Jinsi ya Kuingiza Pesa Kupitia Youtube | Vigezo na Masharti yake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Kuwa na Chanel ya TH-cam kwa sasa inaweza kukuingizia kipato endapo utafahamu Jinsi ya Kuingiza Pesa Kupitia TH-cam .
    Katika Sehemu hii ya Kwanza ya Maelezo jinsi yagni unaweza kujiingizia pesa kupitia TH-cam Nimekuonesha jinsi ya kuset channel yako ipokee matangazo lakini awali ya yote Nimeelezea Pia vigezo na Masharti Ambavyo ni
    1.Lazma chanel yako uwe umeitumia zaidi ya miezi 3
    2.Lazma chanel yako iwe na Jumla ya Views 10,000+
    3.Lazma chanel yako umei verify( Kwa njia ya simu)
    4.Lazma chanel yako iwe na Subscribers/Wafuatiliaji
    zaidi ya 100(Zamani Lazima wawe 1000)
    5.Lazma uwe raia halisi wa nchi zinazokubalika kupokea
    Malipo ya TH-cam na Uwe Una Account ya AdSence
    Kwa Maoni, Ushauri Niandikie Sehemu ya Comment

ความคิดเห็น • 128

  • @mohammedabdallah2218
    @mohammedabdallah2218 ปีที่แล้ว +2

    nimependa

  • @happynesskaaya8495
    @happynesskaaya8495 5 ปีที่แล้ว +14

    Siwezi eleza furaha yangu niliyonayo! Asante kwq kuelekeza vizur binafsi sikuw najua namna ya kuverify ni rahisi lkn ilikuw changamoto. Endelea na kazi nzuri

    • @moreenidrisa7070
      @moreenidrisa7070 5 ปีที่แล้ว

      @@Richstartzmh

    • @ddonmedia3442
      @ddonmedia3442 4 ปีที่แล้ว

      @@Richstartz Tuma namba yako tuongee biashara mkal

    • @kenzomelody5718
      @kenzomelody5718 3 ปีที่แล้ว

      0620144383

    • @JoshChanceman
      @JoshChanceman 11 หลายเดือนก่อน +1

      kaka nezaje kupata aplication ambayo inaweza tenganisha beat na maneno

  • @BabuHaji
    @BabuHaji 2 ปีที่แล้ว +2

    NAKUKUBALI SANA MDOGO WANGU, UBALIKIWE SANA

  • @selestinogwandaa4492
    @selestinogwandaa4492 ปีที่แล้ว +1

    Great

  • @Tracks777
    @Tracks777 7 ปีที่แล้ว +8

    Brilliant work! Keep it up!

  • @barakamahenge4375
    @barakamahenge4375 3 ปีที่แล้ว +5

    Asante kwa maelezo mazuri ndugu

  • @Tracks777
    @Tracks777 7 ปีที่แล้ว +6

    Great! Keep it up!

  • @princedaud7455
    @princedaud7455 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kwa hilo somo

  • @petrosulle3474
    @petrosulle3474 ปีที่แล้ว

    Good

  • @everlastingmiriam
    @everlastingmiriam 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

  • @amadiecanmedia9150
    @amadiecanmedia9150 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli

  • @kalekwarashidi4483
    @kalekwarashidi4483 4 ปีที่แล้ว +2

    Keep it up bro

  • @epaul7510
    @epaul7510 3 ปีที่แล้ว +1

    Vizurii kaka

  • @maishanayesu
    @maishanayesu 2 ปีที่แล้ว +2

    Naomba maelekekeza domain na hosting ni baada ya AdSense au kabla

  • @donmvunjambavu3453
    @donmvunjambavu3453 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimepata mwanga

  • @doubled6727
    @doubled6727 3 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @shafiishabani2060
    @shafiishabani2060 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka nilkuwa naulza office za you tube kwa tanzania Ziko wap

  • @facts-nm9bt
    @facts-nm9bt 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaka nilikuwa naomba namba zako nina maswali mengine ya binafsi

  • @abraarimages1269
    @abraarimages1269 4 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @popasperity
    @popasperity 6 ปีที่แล้ว +5

    Naweza kuwa na channel 2 ambayo mwisho wa siku IDs zangu zitakuwa na jina hilo hilo moja

  • @Tracks777
    @Tracks777 7 ปีที่แล้ว +2

    Excellent video. Keep it up!

    • @clarkzion1169
      @clarkzion1169 3 ปีที่แล้ว

      i know im asking the wrong place but does anyone know a method to log back into an Instagram account?
      I stupidly forgot the password. I would appreciate any tricks you can offer me

    • @israelmohammad5035
      @israelmohammad5035 3 ปีที่แล้ว

      @Clark Zion Instablaster :)

    • @clarkzion1169
      @clarkzion1169 3 ปีที่แล้ว

      @Israel Mohammad i really appreciate your reply. I got to the site thru google and I'm trying it out now.
      Seems to take quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.

    • @clarkzion1169
      @clarkzion1169 3 ปีที่แล้ว

      @Israel Mohammad it did the trick and I actually got access to my account again. I am so happy!
      Thanks so much, you saved my ass !

    • @israelmohammad5035
      @israelmohammad5035 3 ปีที่แล้ว

      @Clark Zion You are welcome =)

  • @riasoud7088
    @riasoud7088 5 ปีที่แล้ว +2

    video nzuri diaa nataka kufungua youtube channel!! naomba muongozo wa hatua ya kufungua ili itambulike hata google ads

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 4 ปีที่แล้ว

      Karibu kweny channel yangu utapata muongozo dada

    • @giganticpro1074
      @giganticpro1074 3 ปีที่แล้ว

      Kufungua sio kazi kazi kuverify ili ulipwe nitafute 0620580402

  • @sosnarjunior5428
    @sosnarjunior5428 2 ปีที่แล้ว +1

    Bro samahani mm naandik lyrics videos za wasanii mbali mbali hizo ni nyimbo sio zangu na umesema Inatakiwa mtu kitu kiwe chako ndio uweze kulipwa kwahiyo nikifikisha hata vigezo siwezi kulipwa Naomba nisaidie hapo nielewe

  • @BMCompany_films1
    @BMCompany_films1 4 ปีที่แล้ว

    Ni vizuri

  • @billyboytz
    @billyboytz 4 ปีที่แล้ว

    Video nzuri sana

  • @yagostv5332
    @yagostv5332 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri blood

  • @mazegamer8909
    @mazegamer8909 4 ปีที่แล้ว

    Grrat bro

  • @kadeghetv7532
    @kadeghetv7532 6 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @bartvonline9084
    @bartvonline9084 4 ปีที่แล้ว +3

    jinsi ya ku monetize TH-cam imekuwa verified ila ku Enable inagoma unaweza kunisaidia bro!!!
    Ina miezi minne Au bado muda wa ku Enable ili ifunguke??

  • @worldupdate2970
    @worldupdate2970 2 ปีที่แล้ว +3

    Je kama uliweka video ya ya wizi ya mtu alafu badae ukaifuta TH-cam wataisabu kuwa ni kosa au

    • @Richstartz
      @Richstartz  2 ปีที่แล้ว

      Unaweza kupata na kukosa

  • @abdul-latifmuombwa5618
    @abdul-latifmuombwa5618 7 ปีที่แล้ว +7

    niambie account yko lzm iwe na miez mingp

  • @hassanhancy7933
    @hassanhancy7933 4 ปีที่แล้ว

    bad sihaekewa

  • @geomangoodluck3019
    @geomangoodluck3019 4 ปีที่แล้ว +2

    Jee unaruhusiwa kuapload video ambayo siyo ya kwakoo?

  • @praiseludutu5523
    @praiseludutu5523 3 ปีที่แล้ว +1

    Ninatamami kupata mawasiliano ili nipate uelewa zaidi

  • @bonifacemollel87
    @bonifacemollel87 4 ปีที่แล้ว +3

    Niki share video yako nitapata faida au wewe mwenyewe ndio unapata faida

  • @directortiphan3238
    @directortiphan3238 5 ปีที่แล้ว

    i like that

  • @official-gift-m6u
    @official-gift-m6u 2 หลายเดือนก่อน

    Samahani naomba niulize,, channel yangu ya TH-cam inamiaka miwili na sijafikia monitazation je inafaa kuendelea nayo au nifungue nyingine? Maana naona vigezo ni miezi 12 tuu

  • @jothamumatumla8636
    @jothamumatumla8636 3 ปีที่แล้ว +1

    Nataka kujuwa napataje pesa

  • @Kenopi_tz
    @Kenopi_tz 4 ปีที่แล้ว +1

    Mr mbona wengine tunabanwa na kigezo cha masaa 4000 aliyakuwa kwote tumepita vizuri, ama kuna namna nyingine Kaka utusaidie?

  • @eunicekaio2564
    @eunicekaio2564 2 ปีที่แล้ว

    Nitakua nalipwa na nani na nitakua nalipwa vipi

  • @OfficialChiver
    @OfficialChiver 3 ปีที่แล้ว

    Mastermind

  • @freshtv255
    @freshtv255 7 ปีที่แล้ว +2

    sehem ya pili lini

  • @bondafire5166
    @bondafire5166 6 ปีที่แล้ว +2

    Kama hauna card ya benk unafanyaje

  • @babayaoohtv6171
    @babayaoohtv6171 6 ปีที่แล้ว +3

    Kaka naweza kuja ulipo, Ili unisaidie kujaza fomu, maana sielewi niko tayari kulipa.

  • @jophtone_fabsillah
    @jophtone_fabsillah ปีที่แล้ว

    account ya adsence unaifunguaje brother

  • @zuchubeby375
    @zuchubeby375 3 ปีที่แล้ว

    ASANTE KWA USHAURI

  • @amadiecanmedia9150
    @amadiecanmedia9150 2 ปีที่แล้ว

    Mimi sina computer una nisaidiwe?

  • @herbertjames1203
    @herbertjames1203 6 ปีที่แล้ว +1

    unaweza kunipa link uliyotoa hivyo vigezo?

  • @saddamboy3647
    @saddamboy3647 4 ปีที่แล้ว

    utalipwa je

  • @ochuzuberi9402
    @ochuzuberi9402 5 ปีที่แล้ว

    Safe brh

  • @chudoboy433
    @chudoboy433 3 ปีที่แล้ว

    Waa tv

  • @MrMhandoMakulo
    @MrMhandoMakulo 6 ปีที่แล้ว +2

    Je ukitaka kuitoa adsense na uweke account nyingine n njia ipi inatumika kuchange namba ya account

    • @MrMhandoMakulo
      @MrMhandoMakulo 6 ปีที่แล้ว

      nipatie email yako nikutumie ilivyo

  • @MtakatifuAugustinoIsingiro
    @MtakatifuAugustinoIsingiro 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka mim naomba mawasiliano yako

  • @felixeugene7910
    @felixeugene7910 5 ปีที่แล้ว +2

    Nmby kaka naomba unisaidie plz

  • @popasperity
    @popasperity 6 ปีที่แล้ว +1

    Hi
    Nita bonyeza monetization wakati nishafikia views 10,000 au kabla wakati nai andaa account yangu kuwa ya malipo?

  • @everlastingmiriam
    @everlastingmiriam 3 ปีที่แล้ว

    Na jee nitapaje nitapaje TH-cam code

  • @stevenmwinuka1120
    @stevenmwinuka1120 4 ปีที่แล้ว

    Je nikitaka kujiunga najiungaje

  • @IbrahimOrma
    @IbrahimOrma 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa maelezo ila nakuomba unielekeze namna ya kupata adsance

  • @mickydaddy5338
    @mickydaddy5338 2 ปีที่แล้ว

    Kama sina subscriber 100 inakuaje

  • @AhmedOmar-vc5wr
    @AhmedOmar-vc5wr 3 ปีที่แล้ว

    Mm nataka kufunga mkataba na you tube nifanyeje

  • @midontanfdu7989
    @midontanfdu7989 6 ปีที่แล้ว +1

    Kk m naswali je ukiupload clips fupi kwa mfano za movie utakuwa umecopy au?

    • @midontanfdu7989
      @midontanfdu7989 6 ปีที่แล้ว

      Richstar asante bro

    • @hktv1663
      @hktv1663 5 ปีที่แล้ว

      Richstar kwaiyo hatalipwa kisheria au?

  • @lava4officali238
    @lava4officali238 3 ปีที่แล้ว +1

    Awe me subscribes hv lala ukojoe bn

  • @SKgenerationTBT
    @SKgenerationTBT 4 ปีที่แล้ว

    Samahan Nina swali..

  • @GamiTVOnline
    @GamiTVOnline 7 ปีที่แล้ว +1

    sio vibaya ukapitia chanel yangu huwenda navigezo msee mi nakomaa kupost interview tu

  • @henryinocent5750
    @henryinocent5750 6 ปีที่แล้ว +1

    nahombanambayako

  • @kevinnicky6195
    @kevinnicky6195 4 ปีที่แล้ว

    Bro ivi nikichelewa kupata subscibe 1000 na watch time
    Ndio siwezi kupitishiwa matangazo au inakuaje ??

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 4 ปีที่แล้ว +1

      ndio huwezi. lazima ufikishe vigezo hvyo

    • @neemasbagenda9977
      @neemasbagenda9977 3 ปีที่แล้ว

      Naomba namba ya simu

  • @famiowa9088
    @famiowa9088 4 ปีที่แล้ว

    Kaka mbona unanikata moto marizia marizia kakaaa

  • @mossesanney3578
    @mossesanney3578 7 ปีที่แล้ว

    bro vp ninefikisha viewers 10000 ila katika kujaza fomu sijaona sehem yakujaza account number zangu

  • @eddydanie814
    @eddydanie814 4 ปีที่แล้ว

    Hao 10,000 viewers ni kwa mda gani

  • @zefaboytzone
    @zefaboytzone 4 ปีที่แล้ว

    Mm naitaji namba yako unisaidie

  • @chibutvonline8710
    @chibutvonline8710 7 ปีที่แล้ว +1

    nipe contact brother

  • @swaxflag
    @swaxflag 5 ปีที่แล้ว

    Unazngua

  • @Zrss602
    @Zrss602 7 ปีที่แล้ว

    Sehemu ya pili

  • @samboytvtv3418
    @samboytvtv3418 5 ปีที่แล้ว

    Nataka kujifunza zaidi kupitia wewe namm niwe na TH-cam chanel

  • @loth5
    @loth5 6 ปีที่แล้ว +1

    youtube account yangu hii apa .napenda sana kuwa youtuber ila sina mtu wa kunitia nguvu yaani kunielekeza kiundani zaidi..naomba unisaidie..account yangu m.th-cam.com/channels/4JsooAMJoJ2wTU7_XZMwYA.html
    whatsap yangu 0658712199

  • @officialdastapha9972
    @officialdastapha9972 4 ปีที่แล้ว

    Nahitaji kufungua ila cjui wewe kama wewe utanisaidiaje ili nifungue youtube chanel yangu

  • @veronikaibrahim1119
    @veronikaibrahim1119 4 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako tafadhali

  • @lovely4218
    @lovely4218 5 ปีที่แล้ว

    kaka vpe mimi channel yangu hainipi sehemu ya enable alow advertisement,vigezo vingine vyote vipo sawa kasoro tyu haijafikisha miezi 3

  • @perfectpino5898
    @perfectpino5898 6 ปีที่แล้ว +1

    nina swalii

    • @perfectpino5898
      @perfectpino5898 6 ปีที่แล้ว

      swali langu ni nje ya youtube kwamba kwasabu wewe nimtaalamu hivi naweza kutumia whatsapp kwenye kompyuta nakama inawezekana je nitafanyaje ili niweze

    • @perfectpino5898
      @perfectpino5898 6 ปีที่แล้ว

      nahitaji hizo adobe

  • @Shuugan
    @Shuugan 3 ปีที่แล้ว

    😢

  • @directorscope9313
    @directorscope9313 5 ปีที่แล้ว

    kaka me ndo inaanza naweza kuiombea matangazo kwa sasa

  • @imanikhamis2245
    @imanikhamis2245 5 ปีที่แล้ว

    Totovews ndo nini

  • @AhmedOmar-vc5wr
    @AhmedOmar-vc5wr 3 ปีที่แล้ว

    Mm nishapt views 322

  • @martinesalum2370
    @martinesalum2370 6 ปีที่แล้ว +1

    Iyo account ya advases inapatikana wap

  • @jmwanyitagospelmedia1321
    @jmwanyitagospelmedia1321 4 ปีที่แล้ว

    Sorry naomb taarifa kiundani zaidi

  • @Nelly93tz
    @Nelly93tz 4 ปีที่แล้ว

    Kaka naitwa shaaban yakoub nina niliki chaneli tayari ninavigezo vyote ila bado sijajuwa jinsi ya kuiwezesha isitoshe kaka lunga naomba Msaada wako 0758737393

  • @tumainkapelembe8172
    @tumainkapelembe8172 5 ปีที่แล้ว

    bos mkubwa ni program gani inafaa kueditia Vidio kwakutumia sim

  • @philiptz118
    @philiptz118 3 ปีที่แล้ว

    2020🤣🤣

  • @kingreagen5156
    @kingreagen5156 4 ปีที่แล้ว

    Habari naweza kupata mawasiliano yako?.
    0686892665

    • @Richstartz
      @Richstartz  4 ปีที่แล้ว

      rmaguluko@gmail.com

  • @yesgalglam4790
    @yesgalglam4790 4 ปีที่แล้ว

    Bro naweza pata number yako

  • @tuuphilbert8158
    @tuuphilbert8158 5 ปีที่แล้ว +1

    Naweza nikapata mawasiliano yako ndugu? 0767921476 nomba unitumie namba yako unisaidie zaidi.

  • @amyonemusic3672
    @amyonemusic3672 3 ปีที่แล้ว

    Samahani Broo naombaunicheki Whatsap unielekezezaid...)0627200103

  • @fahmysalum841
    @fahmysalum841 6 ปีที่แล้ว

    sign up adsence ndio nini nifahamishe vizuri

  • @dayanaskitchenmapishirahis5772
    @dayanaskitchenmapishirahis5772 4 ปีที่แล้ว

    Habari Rich star naomba unitafute kwa no za WhatsApp 0711430179 maana Nina shida sana na ww please naomba usipuuze🙏

    • @Richstartz
      @Richstartz  4 ปีที่แล้ว

      Nicheck instagram instagram.com/richstartz

  • @playtvtanzania8468
    @playtvtanzania8468 3 ปีที่แล้ว

    Good