Jinsi ya Kuweka njia ya malipo na kuzitoa Pesa kutoka YOUTUBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2024
  • Kajitka Video hii utajifunza na kuna Jinsi ya Kuweka njia ya malipo na kuzitoa Pesa kutoka TH-cam
    Utajifunza Jinsi ya Kuset njia ya malipo
    Kuthibitisha eneo unaloishi ili uweze kutumiwa Pesa zako

ความคิดเห็น • 179

  • @JEZZATZ
    @JEZZATZ 5 ปีที่แล้ว +12

    Kaka you are the best , mimi nimeanza hizi harakati mwezi ulio pita umenitia moyo sana na wewe ni mtu pekee ambaye umekuwa wazi umeonyesha kuwa kuna fursa kwa vijana naopenda kuwa youtuber

    • @wasamaliamedia6020
      @wasamaliamedia6020 2 ปีที่แล้ว +1

      Thanks sana broo nitumie namba yako ya call live

    • @Jimmymedia-
      @Jimmymedia- ปีที่แล้ว +1

      Naomba namba yako KAKA

  • @haikaelmrema4294
    @haikaelmrema4294 6 ปีที่แล้ว +11

    Rich asante sana kwa hii video na zote ulizofanya,,wewe ni mtu pekee unaetufunza sana kuhusu payments..am happy nimepata kitu na kujifunza

    • @OTVTANZANIA
      @OTVTANZANIA 4 ปีที่แล้ว

      Kweli ameogea kitu

  • @chrisonlinetv1677
    @chrisonlinetv1677 6 ปีที่แล้ว +7

    kaka unajua sana mpaka basi daaaah nice tutorial

  • @wiliamungulu5383
    @wiliamungulu5383 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana umenifungua vitu vingi kwenye hii video yako

  • @AzariEliakimAcademy
    @AzariEliakimAcademy 6 ปีที่แล้ว +6

    Asante sana kaka kwa hii video.

  • @dmginfo2470
    @dmginfo2470 4 ปีที่แล้ว +3

    Bro umeelezea vizuri Sana nimekuelewa, unamoyo wa upendo si watu wote wanaeza kuelekeza issue kama hizi za pesa, ubarikiwe Sana bro

  • @okboychanneltv5539
    @okboychanneltv5539 4 ปีที่แล้ว +3

    Basis mi nilifikili masihara tu kumbe, kuna mzunguko daaa, broo, nashukuru umenitoa gizani,

  • @dottojumanne1687
    @dottojumanne1687 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kk kwa maelekezo hebu naomba maelekezo ya njia rahisi ya kununua plugs au software mbalimbali kwanye mtandao

  • @mosskbeatz6247
    @mosskbeatz6247 7 หลายเดือนก่อน +1

    amazing

    • @Richstartz
      @Richstartz  6 หลายเดือนก่อน

      Thank you! Cheers!

  • @pastorekchannel8096
    @pastorekchannel8096 2 ปีที่แล้ว +1

    Very good explanation

  • @KukuVillage
    @KukuVillage 4 ปีที่แล้ว +2

    Habari richard, nashukuru Mungu umekuwa mwanga wa mwazo kabisa kunisaidia kuhusu payments. In short am your content viewer.
    SWALI:
    1. hilo sanduku la barua ni lazima nimiliki mimi?
    2. Je kama nitatumia lingine umuhimu wake ni upi? Je baada ya kupokea PIN watakuja kunitumia chochote kupitia hilo sanduku la barua?
    Nauliza hivyo kwasababu sina sanduku. Na nataka nitumie la taasisi.
    3. Tofauti na equit bank ni bank zipi nyingine naweza tumia ambazo ziko friendly (hazina mausumbufu yasiyo na maana)
    Naweza kuzitumia?
    NIJIBU TAFADHALI MAANA AM IN THE PROCESS .

    • @KukuVillage
      @KukuVillage 4 ปีที่แล้ว

      @@Richstartz asante sana.

  • @emahitube
    @emahitube 6 ปีที่แล้ว +10

    Nice Work Brother Endelea kuelimisha Jamii.

  • @hoftimely8964
    @hoftimely8964 4 ปีที่แล้ว +3

    Well said bro.

  • @kaizachifu1046
    @kaizachifu1046 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana rich star

  • @happynesskaaya8495
    @happynesskaaya8495 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante mi bado sana huko ila nimejikuta tu naangalia

  • @JumaNdingo
    @JumaNdingo หลายเดือนก่อน

    Good

  • @maalimbembeog3050
    @maalimbembeog3050 5 ปีที่แล้ว +7

    Mimi nimefungua mashallah watu wanaangalia lkn sijajua nafanyaje ili nilipwe naomba unisahidie kaka

  • @mwanaafrika_tz
    @mwanaafrika_tz 5 ปีที่แล้ว +4

    Nina Shida na Wewe nakupataje?

  • @mboy86
    @mboy86 ปีที่แล้ว

    Asante sana kupokea pesa ni mpaka uwe na zakuanzia

  • @FavorbJoseph-dz8yl
    @FavorbJoseph-dz8yl 3 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @KataraMk-sy6bm
    @KataraMk-sy6bm 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka naitaji ushauli wako kwasisi hatujui kingeleza tafadhali nisaidie

  • @mambotv1233
    @mambotv1233 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki

  • @khaleedpiere5029
    @khaleedpiere5029 6 ปีที่แล้ว +1

    Bro Rich nilikuwa naomba kama unaweza ukatufundisha hatua ya mwanzo kabisa jinsi ya kufungua TH-cam Chanel, jinsi ya kuweka account yako kibiashara ili uweze kulipwa,masharti ya kufanya ulipwe na TH-cam, jinsi ya kuthibitisha na kuweka njia za malipo hayo mambo ya Google AdSense, jinsi ya kulipwa kwa viewers au inakuaje mpaka mtu unalipwa yani A-Z jinsi ya kufanya yote kama ww unavyofanya. Amina thana

  • @Burudaniburudani127
    @Burudaniburudani127 2 ปีที่แล้ว +2

    Jinsi ya kutengeneza AdSense account unafanyaje???

  • @shamimbashuaieb5569
    @shamimbashuaieb5569 2 ปีที่แล้ว

    Thank you brother

  • @MikidadiMussa
    @MikidadiMussa ปีที่แล้ว

    Gud

  • @lilianmafanikio9656
    @lilianmafanikio9656 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakupaje mimi namaswali mengi sana

  • @kapiligistudio9310
    @kapiligistudio9310 2 ปีที่แล้ว +1

    pamoja sana nitazid kufatilia.

  • @wizzyhatuawest9191
    @wizzyhatuawest9191 3 ปีที่แล้ว +1

    Vizuli san

  • @kaizachifu1046
    @kaizachifu1046 4 ปีที่แล้ว

    Safi kabisa bana rich ster

  • @jozeefire5888
    @jozeefire5888 2 ปีที่แล้ว

    Nice work

  • @titosovela9598
    @titosovela9598 4 ปีที่แล้ว

    Daah unaeleweka sana

  • @SHADAMWANGILI
    @SHADAMWANGILI 11 หลายเดือนก่อน

    asante kwa kutuelimisha teacher rich nilikuwa na swali ni ili ukwepe kit KINACHO lita Invalid Streck ya kwenye hii TH-cam ni vitu gani vya kufanya

  • @jboy9813
    @jboy9813 3 ปีที่แล้ว

    Nakubar kk

  • @lightskyboy2506
    @lightskyboy2506 3 ปีที่แล้ว

    Blo.swar langu vyuazingapi mwanzo wamalipo

  • @richmstv-chennel9722
    @richmstv-chennel9722 ปีที่แล้ว

    Shukrani Sana kaka

  • @FaruMediaTz
    @FaruMediaTz 3 ปีที่แล้ว

    Ahsantee

  • @WCB575
    @WCB575 2 ปีที่แล้ว

    Kaka ni jambo zuri kutoa msaada wa. Kuelekeza

  • @hudhudfilm
    @hudhudfilm ปีที่แล้ว

    HABARI NDUGU.MBONA HIYO GUGO ADSRNSE MM SIUONI NTAOPATA WAPI

  • @SennyFleva_1
    @SennyFleva_1 4 ปีที่แล้ว

    Asante.

  • @suleimandilungatz5631
    @suleimandilungatz5631 3 ปีที่แล้ว

    Thanks bro

  • @mbaloplatnumz646
    @mbaloplatnumz646 2 ปีที่แล้ว

    Asantekka kk

  • @MtupoliMtupoli
    @MtupoliMtupoli 9 หลายเดือนก่อน

    Ahsante

  • @isumbizeyn983
    @isumbizeyn983 4 ปีที่แล้ว +4

    Kaka, Mtu Mmoja akitazama video ulopost TH-cam wanakulipa ngapi
    Yaani view Mmoja shingapi au Dola ngapi

  • @teddybenny377
    @teddybenny377 10 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah, aah umefanya vizuri japo cjakuelewa sana,ila nitakutafuta Whatsapp
    INSHALLAH

  • @benziproduction3234
    @benziproduction3234 6 ปีที่แล้ว +6

    Umesema Tanzania tunatumia wiretransfer au cheque swali langu je paypal inatumika Tanzania au vipi ? Na kama haitumiki ni kwanini ?
    Tunaomba tutorial ya kujisajili paypal kwa kutumia card ya bank ya Tanzania

  • @Kichechefilm-c9y
    @Kichechefilm-c9y ปีที่แล้ว +1

    Fundisha jins yakutoa pesa kwenye adSense kwenda bank

    • @Richstartz
      @Richstartz  ปีที่แล้ว +1

      Ingia adsense jaza bank details. Wao watakutumia pesa yako EASY tu

  • @SAFITV-n5j
    @SAFITV-n5j 5 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @kdazzy9967
    @kdazzy9967 ปีที่แล้ว

    Safiii sana

  • @mjasiliatv
    @mjasiliatv 9 หลายเดือนก่อน

    Je kama mpo watu WA 3 mpo kama media channel hiii imekaaje,kipoke pesa,ama mfumo upoje

  • @towecax
    @towecax ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @Yuzzowgrapher
    @Yuzzowgrapher 4 ปีที่แล้ว +1

    subscribe kama unapenda lyrics videos

  • @LearnSwahiliWithTeacherKidaha
    @LearnSwahiliWithTeacherKidaha 2 หลายเดือนก่อน

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 ปีที่แล้ว

    Naomba tuonane unipe elimu zaid

  • @tamtamcommedy481
    @tamtamcommedy481 ปีที่แล้ว

    Nitumie namba Yako kaka nakutegemea sana mana mimwenyew nipo njiani namengi yaku zungumza nawew

  • @machoyajami4926
    @machoyajami4926 4 ปีที่แล้ว +1

    Haha Cheka na mm ukitaka kupasua mbavu gusa akaunt yangu ucheke haud utoe haja

  • @freyzb6410
    @freyzb6410 4 ปีที่แล้ว +1

    Vgezo ambavyo mtu unavyo takiwa kukidhi ni aje ili uanze kulpwa hasa kwenye subscribers na viewers??

  • @hashimgola862
    @hashimgola862 ปีที่แล้ว

    Mimi ndio naanza brother Leo kama ya kumi NINI nifanye

  • @cloperboy4116
    @cloperboy4116 2 ปีที่แล้ว

    Mm nilikua naitaj kuunganisha na malipo akaunti yangu inawezekana

  • @UtamuOnlinechanel
    @UtamuOnlinechanel 5 หลายเดือนก่อน

    Kwenye google adsense account ID yao yapili profile account nataka unifahamishe

  • @Jpdhahabu
    @Jpdhahabu 5 วันที่ผ่านมา

    Vp kaka

  • @Madmadtalent
    @Madmadtalent 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @Producer_Graphics
    @Producer_Graphics 3 ปีที่แล้ว

    Kaz iendeleee kaka

  • @sylverstartz4759
    @sylverstartz4759 4 ปีที่แล้ว +1

    na je unaweza ukatengeneza acount ya malipo hata kama ndo kwanza umeanza .kutumia?

  • @mwinjilistijoseaisraeltv
    @mwinjilistijoseaisraeltv ปีที่แล้ว

    Natamani kuisajili chaneli yangu ila cjajua namna ya kufanya ili niwe nalipwa na You Tube, nisaidie

  • @NaimaCreation
    @NaimaCreation 2 ปีที่แล้ว

    Ungeweka Whatsapp namba yako ingekuwa poa sana mana maswali ni mengi na hatuna majibu sahihi

  • @MAPAMBANOOPTION
    @MAPAMBANOOPTION 13 วันที่ผ่านมา

    Kaka naomba nisaidie namba yako ya simu

  • @Ulewaturkanacomedy
    @Ulewaturkanacomedy 2 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @riziwaniramadhani6280
    @riziwaniramadhani6280 ปีที่แล้ว

    Brother Nina video tayari zimeanza kuwa namatangazo japo subscriber wachache je ntakuwa kwenyenjia yamalipolipo? Pianiwakaribishe watazamaji zaidi kujionea mnaweza kujifunza kitu

  • @MAPAMBANOOPTION
    @MAPAMBANOOPTION 13 วันที่ผ่านมา

    Kaka naomba namba yako ya simu

  • @vnhcstudios1943
    @vnhcstudios1943 4 ปีที่แล้ว +2

    Nawezaje kuondoa copyright bro

  • @kwiz9732
    @kwiz9732 4 ปีที่แล้ว +1

    iwapoo umee funguaa account jee unaaa wezaa kujaa badilii mail

  • @kitabuchamashairi1414
    @kitabuchamashairi1414 3 ปีที่แล้ว

    Iyo dolar 100 ni sawa na kua na viwers wangapi ili uipate hiyo?

  • @DogokTzSss
    @DogokTzSss 10 หลายเดือนก่อน

    Kaka mimi iresehemyakuingiria akaunti aipo naombaunisaidie

  • @rupindongwakudabwa1076
    @rupindongwakudabwa1076 2 ปีที่แล้ว

    SAMAHANI BROTHER TAFADHALI NAOMBA NIJIBU KWANI NIKITAKA KUSAJILIWA NA TH-cam ILI NIANZE KULIPWA KWANI NI RAZIMA NIENDE BASATA?🙏🙏🙏🙏NAOMBA NIJIBU

  • @benjamenbaraka8289
    @benjamenbaraka8289 2 ปีที่แล้ว

    Safi natamani na mi unifungulie vp inawezekana

  • @official_issa
    @official_issa ปีที่แล้ว

    Kaka rich mimi nashindwa kufunguwa acaunt ya mlipo je nifanyaje naomba msada wako kaka

  • @brightsidemultimedia5295
    @brightsidemultimedia5295 6 ปีที่แล้ว +1

    ..Braza Rich kufunguaa ni lazima mpaka uwe na website..? @richstar

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 4 ปีที่แล้ว

    Mzunguko mkubwa sana

  • @mazimboalli7357
    @mazimboalli7357 2 ปีที่แล้ว

    Mimi naomba nijuwe nitafanyaje kufahamu kiasi cha pesa nilicho nacho kwenye TH-cam channel yangu

  • @sbboy3722
    @sbboy3722 2 ปีที่แล้ว

    hivi kama ndo naanza kunanamna ya kubust vigezo

  • @zuchubeby375
    @zuchubeby375 3 ปีที่แล้ว

    naomba ushauli

  • @JBLACKcomed
    @JBLACKcomed 3 ปีที่แล้ว +1

    Hasante sasa naukiwa na nmb inakubaliwa maanasijasikia ukitaja

  • @yougmaasaibos9224
    @yougmaasaibos9224 2 ปีที่แล้ว

    Mbona nashindwa kuvizt TH-cam yangu

  • @konyongonapatrickmapacha4204
    @konyongonapatrickmapacha4204 2 ปีที่แล้ว

    Kaka vp kuhusu kutoa pesa kwa njia ya mpesa pekee

  • @maikowatz3254
    @maikowatz3254 2 ปีที่แล้ว

    Kaka namimi nifungurie Chari bas

  • @maswi_magige
    @maswi_magige 3 ปีที่แล้ว

    Kaka TZ viewer 1000 na sawa na dola gapi

  • @issaqualityelectronicstz9346
    @issaqualityelectronicstz9346 2 ปีที่แล้ว

    Habar ni mgeni you tube.
    Nahitaji kufungua account yangu

  • @idrissamakame2089
    @idrissamakame2089 3 ปีที่แล้ว

    Ninaomba kuuliza je nilazma uwe umeomba pin ndio uweze kutoa pesa au bila pin unazitoa pesa kweny you tube

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 ปีที่แล้ว +1

      Bila PIN ya ku verify urai wako huwezi kupokea malipo. Inakubidi uthibitishe urai wako kwa njia ya PIN ikishindikana tumia njia ya Kitamburisho hasa cha NIDA, Passport ya kusafiria ama leseni ya udereva

  • @umojastudio2tabuhaji978
    @umojastudio2tabuhaji978 2 ปีที่แล้ว

    Kaka mimi nishafunguaga mdakidogo TH-cam ilasio yamalipo nasina akaut ya benki je nifanyeje iliniifungue akaut ya malipo nayataingia wapi

  • @kdazzy9967
    @kdazzy9967 ปีที่แล้ว

    Naomba unisaidie mm nime post nyimbo yangu ktk Chanel yng nashangaa aitaki kuweka comment nisaidie kwa ilo kiongozi

  • @wizzyhatuawest9191
    @wizzyhatuawest9191 3 ปีที่แล้ว

    VP unaeza uka nisaidia

  • @muhayatzs.5475
    @muhayatzs.5475 ปีที่แล้ว

    Broooo me naitaji namba Yako kama itaweze kana

  • @issaqualityelectronicstz9346
    @issaqualityelectronicstz9346 2 ปีที่แล้ว

    Kama huna passport???

  • @ceciliaivia489
    @ceciliaivia489 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sijafungua natamani Sana niwe na channel yangu sijui nianzeje na faa kumlipa mtu anichue video na pia ku edit ama Ni fanye Nini Niko Kenya nisaidie ili ni faulu kufungua channel yangu

  • @SwahiliTraderFx
    @SwahiliTraderFx 3 ปีที่แล้ว

    naomba nisaidie kaka na kwama kila wakati sehemu ya kujaza taarifa za mtaa pamoja na postal code sijui inakuaje, na pia iyo pin ukitumiwa unaenda kuchukua wapi.. naombeni msaada jamani

    • @Richstartz
      @Richstartz  3 ปีที่แล้ว +1

      Taarifa za Mtaa maana yake upo Mtaa jina gani, Postal Code ingia ktk website ya TCRA wameandika CODE za vitongoji vyote Tanzania. PIN unatumiwa katika Sanduku la Posta utakalo jaza

  • @jumaabel6322
    @jumaabel6322 2 ปีที่แล้ว

    Asant sana kwa kutupa elimu hii Mimi ndio Niko naanza naomba namba ako ya simu ya whatsap nikucheki kwa maelezo zaid

  • @AmilyNgosile
    @AmilyNgosile 4 ปีที่แล้ว +1

    Habar, mm Nina channel yangu, lakin kupata viewers imekua changamoto, naomba nisaidie.

    • @djkabby739
      @djkabby739 4 ปีที่แล้ว

      Ongeza Juhudi

  • @christinasimon4611
    @christinasimon4611 ปีที่แล้ว

    Nauliza nasitahili kulipwa au bado

  • @rajusah6295
    @rajusah6295 4 ปีที่แล้ว

    Broo sorry najua kipindi kimepita ila ntafurahi Kama ukinijibu hivi hizi pin watakao kutumia utaenda kuzichukua wapi hicho kikaratasi chenye pin za adsense