#TBC1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2024
- Kipindi Hiki Cha Wekeza Tanzania kinakupeleka site ukajionee uhalisia wa 98.01% ya mradi wa kimkakati wa bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere ambalo kukamilika kwake kutazalisha Megawati 2115 za umeme
Mtangazaji - Vumilia Mwasha
Mwongozaji - Neligwa Muggitu
Mdhamini - AZANIA BANK
MAGUFULI….MAGUFULI…MAGUFULI
Nashukuru nami ni mmoja kati ya watu walioshiliki katika ujenzi kwa mikono yangu
Mwenyezi Mungu akubariki huko uliko Rais DK JPM
Karibuni sana Rufiji karibu Julius nyerere hydro powe project,
Pongezi kwa serikali yetu,mungu wabariki viongozi Wetumpka wakiongozwa na raisi Wetu mama Dr.Samia Suruhu Hassan.Mungu ibariki Tanzania,mungu Ibariki Afrika.Amen
Mashallah mungu yayibariki tz na viongozi wake
Tunamshukuru Mungu na viongozi wetu Mungu awabariki
Hilo ni jambo Jema sana kwa Taifa letu kiuchumi na hata kiusalaama. Napongeza serikali kwa Hilo. Kikubwa wasimamizi wote wanao husika na watakao husika wasimamie kwa kuzingatia uweredi na uzarendo🤝🤝👍👍
Johaness Marwa Toka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿
R.I.P DKT JOHN POMBE MAGUFULI MUNGU AIWEKE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI
Engineer wa power house yuko good kwa kuyelezea
ALLAH AMPE KAULI THABIT....SIKU YA UWEKAJI JIWE LA MSINGI TULIAMBIWA KUNA DARAJA KUBWA LITAJENGWA HAPA KUBWA LITAKALO UNGANISHA MIKOA MIWILI NA NAWATANI WAKE WAZARAMO MTAKUJA KUFANYA UTALII NA KUPIGA PICHA ZA NDOA HAPA...AISEE NIKWEL YA ALLAH MPE KAULI THABIT...MUHIMU DUA TU NDIO FAIDA YAKE,,,NA UKIWASHA TAAA UJUE THAWABU HUMFATA ..NAPIA HONGERA MH.RAIS KWA KUKAMILISHA HILO MALIPO NI THAWABU NA PEPO KWAKO...
Walau nimeshiriki kwa kiwango kikubwa kwenye ujenzi wa huu mradi kama operator.. kazi nzuri kwa serekali
Mbona wanatuonyesha sehem moja tu na si kote kulikojaa maji
Kazi nzuri op
Mlisema mtapunguza bei za umeme ngoja tusubili tuone
Dada unajua kazi yako
Asante Kwa kuendelea kufatilia Wekeza Tanzania
Well done sister vumilia. Its good to have these development information. Keep it up. God bless you.
Pongezi kwa serikali pamoja nawewe vumiliya mwasha unatangaza vizuri
Asante sana endelea kutazama Wekeza Tanzania
Mtakamilisha huko mtahamia kwenye miundombinu mitaani migao iendelee kama kawa
Rip jpm,sijakosea kumpa mwanangu jina lako
Kazi iendelee samia mi 🖐 tena 💞
Karibu sana zipo nyingi.dakika nne😂
Kama bei ya umeme haitopungua hili bwawa litakuwa kazi bure
mpka sasa bei ya umeme ni nafuu cha muhimu ni kupata umeme wa uhakika kwanza
Buku unapata units 8 ukiwa kwenye mfumo wa tarrif 0 bado bei ni nafuu kuliko hata vifurushi vya simu hiyo buku ni siku 1 tu salio linakata..
🇹🇿🇹🇿🌹👏
AISEE NACHO ONA MM HAPO NI MITAMBO MINGI SANA.... AMBAYO NI YAKISASA KABISAA KAZI KUBWA SANA IMEFANYIKA ALLAH AWALIPE WEMA NA PEPO....MH.MAGUFULI UTAISHI SANA,,NIKI KUMBUKA MM ILE HUTUBA YA SIKU YA KWANZA LEO IMEKUWA KWELI MUNGU PEKEE NDIE ANAJUA CHA KULIPA,,PIA RAIS SAMIA HONGERA KWA HILO KAZI UMEIFANYA
Tunasubiri bei ya umeme ishuke, maaana mwanzilishi ambaye ni Jpm alisema bei itashuka ili tupikie umeme tuachane na mkaa
Hiyo mashine na tisa mbona inatoa 166.4MW? maana najua efficient haiwezi kuwa 100% but hiyo ni chini ya asilimia 70.... kuna nini hapo mtujuze kidogo
Rpm yke n ndogo hata hivyo ukiangalia
Kama siyo macho ya camera kushindwa kuonyesha ukubwa wa hicho kifaa basi nyie mtakuwa kuna jambo mmeliona ambalo lipo tofauti na ufafanuz wa jamaa
Huo ufunguo kwa nje ya mlango 😅
Jpm
Kila siku 98% tumechoka kusubiri
Vumilia mm huwa ni shabiki yako sana natamani siku moja nikuone live. Mm na mke wangu.
Asante sana endelea kutazama Wekeza Tanzania
@@vumiliamwasha191 Asante dadayangu
Wewe ni Mwisilamu wake wanne ruksa
@@edsonnelson4464 acha izo bana.