SIWEZI KUFANYA KAZI NA DIAMOND/ALIKIBA/NILIPIGWA NA KUCHANIWA NGUO NIKAACHWA BARABARANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ส.ค. 2022
  • #wasafi #bss

ความคิดเห็น • 8

  • @evelinemlay5572
    @evelinemlay5572 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda mwanangu Bella, Mungu azidi kukuinua, umechagua fungu jema, siyo rahisi kwa binti mdogo na mrembo kama wewe, sifa na utukufu kwa Bwana Yesu!

  • @stansilauskapani8612
    @stansilauskapani8612 ปีที่แล้ว

    Mzuri mashallah

  • @aminaibrahimu8717
    @aminaibrahimu8717 ปีที่แล้ว

    Watu wanajaji kila kitu hata kusalimiana na wapendwa tuu kawaida inakua ni ishu...kuna makundi kanisani ambayo kwa kweli wanaharibu sana sifa ya wokovu,kuna makundi sana makanisani

  • @erickmutungi8792
    @erickmutungi8792 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji mchokozi☺️

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว

    Dada shetani huwa haangaiki na watu wasiona Athari kwake huwa anahangaika na mtu anaeitwa mlokole alafu anamletea mazara kwenye ufalme wake so Kuhusu unafki makanisan Mama Jitwike msalaba wako mfate Yesu unafiki hautaisha hadi Yesu atakapoludi We mshike Yesu mana unamjua unaemtumikia hutumikii mwanadamu

  • @merie8265
    @merie8265 10 หลายเดือนก่อน

    Some questions are too personal...this is not professional

  • @aminaibrahimu8717
    @aminaibrahimu8717 ปีที่แล้ว

    Bella yani hapo umenigusa sana unafiki kanisan ni mkubwa sana,alaf kichoshangaza kinafanywa na watu wanaojiita watakatifu.