#TBC1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2024
  • Kipindi hiki Cha Wekeza Tanzania kinakupeleka site ukajionee uhalisia wa kituo Cha kupokea umeme wa megawati 2115 wa Bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere
    Mtangazaji - Vumilia Mwasha
    Mwongozaji - Neligwa Muggitu
    Mdhamini - AZANIA BANK

ความคิดเห็น • 7

  • @mduda_i
    @mduda_i 2 วันที่ผ่านมา +1

    huyu dada yuko vizur sana anahoji on point kana kwamba yuko vichwani mwetu watazamaji. Big up 💪🏾

  • @omzedstationary932
    @omzedstationary932 2 วันที่ผ่านมา +1

    VIVAA...TZ..VIVAA!!

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk วันที่ผ่านมา +1

    🇹🇿🇹🇿🌹👏

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mojawapo ya lengo la kujenga bwawa la umeme la mwalimu nyerere ilikuwa ni kupata umeme kwa bei nafuu ili kuchochea sekta ya viwanda. Serikali isimamie hilo.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 2 วันที่ผ่านมา

    Hiyo mtambo mbona kinyelezi ilikuwa ipo Sawa na hiyo

  • @josephbundala1475
    @josephbundala1475 2 วันที่ผ่านมา

    Fensi siioni. Ni muhimu pawe Well fenced maana ni muundombinu muhimu sana huu.