"MABAHARIA WALIUMIZWA SANA, UBAHARIA UNALIPA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2019
  • Neno Baharia limeanza kutumika muda mrefu sana lakini siku za hivi karibuni limeonekana kushika kasi na kutumiwa sana mitaani na mitandaoni huku kila mmoja akilitumia kwa style yake iwe kwenye mazungumzo ya kawaida au ya utani, wengine wameenda mbali zaidi na kuanza kutafsiri maana ya Mtu anayestahili kuitwa Baharia kwa vile ambavyo wanaona inafaa na wapo ambao katika kuitengeneza maana halisi ya Baharia wanatumia hata kauli zinazofikirisha.
    Lakini unaweza kujiuliza ni nini hasa maana ya Baharia na zipi sifa za yule anayefaa kuitwa Baharia!?.
    Kupitia AyoTv na 'millardayo.com' tunae Katibu Mkuu wa Chama cha Mabaharia Tanzania Captain Josiah Mwakibuja ambaye licha ya kuwa Katibu wa Chama yeye pia Mjumbe wa Kamati ya kusaidia Matatizo ya Mabaharia Afrika yenye makao yake makuu London Uingereza na pia ni Katibu wa Bodi ya kutoa misaada kwa Mabaharia kama vile ya kiroho, wakati wa misiba n.k, na amekubali kujibu maswali yote yanayohusu Ubaharia.

ความคิดเห็น • 7

  • @ibbyikh1788
    @ibbyikh1788 3 หลายเดือนก่อน

    Mi sijakwenda kusomea ubaria darasani, lakini nauzoefu wa kudandia meli from TZ street life, nimefanya day workers trip with magamushi discharge as deck crew na naishi mtoni kwa ajili ya Meli, Baria ni Baria tuh, sawa na mafundi Gereji asome Veta au ajifunze ufundi chini ya mwembe wote mafundi tuh. Ni vizuri kusomea kama unauwezo au umepata nafasi ya kusomea.

  • @kecha5251
    @kecha5251 3 ปีที่แล้ว

    Can't wait to come D.M.I to up date my certificates; ;sea never dry,

    • @ismailkipaty9681
      @ismailkipaty9681 2 ปีที่แล้ว

      Chief Josiah wekeni japo clip za kibongo zinazoelezea majukumu ya mabaharia wanapokuwa onboard km vile AB na majukumu yake. Ona wenzetu waphilipino wanavyofanya, nasosi wabongo pua tufanye plz

  • @abuubakarhaji2078
    @abuubakarhaji2078 2 ปีที่แล้ว

    Process ya mwanzo mtu akitaka kusoma anaanza vp

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @lucaskagoma7605
    @lucaskagoma7605 4 ปีที่แล้ว +1

    kwanini munazuia kusoma ambaye amefanya kazi zaidi ya miaka matano wakati tayali amekuwa na uzoefu Mkubwa hadi awe na cheti cha dalasa la kumi na nne wakati vijana wetu walifeli lakini amepata uzoefu huyu munamsaidiaje Ili asome ubahalia

    • @lucaskagoma7605
      @lucaskagoma7605 4 ปีที่แล้ว +1

      kwanza jibu hilo swali langu halijapatiwa Majibu kuhusu kwenda kusoma bila kuwa na cheti cha dalasa la kumi nanne lakini alimaliza akafeli akasoma ubahalia na akafanya kazi zaidi ya miaka matano lakini anataka kusoma kujiedeleza anakataliwa