Hatuna community Wabongo maana tuna roho mbaya. Hatupendi kusaidiana. Elimu yetu pia duni sana. Alafu mbongo siku zote anafikiria atampitaje mwenzie hata km ni kwenda kwa sangoma, kwakweli tupo wanafiki sana ndio maana hatuendelei. Wakenya wana mapungufu Yao lakini wana mshikamano ikitokea michongo ya kazi, wanaweka tofauti zao pembeni km Kuna masilahi.
Thanks for bringing this bright young man, I could listen to him for hours. Yaani he has an amazing art of narrating his story that makes one want to listen more. Plus he’s humble but projects the confidence that makes him stand out. Mungu akubariki Baraka . Bundara you have a great sense of tracing such talents, thanks for putting him on , I wish he could also venture into teaching.
Since corona I’m working from home here in the uk for third year running your absolutely right bro the world is changing now .. I’m so impressed with your interview… 💥💥❤️❤️❤️🇬🇧🇬🇧🇬🇧
Big up kwa SNS and Skywalker Bundala big up kwa Bwana mdogo, i wish kila kijana na mwanafunzi angepata kuisikiliza hii Interview i know it could change mindset za vijana wote kuhusu soko la ajira i wish ingetokea hii kitu, Baraka you are an amazing and selfish guy keep up this spirit. Sharing is Caring , baraka haziondokagi kwenye mikono na nyumba za watu wenye Mioyo kama yako🙏🙏🙏
Am very inspired, Nimekuwa nikifanya hizi issue za digital kimasikhara napata pesa ya kawaida, ila now nimekuwa motivated zaidi acha mwaka huu nifanye maamuzi
Daaah nimefurahi sana kuona haya mahojiano but nataman sana nijifunze hiki kitu pia nataman maana enternet ninayo natumia kwa mambo yasio na maana nisaidie hili
Safi sanaa! Tanzania imeanza kukua kitechnologia.. I have being work online since 2012. It's being a journey. Full time job for me selling traffic and affiliate marketing. Keep hustling guys.💯🚀
Kaka nakukubali sana unajua kugusa vijana nakuona mbali sana na sns Yako miaka kadhaa ijayo... Ila nasikia kuna games zinalipa pia mitandao ya kijamii inayo lipa endelea kutusanua
Actual huyu ni shemeji yangu actual anazipenda ila actual anajua mambo mengi pia nataka nijue maana ya actual. Actual anadowld hela online actual actual actual actua
Ulipo taja forex hapo ndio umenitach hongera sana kijana umeamsha wengine mm Nina degree ya Sanaa ya ualimu Ila sijaajiriwa lakini naingiza $800 kwa mweziii kwenye cryto index
Moyo wahivi Mungu atambariki saaaana daily kushare hivi Mashaalah
Hatuna community Wabongo maana tuna roho mbaya. Hatupendi kusaidiana. Elimu yetu pia duni sana. Alafu mbongo siku zote anafikiria atampitaje mwenzie hata km ni kwenda kwa sangoma, kwakweli tupo wanafiki sana ndio maana hatuendelei. Wakenya wana mapungufu Yao lakini wana mshikamano ikitokea michongo ya kazi, wanaweka tofauti zao pembeni km Kuna masilahi.
Kweli kabisa
Thanks for bringing this bright young man, I could listen to him for hours. Yaani he has an amazing art of narrating his story that makes one want to listen more. Plus he’s humble but projects the confidence that makes him stand out. Mungu akubariki Baraka . Bundara you have a great sense of tracing such talents, thanks for putting him on , I wish he could also venture into teaching.
pia yupo straight to the point, nimemuelewa sana
Baraka umetuongeza ujasiri keep well bro I will try my best Asante sana Skywalker
Hongera Sana baraka una akili Sana mdogo wangu utafika mbali Sana
You really do a great job , congratulations baraka
Hii interview inatakiwa isamabazwe mavyuoni kote, iko na manufaa kweli, halafu the guy anasema ukweli mtupu. Ahsante sana kwa kutufunza.
Story nzuri sana kutoa info kuhusu remote. opportunities . Anajieleza vizuri Sana pia. Asante channel kushare hii hapa. Big up
I am going to do this guys. Sky thank you bringing this guy. That’s why I like this channel .
Since corona I’m working from home here in the uk for third year running your absolutely right bro the world is changing now .. I’m so impressed with your interview… 💥💥❤️❤️❤️🇬🇧🇬🇧🇬🇧
Hello i want to learn online job help me
Ahsante kwa elimu nzuri,naomba unisaidie kumuelekeza.
Naomba nielekeze boss
Naona mawazo yng yameanza kufanyiwa kazi, nakumbuka kunakipindi niliwaomba SNS wawe wanapost content za kumake hela online, naona sasa waweanza kufanyia kazi, asante sana.🙌🏽
Oya vp Mzee nielekeze hcho kitu
Big up kwa SNS and Skywalker Bundala
big up kwa Bwana mdogo, i wish kila kijana na mwanafunzi angepata kuisikiliza hii Interview i know it could change mindset za vijana wote kuhusu soko la ajira i wish ingetokea hii kitu, Baraka you are an amazing and selfish guy keep up this spirit. Sharing is Caring , baraka haziondokagi kwenye mikono na nyumba za watu wenye Mioyo kama yako🙏🙏🙏
ooooshi
how selfish he is?
Actually😂😂 this is what people should hear in this Era!!
Hongera sana Baraka.
Njia ya kuingiza pesa online ni nyingi sana. Big up kaka 👏🏾 Mungu akubariki kwa kushare na sisi 🙏🏾 sio wote wenye moyo kama wa kwako
Natafuta kazi ya kufanya online ya kulipwa pls yyt anipe connection jamn
Hiyo definition la freelancing kidogo tumepotezana njia ila twende kazi. Na asante kwa faida hii kutumia mda vizuri
I got something ...I won't take it for granted
Thank you SNS this is big to me I learn alot
Am very inspired, Nimekuwa nikifanya hizi issue za digital kimasikhara napata pesa ya kawaida, ila now nimekuwa motivated zaidi acha mwaka huu nifanye maamuzi
Brother Kama unafaham hiyo issue nielekeze na Mimi nijue
Nimejifunza forex ila nimefeli pakubwa
Real broo mfano me nalipwa 20,000 kwa mwezi kwenye kampuni zaidi ya 6 as side gigz kwaajili ya social media management
@@gynae8407 forex inahitaji elimu saaana
@@mymbaralitv2968 nipe idea bro tafadhali 🙏
Thanks for this, SNS and Skywalker Bundala 👊👊👍👍💯💯
Fred umetisha sana kaka,Tuletee madini kama haya usichoke na Mungu akuweke 🔥🔥🔥🔥
Asante Sana Baraka mawazo yako yatasaidia vijana wengi
The Guy is Genius salute kwako kijana barakaa
@ttttffxddryuy8725help me please 🙏🏼
Mashallah kijana simuchoyo masikini anataniya nawengine wawe kama yeye mngu akulinde na akubariki
I learn a lot from you may almighty God protect you
Hongera Baraka.😊
Nawasalimu sana nashukuru sana kwa kutufunza Mimi Niko Somali land tutafanyaje kazi pamoja tuko pamoja
Thanks a lot bro for share your story may god bless you more
Kajana uko vizuri nimependa
Umechapia 🤪🤣🤣🤣🤣🤣
I would like to learn more about trading. People are real making money
Nimepend sana haya mahujiano, Mimi ni mmoja wa wanufaika wa Hizi Kazi za online
Daaah nimefurahi sana kuona haya mahojiano but nataman sana nijifunze hiki kitu pia nataman maana enternet ninayo natumia kwa mambo yasio na maana nisaidie hili
Naomba idea plz🙏
Help me please 🙏🏼
Nisaidie🙏🏼
Big up sana baraka , i hope watanzania wengi wagundue hizi fursa za mtandao
@baraka mafole for sure bro
Learned 🙏🏽🤝🏽
Thank you sns
Jamaa kanifungua macho sana 🙏🏽
Kuna fedha nyingi sana online. Mim nafanya Forex online. Najua ni kwa kiasi gani imeninufaisha.
Mr. Habari!? Unaweza nielekeza kujiunga na kufanya forex online?
Niliwah kuckia hiyo issue jamaa nilivomuomba kujua alidai ni issue ya kusomea Sana naomba nipate experience yako.
Idea please 🙏
Please
Mungu atawabaliki
Respect.. Broh!..
Safi sanaa! Tanzania imeanza kukua kitechnologia.. I have being work online since 2012. It's being a journey. Full time job for me selling traffic and affiliate marketing.
Keep hustling guys.💯🚀
Please give me online business idea 🙏
@@magafootball6569did you get
Help me too
My nigga 2po apo Alison.....coursera, udomy uchumi hauruhusu..much respect kuiona community yangu
Unaweza kunisaidia nataka kusoma alson
@@veronicapetro pakua application ya alison then register...
Baada ya apo chagua interested course yako
Thanks my brother balaka
@baraka mafole naweza pata number yako kaka
Natamani Baraka ungekua mwanangu yani may our God continue blessing you 💪💪
Ridhika na Mungu Alichokupa
Jamaa ana same story kama ya kwangu, nipo chuo freelancing via Fiverr ndo issues zangu, dollar $400+ per month ni kitu cha kawaida
mimi nafahamu adobe illustrator na Photoshop natamani nifanye freelancing pia
@@tumatijr_9142 do it. Anza sasa ili uanze kujifunza.
Naomba Namba yako kipnz
Naweza kujifunza kwako au unawezA kunipa muongozo?
Mkuuu naomba namba yako
First to view first to put comment, i got u Fred bundala
Hongera wajina Akina Baraka wote ni wajanja sana
Asante Sky...
thanks bro for your story
neno actualy mzee kalitumia mara miaaa🤣🤣🤣 ila all in all big up
Safi sana, Baraka.
@ttttffxddryuy8725naomba unisaidie na mimi please 🙏🏼
Yaaani Niko omani ntaman kurud ila nawaza maisha ya Tz , mtusaidie na sisi tupate hyo elimu
Don't come back it's hell
Hizi opportunity zipo oman bro, tumia simu vizuri
@Margaeth kiatu 😂😂😂😂 nyumban ni nyumban
Inamaana kwa mda uliokaa umekosa hela ya mtaji kwenda kubuni biashara mbona zipo nyingi chukua hatua acha uoga
Na mimi Oman nipatie number yako please tushare
Hello, I am very glad to know about this interview. I need that platform of freelancers from tz
Hongera Baraka
Mngu akupe roho hiyo mashaalkah
Nakupa sana ongera bundara hii inatuamsha sana Sisi vijana
Thanks bro!!!
Am already open the bitcoin account,tupooooo together💪🏽💪🏽
Pamoja Sana kaka
Mimi mwenyewe nimeanza Kusoma Digital Garage imenisaidia sanaaaaaa
Thanx a lot SNS this is more than I expect
Actually nmeipenda hii...😀😁😁😁😁
Nimevutiwa sana nataka kumjoin
Mpaka saa8 cjalala namsikiliza
@ttttffxddryuy8725I’m still listening rn 1 year later help me please
Duuuh bro nakupenda wewe siyo mbinafsi
Jamaaa yukooo vizurii
Tena Sana kabisa
Mdogo wangu Umenifungua macho
Nikweli sana
Keep it up bro
SnS ningekuwa na uwezo ningewa-certify Diamond kabisa.
Kwani "SNS"inamaanisha nn maana sielewi
@@itsfrankOfficial Simulizi Na Sauti.
Actually baraka utafika mbali sana
Much love
Mtu makini sana
#Hotubayamitaa
Verry nice keep it up Baraka🙏
Ajira is a government sponsored initiative here in the 254.
Kunktu naweza share na hyo dogo shida mawasiriano yake nayapata vp
Kaka nakukubali sana unajua kugusa vijana nakuona mbali sana na sns Yako miaka kadhaa ijayo... Ila nasikia kuna games zinalipa pia mitandao ya kijamii inayo lipa endelea kutusanua
Naomba connection na huyu jamaa plz
Kweli
Nadhani sahivi itabidi tuwekeze Mitandaoni ✅
@travelstylish nurse How
Several times nimeseach tu hvyo vitu lakini naishiaga kugonga mwamba aisee
@ttttffxddryuy8725how sasa especially kwenye malipo
Actual huyu ni shemeji yangu actual anazipenda ila actual anajua mambo mengi pia nataka nijue maana ya actual. Actual anadowld hela online actual actual actual actua
Kusema kweli
@ttttffxddryuy8725can you help me please
Jamani na mm munifundishe plz
Ulipo taja forex hapo ndio umenitach hongera sana kijana umeamsha wengine mm Nina degree ya Sanaa ya ualimu Ila sijaajiriwa lakini naingiza $800 kwa mweziii kwenye cryto index
@Rasid Juma naomba nielekeze pls
Naomba unisaidie na hitaji kujifunza
thanks
actually
Ivi hiz platform bdo zinafany kaz🤔🤔🤔
🙏🙏🙏🙏🙏be blessed
Dah dondosha link mzee unyama sana
Big up bro,,,actually😅
Actually Mimi nimemwelewa uyu actually bt actually ni vizuri sana actually naomba nimalize kwa kucoment actually Asante sana actually 😂😂😂😂😂
Contact ya huyu bro napataje
Mr. Actually 😂😂😂, read more story books bro😂😂😂
Hello sky naomba unisaidie namba ya huyo jamaa
Tunachojua sisi nikuuza connection za fanta
Hahahaha
Hakuna Digital marketing..
Jamani mmenitoa taka za macho naweza vipi kukutana na huyu kijana nisaidie bro
So kwa mwenye yuko na elimu ya sekondari si anaeza soma online pia
naomba nijiunge na community yenu
Nipo huko kwenye App wewe jamaa unajuaa
Amazingtoka