Jinsi Unavyoweza Kuibiwa PESA BENK Bila KADI Wala Namba ya SIRI [ DAKIKA 5 TU!! ]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @RuqayaHamza
    @RuqayaHamza 11 วันที่ผ่านมา

    Mm ninakdi lkn namba yangu ya sm nimepotza na sipo tanzania naniaitaji kuweka pesa lkn sintapata msg nifanyeje

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +2

    Mi nilifungua account mwaka sasa niliweka elf 20 tu sasa line yangu imefungiwa na niko nje ya nchi hivyo naogopa kuweka hela wasije wakaaiba

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  7 หลายเดือนก่อน

      Inamuda gan account

  • @moneymavericks480
    @moneymavericks480 ปีที่แล้ว +1

    Kuna siku I will work with you Rubaba napenda content zako za kilimo..

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  ปีที่แล้ว

      Thanks alot na karibu sana

    • @moneymavericks480
      @moneymavericks480 ปีที่แล้ว

      @@RubabaTv ukifanya mahojiano na wakulima wenye mafanikio na video high quality pia THUMBNAILS zikawa za kuvutia you have good content napenda niko SUA nasomea kilimo already subscribed to ur channel

  • @RonaldSwai
    @RonaldSwai 2 หลายเดือนก่อน

    Kwahyo kàka ukiwa unafanya payment yoyote wakiitaji taarifa za kadi ili kulipia ........hapo panakuwa hapana usalama eeh

  • @nicodembrown7508
    @nicodembrown7508 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka kichwa cha habari na unayo uongea yote vumbi unge eleza mtu anaiba vibi pesa benk bila card wala pin ya mhusika

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  3 หลายเดือนก่อน

      Itakua ujawahi kuweka hela kwenye account 🤣

    • @nicodembrown7508
      @nicodembrown7508 3 หลายเดือนก่อน

      @@RubabaTv usalama wa pesa ni Pin mkuu maana kichwa cha habari na maelezo yako ni Tofauti hauwezi iba pesa ya mtu pila kujua pin kuiba pesa ya mteja bila pin ni wahusika wa benk tu wanaweza kufanya huo mchezo

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  3 หลายเดือนก่อน

      Kama hujui kitu kausha kaka, usipende kuminyana kitu usichojua.
      Angalia comment za watu wengine utaona.
      Au nipe kadi yako nikuonyeshe 🤣🤣

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  3 หลายเดือนก่อน

      Inaonekana hata video ujaangalia na unatoa maoni

    • @nicodembrown7508
      @nicodembrown7508 3 หลายเดือนก่อน

      @@RubabaTv hapana mkuu tunaelekezana hatubishani hapo juu umesema jinsi mtu anavyoweza kuiba pesa bila card au pin ya mhusika na mimi lakini maelezo ya kwenye video yako haya majibu ya iyo heading.Kuiba pesa ya mtu bank lazima Pin yake na card vihusike

  • @nicodembrown7508
    @nicodembrown7508 3 หลายเดือนก่อน

    Unarudia rudia nenda straight

  • @keydesmreta5438
    @keydesmreta5438 ปีที่แล้ว

    Samahan kaka,, kuna video yako ya muda kidogo nimeicheki inahusu kulipwa na youtube,, nina swali hapa naomba unieleweshe,, vp kuhusu maswala ya kodi, je malipo ya youtube hutozwa kodi kwa hapa Tz na je ww unalipa hiyo kodi?

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  ปีที่แล้ว

      Kwa sasa bado, ila tulipa kodi Marekani, ambapo youtube Ipo.

    • @keydesmreta5438
      @keydesmreta5438 ปีที่แล้ว

      @@RubabaTv oh sawa! Hiyo kodi ya Marekani wanakuwa wanakata asilimia ngapi ya revenue yako?

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  7 หลายเดือนก่อน

      Tucheck 0764 148 221

  • @MohamedyAlly-ot5vc
    @MohamedyAlly-ot5vc 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hili swala limenikuta mm nimeopoteza hela cjui nan aliiba card yangu akachukua taarifa za kadi yangu

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  5 หลายเดือนก่อน

      Pole sana, nenda kwa benk husika watakusaidia

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

    We kaka naomba no yako kuna jambo unielekeze

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  ปีที่แล้ว

      0764 148 221

  • @bilhudamazundee6954
    @bilhudamazundee6954 7 หลายเดือนก่อน

    kaka naomb namb yako

    • @RubabaTv
      @RubabaTv  7 หลายเดือนก่อน

      0764 148 221