzurii
Hakika Bella unatajitambua na una Hekima Kwakweli, Mungu Akubariki sn ktk Utumishi wako
Your songs are such a blessing to me each day
More grace
Napenda nyimbo yako ya milele
She’s a blessing to women completely. God’s glory is with her, and glorified is she by God.
Glory be to Jesus Christ.
Bella, you’ve got this!
Nakupenda sana binti wa Yesu, nakuombea Mungu azidi kukuinua, akutetee kwenye kila eneo la maisha yako, you are an intelligent and gifted girl, I am happy for your salvation!
Saw her live in Kenya... She is very beautiful.
Ujambo bintu wa Yesu nakupenda Sana na majimbo ya Yesu.. just try to learn Swahili am from Lusaka Zambia, woman of God I like you & the music you sing is a blessing in Jesus's name. Keep blessings us woman of God
Hahah😂😂😂😂 eti majimbo ya yesu fara kweli
BELLA KOMBO keep on moving my sister you are a blessing. Kazi yako inatoka kwa Mungu... Am a witness of the move of God in your recent song ''Nifingange'' .
She's soo beautiful and talented. Love her from Kenya 🇰🇪 😍 ❤️
Nimekuwa nikikusikia tu ila nilivo fatilia nimegundua unavitu vingi sana vya wengi kujifunza kwako hasa mimi, nimekupenda
Bella your grown up spiritually I like that!!excellent!!""
Yes lazima ujue wito wako Kwanza
Kwa Mungu no shortcuts,
Blessed from 🇰🇪🌹
ni mshindi daima, barikiwa sana, nakuelewa sana my dada bella kombo
You're such a sweetheart i really love you. Ww ni wamaana. More grace
love from kenya bella
Jus smelling outstanding honesty
Loving her❤️
Tisha Sana Hallelujah!
may God keep you He remains faithful
Wow hongera Sana mdada,kwa hiyo neema
Quite an inspiration keep up Bella God bless you more
She truly is powerful in her ministry
May God bless you my dada nimekupenda sana Mungu akutunze
Mungu akubariki sanaa my sister Nakupenda Sanaa pia Mungu azidi kukutunza
milele is my best song
MUNGU Akubariki Dada ktk huduma yako..
Gai I'm here cz nifinyange imehit Sana moyo
Hongera kwa ushindi
Jesus said come as you are, no one should judge you for your tattoos,
Pole sana dada Bella. Yaani ati msanii alikataa kupost wimbo eti asijiharibie reputation?Usijali! Huyo ni mfarisai!
Bella kombo
❤❤❤❤
Beautiful Bella love you from 🇰🇪 kenya. ❤❤.
Mawe ya maana ,walokole yani wanataka kumzidi Yesu.Yesu aliweza kukaa na waarifu why not Sisi jamani tusikae na watu hao vizuri wakaona upendo wa Yesu ndani yetu
Kuonywa ni kuzuri km anaekuonya anatumia hekima dhumuni tusipoteze muda kutumikia Mungu na tusimuone, mf sasa hivi madhabahu inachukuliwa poa sana tunaimba tukiwa tumevaa auruali yako mengi tunahitaji kubadilika hasa sisi wadada
Naipenda sana hii radio lakini sina hakikakama inapatikana zaid ya online, kama iko kwenye channels za offline redio let me know please am good fun of the station please.
Nyimbo zako zinanibaliki sana
Naomba mnielewe. Nitawahoji mwenyewe basi msijipe shida sana. Endeleeni na mambo ya msingi..zoravo na hao wadad waliookokoka nitawashughulikia mwenyewe .
Nimemaliza. Na mkiona kuwa mdada yeyote ana ukaribu na zoravo msiwawoji chochote waacheni
Waoo
Bella nikumbushe lile jina lako lingine la utoto .pole namkumbuka sana marehemu mama yako kule mbagala
tony alipata mke ila yeye ana mambo mengi sana umarekani ulimzidi
Pambana bella ww ni mtumishi mkubwa sana
Relax mpenzi as long Yesu kakuokoa hiyo tattoo isikupe shida Sana.Aliye kuokoa aliona hiyo tattoo
Musijiifanye hamujaona stickon moja imengoka....swiry you are super legit i loke everything about you gal.
HONGERA SANA MY SISTER BELLA KOMBO Kwa huduma tuko pamoja nakumbuka tupo GWT Kweli siku hazigandi zawadi yako CONGO bado naikumbuka ipo siku itakufikia.
Yaani huyu kanifundisha kitu, Mungu akubariki sana
Bella Mungu akubariki!!...hii interview inaweza kuwanadilisha vijana wengi ! Kwa kukusikiliza the way unajibu hayo maswali inaonyesha kweli Mungu amekubadilisha na uko serious Kwa Mungu!!!
Naomba namba
Bella olewa bas na zoravo
Kabisaa😂😂❤🎉
Zoravo ana mke
Naomba msimhoji huyo dada kuhusu zoravo namumwambie asikae nae karibu zamani inatosha bye
Nilikuwa nakukata @bellakombo lakin sasa nakukubali nilikuhukumu bure tu.
Much congrats to u dada...
Keep and let u continue be humblee to almght God...
Ilike ua song of milele...♥♥ kweli its soo mice... love you
Icant say much I LIKE U
Napenda vile you're mysterious yaani kila interview una kipya,i love that Bella..
Muulize anaumaintain VIP mwili wake.