Sh 7.5 bilioni kutumika ujenzi wa awamu ya kwanza ya viwanja vya nanenane Dodoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 มิ.ย. 2024
  • Serikali imetenga Sh 7.5 bilioni kwaajili ya awamu ya kwanza ya ujenzi wa viwanja vya kisasa vya maonyesho ya nanenane jijini Dodoma yanayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 01, 2024 ambapo mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo atakuwa Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango na kilele kinatarajiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi.
    Hayo yameelezwa na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe leo Jumanne, Juni 04, 2024 jijini Dodomba ambapo ameeleza kuwa kaulimbiu ya maonyesho hayo kwa mwaka huu ni chagua viongozi bora wa serikali za mitaa kwa maendeleo endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.

ความคิดเห็น • 9

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 28 วันที่ผ่านมา +1

    Hongereni saaana Viongozi wetu, Mbarikiwe

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 29 วันที่ผ่านมา +1

    saf sana fanyen kwel bas tunataka kuyaona hayo

  • @giftmeela6250
    @giftmeela6250 29 วันที่ผ่านมา +1

    Maonyesho ya Arusha yange hamishiwa Babati. Arusha tunahitaji maonyesho ya utalii zaidi

  • @amosieliadi1504
    @amosieliadi1504 28 วันที่ผ่านมา

    Hopo sawa

  • @laheonlinetv2161
    @laheonlinetv2161 29 วันที่ผ่านมา

    Kanda ya ziwa vipi, Bukoba,Simiyu, Shinyanga?

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 29 วันที่ผ่านมา

    "Chagua viongozi bora wa serikali za mitaa kwa maendeleo endelevu ya kilimo,mifugo na uvuvi". Ramani inapendeza Sanaa ikiwa itatekelezwa Kama inavyoonekana. Huu mradi utachkua muda gani kukabidhiwa? Pongezi kwako mh. Bashe kwa uongozi unaoacha alama. Nasi tunasubiri uwanja wetu wa Nyamon'goro. salaam toka mwanza 🐟.

    • @jofreyfungo1112
      @jofreyfungo1112 7 วันที่ผ่านมา

      Matumizi siyo. Anafaidi anayepata tenda na aliyempa.Sisi tubaki na Mungu

  • @amosieliadi1504
    @amosieliadi1504 28 วันที่ผ่านมา

    Mbeya mtoa wajinga nyie